Kazi nzuri,hongereni,uhusika mumeuvaa inavostahiki isipokuwa kiuhalisia jamaa ako na drama za kitoto.Yani haziyumkiniki.Ata kama ni kumnyanyasa mwanamke angejaribu kumnyanyasa kwa njia zinazoyumkinika ambazo sisi kama watazamani tunaweza ku relate kutokana na maisha yetu halisi ya kila siku.Vile anavomnyanyasa mkewe haikai kiuhalisia.Yani inaonekana wazi kama ni maigizo.Ni kweli kwamba ni maigizo lkn maigizo yenyewe jitahidini sana yakae kiuhalisia.Kiuhalisia mume hawezi kumpiga mkewe kwa kupewa nyongeza ya bidhaa za gengeni,katika sehem hii ya tatu apo mume alipokuwa akila uku mke akiwa anatazama haikukaa kiuhalisia kabisa,uhalisia ni kuwa mume anaeza kula mgahawani na kurudi nyumbani mikono mitupu lkn hawezi kununua chakula akarudi nyumbani na kula mbele ya mkewe na kumuacha na njaa kama alivofanya uyu jamaa katika sehem hii ya tatu.Kwa ufupi ni kuwa ubunifu zaidi wa matukio ya kiuhalisia unahitajika.Sijaja kwa ubaya,shukran.
Kwa kweli Haya mambo yanasababishwa na wazazi wanapofunza Watoto wao ndoa ni kusubiri ndoa ni kuvumia nenda kavumilie usije tutia aibu 😢 nani alosema kuachika ni aibu? Ndo mana watoto wanafikwa na mambo makubwa ndoani wanashindwa kisema wanabaki kustahmilia maumivu na shida za kila aina.. wazee wetu tunakupendeni lakini badilikeni.. mfundishe yote mwanao lakin pia mfundishe mwanamke hapigwi Kwa fimbo mpe maneno mazuri ili akifikwa asifiche na kusema anastahmili 😭😭 hii film imenigusa Kwa kweli…. Mtoto anapigwa na mengi anafanyiwa kwao anashindwa kusema yote Haya Kwa ajili ya asije kutia aibu kwao 😭😭😭
Jaman mnazingua sana tumewachok mnaanzisha kazi kumaliza hamuweź kwann mathna haitumi tukiuliza inaandaliwa kinaandaliwa nini na hii mnayoposti mnaandaje mpka mshindwe ile ya mathna
Je una uhakika season 2 haijaisha mpendwa alafu kumbuka kinachopostiwa kimeandaliwa mwez au miez miwili nyuma...Unahus kuna mtu anayependa kupoteza wateja wake...Tafadhali naomba radhi lakin pia naomba utuvumilie kumbuka wanaoigiza ni binadamu kama wewe na wanachangamoto mbalimbali za kifamilia nakupenda na asante kwa kuonesha unatujali tunaamini kuwa unatupenda ndo maan umekuwa mkali ila season 3 coming soon
Leila wewe nifala sijawahi pata unatowa mimba je kama nihuyo tuu ndio uliekuwa naye ungefanyaje ety nikama unaogopa kurundi kwenyu kwa umasikini wenyu,wanawake wengi hulea wanao kwa madaga yao juu yakutaka,heshima ya mama mie nijikute ety natowa mimba na nikokwa ndoa 😂😂😂,wacheni nipinge madaga yangu nileee wanangu ndoa shikamoooo 🙌🙌🙌🙌
😢😢😢😢😢😢😢😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭aiseee leila hapo huna mume dadangu eti ananunua vidonge kabsa anakuletea utoe mimba kisha kwenye ndoa jamni hassan unachokifanya hakipo swa kabsa umasikin isiwe sababu ya kumfanyia mke hivyo 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
Yaani hii film inamafunzo mengi sana mi nimependa bure tu japo inahuzunisha
Huyu jamaa ni ndugu na tajiri mponji ,maana wote ni wauwaji.
Kweli kbs nilitk nisem me pia uwaji shwaaa😂😂
Kabisa 😂😂😂 tofaut yao nikuwa mponji alikuwa analeta wanawake ndani yanyumba lakin huyu nikipigo tu 😔😔😔 ilawote dharau nihizo moja
😂😂😂😂😂😂
😂😂dah jamaa kavu huyu yan ambakishia mkew chips tatu amalizie lahaula jamaa gwangu sna😂😂 dah gaidi san
Mashaallh mashaallh nimejifunza kuwa na subar😢😢 kwenye ndoa ya nyangu
Nashkuru mungu kwa kuniptia hyu mume lkn vinginevyo nicngweza kuvumulia
Jaman move inamfunzo japo inaumiza sanaa❤😂 kitu cha njaa kibaya mno
Kazi nzuri sanaa❤❤❤Leila nakupenda buree❤❤
Kazi nzuri,hongereni,uhusika mumeuvaa inavostahiki isipokuwa kiuhalisia jamaa ako na drama za kitoto.Yani haziyumkiniki.Ata kama ni kumnyanyasa mwanamke angejaribu kumnyanyasa kwa njia zinazoyumkinika ambazo sisi kama watazamani tunaweza ku relate kutokana na maisha yetu halisi ya kila siku.Vile anavomnyanyasa mkewe haikai kiuhalisia.Yani inaonekana wazi kama ni maigizo.Ni kweli kwamba ni maigizo lkn maigizo yenyewe jitahidini sana yakae kiuhalisia.Kiuhalisia mume hawezi kumpiga mkewe kwa kupewa nyongeza ya bidhaa za gengeni,katika sehem hii ya tatu apo mume alipokuwa akila uku mke akiwa anatazama haikukaa kiuhalisia kabisa,uhalisia ni kuwa mume anaeza kula mgahawani na kurudi nyumbani mikono mitupu lkn hawezi kununua chakula akarudi nyumbani na kula mbele ya mkewe na kumuacha na njaa kama alivofanya uyu jamaa katika sehem hii ya tatu.Kwa ufupi ni kuwa ubunifu zaidi wa matukio ya kiuhalisia unahitajika.Sijaja kwa ubaya,shukran.
Kwa kweli Haya mambo yanasababishwa na wazazi wanapofunza Watoto wao ndoa ni kusubiri ndoa ni kuvumia nenda kavumilie usije tutia aibu 😢 nani alosema kuachika ni aibu? Ndo mana watoto wanafikwa na mambo makubwa ndoani wanashindwa kisema wanabaki kustahmilia maumivu na shida za kila aina.. wazee wetu tunakupendeni lakini badilikeni.. mfundishe yote mwanao lakin pia mfundishe mwanamke hapigwi Kwa fimbo mpe maneno mazuri ili akifikwa asifiche na kusema anastahmili 😭😭 hii film imenigusa Kwa kweli…. Mtoto anapigwa na mengi anafanyiwa kwao anashindwa kusema yote Haya Kwa ajili ya asije kutia aibu kwao 😭😭😭
NI uigizaji na Mimi ni mwanamme alhamdulillaah but huyu mkaka duhhhh NI shida kiukweli. Mdada maasha'llaah
Jaman mnazingua sana tumewachok mnaanzisha kazi kumaliza hamuweź kwann mathna haitumi tukiuliza inaandaliwa kinaandaliwa nini na hii mnayoposti mnaandaje mpka mshindwe ile ya mathna
Je una uhakika season 2 haijaisha mpendwa alafu kumbuka kinachopostiwa kimeandaliwa mwez au miez miwili nyuma...Unahus kuna mtu anayependa kupoteza wateja wake...Tafadhali naomba radhi lakin pia naomba utuvumilie kumbuka wanaoigiza ni binadamu kama wewe na wanachangamoto mbalimbali za kifamilia nakupenda na asante kwa kuonesha unatujali tunaamini kuwa unatupenda ndo maan umekuwa mkali ila season 3 coming soon
We nae tuondokee hapa kama hutaki kuangalia acha
@@kamarhelo mpuuzi mmoj wew kwan mwenyew si kesha nijibu sasa kulikuw na haja gani ya wew ujibu tena
Ww Leila toroka maramoja, huyo sio mtu Hilo n jitu , na ukiendelea kukaa Kwa hiyo nyumba la jitu litakumeza mzima mzima😭,
Bom trabalho para vocês ❤ amo essa história
Thanks
Ndoa 😂😂😂😂😂,,,hakunaga uvumilivu wa hivi
Mim naninavyo jiskia chachu aaa 🤣🤣🤣 huyu mwanaume ningekuwa nishamdunda mahali huyu yan weachatu 😕🤣🤣
Jaman mm siamini ivi kwel wanaume aina hii wapo au nimove tu mbona nijehanam
Leila ndungu yangu hiyo ndowa yako inaumuhimu gani kama pia mimba hatakikani maana yake nini mpaka uvumilie mateso hivyo
Sio poa mwanaume kua ivi,,mm ningekua nisha ondoka😢
Mmmh😢😢😢 kwakwel tunaelimika kunasehemu zakukaa nakwengine tupitetu kwel iyo ndooo
nikweli kabisa waponwanawake wanapendwa kupijwa ndio penzi hilo wanalo pendwa hivyo bila yalumpija hape ndivyo walivyp wake wemgi kwako hivyp
Mimi sijaona funzo lolote from Australia 🇦🇺
Zaidi ya ukatili😢😢😢
Tangu lini watu wa Australia wakaelewaa !! Huwezii elewaa kituu kaa chonjoo ule mihogo yako ukalalee
Mtihani sana mwanamke c uonfoke
Plz jamani msicheleqw kuleya huu mchezo mzuri sana tunawapenda from uk 🇬🇧
Leila wewe nifala sijawahi pata unatowa mimba je kama nihuyo tuu ndio uliekuwa naye ungefanyaje ety nikama unaogopa kurundi kwenyu kwa umasikini wenyu,wanawake wengi hulea wanao kwa madaga yao juu yakutaka,heshima ya mama mie nijikute ety natowa mimba na nikokwa ndoa 😂😂😂,wacheni nipinge madaga yangu nileee wanangu ndoa shikamoooo 🙌🙌🙌🙌
No 4 Leo olewake mtu aguse comment yang
😂😂😂😂
😂😂😂😂unamambo haya niuwe sasa
Hahaha, ujambo
hatugusi usitufokee buree
❤🎉
Janaume choyo hili mimi ningeondoka kitambo
😁😂😂
Leila uyo niujinga sasa kwaiyo mimba umetowa nauko kwa mme siokweli nibora iyo ndowa ningeacana nayo uvumilivu gani uyo wakijinga loo siokweli sikiyo lakufa halisikiyi dawa we mm yako salikukataza iyo ndowa ukanganganiya icondico ulico kitaka sasa😢pole sana
Umeon mm pia nisingeweza
😂😂😂😂
Na hayo ndio madhara ya kungangania ndoa ila acha tuone mwisho wa movie
Mimi nimeiotowa asubuhi kweupe naondoka maana mwanamke uvumilivu uekwa na watt sisi lela yuwaekwa na nini
Jamaa linaroho mbaya
Jaman mimi siwezi kukaa kwenye ndoa ya hivyo
Huyu jamaa kitakuja kumkuta kitu kizito wallah😢😢😢😢
Walae hii s ndoa ww binti mrembooo mbona unateseka sana
Mnaotamani kuolewa yaoneni ndoa hzo😢huyu mwanamume jinamizi haswaaa😢leyla pole m ningeomba talaka wala singetoa mimba😢
Mnachelewesha sana😢😢 episode
Asalmalkum vp hali zenu vipenzi Shukran sana kwa kutuletea muendelezo 💞💞💞💞💞💞💞
Waaleykum salam shukran.Kwa kutusuport allah akubrik
@@BinMahsen Amiin inshaallah na nyinyi pia mungu awazidishie ujuzi na maarifa katika kazi yenu Inshaallah
😂😂😂😂uyu mwanaume jamani mbona mshamba ivi nikajua anamwita kula 🤣🤣🤣🤣🤣
Ndoa shikamooo 😅
Mwenzangu una meza mate 😂😂😂
Naahm 😊 nimeisubiri sana hii Asante sana kutoka 254 apa pamoja sana wadau
Ila huyu jamaa anaroho mbaya ipo siku izo mali zitaisha na kiburi kitaisha maana SI Kwa kejeli izo😢😢😢
Muvi nizuri hila hinatowa machoz
Jomon mtuwaishie nyingine maan kwa uvumilivu wangu mdogo kitambo tu nimeshaachika
Mweiko. Kiu,akilomba mai awezi muima.kama umejisikiya kuywa
Kazi nzur broo
Wanaume wanafurahi kusikia wake zao wanamimba lkn kwa huyu hhmm mtihani usio mithali
Ndoa,ndoa,ndoa nimekuita mara tatu🙌🙌🙌
Jaman hii ni ndoa au ni ndoano mmmh mm siwezi kuvumilia hali kama hii😢😢😢😢😢😢😢
Kabisaaa yaaani ingekuwa mimii nasepa zanguu atanitafutaa mwenyew!!!
Mmh kam uvumiliv ndo huu kweny ndoa hapna 🙌🙌mateso bila chuki wallah😢
Mimi ale niko namtizama to tutauana😂😂😂😂
Halooo kama ndoa ndo hivi acha nibaki single mothers tu huyu dada apewe maua 🎉🎉🎉🎉yake tuuu
Kabisa acha nibaki single
TwaSubiri Part 4, Tuone 😢😊
Yani nivojijuwa ata kuigiza tu kama hyo dads nisingeweza😅😅😅
Kwa Hali kama huyo Binti ambaye hajaolewa aweza chukia kabisa ndoa
Ndani ndani from Kenya hii maisha hapana heli nikufe maskini Bila wanaume 😮
Kusema uwkeli me siwezi kuvumilia hii heri nikose mume
Ata kama niupendo mm siwezi kabisaa
Ajitambui mwanaume kama huyu ningemnyosha adab
Like Zang Jomn wa kwanz hap😂
❤❤❤
Hata mm nmemeza mate😂
Aposasa munaceza Nini akuna mwanzo naakuna mwisho 😅
Wewe baba nakuchukia lkn sawa ni movie
😂😂😂
😂😂😂😂
Vumilia 2 dada 😂😂😂😂😂
Uende kwenu
Ndyo maana kukaletwa saudia na omani😂😂
Usotowe dear uyo mwanaume mjinga sana😡
😢chips 2
Kweri huo mume nimuwuwaji boratu umukose mume Huwo simume
tutolen hiyo episode 4 huyo mume shetan
Wakwanza Leo daa ila huu uvumilivu ulikua zaman Ila sis kizazi Cha elf 2000 sijui kama kunmtu anaweza Kam upo comment apo chin
Hahaha umejuaje kama watoto 2000 hawatak shida❤❤❤❤❤
@@FadhilaAlly-u4kndugu yang hata ni mim nisinge weza ningeshaondoka zaman taraka ingefwata
Next plzz ya 4
Mwanaume wa hiv kiukwel mm siwez vumilia hata kidogo
Kaz nzr
Uyu mwaume yupo kama shemeji yangu
Nilijua mchezo kmbe ypo duniani
Kweli
Limtu halisemi ata Ameen shaaa👋🇧🇮😡🫵👊
😢😢😢😢😢😢😢😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭aiseee leila hapo huna mume dadangu eti ananunua vidonge kabsa anakuletea utoe mimba kisha kwenye ndoa jamni hassan unachokifanya hakipo swa kabsa umasikin isiwe sababu ya kumfanyia mke hivyo 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
😂😂😂😂 si arudi kwao
@@BinMahsen siku inakuja ujinga ni wazamu 😂😂😂😂
Mhhh hapan so uvumilivu huu
Samwaleko uyu mwanaume me simuwez
Pogwe mashaallah
Mwanaume.akuwake. Waumoya. Yamaana nikumutii nyibote
Jamani mnakela mbona mnaanzisha hammaliz
huyo mume ni zaidi ya katili , mi nlijua annambiwa hizo chips wale wote kumbe amekalishwa ili ashuhudie mume anavokula duuh pole yako
Ndoa si utumwa ❤❤❤❤
Next plz 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Huyu mwanamme simpendii😢😢😢
Jamn kaoa aje mnyanyasa to mtto wa wtu na kumuazibu jmbaz
Assisto apartir Moçambique, cabo delgado
We apreciating you guy
Jaman mbona mathina ukewez haitoki
Jmn huy mwaume mm hapn😢😢😢😢
Mchezo km uu nisha ona stori na huyo Zahara sjw km atakuja salimika kwa shem wake akirud
Wangekua wanaume wote ni km huyu baba ingekua hatuolewi
Yani natamani angekuwa mume then ningemnyoosha taratibu angeelewa tu hapa kakutana na chizi mwenzie
Waaaa kweli nikuvumilia
Mwanaume huyu bora ukaejela
Jukua pesa toroka uwende kwenu
Umasikin mbaya jmn kuna manyanyaso ya ndoa
Anaksla kinom mbon mi nikao lea 16namwanaumu 30 mbona hajawayi hata kunipa kibau cake jaman
Kwa iyo unafidia si ww ni mama yako angekwa ni mama yako
Mmh so kwauvumilivu huoo
Kama hataki mtoto huyo ni mume au ni majaribu au anawatoto huko nnje
Apo na pika mwenye nakula ukouko jikoni
❤❤❤❤
❤❤❤
Ili limwanaume Lina roho kama mbwa