Afrika itarajie nini baada ya Marekani kumrejesha tena Donald Trump Madarakani?

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 28 янв 2025

Комментарии • 17

  • @Obasaniyo
    @Obasaniyo 2 месяца назад +4

    Acheni kuhangaika na misaada . Vya bure vinawaponza waafrika.

  • @SwalehAidarus
    @SwalehAidarus 2 месяца назад +1

    Ivona kamuntu bado uko vizur nakumiss nkupenda

  • @RizikiVincent
    @RizikiVincent 2 месяца назад +1

    Mi mampenda maana anatuimiza waafrika

  • @rithaurassa
    @rithaurassa 2 месяца назад +1

    Msaada unasabsbisha maadili kuporomwoka.

  • @ibejoe7719
    @ibejoe7719 2 месяца назад

    Ni wakati muafaka kwa Afrika kupanua biashara za ndani yaani kuwa na mipaka huru kwa soko huria ambalo ni kubwa zaii ya bara la merikani kwa idadi ya watumizi wa bitha na huduma kathalika. Its the right time for Africa to open its boarders for business among themselves which has a bigger market than America population. Additional African needs to put more purchasing power by using its own currency exchange and start focusing on BRICS+ as an alternative to Dollar.

  • @RizikiVincent
    @RizikiVincent 2 месяца назад

    Mmmmm jamaniii heti nini afrika itegemee tegemeeni misahada tu maana maisha ya waafrika inabebwa na wamarekana kwa njia ya misahada kwakuwa waafrika wameshindwa kujitegemea ko hivo hamuwezi kujiuliza zaidi kwakuwa wanaume wa kiafrika awana uwezo wakujiongoza na kujitegemea kwani akili zimebaki na kitawala la kitumwa kizazi hadi kizazi

  • @HanifaMasudi
    @HanifaMasudi 2 месяца назад

    Kaongea neno muafrika ajitegrmee kwamana kutegemea mtu nakutengemea inchi za watu inatufanya tuwe walemavu Makati tunaweza kama wawo ndio mana hatuendelee mbele

  • @MajutoElliasi
    @MajutoElliasi 2 месяца назад

    Tuna subiri kujitegemea afrika

  • @LucySimba
    @LucySimba 2 месяца назад

    Ukabila, ukabila nijambo la kutisha

  • @MajutoElliasi
    @MajutoElliasi 2 месяца назад

    Na kapita kwajiri ya umbagizi

  • @LucySimba
    @LucySimba 2 месяца назад

    Zasubuhi watangazaji wetu wote nivigumu sana wakati wananchi waote wa Mataifa yote ulimwenguni kote viongozi wasio na utu tusaidie vipi?!! Lililopo ni kujitegemea tu

  • @BilombeleBenalpha
    @BilombeleBenalpha 2 месяца назад

    Afrika itarajie sheria ya ukandamizaji ya kulazi misha watu waabudu siku ya jumapili kupita kwake nikuja kutimiza unabii wakitabu Cha ufunuo 13-11----17nawengine watazani nitumishi wa Mungu mwenyezi Bali ni mjumbe wa shetani.

  • @EmmanuelMalisa-eo1do
    @EmmanuelMalisa-eo1do 2 месяца назад

    Misahada ya nini kwani sisi niwalemavu?

  • @RachelLaizer-n2p
    @RachelLaizer-n2p 2 месяца назад

    Afrika tuache ombaomba tujitahidi na sisi mnahanya trump kuchaguliwa maana mmezoea kuomba omba bila aibu

  • @DieulaMasika-h8f
    @DieulaMasika-h8f 2 месяца назад

    America siyo wakucheza naye, mukiwaona wanafanya urafiki, jueni wanavizia zahabu.huku Afrika hatuhitaji misahada.niko Congo bunia.waongozi muwe makini.

  • @josephkalonga550
    @josephkalonga550 2 месяца назад

    NAOMBA mchambue ; JE wageni ambao WAPO USA wategemee Nini baadae ya USHINDI Wa Trump!?( Hasa Africa)