SIKILIZA MADINI YA MWINA KADUGUDA MECHI YA YANGA Vs SIMBA MUDA HUU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 17 апр 2024
  • СпортСпорт

Комментарии • 42

  • @user-wk2bg8zf3l
    @user-wk2bg8zf3l Месяц назад

    Mungu ibariki simba hasa wakati kama huu wenye kipindi kigumu ,kwasababu wasaliti wamekua wengi Sana ,,SIMBA SPORT CLUB ❤❤❤❤❤WAKALI WA KARIAKOO

  • @mishlay8164
    @mishlay8164 Месяц назад

    Kweli kabisa mzee wetu kaduguda ; viongozi wa simba ni tatizo kubwa sana ,

  • @SamikeSunhwamachimagi
    @SamikeSunhwamachimagi Месяц назад

    Mungu akupe siku nyingi mzee wetu

  • @user-go2qe8hx5u
    @user-go2qe8hx5u Месяц назад +1

    MZEE KADUGUDA KUWA MKWELI ULE WAKATI WA SIMBA KUNUSURIKA KUSHUKA DARAJA KINA NANI WALIOKAA CHINI NA KUOMBA ILI SIMBA ISISHUKE DARAJA ILI UTANI UBAKI KWENYE MASHINDANO.MBONA KIPENGELE HICHO UNAKIFICHA ONGEA UKWELI.
    NAKUSAIDIA KDG WAZEE WA TIMU MBILI WALIKAA NA KUOMBANA ILI MAMBO YAWE SAWA UPANDE WA SIMBA.

  • @jumakiduka4625
    @jumakiduka4625 Месяц назад

    mzee kaduguda unanikumbusha mengi mazuri, mbaraka, shidz stuwer, musa libabu, juma mzee, yusuf salum,(4) adam juma, choteka, haji lesso simba wa mbojo Emanuel mbele Albert,(Ema) akina Rased, Ali kajo Hassan mlapakolo nk

  • @user-tg7vq3ty8p
    @user-tg7vq3ty8p Месяц назад

    Mdogo wangu Mwina Kaduguda kamsahau Mussa Tayari.

  • @JAMESNASHON
    @JAMESNASHON Месяц назад

    Mm namwamini Sana kaduguda akisema Simba inashinda kweli inashinda alisema kigoma na tukashinda alisema hi ndroo na ikawa droo kweli

  • @TegemeaFutemakatifu
    @TegemeaFutemakatifu Месяц назад

    Ni kweli hamsikiki Vizuri hasa huyu Jamaako wa Shati Jeupe

  • @tatually3609
    @tatually3609 Месяц назад

    Nyie mlikua mnapenda timu wenzengu waliokuja wanapenda hela wa natuumiza kila siku

  • @mmewaswida
    @mmewaswida Месяц назад +1

    Kaduguda anaamini bado uchawi. Mpira huo haupo.

  • @bulengwamisiri5630
    @bulengwamisiri5630 Месяц назад

    Ongea ukweli mzee wasimba

  • @JAMESNASHON
    @JAMESNASHON Месяц назад

    Nipeni nmba za kaduguda

  • @abdisalim7900
    @abdisalim7900 Месяц назад +1

    Leo nimeona hasa rangi ya Kaduguda nilikuwa namsikia tu,lkn kumbeni hazina iliyokusanya maadini mengi,Mungu akubariki akupe maisha marefu

  • @user-nm1tq5bx5o
    @user-nm1tq5bx5o Месяц назад

    Baba yangu mpaka hapo naona kuna haja ya kuwapa nafas wachezaji wa zaman wa club ya smb waendeshe gurudumu smb

  • @chrizostomchristian1884
    @chrizostomchristian1884 Месяц назад

    Jaman mm nop na mzeee kaduguda kabisaaa Yanga wametuzid kwa kuwashirikisha wazee

  • @HoseaNdikonyeje-zm4py
    @HoseaNdikonyeje-zm4py Месяц назад

    Hakika tulpoteza mtu wakaz tunakuomba uludi kwenye kiti mze wetu

  • @shizoshop2469
    @shizoshop2469 Месяц назад

    Huyu mzee apewe uenyekit au mkuu wa usajili

  • @jumakiduka4625
    @jumakiduka4625 Месяц назад

    KADUGYDA NI BRAND YA AKINA BA MCHAWI, KIRUNDU, HASSAN HAJI, HABIBU SEGUMBA, KESY MJINGA, RAJAB HASARA HAO NA WENGI WENGINE WENYE SIMBA LIALIA

  • @chrizostomchristian1884
    @chrizostomchristian1884 Месяц назад

    Mtu wa maana sana

  • @user-nm1tq5bx5o
    @user-nm1tq5bx5o Месяц назад

    Smb ni yako ulichokiona ni kweli ombi langu kwako tumia utu uzima

  • @muhamedjaffar5653
    @muhamedjaffar5653 Месяц назад

    Kaduguda mnyama .iyo mechi kashaimaliza.simba anashinda

  • @jerrymasunzu505
    @jerrymasunzu505 Месяц назад

    Akiri hii ni Tela bytes 100....

  • @yusuphantony9441
    @yusuphantony9441 Месяц назад

    Ukweli unauma

  • @vumiliamgendi148
    @vumiliamgendi148 Месяц назад

    Baba sema tupo tunaokuelewa

  • @MusaJuma-jr7wb
    @MusaJuma-jr7wb Месяц назад

    Mzee mtu wa maana kabisa

  • @abduldihomba1632
    @abduldihomba1632 Месяц назад

    Mpira wa sasa mzee kaduguda ni science kama hauna kikosi bora ni nothing tu

  • @karimambosanga4290
    @karimambosanga4290 Месяц назад

    Mzee Kaduguda,Aden Rage,mzee Dalali,Abdallah Kibade,Magori wote hawamo simba watu muhimu hawa inatosha kuwa simba kuna jambo

  • @jumakiduka4625
    @jumakiduka4625 Месяц назад

    KADUGUDA ALIRUDI SIMBA ASHIRIKIANE NA BABRA, MAGOLI CRISTENSOUS,,HUYU MZEE NI HAZINA SAAANA NA SIMBA WETU WALE WAKALE

  • @user-vb8ki3jo9t
    @user-vb8ki3jo9t Месяц назад

    Simba wa yuda upo sahihi wachezaji siyo wabovu wabovu ni viongozi waliowaleta wachezaji

  • @issakikwazi-jm5rq
    @issakikwazi-jm5rq Месяц назад

    Mtu wa mana kabisa huyu

  • @alfredrutaguza7506
    @alfredrutaguza7506 Месяц назад

    Huyu mzee kashaona tayari,yanga mpoooooo????

  • @suleimanchonya7736
    @suleimanchonya7736 Месяц назад

    Huyu mzee anajua mambo kwakweli

  • @vumiliamgendi148
    @vumiliamgendi148 Месяц назад

    Yule dada ni mtu na nusu

  • @user-uw8de9yu8o
    @user-uw8de9yu8o Месяц назад

    Mzee anapenda uchawi huyo

    • @stanleymwaselela1849
      @stanleymwaselela1849 Месяц назад

      Una uhakika? Usiongee kitu ambacho hauna uhakika na ukweli nacho

    • @kaundasutikaunda7769
      @kaundasutikaunda7769 Месяц назад

      DAH NIMECHEKA KWA NGUVU SANA AISEE HII COMEDY YAKO ALAFU NIPO KWENYE OFISI ZA WATU.....

  • @why-ir8zl
    @why-ir8zl Месяц назад

    Wazo la simba day ni la magori mpe maua yake mzee

  • @BaburamaShabani
    @BaburamaShabani Месяц назад

    Father pambania gemu ijayo na yanga

  • @bedomgwalupogo2652
    @bedomgwalupogo2652 Месяц назад

    Ujinga wote huu ni sababu za benchi la ufundi ndiyo inafanya inachofanya kushindwa kubadili mfumo

  • @anjelinasarumbo8232
    @anjelinasarumbo8232 Месяц назад

    Jitaidi kesho tunakazi gemu zito