Bwana Asubuhi Kucha. Moja ya nyimbo makini sana. What can I say about KAC. Mungu awabariki sana kwa kazi nzuri. Ulinganifu wa sauti, mwonekano wa waimbaji, Harmonica imepulizwa kwa umakini sana. God bless you my people.
Bwana asubuhi kucha,hakika Bwana amekuwa mwema sn kwetu kila wakati. Mungu awabariki sn walimu na waimbaji,awapatie afya na unyenyekevu,mkitambua shetani hajalala.Maombi ndiyo siraha pekee❤❤❤sn nyie watu.
Mbarikiwe sana Kilumba, binafsi mnanibariki Sana, MUNGU aendelee kuwatumia vema mnapolitangaza jina lake kwa njia ya uimbaji Mbarikiwe, nami ni mdau wa notaaa
Amen Ni kweli kabisa bila rehema za Mungu atuwezi kuwa matumaini ya kuniona asubuhi ivyo tuakapo wazima tumshukuru Mungu wetu Bwana awabaliki sana KAC endeleeni kumtukuza Bwana 🙏
Amina sana barikiweni wapendwa
Amen kac ninawapenda sana yaaniiii
Bwana awabariki...sanaaa haswa uyo kibonge Music conductor anajitoa kwa moyo jmn Mbarikiwe saaana.
Uimbaji unaotusongeza karibu na Mungu,Jameni mbarikiwe watumishi
One of my best song, I love this song, I play it every monrning before starting a new day.What a blessing
Bwana Asubuhi Kucha. Moja ya nyimbo makini sana. What can I say about KAC. Mungu awabariki sana kwa kazi nzuri. Ulinganifu wa sauti, mwonekano wa waimbaji, Harmonica imepulizwa kwa umakini sana. God bless you my people.
Asante sana Master.
Amen
Ukitaka Kuwa na furaha siku nzima Anza asubuh Yako na huu wimbo utakuja kunishukuru barikiwa sana waimbaji KAC
Bwana asubuhi kucha,hakika Bwana amekuwa mwema sn kwetu kila wakati.
Mungu awabariki sn walimu na waimbaji,awapatie afya na unyenyekevu,mkitambua shetani hajalala.Maombi ndiyo siraha pekee❤❤❤sn nyie watu.
Amen
Mbarikiwe sana Kilumba, binafsi mnanibariki Sana, MUNGU aendelee kuwatumia vema mnapolitangaza jina lake kwa njia ya uimbaji Mbarikiwe, nami ni mdau wa notaaa
Jamani mm nimepata wazo tujifunze nyimbo za kitabu cha Kristo baada ya hap tuzigeukie zile za kwetu
Mbona KAC wanazo hizo nyimbo unazos3ma..au hujwahi kuwasikia?
Bwana atukuzwe sana kwa uimbaji huu mtulivu. Bwana tutakuinua juu Kila asubuhi, mchana hata usiku
Beautifully done
Excellent
Mungu atukuzwe kwa karama zenu.
Happy Sabbath
❤❤❤❤ Ameen.
Bwana awabariki sana wana kirumba.
Amen amen 🙏
Amen🙏🙏🙏
May the Almighty God bless you KAC
Amen,nyimbo zenye utulivu zinanibariki sana
Amen
Ni kweli kabisa bila rehema za Mungu atuwezi kuwa matumaini ya kuniona asubuhi ivyo tuakapo wazima tumshukuru Mungu wetu
Bwana awabaliki sana KAC endeleeni kumtukuza Bwana 🙏
Bwana asubui nitakuinua,asante sana choir
Amina Mbarikiwe sana kwa wimbo mzuri
Wonderful in deed
Woow what amazing singing
Ameen mbarikiwe sana
Haleluyaaaaa...blessed KAC....
Mbarikiwe sana
Amen
Safi sana! Tamu
Mbarikiwe sana hakika mungu wetu ni mwena
Amen!
Ameni
❤❤❤❤❤
Ubunifu mkubwa sana
Safi sana
Amen.
Amen
Amen.
Amen