Risasi na Soka: Nilichomwa kisu shingoni, nilinusurika kifo

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 июн 2024
  • Vijana hawa walijikuta katika mitaa ya Nairobi wakiwatishia na kuwaibia watu wasio na hatia baada ya kukumbana na ugumu wa ukosefu wa wazazi au walezi wakiwa wadogo. Walijikuta wamezama katika lindi la uhalifu. Matukio kadhaa yaliyowafanya kuchungulia kaburi ikiwemo mmoja wao kuchomwa kisu shingoni yalifanya maisha yao kuchukua mkondo tofauti na kuwaokoa kutoka kwenye mauti ya mapema.
    / trtafrikasw
    / trtafrikasw
    / trtafrikasw

Комментарии • 2