KARMA LEO USIKU. MWISHO WA HARUSI YAO KWA FURAHA KUBWA SANA. BIBI YAKE SONG WA NAE YUPO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 31 янв 2025

Комментарии • 153

  • @wegram_Movies
    @wegram_Movies  4 месяца назад +9

    COMMENT CHOCHOTE USHINDE. TSH 100,000 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

    • @ashuraRamadhani-x5m
      @ashuraRamadhani-x5m 4 месяца назад

      Mwisho waubaya aibu,namapenzi yakweli tumeyaona usikate tamaa pamban kam su

  • @BatulMazuri
    @BatulMazuri 4 месяца назад +2

    Imetufundisha maana halisi ya karma👍👏👏🎉🎉❤💝 ni movie bomba sana na imetisha mashallah 🎉😂❤👏👍😘💞💕❤️❤️😍🥰🌹🎁

  • @JoyceTarimo-h8v
    @JoyceTarimo-h8v 4 месяца назад +2

    Waooow bong sungwa hii thamsilia nimeifuatilia mwanzo mwisho hakika nimejifunza mengi Sana,kupitia sungwa kanifundisha uvumilivu,na ujasiri wa kupambana hasa pale unapoipambania haki yako hatupaswi kukata tamaa,pia nimejifunza yale unayomtendea mwenzio yanakurudia mwenyewe malipo ni hapa hapa ..❤❤❤ bong sumwa love you Sanaa.

  • @AngelJackson-nb9li
    @AngelJackson-nb9li 4 месяца назад +1

    Zawadi ❤

  • @NeeemaBaby-oj4bt
    @NeeemaBaby-oj4bt 4 месяца назад +1

    Movie nzuri sana na imetufundisha mambo mengi sana ❤❤ much love 💕💕💕 Walionakilisha sauti pia wamefanya vizuri sana a hundred percent ❤💕❤️🌹

  • @OlestaTweve
    @OlestaTweve 4 месяца назад +1

    Nilimpenda sana hii movie kwakeli imenifundisha vitu vingi sana Kama song was. Alivyolipiza kisasi❤❤❤❤

  • @OlestaTweve
    @OlestaTweve 4 месяца назад +1

    Nimeipenda sana hii movie ❤❤very expensive inatufundisha vizuri nilimpenda sana

  • @SaraTemba-i4i
    @SaraTemba-i4i 4 месяца назад +2

    Nzuri sana hiii nimejifunza mengi pia ukitaka haki inabidi utumie akili na kuwa wazi pia ujasiri na kumtegemea mungu. 🎉🎉

  • @IreneWilly-gk3gd
    @IreneWilly-gk3gd 4 месяца назад +1

    ZAWADI ❤❤❤

  • @zaydaahmad1626
    @zaydaahmad1626 4 месяца назад +1

    Mmmm hii picha nzuri sana inaelezea maisha halisi wanayoishi baadhi ya watu wengine wana roho mbaya sana,tamaa kupita kiasi inatufundisha tusiwe na tamaa sana itatupeleke papaya. 4:59

  • @JenifaPonzian-s4h
    @JenifaPonzian-s4h 4 месяца назад +1

    Mimempenda sana sunuhaa speed mauwa yake na jeminijaman 🎉❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @NaimaHemedNaimahemed
    @NaimaHemedNaimahemed 4 месяца назад +1

    Nawapenda wote ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @JemaKalinga
    @JemaKalinga 4 месяца назад

    Hii movie ni nzuri sana nimejifunza kutorudi nyuma na kutokata tamaa katika maisha hata kamwa nitakumbwa na jambo gani.

  • @AishaKidawa-bu8fo
    @AishaKidawa-bu8fo 4 месяца назад +1

    Unajitahidi Sana bro kwenye kuelezea upewe mauwa yako🌹💐🌷

  • @AshuraIbrahimu-od2be
    @AshuraIbrahimu-od2be 4 месяца назад +1

    Wow dada umetufunza mengi ❤🎉

  • @JohaAlly-kd6xu
    @JohaAlly-kd6xu 4 месяца назад +3

    Nawapendawote❤❤

  • @mariamagdalena-bulegi4630
    @mariamagdalena-bulegi4630 4 месяца назад +1

    Wow! The best video ever,hongera sana

  • @KhadijaDarii
    @KhadijaDarii 4 месяца назад +3

    Wawoh sumwaa umetufunza sana jmnii ❤❤❤❤

  • @Janeth-c1f
    @Janeth-c1f 4 месяца назад +1

    ❤❤❤ wapewe tuzo akuna mpinzani

  • @omarimsukulu
    @omarimsukulu 4 месяца назад +3

    Jamani Karim ni nzuri sana imetufundisha kwamba tuwe wakweli na waaminifu 💯

  • @HusnaSalumu-x2x
    @HusnaSalumu-x2x 4 месяца назад +2

    uvumilivu wa sonwaa naujasiri umeleta mafanikio 🌹🌹kwao na jey min

  • @FatinaMsofe
    @FatinaMsofe 4 месяца назад +1

    Karma imetisha sana ❤❤ nzuri mno,

  • @wawudaBahati
    @wawudaBahati 4 месяца назад +1

    Ubayà ubweli kweli mapenzi ya kweli haya ,just wmepambana Sanapaka mahala wamefika conggra bonsuwa njaimini my favourite actor nitaimisi Sana hii thàthilia.

  • @AishaYusuf-r7k
    @AishaYusuf-r7k 4 месяца назад +1

    Kwakwel hii tamthilia ya Karina nimejifunza meng San moja wa tuwe waaminif kwakwel nimeipenda San Azam Hanna dog nawapa mauwa yen❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @JenniferMwandosya
    @JenniferMwandosya 4 месяца назад +1

    Good movie

  • @MariamuJuma-q1i
    @MariamuJuma-q1i 4 месяца назад +2

    Best series ever seen in Azam Tv Niko Mombasa Kenya much love

  • @MiriamJoseph-e4l
    @MiriamJoseph-e4l 4 месяца назад +1

    Ujasili wa song umenifunza sana

  • @flora77mashele49
    @flora77mashele49 4 месяца назад +2

    Ukitenda mabaya utalipwa mabaya filamu ni nzuri sana inafundisha

  • @BatulMazuri
    @BatulMazuri 4 месяца назад

    Ni movie inayo tufundisha na kuwafundisha vijana au wanaume wasiwe na tamaa ya pesa na kuwa mapenzi siyo pesa na si kila aliye na pesa ni mzuri ❤😊😉😊☺️😌

  • @SophiaAugustino-q1p
    @SophiaAugustino-q1p 4 месяца назад +1

    Sonwa apewe maua yake anastahili pongezi❤❤

  • @leonathakundi1246
    @leonathakundi1246 4 месяца назад +1

    Usiache kutazama Azam two ❤❤😮😮

  • @agnesmvulla2801
    @agnesmvulla2801 4 месяца назад +1

    Aise tamthilia hii ninzuri ❤❤❤

  • @SophiaMmbaga-pq3dz
    @SophiaMmbaga-pq3dz 4 месяца назад +1

    ❤❤❤

  • @RehemaBajuta-f1i
    @RehemaBajuta-f1i 4 месяца назад +1

    Jamani karma imetufundisha sana ❤❤

  • @EsterChami-kj2sz
    @EsterChami-kj2sz 4 месяца назад +1

    Jamani naipenda Sana hii muvi

  • @mosesvipodozi3219
    @mosesvipodozi3219 4 месяца назад +2

    Ikawe heri kwao. Hongera Bonsungwaa ulipambana kikamilifu

  • @luciawangusu3702
    @luciawangusu3702 4 месяца назад +2

    Upendo.

    • @WegramX
      @WegramX 4 месяца назад +1

      subiri majibu

  • @MamaFeisal-s4g
    @MamaFeisal-s4g 4 месяца назад +1

    Series nzur san tutaimiss sana wanajua kuekti kwa kweli big up for them .

  • @MuzmomAlly
    @MuzmomAlly 4 месяца назад +1

    All good things have pain,kiukwel kukat tamaa sio jamb sahihi, muhim ni kupambana bila kuchok ukwel hujuilikana taratib lkn unamanufaa na uongo hutawala maisha ya kila siku lakin na hatimae kuharib kila kitu,ni mimi muzna kutok zanzibar asant karma❤

  • @MamaImma-b8m
    @MamaImma-b8m 4 месяца назад +1

    Jamani nilinunua Azam kwa ajili ya karima tuu nakupenda sanaaa

  • @fatmasaid676
    @fatmasaid676 4 месяца назад +2

    Nimejifunza kitu Bora sana tukubali makosa tusamehe kweli wema unadumu daah nizuri nitajifunza katika maisha

  • @yuniahilda9621
    @yuniahilda9621 4 месяца назад +1

    Karama imetufundisha mwisho wa ubaya ni aibu,

    • @We_gram
      @We_gram 4 месяца назад

      ubaya ubwela

  • @EvodMichael
    @EvodMichael 4 месяца назад +2

    Siries hii inaongelea uhalisia wa maisha kabisa mwisho wa uvumilivu na kujitoa ni mbivu twajifunza kwa song'haa🎉

  • @PriscaGwelino
    @PriscaGwelino 4 месяца назад +1

    Jamani karma nizuri sn naimenifundisha sana

  • @NasheMchomvu-ds5iu
    @NasheMchomvu-ds5iu 4 месяца назад +1

    Jamani mimi kusemakweli songwa amenifundisha uvumilivu pamojaja namateso alio pata hakujali walakukata tamaa Bali alisonga mbele akijuwa ikosiku tu. Mungu ata muona nakweli mungu kamuona najoakm anatufundisha kuwa sikuzote usipende kumfanyiamwenzio ubaya utakuja umbuka maana utajiri unaisha lakini umasikini hauishi sasa siunaona alikuwatajiri lakini mwisho wasiku Karudi kuwamasikini

  • @JoyceNeema-w6g
    @JoyceNeema-w6g 4 месяца назад

    Mm nampa hogera sana somoa Kwa jitihada zake licha ya maneno lkn hakukata tamaa 🎉🎉🎉🎉

  • @Hadija-e1m
    @Hadija-e1m 4 месяца назад +1

    Sunuuh kafanya vzr katufunza vyemaa

  • @janethdaud201
    @janethdaud201 4 месяца назад +1

    Karma ni nzuri inafunisha mambo mengi katika jamii❤

  • @BonifaceAlex-z8d
    @BonifaceAlex-z8d 4 месяца назад +1

    Daah ihi series ina funzo kubwa

  • @NduwayoPrudent
    @NduwayoPrudent 4 месяца назад +2

    Jamani nampenda sana booni sunwa ni binti wenye ujasiri pia ni mwenye subra nimejifunza ya kwamba maisha ni fumbo

  • @JoyceKasembe
    @JoyceKasembe 4 месяца назад +2

    Karma ni nzuri sana natamani ingeendelea

  • @AgnesMwikwabe
    @AgnesMwikwabe 4 месяца назад +2

    Kwa kweli katika tamthilia nimependa namna suwag'waa alivyokuwa hakati tamaa ila nimejifunza mwisho wa ubaya aibu

  • @meramwahari6739
    @meramwahari6739 4 месяца назад +1

    Nimejifuza kuwa pesa sio kila kitu

  • @vanessadaniel-xu2yy
    @vanessadaniel-xu2yy 4 месяца назад +1

    Nili jifunza mengi kwenye hi movie.hasa visasi si vizuri pia natakiwa kuwa mvumilivu

  • @RachelPetro-v4h
    @RachelPetro-v4h 4 месяца назад +1

    Song wa amecheza husika vizuri sana amengusa maisha halisi katika jamii yetu kama jeq na bom sayuki watu wenye tamaa wasiyoridhi kupata maisha Kwa njia sizikuwa Hali na ubaya hadumu ziku zote

  • @glorykimaro7777
    @glorykimaro7777 4 месяца назад +1

    Kwa kweli wamependeza

  • @MiriamJoseph-e4l
    @MiriamJoseph-e4l 4 месяца назад +1

    Ujasili nikitubkizuri natusijikatie tamaa tunatakiwa kupambana mpaka mwisho

  • @mamaummy-q5g
    @mamaummy-q5g 4 месяца назад +1

    Mimi naomba kwa mungu azidi kuku nyooshea mamboyako na mafanikio mema

  • @ZaharayBakari
    @ZaharayBakari 4 месяца назад +2

    Nimejifunza mengi sana ila kikubwa ni kwamba tamaa ni mbaya sana chengine ni bora kila mtu ajipambanie yey mweyew kwa jasho lake ili kuepusha uovu

  • @matridachaba3317
    @matridachaba3317 4 месяца назад +1

    Nampenda song wa na pia hilo nifunzo kwa wenye hii tabia

  • @NeemaMpanda-q7v
    @NeemaMpanda-q7v 4 месяца назад +2

    Kwa kweli karma ni nzuri sana pia imerufundisha mambo yenye uhalisia , penda San

  • @NaSmajafary-k4h
    @NaSmajafary-k4h 4 месяца назад +1

    Nice

  • @NaimaHemedNaimahemed
    @NaimaHemedNaimahemed 4 месяца назад

    Tutawakumbuka sana 😢😢

  • @allysaid8231
    @allysaid8231 4 месяца назад +1

    Imetisha bonge la tamthilia haijawahi kutuboa

  • @JenifaPonzian-s4h
    @JenifaPonzian-s4h 4 месяца назад +1

    Hii move jamani imenifundisha mengi wapendwa tusizalau masikini wanaheshimika sana

  • @YustaPaulo-j8i
    @YustaPaulo-j8i 4 месяца назад

    Jamani tunatakiwa tuwena roho nzuri

  • @AshaKipingu-j3i
    @AshaKipingu-j3i 4 месяца назад

    Waoooooo jamn hayawihayaw sasa yamekuw lakini Hawa watu wa na endana San jmn

  • @WegramX
    @WegramX 4 месяца назад +2

    NAMPENDA SANA SONG WA KWANI NI MUIGIZAJI MAARUFU PIA NI MJUAJI HASA KUIGIZA MOVIES ZA KIKOREA

  • @JanethMgunya
    @JanethMgunya 4 месяца назад +1

    Jamani karma tam dah

  • @RukiaShaban-mb5ld
    @RukiaShaban-mb5ld 4 месяца назад +1

    Karma ipew pongezi sana

  • @RupiaSaid
    @RupiaSaid 4 месяца назад +2

    Tamthiria hii inatufundisha kuwa dhuruma ni mbaya,

  • @JosephinaEmmanuel
    @JosephinaEmmanuel 4 месяца назад +1

    Tumejifunza mengi tungeprnda iendelee nampe shumua

  • @TabiaChilungo
    @TabiaChilungo 4 месяца назад +1

    hii tathiria imetufundisha kua tusiwe tamaa ya mari tuwe upendo wa kweli

  • @janethmpandagoya3534
    @janethmpandagoya3534 4 месяца назад

    Mafumdisho ni mazuri sana yanafumdisha tuwe wavumilifu tutafukia hatma zeru

  • @NaomiMhadisa-n7l
    @NaomiMhadisa-n7l 4 месяца назад +1

    Mapenz ni upendo na sio pesa

  • @EstherFabiani
    @EstherFabiani 4 месяца назад

    Kwakelit hiii tamthilia nimeifuatilia nimejifunza kuwa kwenye maisha hatutakiwi kuwa na wivu maana utatupeleka pabaya

  • @NaimaHemedNaimahemed
    @NaimaHemedNaimahemed 4 месяца назад +1

    Tusiwe na tamaa ya hela jamani

  • @MtoaShekuwe
    @MtoaShekuwe 4 месяца назад +1

    Naupenda. Uigizajiwa. Sunwang

  • @CatherineSaria-o9s
    @CatherineSaria-o9s 4 месяца назад

    Aah kwakwel karma kwa mimi nimejifunza vingi yaan nimejifunza kuwa mwaminif sio kwenye mahusiano tu bali kwenye kila kitu

  • @HalimaNyangusi
    @HalimaNyangusi 4 месяца назад +1

    Namuonea huruma yulebaba. Yake. Jemin amekosa mali kakosa watoto

  • @hassanKais-r8t
    @hassanKais-r8t 4 месяца назад +1

    Tuwee wakweli kweny kila kt, tucwe na tamaa tamaa mbayaa xanaa, yaan bong la tamthiliaa

  • @FlorahRwego
    @FlorahRwego 4 месяца назад +2

    Uhaminifu, busara vinahitajika

  • @AishaMselemu-b6k
    @AishaMselemu-b6k 4 месяца назад +1

    Napenda kuwashauli wanaume wawe wajasili kama jmii kuwanamsimamo

  • @SwabraAbubakary
    @SwabraAbubakary 4 месяца назад +1

    Pambee👌👌

  • @RupiaSaid
    @RupiaSaid 4 месяца назад +2

    Haki ya mtu haipotei,Sonal anatesa na mwanae na mama yake

  • @FatmaMdalingwa-tc3ry
    @FatmaMdalingwa-tc3ry 4 месяца назад

    Jaman karma nzur sana

  • @FatmaAli-ye6pn
    @FatmaAli-ye6pn 4 месяца назад +1

    Sunwaa ana tufunza 2sikate tamaa

  • @HappySebath
    @HappySebath 4 месяца назад +1

    Kiukweli nimefurahi kuona wahalifu wamehukumiwa na Sumwa kuolewa na Jaimini iwe funzo kwa wore wanaotenda mambo mabaya

  • @GraceJamesi-rk2nf
    @GraceJamesi-rk2nf 4 месяца назад +2

    Nimejifunza kuwa tusiwe na tamaa na pesa na pia pesa siyo kila kitu kwetu

  • @UpendoMollel-zw2mn
    @UpendoMollel-zw2mn 4 месяца назад +1

    Zawadi

    • @WegramX
      @WegramX 4 месяца назад

      Halitumiki tena

  • @lenat-k6k
    @lenat-k6k 4 месяца назад +1

    jaman sonwaa ni mvmilv xana

  • @NeemaMpanda-q7v
    @NeemaMpanda-q7v 4 месяца назад +2

    Penda San sunhwa na jamin

  • @luciawangusu3702
    @luciawangusu3702 4 месяца назад +2

    Zawandi

    • @WegramX
      @WegramX 4 месяца назад +1

      labda utashinda

  • @IreneWilly-gk3gd
    @IreneWilly-gk3gd 4 месяца назад +1

    ZAWADI

  • @HusnaHusnapeter
    @HusnaHusnapeter 4 месяца назад +1

    Tutawamiss sna jaman mumepambana vyakutosha nimejifundisha mengen kupitia nyie

  • @ValentinoMtambo-cm7vn
    @ValentinoMtambo-cm7vn 4 месяца назад +1

    Huvumili hula mbivu

  • @FatmaKombo-z4e
    @FatmaKombo-z4e 4 месяца назад +1

    Kila mtu amepata anachostahiki

  • @BakariNjechere
    @BakariNjechere 4 месяца назад +1

    Nimefurahi kumuona sumwa akiwa na furaha

  • @bingasamali8054
    @bingasamali8054 4 месяца назад

    Nimejifunza ubaya na kissing zivizuri

  • @Gracenice-xo9em
    @Gracenice-xo9em 4 месяца назад +1

    🎉

    • @WegramX
      @WegramX 4 месяца назад +1

      SUBIRI TUONE UNAWEZA KUSHINDA