🔴LIVE: WENJE ANAFICHUA MAZITO MUDA HUU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 янв 2025

Комментарии • 7

  • @elishaalex1747
    @elishaalex1747 Час назад +2

    KWA CHADEMA
    Ifike muda wakubali mabadiliko. Unaweza kuwa kiongozi mzuri sana ila hakuna binadamu mwenye pumzi mwanzo wa safari mpaka mwisho. Kuna kipindi kinafika, pumzi inakatika, mwachie mwingine aanze pale unapoishia.
    Hata mawakala wa soka ipo hivyo, yule anayekutoa Tanzania si yule anayekutoka Ubelgiji kukupeleka Uingereza.
    Chadema wakitaka kuwa na nguvu mpya, hawana budi kufanya restoration ya viongozi wao. Waliowafikisha hapa, hata wakipewa miaka 20, hawatoweza kuvuka kutoka hapa walipo. Restoration inahitajika.
    Na hata wakati mwingine ukiona umeishiwa pumzi, huna mawazo mapya ama nguvu mpya, vuta kiti, kaa pembeni, acha wenye nguvu mpya waendelee ulipoishia.
    NI BUSARA.
    Ni ushauri tu tusijenge chuki.
    Maisha ni siasa...siasa ni maisha.

  • @Amos-g8h
    @Amos-g8h 2 часа назад +2

    Uyu jamaa ndo anasababisha niichukie timu mboe

  • @mashagaamos1380
    @mashagaamos1380 55 минут назад +1

    Kinacho kuhangaisha kira siku sikioni tunataka mabadiko

  • @mashagaamos1380
    @mashagaamos1380 52 минуты назад +1

    Turia wenje tunamtaka risu ihi nivua acha inyeshe

  • @mathiaszakaria7052
    @mathiaszakaria7052 9 минут назад

    Tunamtak Lissu ww rafik wa Abdul huwez kupigania upinzan ushaunga juhudi.Jamaa n muongo Sana huyu yaan watu watake kumpindua Mbowe huku wanampambania atoke live.Ushahd ni Lissu alivyokutan na Samia

  • @jumanneselemani2172
    @jumanneselemani2172 58 минут назад

    TUTASIKIA MENGI

  • @mashagaamos1380
    @mashagaamos1380 42 минуты назад

    Risu akishinda tunakufukuza utaenda wap aibu utiweka wap