MashaAllah swala ya Mtume a Muhammad swallallahu alaihi wasalam inasiri nyingi sana na ina maajabu makubwa, ikiwa unataka kufanikiwa hapa duniani kama dhiki za njaa, mawazo, madeni, misukosuko, hupati usingizi emu kithirisha kumswalia kipenzi cha Mwenyezimungu na malaika wake na watu kwa ujumla alafu uone mambo yatakavobadilika katika maisha yako.

Hakika napenda sana mawaidha yako kwa Ajili ya ALLAH....