Joel Nanauka:Aina ya watu wanaokuja kwenye maisha yako.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 янв 2025

Комментарии • 31

  • @abelsanga2616
    @abelsanga2616 4 года назад +1

    Nanauka, Mimi sijawai kukuona wala hunifahamu. Ila umekuwa mentor kwangu. Hili ni kusudi ulilotumwa kulitenda, hakika unalitimiza. Uko SMART and AWESOME

  • @abdulmashaka7281
    @abdulmashaka7281 4 года назад +4

    Nashukuru kwa mafunzo yako, kwani nimeweza Ku control maisha yangu, kupitia kila funzo unalotoa

  • @danielsimon8235
    @danielsimon8235 4 года назад

    Amina br naiyona njia kuelekea "At the top"kwel vitabu ni vitam

  • @carolynesimiyu3460
    @carolynesimiyu3460 Год назад

    😮😮 emazing teaching,, God bless U my brother

  • @kelvinarnold
    @kelvinarnold Год назад

    Asante sana kwa somo lako

  • @ziadachewa9215
    @ziadachewa9215 4 года назад

    Asante kaka kaka joel.Mungu akuweke zaidi.Kwa kutuelimisha.zaid

  • @shufaelomy345
    @shufaelomy345 4 года назад

    Shukran nakuelewa sana Kaka

  • @jacksonmlula5281
    @jacksonmlula5281 4 года назад +1

    Yaani nafanya kaz katika kampuni na sikati tamaa kwakuwa kuna kitu najifunza na haijalishi nalipwa au silipwi Bali naamin nipo katika practical training

  • @merryhussen2775
    @merryhussen2775 4 года назад

    Asante Kaka najifunza mengi kupitia ww🙏🙏🙏🙏🙏

  • @helbertsoneka2008
    @helbertsoneka2008 4 года назад

    Amina Asante sana brother

  • @noelmarapachi1808
    @noelmarapachi1808 4 года назад +2

    Uko vizuri sana kwenye NARATION JOEL, ina sink mno, na ina tafakarisha sana! Next time backgroud music iwe chini kidogo. Hii Makala Ina inua sana,Asante kwa Somo zuri sana, nime inuliwa sana

  • @piuspuka5071
    @piuspuka5071 4 года назад

    Kweli Kaka wote Ni Kama shule unaingia darasa moja baada ya kumaliza lingine, tuwe tayari kuwaacha watu fulani haya ndio maisha

  • @goefryshayoo3122
    @goefryshayoo3122 4 года назад

    Br mungu akubariki umebadilisha maisha yangu sana

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  4 года назад

      Barikiwa sanaa🙏🏻🙏🏻

  • @onesmosanga8408
    @onesmosanga8408 4 года назад +1

    Tuko pamoja sana

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  4 года назад +2

      Pamoja sana, wewe umekuwa mtu mwenye juhudi sana kufuatilia masomo haya.Nakutakia mafanikio makubwa.

  • @jacksonmlula5281
    @jacksonmlula5281 4 года назад

    Waoooh nikwel ninachokipitia hata mm pia napitia hivyo hivyo Joel saluti kwako MUNGU AKULINDE zidi sana sana kupata ideas

  • @angasyegemwampulo8217
    @angasyegemwampulo8217 4 года назад

    Naamini nami naweza maana kujiambia mwenyewe kwamba siwezi ndiko kutanifanya nishindwe na sio kuambiwa na mtu wa pembeni maana hawezi badili malengo yako kwa kuambiwa huwezi na mtu

  • @leonardkalebh5551
    @leonardkalebh5551 4 года назад

    I believe in you bro

  • @danielmlwafu4380
    @danielmlwafu4380 2 года назад

    Asante

  • @adammagawa4563
    @adammagawa4563 4 года назад

    Nakubali

  • @judithmwambe4767
    @judithmwambe4767 4 года назад

    Absolutely

  • @edwinadam778
    @edwinadam778 4 года назад

    Usikate tamaaa jinsi ulivyo Anza REO

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 Год назад

    ☑️☝️

  • @stevenkwahhe5028
    @stevenkwahhe5028 4 года назад

    Kiukweli nahitaji kitabu chako kaka

  • @wanderenyeura9011
    @wanderenyeura9011 4 года назад

    Hiyo ya 7 asee

  • @goefryshayoo3122
    @goefryshayoo3122 4 года назад

    Nipo Kenya kila asubuhi amasa yako ni kama chai kwangu

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  4 года назад

      Nashukuru sana, tuendelee kujifunza🙏🏻🙏🏻

  • @ahz6907
    @ahz6907 4 года назад

    Story ya jessca cox imenisisimua.Kama yeye kaweza kwanini nisiweze.