Asante Mh Lisu kuna watu wakuwadhibiti ndan ya chadema wametumwa kama mawakala wakuangamiza chadema na inahitaji hekima na maarifa kutambua juu ya watu wanaoowazunguka nje na hapa wanaharakati wanaamini chadema kupigania haki lakin kwa mwenendo huu kama baadhi ya vitu havitadhibitiwa ccmpolice watakuwa wamefanikiwa mbali sana maana inaonekana mawakala wa ccmpolice wengi sana ndan ya chadema

Hii ni techniques nzuri!
CCM watameguka tu! Subirini mtaona
baba tuko pamoja nawewe namungu akulinde nawates wanchi hii
Ingependeza ungesema wewe unafaa kuwa kiongozi badala ya kumsema LISU hafai kuwa kiongozi wakati LISU ni kiongozi mnzuri hadi sasa
Uongozi uwe na kikomo sio unakuwa kiongozi wa milele hiyo hapana
Pambana ubadilishe chama
Good
kavaa bullet proof vest waziwazi badala ya kuificha? Sasa si watalenga kichwa badala ya mwili
Umeona anatuletea utoto
Kwa kauli ya Lissu kuhusu MAREHEMU ambaye hakumtaja naanza kunusa harufu mbaya
Huyu ni mtu wa kisasi hafai kuwa kiongozi
We tulia huyu ni zaidi ya jembe
Kamfanyia Nani kiasi?
LISSU HAFAI KUWA KIONGOZI WA CHAMA AU NCHI YAAAANI
HAWAFAI
HANA HEKIMA HUYU;NAKUUNGA MKONO KABISA;NI MROPOKAJI SANA NA HAJUI KUTUNZA SIRI ZA KIKAO
Sawa ila kwanini watu wanasema anafaa
@MsabahAli-d6u WASIO MUELEWA NDIYO WATASEMA HIVYO KWA WAFUATILIAJI NA WACHAMBUZI WA SIHASA WAMESHAMTOA THAMANI
Hafai kabisaa hivi kweli anania ya kuwahudimia wananchi?
Hesbau tu ulikua huelewi ,je utamwelewa lisu