ASLAY NI MPENZI WANGU RICH ADORE HISTORI YA MAISHA YAKE KUMBE ANA WATOTO UTASHANGAA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 дек 2024

Комментарии • 440

  • @AshaMngindo
    @AshaMngindo 2 месяца назад +51

    Ee mwenyezi mungu nusuru kizazi chang na cha wenzang naumia sana mm

  • @richardmkude9131
    @richardmkude9131 2 месяца назад +49

    Dunia simama nishuke,mnapromote ushoga waziwazi aisee, Mungu yupo na imani kwa huu ushetani atatoa adhabu yake. SO SAD, TOO WORST

  • @Matildasebastian-d6z
    @Matildasebastian-d6z 2 месяца назад +26

    Eeh Mwenyezi Mungu,tulindie watoto wetu wa kiume.

    • @MapeKhamis
      @MapeKhamis 2 месяца назад

      Alaf hawa waandishi wanakoseaga sana ila tu hawajui wanawapa air time ya nini ??Unatoa izi kwa RUclips ili watu waone nini ??
      Mungu atulindie watt wetu cc wamama tunaozaa kwa uchungu alaf nyie wanaume baadh mnaroho ngumu yani kumuingilia mwanaume mwenzio kweliiii innalillah wainailajiun 😢

  • @vaskosamweli3556
    @vaskosamweli3556 2 месяца назад +25

    Ndiomana aslay kimziki kashuka kaporomoka kumbe kwajil yakwenda kinyume na dini

  • @TatuHusseni-hs7mu
    @TatuHusseni-hs7mu 2 месяца назад +19

    Inalilah wa inalilah rajuhun msiba huu Allah atupe mwisho mwema Amin dunia ni ileile ila binadamu ndo shida tunamkosea mungu sana da unaweza ukawa huja zaaa ukalia sana paka ikafika kipindi ukamkufuru mungu kabisa pengine mungu kuna vitu amekuepusha navyo kama hivi ingeweza kupata mtoto ikawa mtihani kwako tena nibora ulivo kosa tena ila nawaombea wa mam wote mungu alo wacheleweshea watoto mungu afungue matumbo yao mara moja kwa uwezo wake Allah 🙏🙏🙏

  • @JokhaJokhaabla
    @JokhaJokhaabla 2 месяца назад +12

    Subhanallah yaarab Allah atustiri na vizazi vyetu .na kama nikweli Aslay kafanya hv Allah amsameh makosa yk

  • @vailethnoah3745
    @vailethnoah3745 2 месяца назад +67

    Kuna muda unatamani usingezaliwa ukifikiria ya dunia 😢

    • @vipajitv1799
      @vipajitv1799  2 месяца назад +6

      Ni kweli

    • @zaitunabdala8170
      @zaitunabdala8170 2 месяца назад +1

      Nikweli kabisa

    • @paulinewangila-cs6ys
      @paulinewangila-cs6ys 2 месяца назад +1

      Nimeumwa sanaaa akili hii dunia sijuwi tunaelekea wapiiii?

    • @rehemanamangwamba
      @rehemanamangwamba 2 месяца назад +1

      Kwel kabisa hii dunia hv inavoenda,,,,,mtihan tupu

    • @pendonathan7735
      @pendonathan7735 2 месяца назад +3

      Wapuuzi sana hao
      Tupate uongozi utakaoweka Sheria ngumu. Watu wa tabia hizo wanyongwe mpk kufaaaa. ....

  • @GwakisaMwaisanga-th7uz
    @GwakisaMwaisanga-th7uz 2 месяца назад +10

    MUNGU yupo na halali wala hasinzii anaona kila kitu,, ila bado anaachilia neema katikati yetu yaan,, ahsante MUNGU kwakuwa unatupenda ,,,ila tufundishe kutoitumia neema kwa mazoea..

  • @ElinahChama
    @ElinahChama 2 месяца назад +22

    Jamani mungu atulinde na Hawa watoto wetu dhaaa Dunia imekwisha

  • @reginaaloyce4055
    @reginaaloyce4055 2 месяца назад +27

    Aslay Huyu Huyu au kuna mwingine, hv hii dunia inaenda vise versa au mm ndo sielewi

    • @Habibtyjojo
      @Habibtyjojo 2 месяца назад +2

      Ndio uyo uyo mwimba mziki

    • @deonatusdaud4640
      @deonatusdaud4640 2 месяца назад

      Asray huyu huyu ndgu zangu..?mmhh!!

  • @reginaaloyce4055
    @reginaaloyce4055 2 месяца назад +9

    Aisee hapna hii dunia shetani ametawala kabisa Mungu Tusaidie na epusha kizazi changu na hii laana😭

  • @bintmrisho3526
    @bintmrisho3526 2 месяца назад +19

    Aslay kumbe kajishusha mwenyewe kimzik we uende ukaingie kwenye mahusiano na mwanaume mwenzio kwel tena ni umri wa baba yako kabisa duuh

    • @vipajitv1799
      @vipajitv1799  2 месяца назад +3

      Sio poa😊

    • @samwa9496
      @samwa9496 2 месяца назад

      Alitaka mkunaji nae kamkuna

    • @sonnyr1899
      @sonnyr1899 2 месяца назад

      Sio Baba Bali Babu 🤮🤮🤮🤮🤬🤬🤬🤬

  • @sheryoman
    @sheryoman 2 месяца назад +6

    Innalilah wannalilah rajiun baba mtu mzma baadae ya kukemea unasimama kwenye ushetwan unaidhariridha familia yko mpumbavu Mzee mjinga kabisa fyuuuu

  • @jeremiahblazio4781
    @jeremiahblazio4781 2 месяца назад +18

    Serikali nikweli haliyaoni haya ila ya ney wa mitego inayaona

    • @Mayasa-o2w
      @Mayasa-o2w 2 месяца назад

      kwanini hawaoni wanaona vizuri tu napia wao wanawaunga mkono na kuwakingia vifua wao niviongozi wamebeba masuula na wataenda kumjibu mungu

    • @emmanuelmayunga1518
      @emmanuelmayunga1518 2 месяца назад

      Yaani😢😢

  • @rayisadesigns2646
    @rayisadesigns2646 2 месяца назад +17

    NDIYO MAANA DOGO ASLEI KAPOTEA MAZIMA DUH KUMBE ALIKUWA ANALICHIMBA CHINVI HILI LIBABA!! DOGO KUMBE NI SHENZI KWELI!!

    • @ShamsiMbago-n2q
      @ShamsiMbago-n2q 2 месяца назад +2

      Kapata laana kwakwel kulala na shoga na kulitapel duh

    • @abdulmohd6880
      @abdulmohd6880 2 месяца назад +3

      Kamwe usihukumu kesi uliyoickiza upande mmoja mm camini km Aslay anaweza kufanya matendo haya kw mwanaume mwenzie

  • @jumatajiri585
    @jumatajiri585 2 месяца назад +27

    Hi Dunia Bora ishe tukaukumiwe Kila mtu ajue tunakwenda wapi mana tumezidi kumkasirisha allah

    • @nikrahayubu-sz3pw
      @nikrahayubu-sz3pw 2 месяца назад +2

      We Toba unayo au acha ya watu we fanya Ibada toa zaka funga ongea vzr na majuran kiufup fanya amali njemaa ALLAH atakuigiza peponi so acha ya Dunia ❤

    • @AgonzaErasto
      @AgonzaErasto 2 месяца назад +2

      Kweli jmn

    • @KanadeMrangu
      @KanadeMrangu 2 месяца назад

      ​@@nikrahayubu-sz3pw❤❤❤❤❤❤❤AMEN

  • @marleyraziel2447
    @marleyraziel2447 2 месяца назад +6

    Mbona kasema amezaliwa miaka miwili tofauti 1964 na 1962 mmmh kuna uongo hapo

  • @salmaathman7634
    @salmaathman7634 2 месяца назад +19

    Innalillah waina illah rajiun Tuzid kumuomba Mungu atuepushie vizaz vyetu

  • @partnersah8802
    @partnersah8802 2 месяца назад +1

    Kwa maisha hay yanavyoenda.. ikifika 2030 naona mtaona hili la mashoga nilakawaida kama tulivyozoea ukimwi na tulikukwa tukiogopa zaman au kuzini tulivyotukiogopa zamani ila sasa hivi wamewekwa kuwa ni maisha ya kawida. Ndo kinachotengenezwa sasa hivi kuhusu ushoga. Wanatufanya tuzoee kusikia masikioni mwetu ili tuone kawaida. Mwenyezi Mungu Anaona na Anajua Atafanya nn. Kuliko kukaa mnalumbana dini gani ni yakweli ipi ni yauongo ambayo ni matakwa ya sheitani pia kutufanya kuwa busy kuangalia nani anaenda peponi nani motoni kwenye dini ipi ni ya kweli wakati wao mashetani wako busy kueneza uchafu wao.

  • @sekulmohamed9818
    @sekulmohamed9818 2 месяца назад +9

    mwambie aache usenge uyooo,, hakuna mmakonde msengee kama yeye

  • @saadmotto965
    @saadmotto965 2 месяца назад +19

    Kaharibikia ukubwani kama bamia vile,

    • @vipajitv1799
      @vipajitv1799  2 месяца назад

      Sio poa

    • @daudmwalimu971
      @daudmwalimu971 2 месяца назад +2

      Kaaribikiwa ukubwani kama korosho anabanjuliwa

    • @zeddymourice4249
      @zeddymourice4249 2 месяца назад +1

      Udogoni mboga ukubwani mbegu😂😂😂😂

  • @btylove1870
    @btylove1870 2 месяца назад +1

    Binaadam mnachekesha kweli! 😂😂 sasa kila kitu kinacho happen sikimepangwa na Mungu hata shetani kaubwa na Mungu na Mungu kamruhusu shetani aturubuni. Acheni ku judge na kulani watu kila kitu ni Mungu kakubali kitokee. Sisi wote tuna dhambi zetu

  • @SabihaibrahimRajabu
    @SabihaibrahimRajabu 2 месяца назад +6

    Mke wa Aslay huyuuuu kaaaaaa msiba mzito huyu babuu kaa hana aibuu laana imemshukia huyu

  • @annasolomon9855
    @annasolomon9855 2 месяца назад +6

    Huyu si mzee wa kumzaa asilay au babu yake.. eti tulikuwa tunawekeza kama mume na make 😂😂.. 😊

  • @swamadujumanne795
    @swamadujumanne795 2 месяца назад +2

    Daaaaaar hii dunia ipo kasi sana Mungu tunusuru nahaya majanga

  • @ElizabethMichael-s4n
    @ElizabethMichael-s4n 2 месяца назад +3

    Mungu naomba utusamehe Sana

  • @AryanJeremia
    @AryanJeremia Месяц назад +1

    Daaaaa MUNGU tusaidie dunia imeisha hakika dunia imefika mwisho yaliyotabiliwa na manabii yanatimia

  • @tarickadam1615
    @tarickadam1615 2 месяца назад +11

    Duh aisee bongo machoko na mabasha ni wengi sana😢

    • @vipajitv1799
      @vipajitv1799  2 месяца назад

      Yuko marekani huyu

    • @veraisaria
      @veraisaria 2 месяца назад +4

      Sio mbongo huyu na huko ni USA kwa machoko wa ukweli bongo hakuna machoko Kuna wanaoiga na itafika kipindi tutawaua

    • @janerouhassanjanerou7933
      @janerouhassanjanerou7933 2 месяца назад

      ​@@veraisariahuyu kazaliwa kurasini haja zaliwa marekani

  • @FloraMarinyo
    @FloraMarinyo 2 месяца назад +17

    Ningekuwa raisi media yoyot ambayo igekua inahoji viumbee hawa ivi inafungiwa kbs ,hawatakiwi kuonyesha jmn mmmh

    • @nikrahayubu-sz3pw
      @nikrahayubu-sz3pw 2 месяца назад

      Rais mwenyewe anasangwa hawez kuzia

    • @IbniAbbas-yz3kt
      @IbniAbbas-yz3kt 2 месяца назад +1

      Kwann na wewe caption umeiona lakini bado umefungua na kuangalia!alafu unalalamika!!?

    • @epitomeapex
      @epitomeapex 2 месяца назад +1

      ​@@IbniAbbas-yz3kt Hilo ndo tatizo la unafiki 😂😂😂 kufanya hupendi jambo huku bado walifatilia🚮🚮🚮

  • @dorcasjonathan9793
    @dorcasjonathan9793 2 месяца назад +4

    Mimi ndio mana nilikataza watoto wangu kutoa mguu wao hapa bongo bor tugombane ila wawe wazima hii inauma sana hatakama mtoto sii wangu kwanza haimpendez mungu kabisa

  • @AliamryBakar
    @AliamryBakar 2 месяца назад +5

    Dunia unakwenda wapi 😢 Simama nishuke uku sipajui

  • @SelineChandja
    @SelineChandja 2 месяца назад +4

    Mungu wangu dunia hii kunavingi kweli😱😭😭

  • @kassimramadhan6222
    @kassimramadhan6222 2 месяца назад +2

    Mungu anawana Lana sana hiyo kumbukeni mungu nyie

  • @fridahlenah-cf2ni
    @fridahlenah-cf2ni 2 месяца назад +3

    Tuombe sana kwa jili ya watoto wetu

    • @Sarah-e1o9k
      @Sarah-e1o9k 2 месяца назад

      Na bado anaouga cm live😢😢😢

  • @Mayasa-o2w
    @Mayasa-o2w 2 месяца назад +4

    nashidwa cha kusema ila wacha tusubilie khalka kutoka kwa Allah na adhabu ya Allah ninzito nahio siku ikifika tutalia na kusaga meno yaarab tunusuru sisi na vizazi vyetu atuhidi ummati Muhammad huu ni msiba mzito na hii hali kwasasa imezidi hata sijui tunako elekea

  • @swallahboy9464
    @swallahboy9464 2 месяца назад +4

    Wabembe wenzangu. Nimesikia Kibembe pembeni walio sikia kama mimi Wagonge like

  • @D_shee
    @D_shee 2 месяца назад +1

    Heeeeee makubwa mke na mume😂😂❤❤🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @oredimusa3325
    @oredimusa3325 2 месяца назад +1

    Huyo mJinga anadanganya sana. Asley hata hawafamiani. Amuoni kama anamatatizo ya hakili.

  • @hassanramadhan4761
    @hassanramadhan4761 2 месяца назад +1

    Inalillah wainalillah rajuun..... Huu ni msiba wa Dunia. 😭😭😭😭😭😭😭

  • @bakarikimea4711
    @bakarikimea4711 2 месяца назад +4

    Yan hili nilizee lakn bado linapakuliwa kinyesi aisee mungu tusamehe

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY 2 месяца назад +4

    KUMBE ASLAY NI MSANII MJINGA SANA KUDADA DEKI ZAKE STOMSUPPOT TENA KUDADA
    DEKI ZAKE

    • @NancyMwaibula7634
      @NancyMwaibula7634 2 месяца назад +2

      Mbona ndio tabia zake anapenda sana tigopesa aslay

  • @CyplianSambagi
    @CyplianSambagi 2 месяца назад +7

    😢😢 pesa zina mambo mengi

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 2 месяца назад +1

    Yarab tusamehe wajaa wako sisi niwakosaji tunakukoseaa kilatuamkapo yarab tulindiya Famliy zetuu😢😢🙏🙏😭😭😭

  • @sashaman3862
    @sashaman3862 2 месяца назад +1

    Duh tamaa mbaya sana.tuzishinde nafsi zetu vijana

  • @Mhabeshi.Madayi
    @Mhabeshi.Madayi 2 месяца назад +4

    Kwa nini hizi median zinawahoji hivi viumbe na mnacheka nao kabisaaa kama anayofanya ni mazuri huu ni upumbavu kabisa msiwape time hii mizoga manina zao..

  • @bmajesky63
    @bmajesky63 2 месяца назад +3

    Mpaka hapo nkikuta mziki wa aslay unapigwa ndani mwangu navunja tv na kuchapa watoto

    • @AbubakariABOUBAKARISwai
      @AbubakariABOUBAKARISwai 2 месяца назад +1

      Hapo hauja wajua wote umemjua huyo mmoja TU na ukiwajua wote utasukiliza mziki kweli😂😂😂

  • @elodieassumani2728
    @elodieassumani2728 2 месяца назад +1

    Eee na watu wanakubali ni mlevi😂😂😂😂😂 hana kitu

  • @NibigiraAssina
    @NibigiraAssina 2 месяца назад +2

    Allah akbar

  • @rubbymusa1971
    @rubbymusa1971 День назад

    Acheni kumharibia sifa yake Aslay, amekosea na anahitaji kubadilika

  • @chomarmuinde193
    @chomarmuinde193 2 месяца назад +1

    Kumbe aslay n Didy wa tz😮

  • @ibrahimphanuel2284
    @ibrahimphanuel2284 Месяц назад

    Dah allah atupe.mwisho mwema lakin binaadam tunajisahau sana yaan tunafanya machafu huku tukiyatangazia daah

  • @AshaSendoki
    @AshaSendoki 2 месяца назад +2

    Ashley si mwanae Mungu hii dunia

  • @juniormagese8969
    @juniormagese8969 2 месяца назад +13

    Mwandishi wa habari kwanza ni mshenzi mpuuzi unahojije watu kama hawa dhumun lako nikueneza tabia za hovyo
    Mungu atawaadhibu

    • @KhadijaMasoud-m6u
      @KhadijaMasoud-m6u 2 месяца назад

      Waandishi Hawa wanataka comment wpo kikazi wanajua hyo maarufu wakimuhoji atapata like nyingi

  • @HellenJacobeth
    @HellenJacobeth Месяц назад

    Wale wanaume wanalala na hiking chombo thooo sura mbaya teremka chini sasa mkunduthe umeoza😢😢

  • @shikokanjora1493
    @shikokanjora1493 2 месяца назад +1

    60 you look young I don't judge you go for what makes you happy 💯 😊 ✨️ 😌 😊

    • @fatmafatu1128
      @fatmafatu1128 2 месяца назад +2

      Nawewe ndio wale wale

    • @shikokanjora1493
      @shikokanjora1493 2 месяца назад

      @@fatmafatu1128 komaaaa wewe sio mungu usafanye kkazi yake maana pia utaukumiwa kweraaaa

  • @OmanOman-bx5du
    @OmanOman-bx5du 2 месяца назад +5

    Ivi p dd ampaka mafuta kweli 😢😢

  • @songombingo108
    @songombingo108 2 месяца назад +1

    Tangu nilipoona ile Clip ya Aslay akimfira yule demu kwa kutumia mafuta ya Parachuti sikuwa na hamu tena ya kusikiliza nyimbo zake. Manina zake kazi kuchokonoa mikundu ya mavi ya wanaume wenzake. Sitaki hata kuona picha zake.

  • @athumanikadaika5817
    @athumanikadaika5817 Месяц назад

    Tumuombee tu dua aachane na maisha hayo, atoke huko kwenye ushoga.
    Kwa mwanaume kuliwa au kuwa legelege sio sawa kbs nikiona hivi najisikia vibaya kama mwanaume aisee dah😢😢😢

  • @mwatummselem2411
    @mwatummselem2411 2 месяца назад

    Mungu tusaidinye amen

  • @deeruta9894
    @deeruta9894 2 месяца назад +3

    Yani Aslay anakula mtu rika na baba yake😳😳😳. Hii dunia bora mungu aibomowe kbsa 😢😢😢😢😢

    • @blezywatino1043
      @blezywatino1043 2 месяца назад

      😂😂😂😂 ni Baba yake kabisa.😢😢😢😢

  • @dionestermwinuka7520
    @dionestermwinuka7520 Месяц назад

    Aslay anamlala mzee wa miaka 60😢😢😢😢

  • @صالحالصوافي-غ5و
    @صالحالصوافي-غ5و Месяц назад

    Mungu tujarie mwisho mwema dunia inatisha jamani😢

  • @dirakidaramadhani369
    @dirakidaramadhani369 2 месяца назад +1

    Ii video sio nzuri kwa jamii jamani TUNA WATOTO

  • @abdulmohd6880
    @abdulmohd6880 2 месяца назад +3

    Duh! Mmakonde mzima unkua shoga hivi zile chale zote ulizochanjwa n za nn ss😂

  • @leonardmrope9528
    @leonardmrope9528 2 месяца назад +1

    Aisee😭noma sana

  • @yusufulimo5737
    @yusufulimo5737 2 месяца назад +1

    😂😂😂Nimecheka sio kama nafrahisha sana siamin kwa aibu hi.

  • @aishakambenga6191
    @aishakambenga6191 2 месяца назад +2

    Mke mwenzie Tessy chocolaté

  • @Matunzo_Classic
    @Matunzo_Classic 2 месяца назад +1

    Kulala na mtu kama huyu ni kuchafua nyota tu ndio maana nashangaa aslay nini shida kumbe ilianzia huku

  • @ruthbenard7217
    @ruthbenard7217 2 месяца назад +1

    Duuh! Hiyo interview si ungenipa mim brather dudu baya njoo uone😢

  • @ChikuIssa-iz5bz
    @ChikuIssa-iz5bz 2 месяца назад +2

    Yani hiiii dunia Mungu ndio anajua

  • @relaxstarman
    @relaxstarman 2 месяца назад +5

    Da😭😭 allah tulinde dunia ni njia tupe mwisho mwema

  • @tifashadrack7135
    @tifashadrack7135 2 месяца назад +3

    Audhubillah minal shaitwan lajim mungu tunusur

  • @aishaaisha4549
    @aishaaisha4549 2 месяца назад +1

    Jamani tutaskia mingi mwaka huu

  • @katabaroonlinetv9688
    @katabaroonlinetv9688 Месяц назад

    Tunahangaika na p Diddy ulaya kumbe Kuna p Diddy wa mbagala 😂😂😂

  • @JeremiahMusa-vo8lg
    @JeremiahMusa-vo8lg 2 месяца назад +1

    Haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
    Jmn jmn jmn ...
    Eeeeeeeh 😢😢😢😢.
    Kilichobaki hii Dunia ,. Ichomwemoto
    Haaaa haaaa jmn jmn jmn .
    Naomba Mungu , kituo atakachonishusha . Kiwe kuingia Mbinguni

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl Месяц назад

    Subuhanallah inalillahi wainailahi rajuun. Lisenge lisulambaya gumu sulalake kalibia linakufa miaka ishaenda afikili kabuli anagawatu.kundu. inalillahi wainailahi rajuun

  • @bonifacegasper9508
    @bonifacegasper9508 2 месяца назад

    Mungu,okoa hikikizazi chanyoka,maana hata wanyama hawakosei njia,je,nikweli tumezidiwa akili nawanyama!,tunaitaji neema yamungu kusimama katikati yetu,🙆😭😭

  • @kamandashupavu206
    @kamandashupavu206 2 месяца назад

    aslay kumbe p.didy

  • @KulwaJohn-e8k
    @KulwaJohn-e8k 2 месяца назад +1

    Daaah....huyu nae ni shogaaa????mbnaaa hafananiiiii kbisaaa jamaniii 😢😢😢😢

  • @Salhiya96
    @Salhiya96 2 месяца назад +1

    WALLAH MTIHANI HUU EEEEH MUNGU TUSTIRI NA VIZAZI VYETU EEH MUNGU WNG NN HIKI DUNIA INAENDA MWSH DUNIA IMEKWISHA 😢😢😢😢

  • @kazikazini1042
    @kazikazini1042 2 месяца назад +1

    Eti wasanii wote sijaanza kuwatongoza mimi, wamenianza wao. Yarabi ni wangapi ama ndo wale wa usafini aloanza kuwataja mwanzoni

  • @chrisbertludovick8908
    @chrisbertludovick8908 2 месяца назад

    Hii nikutokana na kwamba familia nyingi kuwekewa mitego ambayo wengi wanaingia katika mitego kwanza kabisa huu usingle mama na usingle dady na Hali ya maisha kuwafanya wazazi kutokuwa bize na malezi

  • @AbubakarhassanHamad-j5v
    @AbubakarhassanHamad-j5v 2 месяца назад

    YA-allah tuweke mbali na kizazi cha namna hii na utulinde na adhabu zko

  • @dotnatajoseph2620
    @dotnatajoseph2620 2 месяца назад +3

    Jamaniiiiii 😭😭😭 ndomN Tessy aliamua kumuacha yule kaka ameshazoea kuzibua mitarooo

    • @muzafarsharif9465
      @muzafarsharif9465 2 месяца назад

      Si itakuwa tessy pia ameliwa nyuma na aslay??

  • @flinchclassic1531
    @flinchclassic1531 2 месяца назад +2

    Subuhanallah

  • @Shen_tz
    @Shen_tz 2 месяца назад +2

    Subhannallah

  • @jonasjme
    @jonasjme 2 месяца назад +2

    Uyu mzee mwehu

  • @sabrinaaron4212
    @sabrinaaron4212 Месяц назад

    Khaaa 😢😢😢

  • @annasolomon9855
    @annasolomon9855 2 месяца назад +1

    Mbona mambo yanaenda kasi ivi Jamani 😊😊

  • @dionestermwinuka7520
    @dionestermwinuka7520 Месяц назад

    Hadi naona aibu aslay umeacha mke na una mtoto leo umeoa mzee huyu embu fikiria mwanao akikua uwiii😢

  • @vom84
    @vom84 2 месяца назад +2

    Hizo sio mada , unazingua big tym, wasenge wann Sasa ?

  • @elizabethsamwel8628
    @elizabethsamwel8628 Месяц назад

    Aslay p diddy wa.bongo

  • @AdamLameck-x5n
    @AdamLameck-x5n 2 месяца назад +3

    P diddy daaah

  • @samwelmwita1915
    @samwelmwita1915 2 месяца назад +1

    Dunia hii imeisha

  • @ahmadmahmoud6139
    @ahmadmahmoud6139 2 месяца назад +1

    Subhanallah

  • @regybaby9067
    @regybaby9067 2 месяца назад +1

    ATi carlifonia Beverly hills 😂😂😂😂

  • @happysanga6846
    @happysanga6846 Месяц назад

    Jamani daimondi kwa pdd mnamsikia lichi adole

  • @cephaswatene7817
    @cephaswatene7817 2 месяца назад

    😢😢yaani Bongo mmeamua kama huliwi mpaka ule daah!

  • @RehemaSaid-rg5mr
    @RehemaSaid-rg5mr 2 месяца назад +1

    Mmh asiryi smjukuu wako

  • @VoccaBeatz-xf2jg
    @VoccaBeatz-xf2jg 2 месяца назад +2

    Nilipokua mdogo niliambiwa kua uyaone nikajua ni maembe kumbe ndo haya ya wanaume kupakwa mafuta ya Diddy oil😢😢😢