HII NDEGE NI HATARI DUNIANI, 2021: UWEZO WA AJABU/HAIJAWAHI TOKEA, S01EP21.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 янв 2025

Комментарии • 57

  • @jacksonbiswalo8360
    @jacksonbiswalo8360 2 года назад +1

    Upo vzr kijana

  • @meckcassius3983
    @meckcassius3983 3 года назад +3

    Somo lako lipo sawa sana mzee wangu

  • @christiankambuga9338
    @christiankambuga9338 5 месяцев назад

    Wewe noma sana kwa uchambuzi

  • @MakholoBabá
    @MakholoBabá 8 месяцев назад +1

    Marekani ana mengi sana na aweki wazi

  • @amenyemwansile631
    @amenyemwansile631 3 года назад +2

    Safisana kwa simulizi nzuri

  • @charlesmakabara9670
    @charlesmakabara9670 5 месяцев назад

    Dupa mambo vp mzee ? Napenda sana kazi zako ninaswali kwako kutokanana ufuatiliaji wako wa mambo ya kitaalam zaidi swali langu kwako je nikweli nasa walifanikiwa kupeleka mtu mwezini? Kuna maneno mengi mtaani tusaidie ukweli wa jambo hili mzee

  • @Ufahamu-01
    @Ufahamu-01 8 месяцев назад

    Safi kabisa upo sahihi Akuna kama America

  • @davidmasongo1355
    @davidmasongo1355 3 года назад +1

    Big up sana

  • @Joybass2
    @Joybass2 Год назад +1

    Kabla hajasikia chuma iko karagwe 😂😂🤣🤣🤣🤣

  • @mtakimjinja2328
    @mtakimjinja2328 3 года назад +2

    Buro nimekuelewa!

  • @wardatiddi7845
    @wardatiddi7845 3 года назад

    Nawakubali sana watu wangu wa iran na mifumo ya air defense khordad 15 and bavar 373 ni moto wa kuotea mbali

  • @piussenga6669
    @piussenga6669 3 года назад

    Unajua katika point umeongea ikanigusa ikanifanya nikuelewe zaid ni apo ulipo sema awa WATU WANATUHIMIZA KUISHI MIAKA MINGI LAKIN AO AO NDIO WANAO TENGENEZA VIFAA VYA MANGAMIZI.....apo umetumia Lugha gum sana hongera sana kaka

  • @meshnovgillynov678
    @meshnovgillynov678 2 года назад

    Super flanker ni ndege ya murusi
    F 35 lightening ndo ya American

  • @modestwenceslaus9
    @modestwenceslaus9 Год назад +1

    Story zoko zimeshiba hoja bora kabisa na uelewa wa hali ya juu wa mambo ya Dunia.

  • @muichorekishagani1751
    @muichorekishagani1751 3 года назад +1

    sahihi kabisa F 22 raptors ni ndege bora kabisa licha China kukopi ndezao mpya aina ya j 20 lakin ubora hawawezi kuufikia

  • @Difrnd-t2c
    @Difrnd-t2c 8 месяцев назад +1

    Kiuchumi,
    Kisayansi & Technology,
    Kijeshi ,
    Kisiasa U.S.A IS MOST POWERFUL & DANGEROUS WORLD WIDE "

  • @mukusinisaidijanja9773
    @mukusinisaidijanja9773 3 года назад

    Atali sana

  • @emanuelmaraki9758
    @emanuelmaraki9758 8 месяцев назад

    Jamani athari ya vita ni mbaya sanaaa tusiombeee itokee duu hasa nchi masikini

  • @fidelisinnocent7516
    @fidelisinnocent7516 3 года назад

    Hatari

  • @cholophone4221
    @cholophone4221 8 месяцев назад

    Angalia pia ndege ya urusi inayoitwa pak daa inauwezo wa kuizunguka dunia mzima kwa masaa machache sana

  • @adamsonmwaisumo6791
    @adamsonmwaisumo6791 7 месяцев назад

    Wewe eleza vizuri kuna kilometa za anga na za ardhini kunatofauti

  • @praygodzakaria7276
    @praygodzakaria7276 3 года назад

    Perfect dupa dupange

  • @habibrwegoshora6624
    @habibrwegoshora6624 2 года назад

    Hiyo unaisifia lakini ujue kunaweza kuwepo siraha za kuiangamiza muda mfupi usiisifie sana na ikawa aina maana vita Ina Siri kubwa...ww una UGONJWA WA na KUISIFIA marekani..usidhani nchi zingine zimelala..zinaweza kuwepo Kali kuzidi hiyo

  • @mattarmattar3026
    @mattarmattar3026 8 месяцев назад

    Ah kumbe ni show za Mmarekani,niwache bwanaa kumbe mpaka Leo munatumika na Mmarekani,Mimi ni team mrusi ya Mmarekani ni mbwambwa tu hayanihusu Tena najuta kuingia kwenye hii clip Wacha niimaki

  • @cholophone4221
    @cholophone4221 8 месяцев назад +1

    Sukhoi su 57 ule ni moto wa urusi

  • @salumsalum8261
    @salumsalum8261 2 года назад

    Iyo kwenye picha ni su 57 ndege ya urusi

  • @lukongerajab1120
    @lukongerajab1120 3 года назад

    Brother naomba uzilinganishe ndege hizi za rasian ili upunguze kupotosha

  • @meshnovgillynov678
    @meshnovgillynov678 2 года назад

    Sukhoi su 35 super flanker ya Russia 🇷🇺 hikoje???

  • @JumanneTwahiru
    @JumanneTwahiru 8 месяцев назад

    Yaani mimi siwezi Subcribe kwa sababu uongo mtupu

  • @MosesMkibi
    @MosesMkibi 7 месяцев назад

    Uyu nae ndowareware wasifiae mandege jonh ya ziwani marekan mayo niyakusifi kwer?urus je

  • @cholophone4221
    @cholophone4221 8 месяцев назад

    Na su 57 ya kirusi ni balaa kwa kuliko hio ya kimarekani

  • @gabrielbahat9107
    @gabrielbahat9107 3 года назад

    Picha tofauti si ya f 22 vipi kijana! Picha ya Su 57 !

  • @josephkostans9128
    @josephkostans9128 7 месяцев назад

    kwenye swala la kijeshi america ni wakawaida TU. hizo story za watoto weka mbali na watu wazima.

  • @mussaomar3464
    @mussaomar3464 2 года назад

    Imeundwa nchi gani

  • @cholophone4221
    @cholophone4221 8 месяцев назад

    Na picha uliyoiweka ile ni ndege ya urusi SU 57 siyo ya kimarekani

  • @sogoramwinshekhe1464
    @sogoramwinshekhe1464 2 года назад

    Hakuna ndege yeyote ya US ambayo Russia haioni kwenye rada

  • @kitikawamuwa1279
    @kitikawamuwa1279 Год назад

    ilo nitishio la wahuni aca kuwasifiya we bwege unaongeya ujinga tuu

  • @willibroadwilliam6798
    @willibroadwilliam6798 Год назад

    Marekani bado ni super ster ata bajeti ya ulinzi inatisha.

  • @chachamturi259
    @chachamturi259 9 месяцев назад

    Tuletee istolia yavita yakwanza na yapili chanzochake na mwisho wake na chanzo cha ugomvi wa hitra na urusi

  • @SalumuChamkulu
    @SalumuChamkulu 4 месяца назад

    Dogo acha ubabaishaji picha hiyo SU 57 ya urusi

  • @xingho3990
    @xingho3990 2 года назад

    Hao America ndiovyo walivyowaaminisha kuwa wao ndio top...lakini bro sahau hilo America siokama hivyo unavyomsifia.

  • @MichaelMathew-j3f
    @MichaelMathew-j3f 10 месяцев назад

    Su 35 na Su 57. Hizi bana ni zaidi ya motooo!! Russia!!

    • @MOSESIMCHUNGUZI
      @MOSESIMCHUNGUZI 8 месяцев назад

      Hamnakitu urusi,screper

    • @MichaelMathew-j3f
      @MichaelMathew-j3f 8 месяцев назад

      @@MOSESIMCHUNGUZI hahahahahaha haya unanichekesha tu.

  • @thelonewolf4429
    @thelonewolf4429 8 месяцев назад

    Thumbnail yako tu inadhiirisha Sukhoi su 57 ni jini ilioshindikana nandio maana ukaiweka 😅😅 . Chezea urusi wewe kwenye dhaza zakivita

  • @kassimkingai564
    @kassimkingai564 8 месяцев назад

    Unaijua su 57 ww

  • @masoudsalim143
    @masoudsalim143 2 года назад

    Kama America yupo sawa basi tayari kimewaka huko kwa Mr Putin akaitetee Ukraine.

  • @marriemarrio4390
    @marriemarrio4390 7 месяцев назад

    Uogo mtupu apa

  • @saidchitanda2782
    @saidchitanda2782 3 года назад +1

    Dupa mi naomba mkitoa mtoe yote tunaimiss afu wiki ni mbali mno

  • @HABIBHASSAN-wf5mr
    @HABIBHASSAN-wf5mr 8 месяцев назад

    HUYU KWA KUSIFIA NDEGE ZA MAREKANI AJUI KWSS URUSI INA NDEGE JANJA NA KALI SANA DUNIANI KWA HIVI SASA AJAZION SU 57 NA SU 35 BALAA LAKE SIO LA KAWAIDA

    • @IsraelLui-x8g
      @IsraelLui-x8g 7 месяцев назад

      Hajitambui we mwache

    • @dennissarah3485
      @dennissarah3485 5 месяцев назад

      Kama wewe unajuwa Nzuri kuliko hii Au za kimarekani tuhadithie

  • @n.y.smedia4145
    @n.y.smedia4145 3 года назад +1

    Safi sana