Phina Feat Ruby, Number One (Official Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 мар 2022
  • Number One is Performed by Saraphina X Ruby Afrika
    Audio is Produced by Aloneym
    Mastering by Mixing killer
    Written By: Platform Tz
    Available In all Digital Platforms:
    Spotify: open.spotify.com/track/3OHIsa...
    Apple Music: / wamerudiana-single
    Boomplay: www.boomplay.com/songs/823428...
    Audiomack:audiomack.com/saraphina-26/so...
    Deezer: deezer.page.link/AjqdutjmE4Fq...
    Tidal: tidal.com/browse/album/214798761
    Amazon Music: music.amazon.com/albums/B09RM...
    SARAPHINA Booking Info:
    Booksaraphina@gmail.com
    Connect With Saraphina:
    / saraphina__tz
    / saraphina__tz
    / melanin.queentz
    / saraphina__tz
    LYRICS
    Heh...the melanin queen
    Ruby baby baby baby baby
    VERSE1:Ruby)
    Eti penzi si nguo hasa ya nini tuazimane
    Nililishika pindo sina budi kuachia
    Kikulacho kinguo
    Hasa ya nini tukinzane
    Mapenzi magube gube, yakikusibu utaachiaa
    (Saraphina)
    Unayajua mapenzi ya kidigitali
    Ukipenda leo kesho wima chali
    Yanatesa vibaya, yanatesa vibaya
    Utaugua hata ujikute we ngangari
    Ukipenda leo, kesho wima chali,
    Yanatesa vibaya, yanatesa vibaya
    Bridge:
    (Ruby)
    Mmhh
    Wasituchezeshe migulu upande
    Wakatugawa upande upande
    Tuwe kitu kimoja, mimi nawe pamoja
    (Saraphina)
    Mmh..
    Wasituchezeshe migulu upande
    Wakatugawa upande upande
    Tuwe kitu kimoja, mimi nawe pamoja (ooh)
    CHORUS:
    (Ruby)
    We are, we are number, we are number
    We are, we are number, we are number
    We are number moja
    We are number moja
    (Saraphina)
    We are, we are number, we are number
    We are, we are number, we are number
    sisi ni number moja
    Sisi ni number moja
    Aah , aaah...
    VERSE 2: (saraphina)
    Mmh, mmh...
    Tabasamu hata ukose wa kumpenda mkweli
    Mapenzi hayanaga siri, najua yatakuumiiza
    Tena chonde uje ukonde, utauchosha mwili, mapenzi hayanaga siri, yatakuumiiza
    (Ruby)
    Moyo wangu kichanga, yani mwake mwake
    Mwisho nizeeke kijana, yani niteseke (eeh)
    Full mkasusu mwanana, mambo yente yente (eh)
    Kama kopa kabana, acha nijimwage (eh, eeeiih unasusaa eeh)
    (Saraphina)
    We cheza kama unasusa, unasusa,
    Unasusa, unasusa, unasusa, unasusa (aaah)
    BRIDGE:
    Ruby)
    Wasituchezeshe migulu upande
    Wakatugawa upande upande
    Tuwe kitu kimoja, mimi nawe pamoja
    (Saraphina)
    Mmh.,
    Wasituchezeshe migulu upande
    Wakatugawa upande upande
    Tuwe kitu kimoja, mimi nawe pamoja (ooh)
    CHORUS:
    (Ruby)
    We are, we are number, (wayo wayo wayo )
    we are number (wayo, wayo, wayo hoo, better tell them you're number one)
    We are, we are number(we be number one, yelelelele),
    We are, we are number, we are number
    We are we are number, we are number
    We are number moja, we are number moja
    (Saraphina)
    Wasituchezeshe migulu upande
    Wakatugawa upande upande
    Tuwe kitu kimoja, mimi nawe pamoja (ooh)
    Chorus:
    (Ruby)
    We are, we are number, we are number
    We are, we are number, we are number
    We are number moja
    Sisi ni number moja
    (Saraphina)
    We are, we are number, we are number
    We are, we are number, we are number
    We are number moja
    Sisi ni number moja
    #Phina #Numberone #saraphina
  • ВидеоклипыВидеоклипы

Комментарии • 1,4 тыс.

  • @jaydeboy2789
    @jaydeboy2789 2 года назад +184

    Iofficially declare to be fan of these queen, who else gonna join me, much love to Sarah and Ruby, they made it 😘 💕

  • @nurwardazakaria954
    @nurwardazakaria954 2 года назад +16

    Siku zote wanawke wakiungana na kuamua kufanya kitu basi huwa hawakosei hii ni🔥🔥🔥

  • @Taekookgir
    @Taekookgir День назад +1

    Rubyyy slayyyyy girl her voice ni woii😩😩😩🤗🤗

  • @tangaicomrades4981
    @tangaicomrades4981 2 года назад +172

    Ruby is my number 1 female artist in East Africa her voice and vocals Damn🔥🔥🔥🔥

  • @sosydee3767
    @sosydee3767 2 года назад +19

    Aseeeee hi nyimbo imekutana na mafundi Ruby na sarafina kitu kizuri xana vocal kali mellody kali tungo kali all in all💥💥💥💥💣💣💣💣

    • @Taekookgir
      @Taekookgir 20 часов назад

      Ruby ni vocal ile mbay am not obsess na bongo fleva but aaa ruby anasilver voice high note golden voice she is just lik maknea line😂 napend her voic

  • @issa_yusontv9953
    @issa_yusontv9953 2 года назад +45

    Daaaah bonge moja la ngoma mmefanya kazi nzuri internetional levels ruby x sarafina .... Mmepita kwenye melody kama za ALIKIBA sijui kama mlifikiria kumshirikisha ingekua poa sana ... But hongera kwa ruby endelea kuwashika mkono wa dogo zako.💥💥💥💥💣💞👏

  • @willinjowritter206
    @willinjowritter206 2 года назад +32

    Saraphina is the next venessah mdee, finally her gap will be soon filled.much love and blessings from KENYA 🔥🔥🔥

  • @Magdalene357
    @Magdalene357 2 месяца назад +3

    😊😊😊the voices jameni😘
    April 2024❤🇰🇪🇰🇪

  • @ashraff_tz
    @ashraff_tz 2 года назад +15

    Dah kiukweli ukiona anaoambana aisee ni jukumu letu kuendelea kumsupport.Saraphina e keep it up na nakuaminisha kuwa hujakosea kucollaborate na RUBY cause ni danger

  • @lessaelias580
    @lessaelias580 2 года назад +16

    Wimbo kwanza mzuri pili waloimba Wana sauti nzuri na Ruby nakubali kwa sauti na kipaj ulichojaliwa pili namuona salaphna upo Kasi najua mungu at fnya wepes ufke mbali na naipenda style yako ukiwa stage

  • @lucykemunto7123
    @lucykemunto7123 Год назад +20

    Who else is here 6 months later....This song is still a BANGER!!!!

  • @julianampanduji6000
    @julianampanduji6000 2 года назад +78

    If only I could view this repeatedly till it hits 1M today😔…why is that my fellow East Africans can’t support something as excellent 🔥 🔥🔥🔥as this? Excellent Sarah and Ruby🙌

  • @mavinmanagement2783
    @mavinmanagement2783 2 года назад +14

    Hongera sana Saraphina x Ruby, PERFECT COMBO🍎💕💝

  • @enalamichael4436
    @enalamichael4436 2 года назад +12

    Ila sauti ya ruby inaingia kweny akili adi mwilini ❤️

  • @barakaleader1550
    @barakaleader1550 2 года назад

    ingekuwa nimeenda kwenye darasa la mziki halafu nkakuta hawa ndo classmates wangu na tuna mtihani wa kuimba ngejichukulia tu mabegi yangu na kurudi home for this blessing tallent hardly to competition..

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly 2 года назад +4

    Ruby kama ruby 🤗🤗🤗💫💘🙌🙌🙌🙌the 👸queen 👑 ♠️ 👸 👑 👸

  • @albomsafi9183
    @albomsafi9183 2 года назад +53

    When my favorite ladies meet it's just more than a vibe🔥🔥🙌❤️

  • @kaseratanga7568
    @kaseratanga7568 2 года назад +4

    imenisikitisha kuona wimbo mkali kama huu umemaliza mawiki ata wiwers milioni1 hauja fikisha yani da wimbo ni mzuri sana tena sana wabongo tu sapotini mziki mzuri bana

  • @vanessarobyn4584
    @vanessarobyn4584 2 года назад

    Mnaweza yaani vipenzi vyangu Seraphine toka bongo star search nilikuwa shabiki wako my favourite voice Ruby hujawahi kuniangusha
    I love you more🥰🥰🥰😘😘😘

  • @rushurikarashid3018
    @rushurikarashid3018 2 года назад +5

    Sauti ya Ruby ni kiboko ya wasanii wote wa kike..... number one super female artist in tz. 🔥🔥❤️

  • @sponsor7882
    @sponsor7882 2 года назад +5

    Bongo flava upande wa wanawake imepata mkombozi.

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly 2 года назад +4

    Sauti kali zote mashaAllah 😍 ❤ 💖 💕 ♥ 💗 kweli you're namba moja

  • @eliahedward7490
    @eliahedward7490 2 года назад

    Daaaaah! il huy ruby jman kwel n no moja tz smart sound and vocals

  • @sarhafrancis8824
    @sarhafrancis8824 2 года назад +1

    aisee huyu rubby🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @PrinceCloudydeSultan
    @PrinceCloudydeSultan 2 года назад +13

    Great vocalists wapatana 🥳🥳🥳🥳❤️❤️❤️✨✨✨🙌👂👂👂🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌

  • @mariashauri6192
    @mariashauri6192 2 года назад +20

    *Mungu akubariki akupe mafanikio zaidi, unaesoma hii 😃💌👇**#Vocals**🔥*

  • @CuteRia-de5jj
    @CuteRia-de5jj Год назад

    Sijui leo nmara ya ngap kuangalia hii vida aki u guys u have kill it...yaan nyimbo nitamu kama cjui chakula gan vile ruby io kumalizia io saut jamani amazing

  • @adrianomucho1162
    @adrianomucho1162 Год назад

    Ruby mama 💕 💓 💖 Mungu akuweke.#The really Queen

  • @youngbeeofficial4474
    @youngbeeofficial4474 2 года назад +8

    Wachambuzi wawili wapatana🥰🥰🥰hii itasumbua sn🔥🔥🔥much love from 254🇰🇪🇰🇪🇰🇪💯

  • @annahmtatinah7931
    @annahmtatinah7931 2 года назад +3

    Wimbo wangu wa kuingilia ukumbini siku ya harusi yang🥰🥰🥰🥰🥰🥰

  • @merrymafole5180
    @merrymafole5180 2 года назад

    Kolabo moto sana hpo angekua na Vanessa mdee ingekua pambee mno moto wa kuotea mbili maana saut ya sarafna ni v money ruby vocal sana keep it up ladies

  • @mziwanda_empire4033
    @mziwanda_empire4033 2 года назад

    Song writer. Platphom. Tz. Umeandika vizuri Sana. Sarafina ft Ruby number one

  • @aronbirundu8121
    @aronbirundu8121 Год назад +5

    2nd verse of Queen Ruby crowns it all🥰🥰

  • @ajickyeitonian5418
    @ajickyeitonian5418 2 года назад +13

    Eiish Ruby you'v murdered this one 💞🇰🇪🇰🇪

  • @masoudsigali4523
    @masoudsigali4523 2 года назад

    Wimbo mkali sana cjui.....Sarafina vs Ruby 👏👏👏👏👏👏🔥🔥🔥🔥🔥

  • @georgegama8379
    @georgegama8379 7 месяцев назад

    Level za akina Brandy na Monica hizo.
    You are far away beautiful ladies
    💯

  • @evansmacharia3927
    @evansmacharia3927 2 года назад +19

    The way ruby hits those high notes just blows me away completely .

    • @mariej6962
      @mariej6962 9 месяцев назад

      She on another level indeed.

  • @linashayo2068
    @linashayo2068 2 года назад +163

    Women we can do everything in this world only when we want, the song is 🔥

    • @tiffahdevivah6113
      @tiffahdevivah6113 2 года назад +4

      Mafundiiiiii wamekutana

    • @RuzoOwzy
      @RuzoOwzy 2 года назад +3

      Not everything real.

    • @amirabdallasalim2866
      @amirabdallasalim2866 2 года назад +3

      Vuwa shati usukume mkokoteni kama kweli

    • @sethmillan1302
      @sethmillan1302 2 года назад

      What a man can do a woman can do better what the f***ck😶,my sister can you urinet through a window on a moving vehicle, Can you?

    • @swahiliplaylistofficial8975
      @swahiliplaylistofficial8975 2 года назад

      (swahili playlist official ) angaliya pembeni ya video binyeza (playlist ) ni miziki zaidi ya 1000 ya wasanii 500 watanzaniya nawewe kila mwezi zinatoka mpya fuata maelekezo mfano 01\02\2022 nazaidi basi jiunge nasisi nitumiye majina ya wasani tuweze kupata muziki kirahise

  • @dallysaid8256
    @dallysaid8256 Год назад

    Hatariiiii Sana shaaaaaa mmetishaaaaa sanaaa hatariii 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @chausikukelvin7253
    @chausikukelvin7253 2 года назад

    Jamn🌹🌹🌹🌹 huu wimbooo da ruby na da saraphn hapa mmeimba kwl love you 4rever my sistrly❤❤❤❤❤❤❤

  • @shalimwile137
    @shalimwile137 2 года назад +247

    Walioangalia mala mbili mbili kama mimi tag kopa za love ❤️ hapa

  • @mbonimarog5903
    @mbonimarog5903 2 года назад +4

    Nko hapa Kwa ajili ya ruby

  • @aliceyumba9774
    @aliceyumba9774 2 года назад +1

    🔥🔥🔥❤❤ wanawake oyeeeh 🇪🇺

  • @matridamaliseli5799
    @matridamaliseli5799 2 года назад

    mambo moto jmn ngoma kali kinyama keep uppppppppppppppppppppppppppppppppp😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘

  • @briannakaindi1394
    @briannakaindi1394 Год назад +19

    Two Queens with beautiful voices/vocals. But dang Ruby voice is Angelic ❤

  • @ericboniphace6546
    @ericboniphace6546 2 года назад +29

    Woiiii I’m so happy to dayyyy, what a perfect duo you two should work together please 🙏🏾

  • @naomimwankusye6743
    @naomimwankusye6743 Год назад +1

    Number one ! Number one .number one ruby make me crazy 😴😴

  • @emmanuelsilungu446
    @emmanuelsilungu446 2 года назад +1

    Ukiwa unamsikiliza ruby unaona mziki kitu rahic Sana, Na ukitaka kujua mziki mgumu we msikilize Lava lava utaelewa

  • @petermorgan301
    @petermorgan301 2 года назад +14

    I am actually having goosebumps listening to this cool jam🥵🥵🥵🥵🥵🔥🔥🔥🔥🔥🔥sending love all the way from 🇶🇦

  • @donaldmwenera4852
    @donaldmwenera4852 2 года назад +15

    Love my girls you killing it kitu nyokoooooo!!! Sauti kama nyuzi nyepesi ya gitaaa sauti zenye nguvu ya kuvunja mwamba nyimbo ilipo anza tu moyo ukaanza kuwa laini no stress keep it up

  • @joyybeiby2318
    @joyybeiby2318 Год назад

    Wooooow adii sauti zinafanana am so proud of you beautiful ❤️ ladies

  • @dullywhite211
    @dullywhite211 Год назад

    U are so Fantabulous my dear... Am from Kenya ...and also I like vile umekua Kwa relationship na Otile brown..Jacob obunga ..ni beste kutokea Mombasa mikindani

  • @PrinceCloudydeSultan
    @PrinceCloudydeSultan 2 года назад +12

    Ruby izo backs zake za mwisho 🔥😰😰😰 alafu Sara alivyoimalizia sasa 😰🔥🔥😭😭😭 nawapenda from 🇰🇪

  • @malwarepeter
    @malwarepeter 2 года назад +33

    Underrated singers,, you girls are good with those vocals 👏

    • @salimmbarak618
      @salimmbarak618 2 года назад +2

      Very much underrated,, the game is overtaken by media favouritism ... Ruby best bongo vocalist

  • @adelineernest6022
    @adelineernest6022 2 года назад +1

    Munaimba mpaka vizuri mapaka muna boa international girs

  • @Kiulaini
    @Kiulaini Год назад

    Ruby Ruby Ruby nakutaja Mara tatu ..you are special no body comes close to you in Africa you are full package I dont know unakwama wapi..

  • @messaabbas739
    @messaabbas739 2 года назад +8

    Wow,,two African ladies voice,,😍😍😍😍😍😍😍😍I love this for really,,❣️❣️❣️❣️❣️❣️

  • @sherrywanja4826
    @sherrywanja4826 2 года назад +4

    Eish...😍😍Ruby❤️Sarafina❤️sauti mnayo sweethearts ❤️Number moja🔥banger💯🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @zuushalukumbuja2294
    @zuushalukumbuja2294 2 года назад +2

    Nakupenda sana rubby vile siwez elezea

  • @zayb_tz
    @zayb_tz 2 года назад +1

    Mmekutanaaa🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌❤️❤️❤️❤️

  • @enicallyfrancos7960
    @enicallyfrancos7960 2 года назад +3

    This is the zillionth time narud hapa tokea wimbo utoke🤭I'm in love with you ladies❤

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY Год назад +3

    Aisee mulikutana mafundi
    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly 2 года назад +1

    I really love this sweet song meeeehhhnn

  • @uhdbjdddd3319
    @uhdbjdddd3319 Год назад

    Da mnajua sana Kwann msifanye kolabo watatu siku moja sarafina ruby na Vanessa mdee da side naamin itakua bonge la ngoma

  • @christercheru8328
    @christercheru8328 2 года назад +6

    The female hearts of music World wide Tanzania No1🇯🇲🇹🇿🇵🇸🇰🇪🇩🇪🇺🇬 ,,,Magic voices.... So powerful ✍️💪🏾🥰💯

  • @violetKaranja.
    @violetKaranja. 2 года назад +10

    you two are number 1,,Ruby has come back with crazy energy❤. go girl

  • @freshamwangishow2117
    @freshamwangishow2117 2 года назад

    Ruby brought me here😘Ngoma Kali thank you magaldmz much love from +254

  • @petromugandila7583
    @petromugandila7583 2 года назад

    Nadhani Hawa wadada nimewaelewa Sana, wapo vizuri Sana Sana, big up!

  • @reelsshowtv8434
    @reelsshowtv8434 2 года назад +3

    Am here just because of upo nyonyo hit song😍😍😍😍

  • @lilianshekimweli2753
    @lilianshekimweli2753 2 года назад +15

    Am so speechless. Sara u know how to surprise us😍😍😍😍 u guys are really number one..... May thy Almighty pave the way for you❤️❤️ keep on prevailing 'll always support yoh

  • @athumanmbinji7350
    @athumanmbinji7350 2 года назад

    Number 1 collabo ya wanawake safi Kaz nzur mnaweza snaa

  • @amankachira
    @amankachira 2 года назад +1

    Hili li ruby basi tu halina nyota ila kwangu mimi hapa tanzania hatujawahi kua na msanii wakike mwenye sauti yenye radha tamu kama yahuyu mwanamke..Mtoto anaimba mpaka unasisimkwa na vinywereo

  • @latifachinyanya2184
    @latifachinyanya2184 2 года назад +12

    Mafundi wamekutana kama unawaelewa hawa like basiiiii 🔥🔥🔥👂

  • @younglionmsafi3367
    @younglionmsafi3367 2 года назад +3

    AWOOOTEEE Weuweeeee 🔥🔥🙌🙌🇹🇿

  • @ayshasfyan3260
    @ayshasfyan3260 2 года назад

    Ruby akipit lazim ujue kapit alooo bonge langoma Kali kinomaaa💥💥💥

  • @husseinyusuph5458
    @husseinyusuph5458 Год назад +1

    Mmh umu mmekomoana mmechinja mbaya aisee safi sana kizazi sana

  • @clenyg7988
    @clenyg7988 2 года назад +25

    Their vocals ooooh God

  • @oprotunahaule8114
    @oprotunahaule8114 2 года назад +13

    daaah what can I say about these two queens,,,, I didn't know that u can do something good like this more than those who thinks they the best in tz ❤️❤️❤️❤️

  • @kenedykibona264
    @kenedykibona264 Год назад

    Mwanamke pekee alie mshilikisha mwanamke mwezake salut kwako❤❤

  • @dianasamson9311
    @dianasamson9311 2 года назад

    Ruby anakeita tena... Ruby Saudi ysko... balaaaa💥

  • @husseinbakary1969
    @husseinbakary1969 2 года назад +7

    Nyiee wadada nyiee sa nandy, zuchu, na anjela wataimba nini mwaka huu.....!!!

  • @rachelodanga5105
    @rachelodanga5105 2 года назад +4

    uh my favourite two😍

  • @teklasilvester3821
    @teklasilvester3821 2 года назад

    Mnatoa nyimbo afu haisikiki kazi kweli kweli

  • @mariamabdallah9297
    @mariamabdallah9297 2 года назад

    Ni mimi t ndo naangalia mara tatu tatu au 😳😳 sema ngoma kali sanaaaa🔥🔥

  • @collinsbella8360
    @collinsbella8360 2 года назад +6

    Ruby I always admire your magic voice so dope 👌👌

  • @maruspeter8837
    @maruspeter8837 2 года назад +5

    Saraphina i just call yuh Vanessa mana unapita mle mle kw V money nyoooosha sana Sara bongo inakuhitaji sana itoshe kusema nakupenda @saraphina

    • @Phina_
      @Phina_  2 года назад +2

      Asante sana😩🥰🥰

    • @imabalozi3297
      @imabalozi3297 2 года назад

      this is true.jana ndio i was listening to her songs...vibe ni same na vanessa but she is so good in her own right

  • @georgegama8379
    @georgegama8379 7 месяцев назад

    Nyie ni shida ni shidaaa sana. kuna kitu huitwa talanta ambacho aliye juu kawapa. Hamuhitaji kubebwa na komuter maana sauti zenu zina utofzuti fulani ambao hata huwezi elewa plus utundu wa maungo (midomo,macho,nyonga,macho na tabasamu) hahahahahahah, ni shidaa sana. Sichoki kuusikliliza wimbo huu. Wimbo mtamu sana

  • @estherbakari6098
    @estherbakari6098 Год назад

    hii ngoma ni balaaaa. nimeangalia Mara 20❣️❣️💫

  • @mercy5088
    @mercy5088 2 года назад +9

    This girls got vocals wallah 💞💞

  • @toastysn
    @toastysn 2 года назад +5

    Ruby anakamia sana buana, perfect combo !😂🔥

    • @hoseakayinga1313
      @hoseakayinga1313 2 года назад

      Lazima mkubwa ajulikane jamani eeeh Ruby ni fire

  • @subarutz1823
    @subarutz1823 2 года назад +1

    Unajua xanaaaa

  • @mariammwiso
    @mariammwiso 2 года назад

    Ruby bana, hebu drop several hits this year and promote till the wheels fall off.

  • @Bintzanzibar
    @Bintzanzibar 2 года назад +35

    I AM IN LOVE WITH THIS SONG! Y’all killed it DAYUMMMMMM🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥❤️

    • @josephkweri526
      @josephkweri526 Год назад

      Thank you saraphina you have fullfill you dreams kipitap my elder sister

  • @suzaneliassimkwayi5817
    @suzaneliassimkwayi5817 2 года назад +3

    REVOLUTIONNNNN

  • @fatumaabeidmsangazi6207
    @fatumaabeidmsangazi6207 2 года назад +1

    Jamani Ruby ni official kwa saut ni kiboko yani

  • @nyemochalagwa2014
    @nyemochalagwa2014 11 месяцев назад

    Nataman kuona collabo yenu nyingne ma super star wangu much love❤❤❤

  • @dollythesheepdolly7372
    @dollythesheepdolly7372 2 года назад +38

    Two blessed talents coming together to keep us entertained entertained 🤗😍 vocalists at it❤ Keep it up Saraphina and Ruby! Sara is lit (on another level). She is going global🕊🌍❤
    Saraphina with the choreography and Ruby with the vocals!!! My night made!!!! Mtanzania nimetosheka😍😍😍🤗🤗🙈
    Nakojoa nikalale

  • @evanceodongo6356
    @evanceodongo6356 2 года назад +17

    The perfect combo so far 🔥🔥🔥

  • @officialsargent_8579
    @officialsargent_8579 2 года назад

    Mafunďi wangu saraphina ft ruby heshima yenu washikaji zangu

  • @nancylaurent6646
    @nancylaurent6646 2 года назад

    Nakupenda rubby hongeren kwa kazi nzuri