FRIJI BOVU| SIMBA WAMEANZA KUSHUSHA MASHINE ZA KAZI FREDY KOUBLAN ATAWACHELEWESHA WATAFUTE KITASA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 17 май 2024
  • KWA HABARI NA MATANGAZO
    TUPIGIE SASA
    0753393036 CALL
    0625466848 WHATSAPP

Комментарии • 12

  • @athmanimkangara9290
    @athmanimkangara9290 22 дня назад

    Fredy mchezaji mzuri sana timu haina muunganiko na kuna uchoyo wa past za kufunga

  • @allychongowe2025
    @allychongowe2025 21 день назад

    Ni kweli kabisa Fred Michael hatoshi simba

  • @user-hu4el2rx2u
    @user-hu4el2rx2u 22 дня назад

    Fredy bado sana apewe thank you

  • @user-hu4el2rx2u
    @user-hu4el2rx2u 22 дня назад

    Fredy sio wa kuchezea Simba aende mtibwa sio simba

  • @MuuYascohy-oc7os
    @MuuYascohy-oc7os 22 дня назад +1

    Fred ata mm sijamkubali kwa ufupi mastriker wote wale kwang mm nawaona ni wa kawaida sana siyo wakatili km Kagere au Bocco au Okwi

  • @raymondmilanzi
    @raymondmilanzi 22 дня назад

    Utopolo huyuuuu

  • @user-ri5hn9vj1s
    @user-ri5hn9vj1s 22 дня назад

    Huyu jamaa nimenza kumdharau

  • @user-ri5hn9vj1s
    @user-ri5hn9vj1s 22 дня назад

    Weboya kwani sindio kaziyake kumalizia wemavitu

  • @dalalfundikila507
    @dalalfundikila507 21 день назад

    Hakuna mchezaji hapo

  • @benjaminnelson4834
    @benjaminnelson4834 21 день назад

    Hiyo offside lkn kafunga angekosa angesema kakosa offside alfu unasema katengenezewa nafasi Sasa ulitaka akitengenezewa nafasi akose

  • @danielchamoto9376
    @danielchamoto9376 22 дня назад

    Sasa leo ndio nimegundua hili friji ni bovu kweli. Leo umeongea kishabiki maandazi

  • @godfreymkelemi9663
    @godfreymkelemi9663 21 день назад

    Huyu jamaa nilikuwa namfuatilia ila naamua kuachana naye. Siku hizi ni pointless kabisa. Eti Gede amefunga magoli mengi yamekataliwa kwa offside eti ndo maana Fred amemzidi magoli. We ni refa sasa? Si kasomee wewe uwe refa.