Assalamu Aleykum warahmatullah wabarakatu Alhamdhulillah Allaahumma salii wa saliim Ala sayyidina Muhammad wala alihi wa Ass habihi wa salaam 🥰❤ Alhamdhulillah
Izudin mwalimu wangu ...kuna jambo linanisumbua ningepata kupata jawabu...Naona viongozi wasiokuwa waislamu kufunga swala na janaba zao pamoja na viongozi wa kiislamu in the name of wanabiashara wa Esleigh huko Nairobi na kutoa fitri... Jee ni unaruhusiwa kwa asiyekuwa muislamu kukaa kwa swafa pamoja na waislamu kuswali...jee inaswihii...suratul tawbah inasema nini kuhusu jambo hili?
Assalamu Aleykum warahmatullah wabarakatu
Alhamdhulillah
Allaahumma salii wa saliim Ala sayyidina Muhammad wala alihi wa Ass habihi wa salaam 🥰❤
Alhamdhulillah
Izudin mwalimu wangu ...kuna jambo linanisumbua ningepata kupata jawabu...Naona viongozi wasiokuwa waislamu kufunga swala na janaba zao pamoja na viongozi wa kiislamu in the name of wanabiashara wa Esleigh huko Nairobi na kutoa fitri...
Jee ni unaruhusiwa kwa asiyekuwa muislamu kukaa kwa swafa pamoja na waislamu kuswali...jee inaswihii...suratul tawbah inasema nini kuhusu jambo hili?