Msodo Ngoma Music Band Majuto Official Video

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 янв 2025

Комментарии • 27

  • @benjaminsanare-ug6ge
    @benjaminsanare-ug6ge Год назад +3

    2023 kama bado unaenjoy hii nyimbo gonga like kama zote

  • @frankmalile4456
    @frankmalile4456 5 месяцев назад +1

    The tallented mucisians maina,tx moshi,ngurumo,mumba and mbwembwe

  • @frankmalile4456
    @frankmalile4456 5 месяцев назад

    Old is gold msondo ni waelimishaji wa jamii sio matusi na utupu kwa kizazi kipya

  • @AllyAthumani-m1k
    @AllyAthumani-m1k 4 месяца назад

    Ulikuwa muziki khaswa hauchuji siku zote yaani

  • @YusufuOmari-i2n
    @YusufuOmari-i2n Месяц назад

    huu ndoulikuwa mziki jamani.tanzania turudi tulikotoka.

  • @Shaban-d6l
    @Shaban-d6l 4 месяца назад

    Mm naishia kuwambia TU mungu aziraze mahara pema pepon Amina naumia sana machizi yananitoka hapa daaaaa sijuwi kama itajajirudia tena

  • @SimoniMambo
    @SimoniMambo 3 месяца назад

    Jaman miziki y zaman ilikuwa inafundisha

  • @PeterDaniel-yf6qi
    @PeterDaniel-yf6qi Год назад

    🎉 mwafrika halisi ka majuto, daaaaas R l.P wanangu sana ngrumo,Moshi,momba

  • @sangomamourice3539
    @sangomamourice3539 Год назад

    Sauti tamu mpangilio wa kitaa safi chini ya jemedar mabela hakika wakat ukuta

  • @AllyAthumani-m1k
    @AllyAthumani-m1k 4 месяца назад

    Mke wa Majuto anasikitisha sana mmm

  • @HenryHabeli-iy5dv
    @HenryHabeli-iy5dv 5 месяцев назад

    Mnanikumbusha mbali sana wahenga hawa walitisha sana ktk ulimwengu was muziki na wengi walishatangulia mbele ya haki

  • @RashidiShabani-d3t
    @RashidiShabani-d3t 7 месяцев назад

    Nkwli❤

  • @alijuma1189
    @alijuma1189 4 года назад +1

    Hii ndo ilikua music sio zogo la kina diamond na ali kiba

  • @PeterDaniel-yf6qi
    @PeterDaniel-yf6qi Год назад

    Mzee wetu Maaalimu Gurumo mungu akupe kauli thabit, msela mzalamo

  • @PetroKalinga-jq6ih
    @PetroKalinga-jq6ih 8 месяцев назад

    Huu ndoo mziki wa kitanzani😅

  • @richardfredy1257
    @richardfredy1257 6 месяцев назад

    duuh 😭😭😭😭😭 REST IN PEACE Ngulumo

  • @barakashitove328
    @barakashitove328 6 лет назад +2

    Hiii majuto ni hali halisi ya Mwafrica

  • @SelinaJohn-e5n
    @SelinaJohn-e5n Год назад

    Fire

  • @barakashitove328
    @barakashitove328 6 лет назад +1

    Balaa sana hii majuto

  • @farajatete1763
    @farajatete1763 7 лет назад +3

    nakumbuka mbali sana

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything Год назад

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️。

  • @madilimadili9303
    @madilimadili9303 3 года назад

    Ngwanaka

  • @husseinmalikhussein7455
    @husseinmalikhussein7455 6 лет назад +2

    I'm asking wanhu

  • @mussamlanzi2634
    @mussamlanzi2634 5 лет назад

    simba

  • @yusufsaid8724
    @yusufsaid8724 6 лет назад +1

    Nice song

  • @officiallohiwilass1990
    @officiallohiwilass1990 5 лет назад

    Nice song