NYIMBO ZA ROHO MTAKATIFU KWAYA YA MTAKATIFU SECILIA MBURAHATI | JOHN MAJA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 фев 2025
  • Karibuni wapendwa tusali pamoja na kumwomba Roho Mtakatifu aweze kutujalia mapaji na neema zake mbalimbali kupitia nyimbo za Roho Mtakatifu zilizoandaliwa na kwanya ya Mtakatifu Secilia Mburahati.
    #nyimbo hizi ni pamoja na:
    1.ROHO WA BWANA IMEUJAZA ULIMWENGU BY F.KASHUMBA
    2. NJOO WANGU MFARIJI WIMBO WA ASILI BY J. MAKOYE
    3. ROHO MTAKATIFU BY JOHN MAJA
    Na zingine nyingi
    KARIBU TUIANGALIE CHANNEL HIIYENYE MAUDHUI YA NYIMBO MBALIMBALI ZA KANISA KATOLIKI
    ASANTENI SANA NA MUNGU AWABARIKI
    #JUGOMEDIA,#NYIMBOZAROHOMTAKATIFU,#KWAYAYAMTAKATIFUSECILIA
    #catholicchurch #nyimbo #japan #ukraine #nyimbozakikatoliki #usa #christmassong #tanzania #jesuschrist #masiha #japan #christmassong #jesuschrist #masiha #album #pesa #newsong
    MAWASILIANO:
    JOHN MAJA
    NAMBA YA SIMU: +255 754 057 262
    DAR ES SALAAM

Комментарии • 101

  • @christophermbwanje8579
    @christophermbwanje8579 3 года назад +28

    Kama Leo umeisikiliza hii list gonga like twende pamoja tukiifurahia birthday ya kanisa👏👏👏👏👏👏👏👏

  • @biteraphy
    @biteraphy Год назад +2

    Nimebarikiwa sana leo nikiwa nasherehekea pentekoste happy bday to the Catholic Church

  • @edgarnandonde48
    @edgarnandonde48 3 года назад +6

    Sijutii kuwa mkatoliki jamani nyimbo mzuri sana

  • @nellymwalongo7164
    @nellymwalongo7164 3 года назад +6

    Yaani huu ndio ukatoliki wetu,nakumbukq mwaka 1999 nikipokea kipaimara,yaani kila nikisikiliza najikuta nalia machozi

  • @altogosbertluhikula9083
    @altogosbertluhikula9083 2 года назад

    Kiongozi, tunashukuru sana kuendelea kupata neno la Mungu.

  • @AudreySinda
    @AudreySinda 7 месяцев назад +1

    Mungu aubariki utume wenu❤❤

  • @BenedictoSakafu
    @BenedictoSakafu 9 месяцев назад

    Tunakushukuru MUNGU kwa kutupatia vipaji watuwako nakuimba nyimbo nzuri zenye kunjirisha nyimbo zimakonga mioyo asante Mungu ,,Aameen,,

  • @selestinamakari4750
    @selestinamakari4750 3 года назад +1

    Nimefurahi sana leo kumpokea roho mtakatifu,kwan nisikiapo nyimbo hiz nabarikiwa ht km nina mawazo nafarijika,,,,aamin

  • @kiliantereba6502
    @kiliantereba6502 2 года назад

    Maja umenikumbusha albam yenu ya kule SAUT ya tulijenge jiji la Mungu. Kule Mwanza miaka ya 99 ndiyo nilianza kukusikia. Hongera sana tz 1

  • @kiliantereba6502
    @kiliantereba6502 2 года назад

    Binafsi naamini John Major is the best organist in Tanzania

    • @JohnMaja
      @JohnMaja  2 года назад

      Tumshukuru Mungu

  • @organistsskills4921
    @organistsskills4921 3 года назад +2

    Ila Mburahati imeacha alama kubwa sanaa.. Hizi nyimbo bdo zinabariki sanaaa yaani... Wakati wa Kipaimara make me remember more blessings 1999

  • @dennismalima5365
    @dennismalima5365 4 года назад +10

    Hizi nyimbo zitadumu milele... Ile napita zangu nkasikia inapigwa studio pale Moshi, nkapita nayo... Legendary John Maja with good organ.
    Hii kwaya imeweka alama kubwa sana kila inapofika pentekoste lazma tuwakumbuke...

    • @JohnMaja
      @JohnMaja  4 года назад +1

      Amina

    • @glorymtenga8790
      @glorymtenga8790 4 года назад

      Zitadumu milele amina

    • @DelvinaAugustineMfanga
      @DelvinaAugustineMfanga 4 года назад

      Nimegundua kwaya za Mt. Cecilia zinaimba vizuri sana. Nikianzisha kwaya lazma nimpe Mt. Cecilia aisimamie

  • @andrewmsunga9425
    @andrewmsunga9425 4 года назад +2

    watunzi wa zamani walijazwa roho mtakatifu katika tungo zao,Hakika ni karama za roho mtakatifu

  • @nakakaronald8153
    @nakakaronald8153 3 года назад +1

    Kwetu sisi tuliokulia Mburahati miaka ya 80 na 90 hii ni zaidi ya lulu! Asante sana John Maja kwa kutupa ibada njema na muziki safi tangu tupo vijana wadogo. Jumapili zilikuwa ni tamu sana, enzi hizo za Fr. Luambano. Mimi ni wale watoto waliokuwa wanakaa kwenye ngazi pembeni ya kinanda wakati wa ibada.Umenipa msukumo (inspiration) sana utotoni brother. Ukipata fursa uweke na ya Kufufuka pia.

    • @JohnMaja
      @JohnMaja  3 года назад +1

      Amina kaka yangu nitAiwekaka

  • @estelawilomo423
    @estelawilomo423 2 года назад +1

    Roho mtakatifu atuongoze muda wote

  • @florayohana1351
    @florayohana1351 2 года назад +5

    Am really blessed. I do remember my Olevel memories at Hekima Girls xul, Bukoba during Pentecost day. Am proud of being a roman catholic 🙏

    • @scholasticatibesigwa9179
      @scholasticatibesigwa9179 Год назад

      Siku ya shule ni sherehe kubwa Kwa wanahekima

    • @deogratiusmakoti4219
      @deogratiusmakoti4219 Год назад

      Kila nikisikiliza album hii Utube nawakumbuka sana Kunambi, Haule, Misana, Mzee Makoti, John Maja, Tetula, Mama Kibasa, Dimoso dah Secilia hii na Fr. LUAMBANO mambo yalikuwa Moto Mburahati

  • @happyndege5404
    @happyndege5404 4 года назад +4

    Roho Mungu tushukie...kaa nasi atuongoze kutenda yalio mema tujaze mapaji yako yote 7

    • @JohnMaja
      @JohnMaja  4 года назад +1

      Amina

    • @JohnMaja
      @JohnMaja  4 года назад +1

      Amina na tizidi kumuomba Roho Mtakatifu atujaze Mapaji yake

    • @sammbashiri5167
      @sammbashiri5167 4 года назад

      Happy Ndege haii

  • @andreasmtita7084
    @andreasmtita7084 4 года назад +7

    Miaka hiyo ya tisini ilikuwa lazima nitenge jumapili moja au mbili ktk kila mwezi kwenda kusali Mburahati na kuisikilza hii kwaya na ubunifu wa organist John Maja. Asante sana mkuu.

  • @annedavienyamhanga4738
    @annedavienyamhanga4738 4 года назад +2

    Ahsante sana,,na Mungu akubariki na tujazwe na Roho wa Bwana katika kutenda kazi zake.

  • @imara5367
    @imara5367 5 месяцев назад

    Very nice

  • @temuemanuel4671
    @temuemanuel4671 4 года назад +1

    nyimbo hizi zinagusa sana. Asante sana wanakwaya wa kwaya hii

  • @romanambelle6356
    @romanambelle6356 4 года назад +1

    Hizi nyimbo hazitakuja kuisha utamu wake vizazi hata vizazi. Amina

    • @oliverwabwire2836
      @oliverwabwire2836 2 года назад

      Totally concur with you... timeless compositions these🎶👍

  • @godwingilman5841
    @godwingilman5841 4 года назад +1

    Nice oldies jamanii rc tupo vizuri kwenye ufundi wa hizi mambo aisee

  • @morisichonanga7854
    @morisichonanga7854 4 года назад +3

    Dah hongera saaana mwalim John Maja

    • @JohnMaja
      @JohnMaja  4 года назад +2

      Tumshukuru Mungu

  • @NdukooMatigere
    @NdukooMatigere 4 года назад +1

    Mbarikiwe wapendwa. Sala zenyu kwa nyimbo zinanifaa na kunifariji. Ahsanteni sana!

  • @alexemmanuellutananulwa4931
    @alexemmanuellutananulwa4931 4 года назад +2

    Asante sana Mwl. J-Maja kwa nyimbo Nzuri sana!!! Umenikumbusha ile ALBUM Ya zamaniii ya MT. KIZITO ilokuwa na wimbo ENYI VIUMBE G. KAYETTE!!
    MUNGU AKUBARIKI SANA.

  • @roberthammole6245
    @roberthammole6245 2 года назад

    Congratulations for the beutiful songs.

  • @mashongojustinespoir86
    @mashongojustinespoir86 4 года назад +4

    Njoo wangu mfariji, Mungu awabariki milele.

  • @neemalyakurwa9530
    @neemalyakurwa9530 4 года назад +1

    Kila mwenye pumzi na amsifu bwana Munguh wake🙏🙏🙏 mbarikiwe snaaah

  • @fredmselle2227
    @fredmselle2227 4 года назад +5

    Asante ndugu Mungu akubariki

    • @JohnMaja
      @JohnMaja  4 года назад +1

      Tumshukuru Mungu Zaidi Tuzidi kumuomba Roho Mtakatifu Atujaze Neema

  • @mselengemdegela5955
    @mselengemdegela5955 2 года назад

    Wimbo wa mwisho mtunzi alitulia sana. Mungu awabariki.

  • @charitymushi1970
    @charitymushi1970 4 года назад +1

    Zimenifaa sana leo siku ya Pentekoste

  • @hashamabanga1993
    @hashamabanga1993 Год назад

    Hongereni

  • @veronicanjeza3816
    @veronicanjeza3816 Год назад

    Proud Catholic

  • @resianlebai1049
    @resianlebai1049 4 года назад

    Shukran sana kwa nyimbo hizi...moyo wangu unainuka kila ninapozisikiliza...

  • @elizabethmwangimaina7418
    @elizabethmwangimaina7418 4 года назад +1

    Roho mungu tushukie

    • @estherkariuko2361
      @estherkariuko2361 3 года назад

      Roho Mtakatifu Joo kwetu tuwe imara,oooh nimezipenda Sana hizi Ni zaidi ya dawa.Zinaponya mwili na moyo..Nashukuru.

  • @veronicaaugustine1574
    @veronicaaugustine1574 4 года назад +1

    Nimebarikiwa sana mungu awabariki sana

    • @JohnMaja
      @JohnMaja  4 года назад +1

      Amina tumshukuru Mungu

  • @peaceisrael8158
    @peaceisrael8158 3 года назад +4

    This is incredible 💞🙏watching from Germany🇩🇪

    • @JohnMaja
      @JohnMaja  3 года назад +2

      Ooh good

    • @edgarnandonde48
      @edgarnandonde48 3 года назад +1

      @@JohnMaja wewe unachagua watu wa kujibu kwa hiyo umeona hiyo german duuh

    • @peaceisrael8158
      @peaceisrael8158 3 года назад

      Oh my God🙏 sote ni wana wa Mungu binafsi nilijikuta nabarikiwa sana baada ya kusikiliza, kumbuka tupo ukanda wa lockdown ni mwaka wa pili sasa hakuna cha misa so ni humu youtube nikibahatisha nasali

    • @JohnMaja
      @JohnMaja  2 года назад +1

      @@edgarnandonde48 Yani naingianga Mara chache tusameehane

  • @domitilaaysli8803
    @domitilaaysli8803 4 года назад +1

    Mungu ni mwema kila wakati

  • @georgengugi4668
    @georgengugi4668 4 года назад +1

    Nyimbo hizi zabariki kweli. Asante

  • @elizabethmwangimaina7418
    @elizabethmwangimaina7418 4 года назад +1

    Lila mwenye pumzi asifu mung🙏🙏🙏

  • @estelawilomo423
    @estelawilomo423 2 года назад

    Thanks Jesus for giving me, your Holly spirit

  • @aderickkahwa1439
    @aderickkahwa1439 4 года назад

    Safi sana Mkuu

  • @elizabethmwangimaina7418
    @elizabethmwangimaina7418 4 года назад +1

    Njoo roho mtakatifu🙏🙏🙏

  • @maurineotieno3333
    @maurineotieno3333 4 года назад

    Njoo Roho wa Mungu njooo

  • @rossetamaganga2520
    @rossetamaganga2520 3 года назад +1

    Am blessed 🙏

  • @janem3806
    @janem3806 4 года назад

    Mara ya kwanza kiisikiliza. Asante sana

  • @zedianakangalawe4856
    @zedianakangalawe4856 4 года назад +2

    Aminaaaa

  • @joachimlevi7202
    @joachimlevi7202 4 года назад

    NYiMBo ZiMeNiBaRiKi SaNa BaRiKiWa Mtu Wa MuNGu.

  • @mathildemwangaza109
    @mathildemwangaza109 4 года назад

    So nice song

  • @roseunguja7539
    @roseunguja7539 4 года назад

    Safi sana kwaya husika Mungu awabariki

  • @vicentshija5230
    @vicentshija5230 3 года назад

    Niko mwanza ninahitaji hii album inapatikana wap

  • @TEACHER.CLEOPHAS
    @TEACHER.CLEOPHAS 3 года назад

    I really love this compilation. Keep it up.

  • @emmanuelwanyonyi4803
    @emmanuelwanyonyi4803 3 года назад

    A good song, keep it up

  • @TeddyPaul-h4k
    @TeddyPaul-h4k Год назад

    2023 watchng

  • @lucymuthoni4792
    @lucymuthoni4792 8 месяцев назад

  • @margaretoyugi7137
    @margaretoyugi7137 4 года назад +1

    Wow!sweet melodies Amen🙏🏽🙋‍♀️

  • @aliceonesmo9618
    @aliceonesmo9618 3 года назад

    Happy pentecoste!!!💌🙏🕊️

  • @ruthmkoba1306
    @ruthmkoba1306 2 года назад

    Nikiwa kiwawa enzi hizo

    • @JohnMaja
      @JohnMaja  2 года назад

      Sasa hivi Bibi hongera mdogo wangu

    • @ruthmkoba1306
      @ruthmkoba1306 2 года назад

      Asante 😂😂 tumshukuru MUNGU 🙏

  • @happynkunda3403
    @happynkunda3403 2 года назад

    Isack Florian Ngali

  • @sixtusmomburi1332
    @sixtusmomburi1332 4 года назад +2

    Hii album naipataje nikiitaka Kwa Leo 0716118803

    • @JohnMaja
      @JohnMaja  4 года назад +1

      Jamapili zitakua parokia ya mburahati au nipigie nikuelekezw.0754057262

    • @emmaculetygausi1142
      @emmaculetygausi1142 4 года назад

      Nam naitaji ila sipo dar nitaiipajee