Mtumishi mungu Akutunze Aki hili somo Nalitendea kz na limenitoa ndo mwanzo kumsikia mungu akiongea na mm, nlikua sijajua sauti ya mungu ama nguvu za mungu zikoje bt hili somo limenitoa God bless you pastor 🙌🙏
Nikisikiliza mahubiri yako mwili unasisimka sana yaani nashindwa kueleza kln shauku ya kumtafuta Mungu inazidi kwanamna nashindwa kueleza ubarikiwe sana Baba na Mungu akutumie kwaviwango vya juu zaidi
Maisha yangu yameanza kubadilika vile ninavyo endelea kusikiliza huyu Mtumishi wa MUNGU Na barikiwa sana 🙏 Naomba MUNGU anisaidie niweze kutambua kibali changu 🤲
Yes good services ,ameeeeeeeeeeeeeen ,Ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeen Ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeen MN USAHAU USA new Tanzanian citizens of from Zambian and Gerald amongst ,Ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeen,Ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee,Ameeeeeeeeeeeen,ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeen
Mwenyezi Mungu ulie juu mbinguni mtunze mtumishi wako huyu maana nmelijua neno lako na mafunzo yako kupitia yeye neema yako ulioifunua kwake imenifkria nina kushukuru sana Mungu wa mbingun
Muchungaji tunafurahia vile unatufundisha kuomba, imagine tunaangamizwa lisha ya maarifa, na pia hatuelekezwi jinz ya kuomba, Asante mchungaji, Mungu akubariki
Mtumishi was Mungu . Asante kwa mafundisho yako. Mungu ameweka nguvu yake ndani yako. Mungu naomba unipe ufahamu was kukutafuta daima. Niwe na kiu ya kukutafuta.
Mungu wangu mjalie mtu huyu kuacha kaz zake kutuhubir sisi ndugu zangu nimejiifunza kuwa kuliko kukumbatia mambo ya wanadamu ni kheri kuudhamini kwanza wokovu
Amene mtumishi wa Mungu Unanijenga kiimani naweka Edit phone kwamasikiyo nikiwa kazini najengwa sana na ma funzo yako nikiwa 🇺🇲🇺🇸🇺🇸 ubarikiwe saaana sicoki kukufatiliya asante sana
Mungu Akutunze pasta 🔥🔥
Mtumishi mungu Akutunze Aki hili somo Nalitendea kz na limenitoa ndo mwanzo kumsikia mungu akiongea na mm, nlikua sijajua sauti ya mungu ama nguvu za mungu zikoje bt hili somo limenitoa God bless you pastor 🙌🙏
Hii injili imefungua njia zangu zote ! Mbingu zote zimefunga Ahsante Mungu wangu Ahsante sana
Mchungaji Mungu akulinde akupiganiye akubariki sana maana nimejua mengi kupitia wewe🙏
Glory Glory Glory Glory Glory Amen❤❤❤❤❤❤❤❤
Powerful 💪💪💪, Mungu akubariki saan mtumish
Hili somo Nalitendea kz na nmeanza kuona mabadiliko ya kiroho kwa maisha Yang mungu Akutunze pasta 🔥
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤my Great Man of ❤❤❤❤❤❤❤ God pastor Mkabwa❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤Be Blessed ..Baraka utukufu use nawe Great man of God pastor Mkabwa Georg.. I love you ❤❤❤❤ Niederoesterreich hapa❤❤❤❤❤
Mafundisho adimu sana. God bless you PASTOR 🙏
Asante kwa neno zuri Sana nimebarikiwa,may God comfort u pastor
Amen amen amen 🙏
Mungu wa mbinguni hakubariki mshungaji
Umekua baraka katika maisha yangu
Amina nabarikiwa sana na Neno la Munu kutoka kwako Mtumishi😂wa Mungu,Mwenyezi Mungu azidi kukutumia katika Jina la Yesu
Kwa kweli sjaona mchungaji wa gred ya juu zaid Yako barikiwa
Mungu wetu mwaminifu akubariki Sana baba
Asante sana mtumishi wa Mungu kwa mafundisho yako yaani hapa nmejifunza kitu ubarikiwe sana
Mungu mtunze mtumishi wako huyu.
Ubarikiwe Pastor Mukabwa nimenufaika sana Kwa somo Hili ubarikiwe sana
Ahsante baba Mungu akubariki sanaa akutunze kwaajili yetu
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu. Unanibariki sana. Natamani saba nitoke Kigali siku moja nije kuhabudu Kilumba.
Mtumishi wa mungu huko top..humebarikiwa sana 🤝
Nikisikiliza mahubiri yako mwili unasisimka sana yaani nashindwa kueleza kln shauku ya kumtafuta Mungu inazidi kwanamna nashindwa kueleza ubarikiwe sana Baba na Mungu akutumie kwaviwango vya juu zaidi
Barikiwa Mtumishi,naomba no,yako tafadhari
Ameni Mtumishi wa Mungu Mungu akutunze
Ubarikiwe shoe company ipanuke dear in Jesus mighty name🎉❤🎉
Asante kwa mafundisho mazuri paster
Mchungaji umenivusha mno mno .
Amen 🙏 am blessed through the word God bless you mtumishi
Aminaa
Pastor ubalikiwa bb unatubali God bless u
Asante yesu kwa ajili ya mtumishi huyu baba mbaliki sana tumepona kupitia mahubili haya
Mungu wa mbinguni akutunze pastor kwa somo hili nimepata kitu mungu akubariki
😮shukurani kwako hakika ninyi ndio Malaika wa Yesu(ufunuo22:16)ubarikiwe
Mafundisho haya ni mazuri barikiwa
Tunakuitaji pia use kenya kwetu utufundishe cz hayo mafunzo yako iko juu sana mm anansaidia sana na Mungu akubarie utumishi wako in jesus Name
Amima Amina unafudisha tunachoona kwa macho nakanisa lako tunaliona ni bora kwa kila kitu. Asante kwa mafundisho barikiwa sanaa.
Pastor George Mungu amekufanya kuwa WA neema .
Past uko vizuri safi sana nabarikiwa
Mtumishi asante kwa neno
Utukuvu, hakika ni neno la mungu limenibaliki
Amina mchungaji kwa mafunzo mema,may God continue blessing you to educated us more 🙏
I pray for wisdom in Jesus mighty name
Mungu azidishe uduma hii , hakika kuna baraka ambazo tunapata kiroho Pia ki mwili kupitia mafundisho Yako. Mungu akupe mwisho mzuri.
Im connected in the name of jesus
Amina Mtumishi
🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
MUNGU aendeleye kukubariki na kukuinua Nami napenda natamani niwe kama wewe!!
🙏🙏🙏👏
Amen in Jesus name be blessed bishop 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
I connect in Jesus mighty name
Amen mutumishi Wa Mungu Niko Burundi tunabarikiwa sana
Words of wisdom from Kenya 🇰🇪 am blessed through this ministry
Maisha yangu yameanza kubadilika vile ninavyo endelea kusikiliza huyu Mtumishi wa MUNGU Na barikiwa sana 🙏 Naomba MUNGU anisaidie niweze kutambua kibali changu 🤲
Yes good services ,ameeeeeeeeeeeeeen ,Ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeen Ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeen MN USAHAU USA new Tanzanian citizens of from Zambian and Gerald amongst ,Ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeen,Ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee,Ameeeeeeeeeeeen,ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeen
Mungu amberiki pastar
Amen ni hakika huyu ni mtumishi mzuri mno
Hakika wew mch una Roho wa MUNGU
Amina 🇰🇪🇰🇪
Nabarikiwa sana🙏
Mlioko Mwanza mnafaidi kama hamtatendea haki mafundisho haya mtajutia siku moja.
Amen in Jesus mighty name
Be blessed Bishop George
Amen🙏
MUNGU aliye kupa neno hili hata mimi anijalie niombee
Pastor unatubariki sana
Muungu aendelee kukuinua
Ameni
Hiyo ni kweli mtumishi mimi nimeona kwa macho. Pia uvumilie sana ndio uone matokeo.
Mafundisho haya ni asali ndio Daude aliyosema neno lako ni Sega la asali Mungu azidi kumfunulia
Mtumishi,,,,Mungu wa kweli anakaa ndani yako, sifa na utukufu ni kwa Mungu wetuBwana Yesu.
Nabarikiwa sana ubarikiwe mtumishi
You are the only one in you tub
God bless you pastor
❤ men
Amen dady, Mungu akubariki sana natamani kuwasiliana na wewe maana naona jumbe zote ni zakwangu
Asante mchungaji kwa neno hili.
Kweli kabisa Mungu ni muinua watu.
Amina Amina.
Mungu akubariki mutumishi wake
Mwenyezi Mungu ulie juu mbinguni mtunze mtumishi wako huyu maana nmelijua neno lako na mafunzo yako kupitia yeye neema yako ulioifunua kwake imenifkria nina kushukuru sana Mungu wa mbingun
Muchungaji tunafurahia vile unatufundisha kuomba, imagine tunaangamizwa lisha ya maarifa, na pia hatuelekezwi jinz ya kuomba, Asante mchungaji, Mungu akubariki
Asante sana mchungaji kwa ujumbe huu wa BWANA YESU nashukuru
Mtumishi was Mungu . Asante kwa mafundisho yako. Mungu ameweka nguvu yake ndani yako. Mungu naomba unipe ufahamu was kukutafuta daima. Niwe na kiu ya kukutafuta.
BWANA YESU ASIFIWE Mchungaji, BWANA YESU Akubariki Sana
Ameeeeen
Hii nikweli kabisa nimeinuka baada yakufwata sauti ya Mungu ❤
Kila siki lazima nisilikize mahubiri ya Pastar G. Yaani nabarikiwa sanaa
Ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeen
🎉🎉
Mtumish nimepat kitu
Amina
Mungu wangu mjalie mtu huyu kuacha kaz zake kutuhubir sisi ndugu zangu nimejiifunza kuwa kuliko kukumbatia mambo ya wanadamu ni kheri kuudhamini kwanza wokovu
Ameen
🙏🙏🙏🙏
Inakuaje zumaridi anapata waumini Mwanza na kuna watumishie kama hawa?MUNGU akuwekee sana.
Unanitia moyo juu ya majaribu tunayoyapitia
Macho yangu yame bahati kumuona na masikioni yangu kumsikiliza Mmoja Katika ya watu watu wakubwa kabisa, pst Ubarikiwe sana sana.
🌷🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Nachunguza sana roho, Mungu anaongea ndani yako, na una akili nzuri.
Kwanza ni kutii
Amen 🙏
Amene mtumishi wa Mungu
Unanijenga kiimani naweka Edit phone kwamasikiyo nikiwa kazini najengwa sana na ma funzo yako nikiwa 🇺🇲🇺🇸🇺🇸 ubarikiwe saaana sicoki kukufatiliya asante sana
Number pliz
Nipo USA mch napokea materials hatari 😂Mungu akutunze nikirudi home must nitafika kanisani
Amen victor kindly inbox
Mungu Akutunze siku nyingi. Mtumishi Amen
Bwana Yesu asifiwe mtumishi wa Mungu nabarikiwa sana mafundisho bado uko mwanza
Amen🙏🏻
Amen..
Ameeen
Amen🙏🏾