Umuhimu wa Wazazi | Sheikh Othman Maalim

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 янв 2025

Комментарии • 327

  • @nimubonainnocent2183
    @nimubonainnocent2183 3 года назад +8

    Malim uthuman Allah akulipe kila la kheri na afya njema na akuzidishiye umri murefu ili uzidishe kuilimisha wa islam tupate kuwujuwa uislam inshaallah

  • @khalifakhatibu5123
    @khalifakhatibu5123 Год назад +1

    asalamalekum shekh mwenyezimungu hakujali shahada kablalimahuti ww na familia yako akujalie afya hakuhondoshe deni hakuhondo she kibri marathi na ss nafamilia zetu ameen

  • @nasrahassan2260
    @nasrahassan2260 2 года назад +6

    Masha allah allah akuzidishie elimu na akulipe pepo ya firdaus amin

  • @blackbeauty850
    @blackbeauty850 Год назад +1

    ALLAH awazidishie wazazi wote walio hai umri mrefu na walotangulia mbele za hazi Mola awasamehe makosa Yao

  • @mwanaathumani9594
    @mwanaathumani9594 Год назад +1

    Mashaallah asante she wetu kwaukumbusho kweli inauma tumeharibikabsana kimaadili yakuwaheshom wazazi wetu Allah atujaze Iman kupitia darsa Hili Allah akujalie umry mref uzid kutukumbusha mema zaid😭😭🤲

  • @FatnaAlly-go7yt
    @FatnaAlly-go7yt 5 месяцев назад +1

    Oooh allah napenda kutoa shukeani Angu za zati kwa viongozi wote wa umaaa ktk kupambania haki ktk uislam

  • @alijafar9098
    @alijafar9098 2 года назад +11

    🇰🇪Nakupenda Sheikh uthman kwa ajili ya Allah(s.w.t)..Mwenyezi Mungu akuhifadhi leo na kesho akhera.aamin

  • @ramla692
    @ramla692 7 месяцев назад +1

    Ma Shaa Allah,Mola akuhifadhi maalim weru

  • @mwajumaramadhani9298
    @mwajumaramadhani9298 2 года назад +4

    Sheikh othman maalim nakupenda kwaajili ya allah

  • @mwanamkuuali7212
    @mwanamkuuali7212 Год назад +1

    Jazaqallahu kheri sheikhe
    Mwenyezi mungu awarahamu wazazi wangu na WA wenzangu
    Awajaalie jannatul firdaus.
    Allah awaongoze watoto wetu
    Watushike Kwa iman..
    Ameen.
    Yaarab twakuomba tujaalie husnul khatma Inda maut.

    • @SalmaIbrahim-ns6wy
      @SalmaIbrahim-ns6wy 2 месяца назад

      mwenyezimungu msamehi mamangu amjalie pipo yako Amini thuma Amini

  • @halimamohammed7863
    @halimamohammed7863 Год назад +6

    Ya Rabbil wanusuru wazazi wetu walioko mbele za khaki kwa mwezi huu mtukufu wa Ramadhan 🙏

  • @husseinbwire8527
    @husseinbwire8527 2 года назад +3

    Jazakallah heri ,Allah akupe afya na uzima uzidi kutuelimisha shekh

  • @safiyatheonlything7848
    @safiyatheonlything7848 3 года назад +3

    Shukurani shekhe kwa ukumbusho Allha azidi kukupa afya njema lnshallha lnshallha allha amrehemu mama angu amen

  • @fatimaarfun1929
    @fatimaarfun1929 2 года назад +3

    Asalamu alkum shukran sana umeongea ukweli kabisa subuhanaallah mungu atusamehe awaongoze watoto wetu inshallah

  • @omarothman6608
    @omarothman6608 Год назад

    Mtihani mkubwa allh atujujaalie vizazi vyema na mashallh shekhe wetu allh akulinde na maadui naakupe afyanjema wewe nakizazi chako

  • @haroubmbewe1627
    @haroubmbewe1627 5 лет назад +17

    Allah Awarehemu Wazazi wetu na Awajaalie makaburi yao yawe mabustani ya peponi, pia Allah Atufishe tukiwa waislamu wenye mwisho mema.

  • @zuwenaali9811
    @zuwenaali9811 2 года назад +9

    Allah awajaalie wazazi wetu wawe watu wa pepono inshallah na m/mungu ajalie kupitia wao tuende pepono InshaAllah

  • @chombahamisi6949
    @chombahamisi6949 6 лет назад +13

    Mwenyezimungu akulipe kwa sababu ya kutukumbusha shehe wangu inshaalaa

  • @allykamanga4366
    @allykamanga4366 4 года назад +1

    Allah akulipe kher duniani na kesho akhera

  • @khadijaibrahim2598
    @khadijaibrahim2598 4 года назад +11

    ALLAH, awarehemu wazazi wangu wote, roho zao ziwe peponi, na akulinde na hapa duniani na kesho akhera, Amin Amin Amin.

  • @ayshaaysha2165
    @ayshaaysha2165 2 года назад +2

    Mashaallah mwenyezi mungu akujalie Kilalaher kwa mawaidha manzur

  • @rahmashaban8693
    @rahmashaban8693 7 лет назад +7

    ALLAH!!!!!!!!!!! AKBAR.
    MAASHA ALLAH, BISMILLAH, TABARAKALLAH.
    shukraan sheikh maalim ALLAH akulipe kheri duniani na akhera Amiin

  • @rashiymrang6134
    @rashiymrang6134 3 года назад +4

    Mashaallah shekhe wetu mwenyezi mungu akujalie akupe umri mrefu na kisha akukinge na shari za hasidi pindi anapo husudu na akupe upeo mkubwa zaid hakika tunajifunz mengi kutka kwako mwenyez akuingiz katka pepo ya daraja za juu inshallah ☝☝☝☝👆🙏🏿🙏🏿🙏🏿

  • @bintikigoda2744
    @bintikigoda2744 2 года назад +2

    Mashalah umetoa neno la maana sana

  • @ayshaaisha7630
    @ayshaaisha7630 4 года назад +5

    Napenda sana mawaidha yako shekhe maali

  • @salmsalmo931
    @salmsalmo931 2 года назад +1

    Mwenyenzi mungu amungize baba yangu Pepo ya firdaus amiin

  • @mohammeddeeqabdulrahman5625
    @mohammeddeeqabdulrahman5625 3 года назад +4

    Mashaa Allah Allah akuzidishea jazzaka Allah kheri

  • @hamisakamna4738
    @hamisakamna4738 2 года назад

    Alla akujaalie umri mrefu

  • @zubedaally3553
    @zubedaally3553 4 года назад +3

    Mashaala asante kwa kutujuza alla akupe mwisho mwema naheri za hapa dunian na huko ahera

  • @xajjiali6320
    @xajjiali6320 5 лет назад +10

    Wlhi mungu akupeleke janatulfardows na uwe rafiki na nabi Mohamed scw na ashaba wake ya rabii

  • @ameenajumah7335
    @ameenajumah7335 3 года назад +6

    MashaAllah Ustadh wote nawaona Izudin Nawapenda kwaajili yake Allah🧡🧡🧡

  • @erickronoh2433
    @erickronoh2433 4 года назад +5

    Allah akupe kheiri dunia na akhera

  • @RehemaPongwe
    @RehemaPongwe 7 лет назад +6

    Shukurkani sh othuman

  • @rahmajonas3794
    @rahmajonas3794 3 года назад +1

    Inshallah Allah akulipe kheri shehe na ajaalie haya yawe ktk mizan mema yaumul kiyama

  • @athumaniathumani3082
    @athumaniathumani3082 2 года назад

    Ewe mola wangu mjalie mama yangu,. Umuhepushe ña Azabu ya khabri, sheke, pia naomba mungu Atujalie mwisho mwema,

  • @mbarakaahmed8049
    @mbarakaahmed8049 6 лет назад +2

    Jazakallah khery othman maaalim,,,,,huwaga nkuita fundi.......unajua sana......yarrah wape shifaaaa wazaz wng wawily

  • @gharibislam1586
    @gharibislam1586 3 года назад +4

    ALLAH atujaalie wazazi wetu wenye Siha njema,na wale wazazi WALIO tangulia mbele ya haki Allah awafanyie wepesi katika makaburi yao INSHALLAH.shukran sheikh

  • @vlogtime4508
    @vlogtime4508 7 лет назад +7

    mashalla mungu akubariki shehnakupenda sana nungua akupe umri mrefu

  • @ahmadmambwe537
    @ahmadmambwe537 6 лет назад +17

    MASHA'ALLAH Sheikh Othuman maalim....ALLAH akupe mwisho mwema

  • @sajeedavirani6331
    @sajeedavirani6331 7 лет назад +6

    SHUKRAN SANA maalim huwa napendaga sana mawaidha yako kwakweli

  • @mohammemoh7355
    @mohammemoh7355 7 лет назад +9

    Allah akujaze kila lakheri shekh Maalim

  • @alibell5246
    @alibell5246 3 года назад +2

    Mashaallah shekh othuman allah akupe mwisho mwemaa

  • @Rehema-h6t
    @Rehema-h6t Год назад +3

    ماشا ء الله تبارك الله ♥️
    اللهم صلي وسلم وبارك على سيدنا ونبينا وحبيبنا وشفيعنا وطب قلوبنا محمد وعلى اله وصحبه اجمعينnakupenda kwaajili ya anllah ❤🙌🙌

  • @seadogs4460
    @seadogs4460 4 года назад +3

    Wallahi khuta yaniliza,baba yangu amekufa October 24 2020,Allah akubali shada yake,sai najuwa umuhimu ya wazazi wawili

  • @neamusic2601
    @neamusic2601 2 года назад

    Alhamdulilah rabialamin nmepata kitu ktk moyo wng nmejikuta nmeshida...

  • @zaynabmapendo3465
    @zaynabmapendo3465 5 лет назад +8

    Allah awarehem wazaz wetu wawil

  • @wahidashabaz5982
    @wahidashabaz5982 5 лет назад +2

    maneno mazito yatupasa kuzingatia shukran shekhe

  • @abdulrahmanabullalaah975
    @abdulrahmanabullalaah975 4 года назад +2

    JazakAllahukheir.........Allah akuhifadhi sheikh

  • @moanasaboud4399
    @moanasaboud4399 4 года назад +3

    Mashallah Mungu akupejaz kila ya kheri na akuepushie ya shari yarbbi
    Shukran jazakkah llah

  • @samiroonalhumey2646
    @samiroonalhumey2646 3 года назад +2

    Masha Allah tabarakallah mawaidha mazuri Sanaa Allah awahifadhi nyote in Sha Allah awasahilishie katika elmu zetu

  • @cdawacdawa3911
    @cdawacdawa3911 2 года назад

    Baraka allah findunia Wal akhera wajanatul frdaus

  • @raiswawayaowayao7814
    @raiswawayaowayao7814 6 лет назад +3

    maashallha shiekh allha akupe maisha marefu yenye Kheli na Baraka Amin

  • @azzuazeez4694
    @azzuazeez4694 6 лет назад +5

    Jazakhaallah kheir sheikh Kwa elimu kwa kutujuza, Allah akuzidishe na akulipe Kwa kheir ya kazi yako

  • @moussamwarira3849
    @moussamwarira3849 3 года назад +1

    Allah Akup maish mrefu Shkh Osthmn mwalim ili uzid kutuelimisha

  • @fatmababaz6573
    @fatmababaz6573 8 лет назад +23

    ALLAH AWAREHEMU WAZAZI WETU,NA AWAONGOZE WATOTO WETU WAEZE KUZIPTA RADHI ZETU NA ZA ALLAH,JAZAKALLAH KHEIR SHEIKH OTHMAN.

  • @hassanwazir6946
    @hassanwazir6946 4 года назад +3

    Mashaallah maneno matamu wallah Allah akuhfadh sheikh Othmn ila na nyie huko nyuma tulienibasii mnatushuhulisha bhnaaa

  • @ريهامالسريري-ل1ص
    @ريهامالسريري-ل1ص 8 лет назад +24

    shukran sheikh mwenyzmung akuzidishie ilmu yeny manufaa na akujaalie mwisho mwema na mafikio yako yawe pepon inshaallah wallah l-'adhim napenda sana kukuckiliza

  • @mudimaarifa9394
    @mudimaarifa9394 5 лет назад +3

    Allah akupe umri mrefu

  • @mwanamisidini1950
    @mwanamisidini1950 Год назад

    Marshall ah shekhe mngu akupe umri mrefu upate kutoongoza

  • @madibasaid3844
    @madibasaid3844 Год назад

    Allah awajalie wazazi wetu inshallah

  • @vlogtime4508
    @vlogtime4508 7 лет назад +3

    mungu akujalie afya njema upate kutuelemisha umat.muhamad

  • @kaumosara1810
    @kaumosara1810 2 года назад +5

    Masha Allah , jazakallahu khayra.

  • @salimmohamed694
    @salimmohamed694 7 лет назад +5

    Ila.mm naelewa sana mawaidha yako sheikh Allah akujazie zaidi

  • @salmagogo9967
    @salmagogo9967 7 лет назад +11

    mashaallah shukra kwa ukumbusho Allah akujaze kher ishallah

  • @ziadamtebwa3712
    @ziadamtebwa3712 Год назад +1

    Mashallah Allah akuĺipe

  • @fatmamzee6146
    @fatmamzee6146 8 лет назад +23

    JazakaLlah Kheir. Mungu akupe malipo mema hapa dunia na Akhera akulipe the highest Janatul Al Firdaus

  • @haidarigulam7844
    @haidarigulam7844 6 лет назад +2

    allah atakulipa insha allah !kwa mafunzo. huna mikiki ktk hotuba zako, mtu aweza kusikiliza mwanzo mwisho pasi kuchoka

  • @Fazila1122-ks3db
    @Fazila1122-ks3db Год назад

    Mashaall mwenyez mungu azindi kuku weka

  • @anaananik5016
    @anaananik5016 7 лет назад +1

    Mashaallah mungu atupe kheri hizi na mungu akujaalie pepo shekh kwa mawaidha utupayo

  • @مسلمهكينيا
    @مسلمهكينيا 3 года назад

    Yarab akujaalie pepo njema.ww.na.cc.wasikilizani Aamin

  • @fatimasaleh1991
    @fatimasaleh1991 7 лет назад +5

    Jazakallah'ukher Allah akulinde na akuongozee umri tupate faida nyingi tunakupenda shekh maalim othuman unabadilisha maisha yetu

  • @asiaiddi330
    @asiaiddi330 5 лет назад +4

    A mwalaikum shekh othuman asante sana unajenga mioyo yetu n kujaz imani thabit god may grant u a lot of years tupat mema zaidi ameen inshaaah taala

  • @hafswamwinyi4163
    @hafswamwinyi4163 4 года назад +3

    Asalam aleikum ndungu zangu wa kubwa NA wadogo mungu awa hifadhi NA kila jami isilam

    • @musajumbe5791
      @musajumbe5791 3 года назад

      alhhh akujalie mwisho mwema......

  • @suleimansaid2523
    @suleimansaid2523 2 года назад

    Othmani maalimu

  • @issamasaremasare4192
    @issamasaremasare4192 2 года назад +1

    Mashaalah zaakum llah khair

  • @sabrinasabrina3974
    @sabrinasabrina3974 3 года назад

    mash allah shekhe wetu allah akujalie afya n barka tele

  • @zainaomary5815
    @zainaomary5815 2 года назад

    Mashaalaah darasa zuri

  • @rahmaalfan1776
    @rahmaalfan1776 3 года назад

    Masha allah tabarraka rahmani yaarabi akujaze khery

  • @shaguftaahmed7301
    @shaguftaahmed7301 7 лет назад +12

    Masha~@llah Nilikuwa Kibri Juu Ya Wazazi Wangu Lakini Namshkuru @llah Kwa Kuniongowa Baada Ya Kusikiliza Mawaidha Yako, Yamenichoma Sana Yameniliza Sana.

    • @AzainTv
      @AzainTv 6 лет назад

      Shagufta Ahmed
      Hilo ni jambo zuri saana
      Allah azidi kukuongoza Ndgu yangu,

    • @costamapemba557
      @costamapemba557 4 года назад

      Shagufta Ahmed N’étant jamais aussi loin 語によってむfait

    • @BINTIwaKITANGA
      @BINTIwaKITANGA 2 года назад

      @@costamapemba557 wewe umeelewa umeongea nini?! Maana kaongea Kiswahili wewe sijui umejibu Lugha gani

    • @JoriJori-es2re
      @JoriJori-es2re 6 месяцев назад

      Allah akdumishe ktk hilo ndg yetu

  • @mosamadmwahija7879
    @mosamadmwahija7879 3 года назад +1

    MashaAllAh shukrani sanaa kwa ukumbusho

  • @hassanramadhan8978
    @hassanramadhan8978 3 года назад

    Allah akujaalie ilmu yenye manyfaa duniani na kesho akhera

  • @maryamsalum1795
    @maryamsalum1795 2 года назад +1

    Ma sha Allah sheikhe!!!

  • @asiamohd5516
    @asiamohd5516 3 года назад +6

    Jazaka Allah kheri. ❤️❤️❤️

  • @sallyzreshiz20
    @sallyzreshiz20 6 лет назад +1

    Shukran mbna sheikh izuuddin hatulii

  • @abeliever6823
    @abeliever6823 8 лет назад +19

    Jazaakallahu khairan Mola akuhifadhi Mola awarehemu wazazi wetu

  • @brothertv1516
    @brothertv1516 3 года назад +1

    Jazakallah Allah akuongeze her uzidi kutupatia dawa inshaalla"

  • @kheirsimai3650
    @kheirsimai3650 7 лет назад +8

    Shukrqn Sheikh Allah akubsrik

  • @mohamednoornoor944
    @mohamednoornoor944 5 лет назад

    Mungu akupeleke pahala pema peponi

  • @CartoucheLwanzo-zf3cq
    @CartoucheLwanzo-zf3cq 5 месяцев назад

    Shukran jazzila ya cheikh.

  • @massoudjr6146
    @massoudjr6146 3 года назад

    Mashaalah Allah, Allah Atujaliy Sisi na Wazaz we2 pepon Amii

  • @hamastien5439
    @hamastien5439 5 лет назад

    Mashaallah barak llah fiq rabii ghufriliwaliwalidayiy kamarabayan saghira shukuran lak ya shekhe othuman maalim m

    • @hamastien5439
      @hamastien5439 5 лет назад

      Mwenyezimung akulipe kher fiiduniay waliakher yarabii

  • @fatmababaz6573
    @fatmababaz6573 8 лет назад +4

    ALLAH AWAREHEMU WAZAZI WETU INSHA'ALLAH NA AWAONGOZE WATOTO WETU WAEZE KUPATA RADHI ZETU NA ZA ALLAH SUBHANAHU WATAALAH,JAZAKALLAH KHEIR SHEIKH OTHMAN.

  • @farahonia8378
    @farahonia8378 3 года назад

    Mashaallah allah akupe mwisho mwema yarabi

  • @halimamansoor1902
    @halimamansoor1902 3 года назад

    Jazakallah kher asante sana kwa ukumbusho

  • @husseinmmallesa6444
    @husseinmmallesa6444 4 года назад +2

    MashallAh maalim othuman

  • @ahmadfarid1676
    @ahmadfarid1676 7 лет назад +1

    Mashaallah Allah akuihifadhi..... AMEEN Allah akulinde na kila shari

    • @allyfaki9883
      @allyfaki9883 6 лет назад

      mwenyezmung akuzdishie miaka mirefu yenye kher

  • @fatmamzee6146
    @fatmamzee6146 8 лет назад +11

    Amin YaRabbi

  • @ayshahams7373
    @ayshahams7373 7 лет назад +3

    shkran sheikh nimetkwa n machzi twashkr kwa mawidha yko mwenyzmung akuzdshia

  • @Halimamohd-ds6os
    @Halimamohd-ds6os 9 месяцев назад

    Shukran kwa ukumbusho

  • @laleinemirjangi1930
    @laleinemirjangi1930 8 лет назад +21

    MASHAALLAH VOUS ÊTES LE MEILLEUR SHEIKH.QU"ALLAH VOUS PROTÈGE ET VOUS DONNE UNE LONGUE VIE PLEIN DE BONHEUR ET DE COURAGE.AMEEN