Sio vyema kabisa Kiongozi wa Rwanda kuachilia Majeshi yake yaungane na M 23 ambao ni Wassi kwenda kuteka nyara Mji wa koma kule DRC Mataifa nawaomba kua na umoja na matsifa mengine kama jilani yako Tudumishe Amani katika Mataifa yote kagame pamoja na Rais wa Congo washirikiane pamoja ikulinda wanachi
God bless my country 🙏 🙌
Mungu saidiya NK sana baba utuone
Jumuia ya kimataifa,iondoke misaada kwa Rwanda.kumbe inatumika vibaya.
Eeeee mung bariki amani hapo goma
Goma Bora ichukuliwe na m23 huenda itakuwa na amani
Kulko vibaka wa selekari ya congo