Uongozi ni dhamana Tu, inahitajika busara na hekima kubwa zaidi katika kushughulikia mambo. Huyo binti alihitaji Tu kueleweshwa na kuelimishwa na siyo kutukanwa na kuwekwa ndani. Viongozi Mungu atusaidie tusiwe na emotional katika kushughulikia mambo na hasa tunakumbana na changamoto za kutoheshimiwa katika kauli zetu.
Tanzania ni nchi ya ajabu sana madaraki kidg tu unaanz kupiga watu vyeo,mali ufahari chochote ulicho nacho leo hakidumu maisha ya dunia ni yakupita sasa sisi tunawashangaa sana viongoz wa namna hiyo
DC ni binadamu kama wengine kwa nini ampige Nae mungemchangia mukamchezesha kipigo maana kaanza hakuna uongozi wa aina hiyo wa chini yake wafanyaje 😢😢😢😢😢😢
Fanyeni yote Ila mwisho wa mambo kama haya huwa ni Mateso makubwa Sana hapa Dunia 💪🏽🙏🏼 Hizi nafasi mlizo jaaliwa na mwenyezi Mungu zitumieni vzr ili mpate mwisho mwema vinginevyo mtanikumbuka🙏🏼
Huyu mkuu wa wilaya Ana mahusiano gani na hii familia?? Yeye ni nani na kazi yake ni nini, haya ni matumizi mabovu ya madaraka, mh.Rais mama Samia kweli huyu ni mtendaji wa umma ? Hizi kazi za wilaya hawa watendaji kweli? Mh.Rais tunaamini wewe na serikali yako ni ya haki na sheria haki itatendeka. DC ?? DC Dc sio kuna sheria wewe huwezi kuwa juu sheria.Wacha hiyo lugha.
Sasa ww ni Mpelelezi unajuaje kama hakumuua mama yake? huyo anayedai cheti ni mtoto wa marehemu na huyo mwenye cheti ni mtoto wa marehemu kwanini ww una masrahi na huyo anayetuhumiwa kumuua mama yake?maana wote ni watoto na cheti ni cha mama yao.
Huyo alie daiwa kaua anataka kuuza shamba 140m sasa mdogo hataki wauze inavyoonyesha sasa DC unaingiliaje mambo ya familia ya mtu au wewe ndo ulitaka kununua
Mkuu wa Wilaya ametumia vibaya madaraka yake.. kwa kutumiwa na huyo dada mtuhimiwa wa mauaji ya mama yake.Mheshimiwa Rais tunaomba "Mtumbue Mkuu huyu wa Wilaya,hafai kuwa kiongozi na ni mfano mbaya,kwanza hana mamlaka ya kuingilia mambo ya familia.Ukoo una kanuni na njia zake za kutanzua migogoro.., Mkuu wa Wilaya kaa kando.Samia mshughulikie huyu mkuu wa wilaya.
Wakuu wa Wilaya wengi hawana sifa zozote za kiuongozi. Ni Raisi ndiye amewateua wengi wakuu hawa wa Wilaya na mikoa wasio na maadili kabisa. Hawajui hawa viongozi na ni viongozi sugu na wabababe wa tupu. Inaonyesha wazi anayewateua pia yuko hivyo na hawaelewi anaowateua au anawaelewa na kaziba masikio. Maana amewahi kuwateua hata waliofariki.
Huyu mkuu wq wilaya hafai anapigaje mwananchi ofisini? analeta udikteta? Kwanini awatukane wananchi? Ana maslahi gani kwenye hii kesi? Huyo alieua mama ake anajuana na mkuu wa wilayq?
ANAMWAMBIA AENDE MAHAKAMANI ILI AKISHAFUNGUA KESI BAADAYE MAJAJI WAPIGIWE SIMU, UTASIKIA KESI IMETUPILIWA MBALI HAINA USHAHIDI WA KUTOSHA KUWEZA KUMTIA HATIANI MTUHUMIWA, KWA HIYO MTUHUMIWA YUKO HURU.
Anamwambia anaende mahakamani maana wanajua hakuna mahakama ya kuwafanya wafungwe au kuchukuliwa hatua haki viongozi wa CCM wote kwenye ngazi zote siku yenu ipo
Sasa huyu Mkuu wa Wilaya anamaslahi gani na hiyo familia? nini kazi ya DC ? anataka cheti kwani yeye ni Mahakama? Natamani afutwe kaz hatua zichukuliweeeee
Afutwe kazi wakati askari alieongoza genge la kulatiwa Kwa yule Binti imeshindikana kufungwa Kenya makamo wa Rais anafutwa kazi Tanzania hata sanjet TU anashindwa kufungwa mnatufanya tujute kuwa watanzania
Dc hongera sana Moshi ubinafsi ni wakutosha tumia mamlaka yako iliyotoka Kwa MUNGU ww ni kamati ya ulinzi na usalama bila kuwazibua hawatakaa wakuelewe
Twende kazi. Wakati wa kwenda kulima na kupanda ndomuda wake huu. Huyu mkuu. Kacheleweshwa na mama samia kumtumbua.
Atumbuliwe ,hafai ng'00000
Wakuu wa wilaya wa ccm hao
Mkuu wa Wilaya yeye ni nani kwenye msiba mpka anadai cheti au yuko ukoo Aiseee
tumesha wazoea
Uongozi ni dhamana Tu, inahitajika busara na hekima kubwa zaidi katika kushughulikia mambo. Huyo binti alihitaji Tu kueleweshwa na kuelimishwa na siyo kutukanwa na kuwekwa ndani. Viongozi Mungu atusaidie tusiwe na emotional katika kushughulikia mambo na hasa tunakumbana na changamoto za kutoheshimiwa katika kauli zetu.
Mda wowote ndugu DC tarajia kuona pdf ya ikulu
Mkuu wa wilaya ni next level!
Very sad hawa ndio wanao mchafua mama samia anaonekana mbaya tumbua huyu mama na jela lazima
Siyo wanamchafua yeye mwenyewe hafai
Tanzania ni nchi ya ajabu sana madaraki kidg tu unaanz kupiga watu vyeo,mali ufahari chochote ulicho nacho leo hakidumu maisha ya dunia ni yakupita sasa sisi tunawashangaa sana viongoz wa namna hiyo
DC ni binadamu kama wengine kwa nini ampige Nae mungemchangia mukamchezesha kipigo maana kaanza hakuna uongozi wa aina hiyo wa chini yake wafanyaje 😢😢😢😢😢😢
Hiv kutotoa cheti ni kosa kisheria
Hv hayo mamlaka wanapewaga na nani!!!?? Km Kuna changamoto c Kuna mahakama
Huyo dc anataka kuchukua hiyo kiwanja pengine
Hata me nimeliona cheo ni dhamana iko siku kitaisha kwa kuondoka duniani wewe umegeuka mahakama lakini huu wote ni utawala mbovu
Fanyeni yote Ila mwisho wa mambo kama haya huwa ni Mateso makubwa Sana hapa Dunia 💪🏽🙏🏼
Hizi nafasi mlizo jaaliwa na mwenyezi Mungu zitumieni vzr ili mpate mwisho mwema vinginevyo mtanikumbuka🙏🏼
Exactly bro!
Kwann umpige m2 na khaki yk subiri samia ajue utajuta
Huyo mkuu wa wilaya apandishwe cheo
Huyo Dc hajui wajibu wake anatawala kimabav u. RAISI SAMI TUMBUA HARAKA. JE DC HUYO ANAMDHALILISHA RAISI WETU.
Huyu mkuu wa wilaya Ana mahusiano gani na hii familia??
Yeye ni nani na kazi yake ni nini, haya ni matumizi mabovu ya madaraka, mh.Rais mama Samia kweli huyu ni mtendaji wa umma ? Hizi kazi za wilaya hawa watendaji kweli?
Mh.Rais tunaamini wewe na serikali yako ni ya haki na sheria haki itatendeka.
DC ?? DC Dc sio kuna sheria wewe huwezi kuwa juu sheria.Wacha hiyo lugha.
Mkisikia chama cha ccm kinafuga waizi wenyewe ndio hao sasa
Sasa ww ni Mpelelezi unajuaje kama hakumuua mama yake? huyo anayedai cheti ni mtoto wa marehemu na huyo mwenye cheti ni mtoto wa marehemu kwanini ww una masrahi na huyo anayetuhumiwa kumuua mama yake?maana wote ni watoto na cheti ni cha mama yao.
Anataka anunue Hilo eneo yeye kwa huyo dada
Kama kwel bhas huyu anataka kumchonganisha mama na wananch,
President Samia, please react. All corrupt people must be impeached.This guy must be behind bars.
Ivi kwl mkuu wa wilaya Sheria inamruhusu apige watu atakama wanatuhumiwa... Jamani asaidiwe uyo dada aliyepigwa apata Aki yake Kwa majibu wa Sheria
Huyo alie daiwa kaua anataka kuuza shamba 140m sasa mdogo hataki wauze inavyoonyesha sasa DC unaingiliaje mambo ya familia ya mtu au wewe ndo ulitaka kununua
Mama tumbua huyaau mkuu w
Kiongozi aenguliwe
Mbuta,yaani ningemrukia nimng'ate.
RAISI SAMIA ONDOA HUYO DC ANAKUDHALILISHA
Haya mabavu yanatoka wp?
Huyu mtu hafai
Mkuu wa Wilaya ametumia vibaya madaraka yake.. kwa kutumiwa na huyo dada mtuhimiwa wa mauaji ya mama yake.Mheshimiwa Rais tunaomba "Mtumbue Mkuu huyu wa Wilaya,hafai kuwa kiongozi na ni mfano mbaya,kwanza hana mamlaka ya kuingilia mambo ya familia.Ukoo una kanuni na njia zake za kutanzua migogoro.., Mkuu wa Wilaya kaa kando.Samia mshughulikie huyu mkuu wa wilaya.
Sikachaguliwa na rais. Nyie mkiambiwa katiba. Mnasema ya chadema na bado
'Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa'. Siku hizi Wakuu wa Wilaya ni mahakama ya kukusanya vielelezo vya shauri? Tutapigwa sana!
Mkuu wa wilaya?mh mama samia angalia watu unaowateua
Haya ni matokeo ya kuwa na rais wa hovyo...yaani ni kheri utawala wa kijeshi kuliko utawala wa kipumbavu namna hii
Raisi kaingiaje hapo
@@magesakhamis4808Mama alivyo ndivyo alivyo mtoto wake.
Ivi nyie mmeshindwa kupiga makofi uyo mkuu wa wilaya.
mtajua tu bado hamjasema hawa niwatawala sio viongozi
Sasa mkuu wawilaya anapigaje mtu je shelia gani ina ruhusu
Yaani mkuu wa wilaya anachapa mtu ofisini kwake anasema aende mahakamani, atemwe tu ukuu huo unaompa kiburi
Wakuu wa Wilaya wengi hawana sifa zozote za kiuongozi. Ni Raisi ndiye amewateua wengi wakuu hawa wa Wilaya na mikoa wasio na maadili kabisa. Hawajui hawa viongozi na ni viongozi sugu na wabababe wa tupu. Inaonyesha wazi anayewateua pia yuko hivyo na hawaelewi anaowateua au anawaelewa na kaziba masikio. Maana amewahi kuwateua hata waliofariki.
Aende mahakamani asihofu
Nyie wateule wa raisi cheo ni dhamana tuu mkikwazwa na wake zenu mnawashambulia raia kwa makofi
Hafai kua kingozi kwani Mali niyao Anadarko cheti cha nini
Usitumie mamlaka ya kuumiza wanyonge,tambua uongozi ni Karama sio mabavu
Huyu mkuu wq wilaya hafai anapigaje mwananchi ofisini? analeta udikteta? Kwanini awatukane wananchi?
Ana maslahi gani kwenye hii kesi?
Huyo alieua mama ake anajuana na mkuu wa wilayq?
ndiyo sheria ya familia inakuwa na alafu ana mamlaka kisheria ila kuna kitu nyuma ya pazia na vyuo mtoto wa marehmu
Wakuu wa wawilaya wamekuwa mabondia,na anajibu Kwa dharau kabisa Sasa cheti Cha kifo Cha mama wa watu yeye anakitakia nini
NDIO TUMEFIKIA HUKO SASA BABA
ANAMWAMBIA AENDE MAHAKAMANI ILI AKISHAFUNGUA KESI BAADAYE MAJAJI WAPIGIWE SIMU, UTASIKIA KESI IMETUPILIWA MBALI HAINA USHAHIDI WA KUTOSHA KUWEZA KUMTIA HATIANI MTUHUMIWA, KWA HIYO MTUHUMIWA YUKO HURU.
Aibu kabisa
Huna Mamlaka ya kumpiga Mwananchi wewe DC acha ujinga
Jamni wani.ardhi inauzwa kwa kutumia cei cha kifo?
Mm natamani tuuwawe tuteswe hivi hivi tuvunjiwe majumba mpaka akili itujie vizuri maana hatujitambui sana
Kama viongozi ndio Hawa basi kazi ipo Hawa ndio viongozi wanaoingia madarakani kwa damu za maalbino tunaona matunda sasa
Mngemchangia,mfanye vurugu.
kwann Document isiende kutolewa Mahakamani wewe DC unakitaka cheti cha nini na je kwann umemweka MwanaNchi ndani anamakosa gani ?
Heee , mbona hii nayo wendawazim
Avai kuongza jaman hata kidogo
Kama hajaua mbona anaweka mwenzie ndani?
Ungezui izo harakat sio kutukana nakupiga
Mmmmmh
Hayo ni madai kupitia mirathi
Hawa madc kama hawa wanaokotwagwa wapi? Mateja yanapewa wilaya unategemea nini
Document ya serikali,kwani hakuna copy!(Nakala)
Huyo Dc sio mahakama ili aite vielelezo
DC akalee familia yake nchi Moshi imemshinda kwa ye ni mahakama mkuu uyo
Tunaendelea kuupiga mwingi.
Wamelewa madaraka
Hayo ni madai
CCM hoyeeeeeeeee 😂😂
Oyeee
KAMA KESI NI NGUMU KUSULUHISHA, NI BORA KUWAELEKEZA WAHUSIKA WAENDE MAHAKAMANI ILI KUEPUKA USUMBUFU USIO WA LAZIMA !
Mosh kibao begani mnasema kapigwa njoon
mara tunapiga kwa panga
Anamwambia anaende mahakamani maana wanajua hakuna mahakama ya kuwafanya wafungwe au kuchukuliwa hatua haki viongozi wa CCM wote kwenye ngazi zote siku yenu ipo
Ungekutana na Mimi ndio ungejua kama maharage ni mboga !!
Yaaani maelezo ya DC yana kigugumizi inqmhusu nn anajuaje Alita kuzulumu ? Huyu hatufaiiiiiii
Anataka hiko kiwanja
kwan kosa la dc liko wap
Jinga kubwa
We huna akili kwao DC kazi yake ni kupiga watu makofi na kuingilia ugomvi wa familia
Au Huyu DC ni mwizi nini? Cheti cha kifo anakitaka cha nini?
Madc wote ni makada ccm wamezoea uchafu wao
Wawe wanapitia shule za uongozi sio uchawa tu unampa shavu
Tunatakc katiba ambayo hata rais akiharibu katiba imuwajibishe imekuwa nchi ya kikundi tokajuu hadi chini
MAJI HUFUATA MKONDO NA BENDERA HUFUATA UPEPO.
Sasa huyu Mkuu wa Wilaya anamaslahi gani na hiyo familia? nini kazi ya DC ? anataka cheti kwani yeye ni Mahakama? Natamani afutwe kaz hatua zichukuliweeeee
Afutwe kazi wakati askari alieongoza genge la kulatiwa Kwa yule Binti imeshindikana kufungwa Kenya makamo wa Rais anafutwa kazi Tanzania hata sanjet TU anashindwa kufungwa mnatufanya tujute kuwa watanzania
💔😭
Utawala wakipumbavu kabisa
Raisi fukuza huyu
Dc hongera sana Moshi ubinafsi ni wakutosha tumia mamlaka yako iliyotoka Kwa MUNGU ww ni kamati ya ulinzi na usalama bila kuwazibua hawatakaa wakuelewe
Hata mm ningemtia mangumi maaana ni jeuri
Ujeuri wake unahusu nini au umekunywa ulanzi
Unaharisha na mdomo
Nendeni kwa mkuu wa mkoa acheni kulalamika
Ww ni masikini wa kufikiri anadai vielelezo vinamhusu nn kama sio kutumia madaraka vibaya, hiyo ni kazi ya mahakama sio kazi yake
Hayo ni madai kupitia mirathi