Aslm alkm ww.... Masha Allah!!! Sheikh wetu kipenzi Allah akulinde, akupe umri furaha na mafanikio duniani na akhera. Nimefurahishwa na adhana iliotolewa Muadhin alikua tayari kabisa kutoa adhana Masha Allah tabarakallah yassalam. Allah atupe nguvu katika kutekeleza ibada. Jazakallah kheir 🙏. Allah awalinde🙏
Assalaam Alaikum. Nasaha kwa wale ndugu zangu waliomsema ndugu yetu sheikh Izuddin....Wallahi khasara kwenu kwa maneno mulioyasema na mukiwa na akili na mwaipenda sunnah , nawaomba mufute maneno mulioyasema na kumuomba msamaha ili musamehewe na Mola azza wajalla. Na pili iwe ajua kiarabu ama hajui yeye ametowa alilonalo katika ilmu yake na ame baligh hata kama ni aya moja. Na Mola akubaali khutba yake....aamin!
Hata mtume Muhammad walimsema hajui kitu,kwahyo hatuwashangai nyinyi waswahili kumsema shekhe tena ni mirithi wa mitume na maswahaba,mujiandae kesho kujibu kwa mungu
Maa shaa Allah khutba kwa kiarabu mzuri, ingawa chunga lugha naona imekupita sana, ingekuwa bora ungeandika ukasoma, maana wakiiskia mawahabi duh watatuumbua.
Mtu akikutunikia h7fai kumvunja utaipokea vizuri saana kwan8 ni.dhambi aliomba amemtunukia kheikh wake ni.vizuri sote tuatunikie ma sheikh wetu hawastahiki musiwaudhi wenezenu ma sheikh kwa maneno mbaya mbaya .ung8 haradhi na nyinyi mukuwa mutawasema vibaya waja wa mungu hawa
Wewe mwenye kujua kiarabu soma hapa chini👇 قال الحسنُ في قوله تعالى: بل الإنسانُ على نفسه بصيرة، يعني: بصيرٌ بعُيُوب غيره، جاهلٌ بعيوب نفسهِ. (تفسير القرطبي). وقال العلماء: اشتغل بنفسك ثم غيرك. وقال العرب: من دخل فيما لا يعنيهِ لقيَ ما لا يُرضِيهِ.
Angekuwa Msanii Asingekosolewa Hata Angeanguka Kwenye Jukwaa Ila Kwakuwa Ni Shekhe Ana Anatangaza Dini Ya ALLAH Lazima MASHETANI WAKOSOWE ILI WATIE DOSARI KATIKA UTAJO WA ALLAH.Cha Kufurahisha Nikwamba Wanapokosowa WALLAHI DINI NDIO INAZIDI KITAWALA ALHAMDULILLAH
Maa shaa ALLAH shekhe wetu. MUNGU akuhifadhi akuweke uzudi kunufaisha watu
Sheikh izxudin yuwaongea mambo vizuri saana nimej8funza mengi lutoka kwake Allah awahifadhi awaongoze awaoe afya na umri mrefu
Mashall-Allah Allah akuzidishie elim yenye manufaa uzidi kutuelimisha akujalie umri mrefu wa afya amin
Aslm alkm ww.... Masha Allah!!! Sheikh wetu kipenzi Allah akulinde, akupe umri furaha na mafanikio duniani na akhera. Nimefurahishwa na adhana iliotolewa Muadhin alikua tayari kabisa kutoa adhana Masha Allah tabarakallah yassalam. Allah atupe nguvu katika kutekeleza ibada. Jazakallah kheir 🙏. Allah awalinde🙏
Mashallah Allah akujazee kheri kila uendapo amiin yarabb amiin
Nikiwa na huzuni mamfunguwa shekh naskiza darasa zake nafurahika mashalla
Mashallah Tabarakallah, next destination USA inshallah. Shekhe letu tunamuomba Allah amzidishie katika Elimu, taqwa na barakah Aameen
Mashallah sheikh wetu Allah akuhifadhi
MASHA ALLAH 🇰🇪💚💚💚
Barak feeq, Jazzak Allah kheri.
Assalaam Alaikum. Nasaha kwa wale ndugu zangu waliomsema ndugu yetu sheikh Izuddin....Wallahi khasara kwenu kwa maneno mulioyasema na mukiwa na akili na mwaipenda sunnah , nawaomba mufute maneno mulioyasema na kumuomba msamaha ili musamehewe na Mola azza wajalla. Na pili iwe ajua kiarabu ama hajui yeye ametowa alilonalo katika ilmu yake na ame baligh hata kama ni aya moja. Na Mola akubaali khutba yake....aamin!
kwa sababu ya chuki zaooo... aliye mbeee yuko mbeee
Bora ujumbe umefika hiyo lugha hatakam hajui
Mti wenye matunda ndio upigwao
Ss hatutaki kiarabu kwasababu ss waswahili na hatujui kiarabu
Mashaa Allaah
MashaAllah
Hata mtume Muhammad walimsema hajui kitu,kwahyo hatuwashangai nyinyi waswahili kumsema shekhe tena ni mirithi wa mitume na maswahaba,mujiandae kesho kujibu kwa mungu
Maa shaa Allah khutba kwa kiarabu mzuri, ingawa chunga lugha naona imekupita sana, ingekuwa bora ungeandika ukasoma, maana wakiiskia mawahabi duh watatuumbua.
Mawahabi.ndokinanani?MUNGU
kula chuma ioooo hhhhhh shidaaaa
Mtu akikutunikia h7fai kumvunja utaipokea vizuri saana kwan8 ni.dhambi aliomba amemtunukia kheikh wake ni.vizuri sote tuatunikie ma sheikh wetu hawastahiki musiwaudhi wenezenu ma sheikh kwa maneno mbaya mbaya .ung8 haradhi na nyinyi mukuwa mutawasema vibaya waja wa mungu hawa
Fadhali angeandika bora zaidi
Uzuri angeandika amejishusha
Miskini kumbe sheikh izzuddin n mtupu kw arabik mbn mwamkalifisha
Maana ameongea kiswahili ama
@omarkhamis4804 hhhhhhhhhhhhhhhh ameongea kiarabu lakini kina makosa mengi sana kaka, ndio nimeelewa hivyo.
Jamani kiarabu kina wenyewe hhhhhhhhhhhhhhhh 😂😂😂😂 wacha tu, twasema piga goti kumbe wenyewe hatumo.
Watu wengine mwachekesha badili.yakubeba faida wabeba makosa SUBHANNALLAH
Waonaje uende wewe ukaongee fluently arabic
Shehe izudini wapenda hagallah.. Na masharifu hamuruhusiwi hizo bahshishi kwa mimbar.. Ahlu beiti hyfai kupokeya sadaka 😮😂😂😂😂😂😂
Hajui hata kuongea kiaraubu sub Allah aibu
Wewe mwenye kujua kiarabu soma hapa chini👇
قال الحسنُ في قوله تعالى: بل الإنسانُ على نفسه بصيرة، يعني: بصيرٌ بعُيُوب غيره، جاهلٌ بعيوب نفسهِ. (تفسير القرطبي).
وقال العلماء: اشتغل بنفسك ثم غيرك.
وقال العرب: من دخل فيما لا يعنيهِ لقيَ ما لا يُرضِيهِ.
Kisha ndugu yangu Umeona kuwa wewe umeyaona ya Mwengine yako huyajui, Sasa tazama kiswahili chako ulicho andika Kiko sawa?
ALLAH ATUHIFADHI SOTE.
wewe mwenyewe hujui
Angekuwa Msanii Asingekosolewa Hata Angeanguka Kwenye Jukwaa Ila Kwakuwa Ni Shekhe Ana Anatangaza Dini Ya ALLAH Lazima MASHETANI WAKOSOWE ILI WATIE DOSARI KATIKA UTAJO WA ALLAH.Cha Kufurahisha Nikwamba Wanapokosowa WALLAHI DINI NDIO INAZIDI KITAWALA ALHAMDULILLAH
Shehe kapewa bahshishi kwa mimbar ama ni hagalla..? 😂😂😂
Ni zawadi
@@maryamsalim3233 zawadi kwa mimbar..? Lol 🤣🤣🤣 mashehe wetu wanapenda hizo hagallah.. 😂😂😂