NJIA YA MAFANIKIO ILIYOZIBWA | Petro Lembalai

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 22 янв 2025

Комментарии • 30

  • @Gaspas7
    @Gaspas7 10 месяцев назад +1

    Njia yangu haitazibwa tena. Amina

  • @janemnyonge6561
    @janemnyonge6561 10 месяцев назад +1

    Njia yangu haitazibwa kamwe

  • @OlengaLubuanya-ms7ol
    @OlengaLubuanya-ms7ol 6 месяцев назад +1

    Jiayangu hahitazibwa tena
    Kweli ulipo kuwa ukiomba niliona kidole chamtu kinanionyesha aduhiyangu nikaona moto wa yesu kristo unaheda kumuhunguza,
    Nikaonyeshwa Mara yapili yule adui
    Mida ulikuwa ukinihombea
    Bwana Asfiwe mpendwa
    Mtumishi wa Mungu
    Amen

    • @lembalai
      @lembalai  6 месяцев назад

      Amen amen mpendwa, tunamtukuza Yesu aliyetenda kwaajili yako. Ubarikiwe sana. Watumie wengine link wapate fundisho hili.

  • @japhetmelita-mt6wc
    @japhetmelita-mt6wc 6 месяцев назад

    AMEN AMEN AMEN....hawataweka uzio tena Kwa lolote lile linaloniusu...Amen

  • @EliyaParapanda
    @EliyaParapanda Год назад +1

    Njia yangu haitazibwa tena kwa jina la Yesu

  • @SyliviaTawata
    @SyliviaTawata Год назад +1

    Mungu na atatenda kupitia hili somo

  • @SyliviaTawata
    @SyliviaTawata Год назад +1

    Yesu na atufungulie njia sahihi

  • @Manga_JM
    @Manga_JM Год назад +1

    Barikiwa mtumishi wa MUNGU

  • @luthermushi9699
    @luthermushi9699 Год назад +1

    Shalom mwamba, Mungu akutunze

  • @doreenussiri6660
    @doreenussiri6660 Год назад +1

    Mungu atusaidie tule matunda yetu

  • @ambiliasiaminja7204
    @ambiliasiaminja7204 Год назад +1

    Njia yangu haitazibwa Tena. Ameen.

  • @victoriangonyan1473
    @victoriangonyan1473 Год назад +1

    Amina ubarikiwe sana mtumishi kwa neno la uzima

  • @wemamanikana9791
    @wemamanikana9791 Год назад +1

    Mungu akubariki mtumishi

  • @zawadinoelmbilinyi551
    @zawadinoelmbilinyi551 Год назад +1

    Barikiwa sanaaaaaa

  • @carolinelema8689
    @carolinelema8689 6 месяцев назад

    njia yangu haitazibwa tena kwa damu ya Yesu

  • @luthermushi9699
    @luthermushi9699 Год назад +1

    Barikiwa mwamba

  • @jerrydaniel-y2u
    @jerrydaniel-y2u Год назад +1

    Ameen

  • @ESTARMWENDA
    @ESTARMWENDA 6 месяцев назад

    Ameni 🙏

  • @JamesMasuki
    @JamesMasuki Год назад +1

    Blessed

  • @nezenmbwilo7846
    @nezenmbwilo7846 Год назад +1

    Njia yangu haitazibwa Tena.

  • @viviantarimo184
    @viviantarimo184 11 месяцев назад +1

    njia yangu haitazibwa tena

  • @winfridakalua9940
    @winfridakalua9940 Год назад +1

    Njia yangu haitazibwa tena

  • @MarryBoazi
    @MarryBoazi Год назад +1

    Nia yangu haitazibwa tena

  • @pray4me1st91
    @pray4me1st91 Год назад +1

    NJIA YANGU HAITAZIBWA TENA!

  • @carolinelema8689
    @carolinelema8689 6 месяцев назад

    MTUMISHI NA MIMI HAPO WAENIKAMATA ILA KUPITIA MAOMBI NAJUA NAENDA KUTOKA

  • @adammazoya2226
    @adammazoya2226 Год назад +1

    Njia yangu haitazibwa tena

  • @JoyceGideon-k7c
    @JoyceGideon-k7c Год назад +1

    Njia yangu haitazibwa tena

  • @ShaoVides-m9k
    @ShaoVides-m9k 6 месяцев назад +1

    Njia yangu haitazibwa tena

  • @AnitaMoshi-e8d
    @AnitaMoshi-e8d 2 месяца назад

    Njia yangu haitazibwa tena