WAKANDARASI MRADI WA MAJI WAPEWA WIKI MBILI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 23 июн 2024
  • TANGA: Naibu Waziri wa Maji, Mhandisi Kundo Mathew ametoa wiki mbili wakandarasi wanaotekeleza mradi wa maji wa miji 28 katika mkoa wa Tanga kuanza ujenzi wa matenki mawili ya kuhifadhi maji katika wilaya ya Muheza.
    Mradi huo ambao unagharibu kiasi cha sh bil 170 ambapo unatakiwa utekelezwe katika kipindi Cha miezi 32 huku tayari ukiwa miezi 14 imeshapita huku mradi huo ukiwa umefikia asilimia 32 pekee.
    Hayo yamesemwa na Naibu Waziri huyo alipokuwa katika ziara ya kutembea maendeleo ya utekelezaji wa mradi huo katika wilaya za Muheza na Korogwe mkoani Tanga.
    Imeandaliwa na Amina Omari
    Follow us on:
    FACEBOOK;
    SpotiLeo: / spotileo-176. .
    HabariLeo: / habarileo
    DailyNews: / dailynewstz
    INSTAGRAM;
    HabariLeo: habarileo_tz?ig...
    SpotiLeo: spotileo?igshid...
    TWITTER;
    Twitter HabariLeo: HabariLeo?s=09
  • СпортСпорт

Комментарии •