Anaimba kwa hisia ,mashairi mazuri sana watunzi wa zamani walijua kutunga mashairi ya maisha yetu na changamoto zinazotokea hususan kwenye mambo ya mapenzi.
Maadili mazuri ya ajabu kutoka kwa mutunzi na muimbaji wa rekodi hi, Makidadi Seif, unatambulika kote duniani. Raha ya uchezaji wa vyombo na uimbaji ni wasi bila pingamizi. Lala pahali pena peponi,Seif! Dr. Ogeto International
Mikidadi Seif Ulaya Muimbaji wa wimbo huu wa Suzana, Tulele Tubhoe na mingine, UDA Jazz ametutoka leo, Mazishi yatakuwa kesho Tarehe 11/05/2020 Saa nne Asubuhi Nachingea Matangini. Apumzike kwa Amani.
UDA Jazz: Recording RTD. Engineers: Chrispin Lugongo & James Muiru Solo: Herus Kapalata Rhythm: Fortunate Kabeke Bass: Yusuf Juma Sadala (Previously played sax) Drums: Chipembele Tumba Mohammed Arubu Vocals: Mikidadi Seif, Christopher Michael Mwigela, Ally Yusuf Mtambo
Eddie unatupa raha mkuu! Nimeondoka huko Bongo some 41 years ila nikisiliza hizi zanikumbusha mengi nilikozaliwa Ziwa Magharibi (Kagera sasa) asante mkuu for the upload..
power nguzo naomba unitumie nyimbo hizi .makumbele no 2 ya maquez .don't cry Jane ya msondo ngoma.moza ya msondo ngoma.chuki ya nini ya msondo ngoma.kitendawili ya mk group.sauda ya msondo ngoma.
Mwimbaji na mtunzi ni Mikidadi Seifu Ulaya yeye alitunga huu pia ule tulele tubowe wa kimwera huu suzana ni mwendelezo tu wa tulele tubowe na ni kisa cha kweli kilimkuta yeye Kwa sasa yupo Nachingwea ana matatizo ya macho
mhh umenikumbusha mbali sana,ooh ziko wapi zile enzi mziki ulikuwa kweli mziki,kuanzia mashairi,vyombo yaani enxi zile mziki ulikuwa kweli ni starehe ,na sio karaha.24.6.17.
naumia tu pole pole moyoni.. huu wimbo unanikumbusha ujana wangu... Ningekuwa na uwezo ningerudisha enzi hizo ziwe wakati huu.....daaahh!!!!!
Pole sana, ila sio wewe tu, hata mimi na watu wengine, tunatamani iwe hivyo
Anaimba kwa hisia ,mashairi mazuri sana watunzi wa zamani walijua kutunga mashairi ya maisha yetu na changamoto zinazotokea hususan kwenye mambo ya mapenzi.
Daah! Uda jazz band!Wimbo mzuri Sana Kweli ya kale Ni dhahabu! Mola awalaze pema peponi wote waliotangulia mbele za haki
Wapi Juli
@@henrychaula1174Dar
Mtunzi na mwimbaji wa wimbo huu Mikidadi Seif amefariki dunia tarehe 10/5/2020 huko Nachingwea na kuzikwa cku ilofuata
Ooooh
R I P.
Original from Mitonga Jaz band ndania ya Mariana! RIP kipaji Cha kimwera!.
Mwenyezi mungu ampunguzie adhabu ya kaburi sote njia moja
Mungu amrehemu
Maadili mazuri ya ajabu kutoka kwa mutunzi na muimbaji wa rekodi hi, Makidadi Seif, unatambulika kote duniani. Raha ya uchezaji wa vyombo na uimbaji ni wasi bila pingamizi. Lala pahali pena peponi,Seif! Dr. Ogeto International
Mikidadi Seif Ulaya Muimbaji wa wimbo huu wa Suzana, Tulele Tubhoe na mingine, UDA Jazz ametutoka leo, Mazishi yatakuwa kesho Tarehe 11/05/2020 Saa nne Asubuhi Nachingea Matangini.
Apumzike kwa Amani.
RIP
Hello, I cannot find the song "Tulele Tubhoe" by UDA Jazz, on the Web.
Rest in peace father
Huyo nadhani ni King Makusa katika ubora wake. Nice song
The song deeply cherishes our African traditional values that Springs nostalgic feelings deep down our hearts.
Power Nguzo
Kazi nzuri sana
umeweka kumbukumbu nzuri sana...MUNGU akubariki
UDA Jazz: Recording RTD. Engineers: Chrispin Lugongo & James Muiru
Solo: Herus Kapalata
Rhythm: Fortunate Kabeke
Bass: Yusuf Juma Sadala (Previously played sax)
Drums: Chipembele
Tumba Mohammed Arubu
Vocals: Mikidadi Seif, Christopher Michael Mwigela, Ally Yusuf Mtambo
Solo ya Michael Vicent
Gitaa la solo limecharazwa na Hamza Kalala.
Swafi
@@muharamisaid6390 namnukulu Seif mwenyewe - alyecheza solo ni Kalapata
zamani sana,, kwa upande wangu inanikumbusha sana marehemu mamaangu,, aisee,, external (makubuli),, jirani na kwa mzee Gulumo
Asante sana kwa huu wimbo... Took me back to my childhood 🙏🏾🙏🏾
hata mimi,huu umenirudisha mbali sana.them good days.waaa!!
1980-83 my formative years when i was laying my foundations for hard and good life ahead.
Huo n mziki sio kelele wacha maisha yaende
This music is nostalgic. Reminds me of 1982, immediately after the attempted coup in Kenya.
Du.nskumbuka.ugari.wa.njano.nktk.shure..na.kupanga.foreni.maduka.ya.ushirika.
Nakumbuka nilisoma shule ya msingi mkono wa mara pale magereza kingolwira, huu wimbo nilikua nausikia pale viwanja vya nanenane morogoro
Thanks for sharing it took me back during my childhood
Eddie unatupa raha mkuu! Nimeondoka huko Bongo some 41 years ila nikisiliza hizi zanikumbusha mengi nilikozaliwa Ziwa Magharibi (Kagera sasa) asante mkuu for the upload..
cool moods huyu sio Eddy kk ni Nguzo, !
cool moods huyu sio Eddy kk ni Nguzo, !
Where are you now
@@allyfaraji237 Asante mkuu nawachanganya hawa wawili Nguzo na Eddie maana hawa wawilil ndio wametia fora kutuwekea zilipendwa...Kudos!
@@armstrong_007 Nipo Muscat mkiita (Maskati) - Oman mkuu👌👌
Have been looking for this song for many years since i was in high school. Am happy to get it.
hakuna. tena sasa hivi
The singer of this song Mikidadi Seif now days is blind and he live in Nachigwea district in Lindi region
Where are you now?
umenikumbusha sana enzi zetu maana muziki ulikuwa kweli mashairi yake yalikuwa na maana kibao. siku hizi kama wanapiga madebe tuu
bwanahisa nyanginywa asante
Umeona eeh!! Naomba nikumbusheni wimbo ulioimbwa ukisema acha ndugu yangu acha uvuvi wewe hutouweza uliimbwa na Band gani na unaitwaje?
Tz iliyokuwa imejaa neema na raaaha
poa sana ila naumia moyoni sababu nyimbo hii apenda mm sana, naumizwa mm tayar hivohivo
Nakumbuka enzi za raha,jamani ama kweli duniani tunapita.
Mariam Fritsi,unaonekana una historia nzuri ya wasanii wa zamani,nakuona unaguswa sana na nyimbo hii..,agost 2022
Iconic!!!
Mikidadi seifu kazi nzuri. Leo hii mikidadi umekuwa kipofu inauzunisha sana huoni tena kweli jamani? Kabla hujafa hujaumbika
huwa nakuwa na akili nzuri sana pindi nisikilizapo nyimbo hizi
Nalia tu pole pole.Maisha mazuri hayo ya zama.
Wakati tz ilikuwa Tanzania si bongo
Please give us a historical profile of uda jazz band.Original members,band leaders,and current status
Indeed old is gold
power nguzo naomba unitumie nyimbo hizi .makumbele no 2 ya maquez .don't cry Jane ya msondo ngoma.moza ya msondo ngoma.chuki ya nini ya msondo ngoma.kitendawili ya mk group.sauda ya msondo ngoma.
Nyimbo za Zamani zinanikosha Sana.
That's was really dar es salaam"no traffic jam!
Magic songs at that time
mambo ni moto chikale kinamwile
Naho chikale hachize chuye baaa
Haaa zumbe bhwawe chisinyiseni zino izingoma msindo
Kaka Alex hawa sio panselepa. Bali ni bayankata uda Jazz. Kazi sana
KWELI, KWANI paselepa WALIKUWA NI mWENGE JAZZ
Nyimbo za zamani ni mafundisho tosha
Kama sikosei solo gitaa alipiga Hamza Kalala niwekeni sawa wadau
Hamisi Kumbuka kweli kabisa Commando solo km la Mosesengo Fanfan
Kapalata
Hamza Kalala hapa alikuwa bado yuko Matimila baada ya kutoka UDA.
2020 tunasikiliza zilipwendwa.
Nyimbo za zama zetu hazikosi mawaidha
Yananikumbusha mbali sana.
Kuna methali inayosema mtenda mema hulipwa mema kwa hayo yote ulifanya na rafiki kaishi vyema
Awesome! Taking me so far!
Mungu amuweke Panaposahiki
Daaaaaaa kweli enzi Hizi zanuhu
Nyimbo nzuri zilizokuwa na maadili
kazi nzuri sana dar enzi hizo hakuna foleni!! na wala maji ya Kandoro
Good song with good advice
ndugu zangu wale waenzi hizi mliokuwa mnasikiliza mziki huu mlikuwa safi sana
Namkumbuka rafiki yangu kimaro wa mwembe yanga mkewe alimtendea yaliyosemwa kwenye wimbo huu.
Inanikumbusha nikiwa shule ya Upili, Tambach High School 1982
Zinanikumbusha mbali Sana
Old is Gold
Ya kale dhahabu enzi hairudi
Inanikumbusha kasanova baa buguruni
Da ama kweli ya kale dhahabu
A good song to have
Angalia siasa za siku hizi mbona zinafanana na wimbo huu jamani we acha tu
Kazi nzuri sana. Kitambo hiyo unaweza lia mtu
Twila Mtumbi mwimbaji no mikidadi Seif,mmwela wa kusini
Mbaraka asante sana kaka kwa kunijuza. Hi ngoma mola ndiyo anaijuwa inavyonichoma moyoni. Wakati ni ukuta
Fodi
Solo ni hatari sanaaaaa Hamza Kalala
Mziki tamu kweli yenye kutuliza moyo.inanikumbusha babangu aliyekuwa kama ndugu yangu.Alipenda sana kuskiza RTD.
Kuna wimbo fulani wa Kimwera, naisikia kama sauti ya jamaa aliye imba ule! Tafadhali mwenye nyimbo ile up-load here please!
Mwimbaji na mtunzi ni Mikidadi Seifu Ulaya yeye alitunga huu pia ule tulele tubowe wa kimwera huu suzana ni mwendelezo tu wa tulele tubowe na ni kisa cha kweli kilimkuta yeye
Kwa sasa yupo Nachingwea ana matatizo ya macho
@@allynayomo485 Ameshafariki mikida seif
@@najmasaleh9231 ni kweli amefariki mwaka jana 2020 Nachingwea pale Nangeo
Old gold
mhh umenikumbusha mbali sana,ooh ziko wapi zile enzi mziki ulikuwa kweli mziki,kuanzia mashairi,vyombo yaani enxi zile mziki ulikuwa kweli ni starehe ,na sio karaha.24.6.17.
Enzi hizo maisha siyo magumu nduguzangu
Wimbo huu unanikumbusha enzi hizo niko Malangali miaka ya 1980
Sithole wimbo huo unaitwa Tulele tubowe umepigwa na UDA
Dhahabu huwa dhahabu licha ya umri.
Napenda
Uda jaz
Huu ndiyo music sikuhizi wanapiga madebe tu
solo Hamza kalala
Usaliti Dunia n upo
ilikuwa dunia ya raha
Nakumbukia kizota Sabasaba maonyesho t
Naukubali sana mziki wao, asante uda jazz(paselepa)
bayankata UDA wakati huo mbeya msimu wa masika kipindi jioni njema natoka uhindini na dodo zangu mkononi za uwizi, mambo utoto hayo.
Alex Magasin
Alex Mwagala Paselepa ni Mwenge Jazz... Hao ni Bayankata
Reminds me of 90s @ Ndula, Thika with Kivondo of Delmonte
Suzzy