Mkasi | S13E12 with Salim Kikeke Extended Version.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 дек 2024

Комментарии •

  • @masakabenard9221
    @masakabenard9221 5 лет назад +1

    Wewe ni mtanzania unaejitambua hongera kwa kiro akuombea uishi miaka 10000000000

  • @sheikhmajidabusulaman956
    @sheikhmajidabusulaman956 4 года назад +1

    Salim wewe na zuhra yunis yaani munaendena kwenye matangazo yani hongera 100% salaam alaykum

  • @josephutonga5728
    @josephutonga5728 9 лет назад +1

    Dah..mmefanya la maana sana kufanya interview na huyu jamaa kwababu huyu mtu namkubaki sana.Thank u very much MkasiTv.

  • @lazarohamisi5202
    @lazarohamisi5202 7 лет назад +8

    usiache kujifunza. nimeipenda from #Salim kikeke

  • @jacobjoe5348
    @jacobjoe5348 5 лет назад +1

    Salam mungu hakubali kwasababu huna tufungua kama vijana kwa mkasi au kipindi

  • @peterbayo4677
    @peterbayo4677 7 лет назад +3

    Salim Kikeke ni mtangazaji bora na mahiri zaidi wa idhaa ya kiswahili wa wakati wote kwangu

  • @celinaalphonce7996
    @celinaalphonce7996 4 года назад

    Hongera Sana kikeke na Salama nawapenda Sana wote mnaweza.

  • @nyasiokitanda7212
    @nyasiokitanda7212 6 лет назад

    Nakupenda sana na unajua sana mungu akujalie kila la kheri kaka

  • @mwl.kamusi_tzrasmi3034
    @mwl.kamusi_tzrasmi3034 6 лет назад

    Ahsante sana!Mungu akubariki sana kikeke nitaenenda kauli zako.

  • @saimmabula3442
    @saimmabula3442 8 лет назад +3

    Salim kikeke na Salama jabir are my best presentaz kibongo bongo

  • @lawsofsucces5784
    @lawsofsucces5784 8 лет назад +2

    Mkali Salim Kikeke upo vizuri kumbe ulishaoa Tanzania ndoa ikakataa

  • @winfridmsuha1303
    @winfridmsuha1303 5 лет назад +2

    Yan salimu anaongea kama akitangaza love you brother

  • @doctorukia
    @doctorukia 9 лет назад +3

    Thank you for uploading. I was looking forward to this interview. However, we would like to see more women being interviewed on your show.

  • @freemasonkingdom2847
    @freemasonkingdom2847 6 лет назад

    Ahsante awilo kwa swali lako la mwisho ni zuri sana

  • @halimakhamis1148
    @halimakhamis1148 4 года назад

    I like it

  • @shabaninkolwa276
    @shabaninkolwa276 9 лет назад +4

    Katika waandishi wa habari wa kitanzania wanaofanya kazi ugaibuni pia ninaojivunia nadhani bila shaka wewe ni wakwanza ila kaka jitahidi uweze kusaidia wapatikane kinakikeke wangine kama wewe plz plz brother........BBC SWAHILI BIG UP

  • @masanjaphilipolunebula940
    @masanjaphilipolunebula940 9 лет назад

    thanx all participant in mkas period, nice interview !

  • @tillyahono3723
    @tillyahono3723 8 лет назад +4

    Kikeke my Role model

  • @wahidawahida6675
    @wahidawahida6675 5 лет назад

    Nakupenda saleem upo smart yani mwanaume wa shoka sio waramba midomo

  • @lucasdismas4314
    @lucasdismas4314 8 лет назад

    hhhh salama "haukunishika shika paja" very funny

  • @xkingx8041
    @xkingx8041 9 лет назад +2

    I love you salama, one day I will come to see you.

    • @rukiaosman8416
      @rukiaosman8416 6 лет назад

      Immauclee Byamungu wallah salama nina kupenda sana

  • @elinaikenamugana
    @elinaikenamugana 9 лет назад +13

    Sijapenda ndala za Awilo na Muba, kipindi kikubwa hiki hakikitaji vumbivumbi

  • @robertcora9871
    @robertcora9871 8 лет назад

    Kiukweli kaka salim kikeke huwa ninatuliza macho kwenye habari za BBC SWAHILI Kwa sababu yako na hata wiki mbili zilizopita wakati haupo kweli hakukuwa na utamu wa habari, hongera sana brother.

  • @omarilugendounaaklinautfni5097
    @omarilugendounaaklinautfni5097 9 лет назад +6

    watanzania weng hatujui kiswahili fasaha na kiingereza fasaha pia hatujui hlf pia ukolon wa akili tunhc kiingrz nd elimu ni vema tuanze kujivunia lugh yet

  • @shamsahussen1059
    @shamsahussen1059 7 лет назад

    Salem nakukubali Sana love you

  • @jackjery2930
    @jackjery2930 8 лет назад

    Kikeke upo sahihi kinoma noma aisee

  • @yonasangitho4485
    @yonasangitho4485 7 лет назад +4

    unahakili Sana kikeke hapo kwenye alikiba vs mondi umeonyesha ukomavu wako

  • @karthala6676
    @karthala6676 9 лет назад +6

    Hi salama. Mimi napenda sana mkasi. Ingekuwa vizuri kama unaweza kualika watanzania wanokaa nje kama ulaya kuja kuzungumza maisha yao ya nje ya tz ili watu wanokaa tanzania wafahamu kuwa maisha ukaya nayo si rahisi. Also it would be better for the team to be more organised. For example. I think most of the time it appears that you monopolise the session. Give the boys time to ask questions as well. All of you should know when to ask questions. Organise yourself so that each and every one of you could have a say in a professional manner. Kwa herini

  • @salimsalmy2045
    @salimsalmy2045 9 лет назад +1

    Muba hafai kabisa

  • @assakeke3671
    @assakeke3671 9 лет назад

    hongera salim keke

  • @reinfridazinga108
    @reinfridazinga108 9 лет назад +23

    JAMANI,KWANN SALAMA NA WENZAKO HAMJI FUNZI KUTOKA KWA SALIM???NI MSOMI SANA.LAKINI KWA KUWA AME AMUA KUONGEA KISWAHILI,HACHANGANYI NA KINGEREZA.HUO NDIO UTANGAZAJI.KINACHO WAPONZA NYIE MLIO BAKI TANZANIA,NI HIYO TABIA YA KUCHANGANYA,WAKATI HATA KISWAHILI CHENYEWE MNAONGEA KIBOVU

    • @lucyjohn7904
      @lucyjohn7904 5 лет назад

      Hii point sn

    • @amerjuma3723
      @amerjuma3723 4 года назад

      Rabda nikwambie kitu REIFRIDA, huwezi kumlaumu Salama km anachangabya lugha wakati serikali inatilia mkazo watu waongee kiingereza

  • @abdubakar5428
    @abdubakar5428 6 лет назад

    Mahojiano safi, ni kweli ni muhimu kukivalia njuga Kiswahili, ukweli kuna watangazaji wengine wanavuruga, lakini kwenye jukwaa hilo nyote poa,

  • @henrybill3841
    @henrybill3841 9 лет назад

    jamaa mzalendo sana

  • @footballnewstv858
    @footballnewstv858 6 лет назад +1

    Paul nimependa mkasi

  • @aminamasareaminamasare2693
    @aminamasareaminamasare2693 9 лет назад +2

    kwel muba na John mnaaibisha nchi kipindi kizur sana lkn mnavaa kishaba sana

    • @ahmedalminshad1211
      @ahmedalminshad1211 8 лет назад

      amina masare amina masare aaa wame vaa tu poa hamna ushamba

  • @kipolaina
    @kipolaina 9 лет назад

    Huyu salim Ndio wale jina ya mama haijui jina mama jirani najua

  • @mnuquer
    @mnuquer 9 лет назад

    akhsante sana mkasi tv ila josh umebana sana muda ambayo "extended version" ya kipenzi chetu salim

  • @qassimmbaya7911
    @qassimmbaya7911 9 лет назад +1

    nice ila naomba umwitege yule mtu wa kusini kuleee nchimbi aiyola master harmonize

  • @shabanthabit36
    @shabanthabit36 5 лет назад

    Salama una watoto wangap? Samahan kwa kukutoa nje ya mada taf adhal naomba jibu

  • @twilamtumbi949
    @twilamtumbi949 9 лет назад

    Wote wapuuzi.

  • @emmanueledward2109
    @emmanueledward2109 6 лет назад

    Izo ndala za muba sio

  • @hajijuma4160
    @hajijuma4160 5 лет назад

    Nimependa lakini muba na awilo uvaaji viatu ckuelewa

  • @sheikhmajidabusulaman956
    @sheikhmajidabusulaman956 4 года назад

    Hata ya zuhra yunis ntafurahi sana hasa ya watsapp

  • @Halleberryist
    @Halleberryist 9 лет назад +1

    John na Muba please jaribuni kumpa nafasi mgeni ajieleze vya kutosha, na mhakikishe mko smart, lasivyo tutawatoa kwenye hiki kipindi chetu kizuri.

  • @saleheinnocent7636
    @saleheinnocent7636 5 лет назад

    Nimemic kipindi sana

  • @sadamosses9763
    @sadamosses9763 9 лет назад +3

    kaka kikeke unachosema ni ukweli chakushangaza mtu anakuja hapo kwenye hichio kipindi chakushangaza huyo ntangazaji salama jabir kila robo neno anaongea kingereza, ss hivyo inaonyesha kwamba wao watu wautangaji wanapotosha lugha yetu , ona ulipofika tu hapo kakusifia kwanini salim unaongea kingereza kizuri kuliko mtu yoyote je salama hilo unaona swali la msingi kwa tz, kwanini usimsifie km anaongea kiswahili uzuri huyo kikeke hata huko london yupo idhaa ya kiswahili , tatizo nyinyi watangaji et ndio wapotoshaji wa watu, sikiliza salama kingereza ni lugha km lugha zote duniani, unapaswa mtu anapokuja hapo ktk hicho kipindi chenu km kipo ktk nchi ya tz hakistahili kiwe saa zote unauliza watu maswali ya lugha za kigeni, km ni hivyo jengeni studio nyinge hiyo iwe kwa lugha za kigeni, kwa ufupi mnahitaji mabadiliko km mpo hapo kwa ajili ya watanzania lazima mjitahidi kuongea kiswahili jamani, kwanini unamuulizia mambo ya mziki huyo kz yake sio mziki hivi hakuna waandishi wa habari wadogo ukawauliza unamuuliza mziki na habari wapi na wapi

  • @sheikhmajidabusulaman956
    @sheikhmajidabusulaman956 4 года назад

    Ningeomba nambako ya cm miniko Accra Ghana nambangu+23327772297

  • @kindnesslaiser3857
    @kindnesslaiser3857 7 лет назад

    Salama paka make up Sikh moja