Hakika Yesu ni bwana wa wote,ingawaje wengine wanmkataa mchana na usiku kwa matendo yao mabaya.Tujifunze kwa mzee huyu anamaliza vizuri huu ndiyo ukweli.wenye bendi wote wajifunze hapa.
Twende mbele turudi nyuma hakika kila kitu katika dunia hii ni ubatili kama huna Yesu UMEPOTEA kwa kweli, mzee umetupa neno zuri sana, Mungu akutumie na usitawi katika Kristo Yesu Ameen
Kwakule YESU ni bwana Asante kwa wimbo mzuri sana unanibariki sana. Naunanikumbusha utoto Wangu. Ubarikiwe Mzee Kidumule. Mungu aendelee kukutumia kuokoa nafsi zilizopotea. Kamathe from DRC
Mungu akubariki mtumishi wa Mungu wimbo ni wabaraka tena unamawaidha mara ya kwanza kusikiliza ni mwaka wa 2000 nikiwa nimetembia mara ya kwanza Nairobi.
YESU NI BWANA Yesu ni Bwana( JESUS IS LORD) Ametutengenezaa Yesu(Jesus has made us ) Ametubadilishaaa Yesu( Jesus has changed us ) Siku zote tunaimba tukisema( All the days we sing and say- Jesus is Lord ) Malaika wanaimba kule Mbinguni ( Angels sing in heaven ) Usiku na mchana tunaimba ( Day and night we sing )
Hii wimbo umenikumbusha mbaali saana ,barikiwa ndugu
I don't remember the last time I cried...but this song has made me emotional. God is merciful
Keep it up Yesu Kristo Ni mwanaume wa Wana ume Yesu Ni Bwana
Nilikuwa mlevi kuliko wewe amenibadilisha Yesu my testimony
Sure Jesus is Lord if he changed cosmas, reminds me also Bwame walumona of former magelepa who is born again.
The real Yesu ni Bwana! Malaika wanaimba huko mbinguni ....... Ametubadilisha Yesu......
Hakika kweli Yesu ni Bwana aliyefufuka siku ya tatu na kushinda kifo❤, Jidumule hongera kaka🎉
Nani anakumbuka hii song,back to 1999.Wapi bayaz Band klf.Amen
Huu wimbo uwa unanikumbusha mbali Sana ashukuliwe Mungu Sana kwa wimbo huu naupenda sana
Yesu ni bwana amenibadilisha nilikua maraya kuliko wewe amenitengeneza yesu ndio maana ninaimba yesu ni bwana..❤❤❤
Nilikua mjanja kuliko wewe😢Amina 🙏 Jesus is Lord 🙌
Wimbo imenipatia matumaini katika safari ya mbinguni barikiwa mtumishi wa mungu
Kwa huu wimbo kongole kwako cosimas chidumule
Hakika Yesu ni bwana wa wote,ingawaje wengine wanmkataa mchana na usiku kwa matendo yao mabaya.Tujifunze kwa mzee huyu anamaliza vizuri huu ndiyo ukweli.wenye bendi wote wajifunze hapa.
I think it was back 2006/007 if am not wrong up to date when I listen to this song i usually feel like shading tears.
what a blessing!!!
sauti nzur ya kumtukuza Jehova
Napenda huu wimbo unanifungua na kubatiki maisha yaku najiona niko paradise
Hakika Yesu ni Bwana amenibadilisha mimi kwa Hakika, waimbaji duniani wasikize na kutazama wimbo huu maanake huyu ni mtumishi wa Mungu wa Israeli.
Yesu ni Bwana usiku na mchana tukatae ,tukubali. Amen babu.
nkweli yesu ni bwana
What a song waaa God has really changed my life
Jmaniii nshkuruuu sanaaaa kwa iyooo wimbooo huwa naifutaaa sanaaa jina LA msaniiii, ila nshkuruuu nmeiptaaa, mmbarikiwee woteeee
Mungu akupe miaka ya utumishi ulio tukuka mno.
Indeed Yesu ametubadilish siku zote atabaki kuwa Mungu Wetu🙏
Amen Amen Amen !!!
Kaingia gharama Yesuu,ametubadilisha Yesu oooh Bwana Yesu nakupenda
Walalalalalaaa... Huu wimbo wanikumbusha nikiwa shule ya msingi 2000 ama hata kabla 😜😜😜
Asiyeujua hajaishi kamwe
Aminaaa, YESU bwana Kila siku muda wowote , sana yoyote ile
Twende mbele turudi nyuma hakika kila kitu katika dunia hii ni ubatili kama huna Yesu UMEPOTEA kwa kweli, mzee umetupa neno zuri sana, Mungu akutumie na usitawi katika Kristo Yesu Ameen
💞💞💞💞💞
Mungu akubariki sana baba
Haki ya Mungu wimbo huu unanibariki kweli
Hâta namimi nili kuwa mwizi lakini huyu yesu ame ni badilicha kweli yesu ni bwana
Kwakule YESU ni bwana Asante kwa wimbo mzuri sana unanibariki sana. Naunanikumbusha utoto Wangu. Ubarikiwe Mzee Kidumule. Mungu aendelee kukutumia kuokoa nafsi zilizopotea. Kamathe from DRC
HATA LEO TANAIMBAAA TENA
Barikiwa mtumishi wa MUNGU.
❤ I love this song
This song blesses me
duuuu ,hakika Yesu ni Bwana,yaan nlikuwa napenda sana dansi Mungu anaokoa...
Mwambaa Cosmas Chidumuleee
Jina la bwana Libarikiwe, hakika Yesu n bwana
Amen
The ladies are neat, descent, smart and blessed. They are up to the purpose.
Hakika Yesu ni Bwana (2023)
Asante kwa ujumbe mzuri. ubarikiwe
Yesu anaokoa yeyote yule amwaminiye.
Mungu akubariki mtumishi wa Mungu wimbo ni wabaraka tena unamawaidha mara ya kwanza kusikiliza ni mwaka wa 2000 nikiwa nimetembia mara ya kwanza Nairobi.
Yes Yesu ni Bwana
JESUS NI BWANA NI KWELI KWA JESUS KUNA UZIMA WA MILELE.❤
What a blessing song
My best gospel song ever😢
Good for soul nourishing ❤❤❤
Wow God is great
Hatareee sana Yesu Bwana
Siku zote tunaimba Yesu ni Bwana. Wimbo wenye himuzo na sifa adhimu Kwa Yesu.
YESU NI BWANA MILELE NA MILELE, OOH HALELUYA!!!
Yesu Ni Bwana Wa Wote ✌️
Hata leo tunaimba YESU NI BWANA
Milele na milele amina
Kaingia gharama yesu
Yesu ana vyombo
AMENI HAKIKA YESU NI BWANA 🙏🙏🙏
Raha nnayo hisi najua mwenyewe
Real prayer #chidumule
Wooow late 90s early 2000 millenium was dope
Yesu ni bwana milele na milele
Yesu ni BWANA
Mimi Gideon kweli yesu ni Beana
Amina jaman wimbo huu
Amen 🙌
Wuuuuwuu alelujah wherever he his precious blood 🩸 of the holy lamb 🐑 fight for him amen
Nabarikiwa sn na hyu mzee
YESU ni MUNGU.
Asante yesu
I love the song till todate
YESUUUUE NI BWAAANA😅
My favorite
Ikitima kikungola jaman
Halleluja and Amen 🙏
Praised be The Lord. God bless you richly Mzee. Somebody please translate for the words with lyrics
YESU NI BWANA
Yesu ni Bwana( JESUS IS LORD)
Ametutengenezaa Yesu(Jesus has made us )
Ametubadilishaaa Yesu( Jesus has changed us )
Siku zote tunaimba tukisema( All the days we sing and say- Jesus is Lord )
Malaika wanaimba kule Mbinguni ( Angels sing in heaven )
Usiku na mchana tunaimba ( Day and night we sing )
Yesu ni bwana
nimebalikiwa sana
Na mimi nakubali
Yesu ni Bwanaa
ametubadirishaaaa Yesu
ametutengeneza Yesuu🎼🎻🎻
Dah umenikumbusha mbali sana 1999
Aminaa!!!!
YESU ni BWANA
Nice song may god bless us
God's blessings
Sweet song I love it 4:21
Inajenga
amen baba,fact
Asante Mungu.
aminaaa
Amen
YESU NI BWANA AMANI
Unanibariki sana babu.God bless u
my old time best song
yes ndie mfalme
amina,
amina
Saf
Amenll llllllll
Hizo dislike zinatoka wapi? Shetani yupo kweli kweli
AMEN 🙏
EEE MUNGU MBARIKI HUYU MTUMISHI KWANI TANGU AIMBE HUU W,IMBO SIJASAHAU WAPI NILIKUWA .
barikiwa chidumule
Yesu hajagui matajili na masikini wote tuko sawa majoni pamungu lazima tumuimidi milele amen
AMEN AMEN
tuwe mfano
kweli yesu ni bwana barikiwa sana chidumule
Siku zote tunaimba ndiye not siye
Asante yesu