Jambo na wajulisha ya kwamba nyimbo za kibembe ni muhimu sana kumbe fanya ngvu utafute nyimbo zote kuanzia 2012 -2018 hicho ni kipindi ambapo nyimbo za kibembe zilitoka Safi sana yaani nyimbo za kwaya za kanisa
Sauti ya nyimbo nzuri kabisa hadi unazani mbinguni utafika kwa wakati huu ila sasa matendo ayaonyeshi kamweeee ni ole ole tena sana maana uzuri wa kuimba kuubiri lakini ndani mioyo imejaa chuki fitina unafki usaliti na uharibifu gadhabu tu ndo thawabu tutakayoipokea siku ya umauti tu
I like from USA ❤❤❤❤❤

Asante sana kazi nzuri nyimbo zuri lugha yetu kibembe from 🇨🇩
Sauti ya nyimbo nzuri kabisa hadi unazani mbinguni utafika kwa wakati huu ila sasa matendo ayaonyeshi kamweeee ni ole ole tena sana maana uzuri wa kuimba kuubiri lakini ndani mioyo imejaa chuki fitina unafki usaliti na uharibifu gadhabu tu ndo thawabu tutakayoipokea siku ya umauti tu
Iyi wimbo wa pili kumwanzo mumenikumbusha mbaliiiiii🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Nyimbo nzuri mungu asifiwe
❤ Sifa kwa Mungu ❤ ❤❤
23:25 love this song !!
Mubarikiwe sana
HIZI AZIKO NYIMBO ZA KIBEMBE ZA ASILI. NI NYIMBO ZA WA KRISTO WANA HO TUMIYA LUGA YA KIBEMBE. WA BEMBE ALISI AWA KUWAGI WAKRISTO.
😊
Mubarikiwe....
2023 barikiwa sana
Jambo hiyo mwimbo wa kwanza unahitwa je
Túbe emo
Motu sameul
15:15😢