BAADA YA KUKOSA UTEUZI CCM GULAMALI AFUNGUKA "MAAMUZI YA MWISHO, SAHIHI, TULIKUWA WENGI"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 17 ноя 2024

Комментарии • 21

  • @evarestsiwingwa8493
    @evarestsiwingwa8493 4 года назад

    Tizama wimbo uitwao yesu nakupenda ,ingia kwa jina la Evarest SIWINGWA , RUclips Chanel, utabarikiwa sana

  • @leonardmrope9528
    @leonardmrope9528 4 года назад

    Safi !! Umekomaa kisiasa

  • @erickmapunda4231
    @erickmapunda4231 4 года назад

    Mpeni hata viti maalumu amesotea sana.

  • @calvinpaul2171
    @calvinpaul2171 4 года назад

    Endeleaa kuwa pa1 nawenzako wakat awako pa1 na wew

  • @gangmore9091
    @gangmore9091 4 года назад

    Sema zanzibar so visiwani

  • @calvinpaul2171
    @calvinpaul2171 4 года назад

    Mkuu pinduaa mezaa...amiaa upande wa pilii

  • @frabomdemwa8880
    @frabomdemwa8880 4 года назад +1

    bombay kwenu ila safi gula ukibeza tu utaulizwa ulaia sifia tu uwe salana muulize manji na mo chezea diki weee

  • @jubilatemanase9050
    @jubilatemanase9050 4 года назад +1

    Harufu ya rushwa!

  • @gloriamichael3698
    @gloriamichael3698 4 года назад

    Ujaribu tena na tena endelea kuwekeza tu.usifanye kuneneoesha ng'ombe siku ya mnada

  • @ashritaabdallah6474
    @ashritaabdallah6474 4 года назад +1

    Usjali Allah ndio mpangaji wa yote

  • @antonymayanga1534
    @antonymayanga1534 4 года назад

    Wewe ukisema ujiunge naupinzani utakuwa siyo mtanzania razima usifu

  • @lydiaomery9120
    @lydiaomery9120 4 года назад +1

    Roho inamuuma ila muoga tu wanashindwa kusema tu

  • @robertmkundi3634
    @robertmkundi3634 4 года назад +1

    Ccm

  • @hktztv6519
    @hktztv6519 4 года назад

    Angalia diamondi alivyoshuka na helicopter kwa mbwembw
    👇👇👇👇👇
    ruclips.net/video/QOox5ks1XoU/видео.html

  • @makulaikuku6909
    @makulaikuku6909 4 года назад

    Sijui kwa nini huyu ananyimwa kila mwaka wangemuaacha ajaribu pengine angesaidia kuleta maendleo maana watu wengi makwetu wamejaa umimi

  • @judithkataraia7305
    @judithkataraia7305 4 года назад

    kama unatatizo la kukosa hedhi , umehathirika na dawa za uzazi wa mpango, harufu mbaya sehemu za siri, mvurugiko wa hedhi, fangus sugu , UTI sugu, pid sugu na kukosa hamu ya tendo karibu inbox tuzungumze na tiba. 0652223888

  • @dullykiftu6382
    @dullykiftu6382 4 года назад

    😎

  • @filomenaedmund5765
    @filomenaedmund5765 4 года назад

    O

  • @modestalois2535
    @modestalois2535 4 года назад

    Ccm ni wabaguzi,walifanya ubaguzi dhidi Mo Dewji wakati wa awamu ya nne. Tusibaguane kutokana na rangi zetu kama wote ni Watanzania 🙏🙏🙏

    • @edssonkashaija6458
      @edssonkashaija6458 4 года назад

      Wacha udwanz kwahiyo mtu kama hana sifa ni aende tu kisa tangi yake?!

    • @youngmiljr919
      @youngmiljr919 4 года назад

      Na kawe walimbagua yule aloongoza?