- Видео 125
- Просмотров 76 264
Petro Lembalai
Танзания
Добавлен 30 ноя 2015
BWANA YESU apewe sifa. Karibu kwenye Channel ya mafundisho ya Neno la Mungu na maombi. Lengo la Channel hii ni kutoa huduma ya kiroho kupitia Neno la Mungu kwa uongozi wa Roho Mtakatifu, pamoja na maombi. Utapata nafasi ya kujifunza Neno la Mungu ili uweze kukua kiroho, na kuongeza kiwango cha mahusiano yako na Mungu. Lakini pia, utapata nafasi ya kupokea msaada wa Mungu kwenye mahitaji yako kwa njia ya maombi.
Mungu ni mwaminifu, na anayo sababu ya kukukutanisha na Channel hii. Ni maombi yangu kwamba, Mungu akutane na wewe katika mahitaji yako, akuhudumie, na akutendee makuu sawasawa na uaminifu wake na mapenzi yake. Karibu uungane nasi katika yote ambayo Mungu anaenda kuyatenda kupitia Channel hii. Usisahau kumkaribisha na ndugu yako, jamaa na rafiki, ili apate kushiriki pamoja nasi na kupokea baraka hizi kwa utukufu wa jina la YESU.
Mungu akubariki na kukutunza. YESU akupe amani na ushindi daima. Amen!

2025 MWAKA WA KUFANIKIWA SANA | Rev. Petro Lembalai
Huu ni ujumbe maalum kwaajili yako, mwaka 2025 ni mwaka wa kufanikiwa sana. Ujumbe huu umebeba maelekezo maalum ya kukusaidia kufanikiwa sana, pia umebeba maombi pamoja na baraka kwaajili yako kwa mwaka 2025.
Petro Lembalai
Petro Lembalai
Просмотров: 765
Видео
ISHARA YA WEMA | Rev. Petro Lembalai
Просмотров 49216 часов назад
Mungu akutendee ishara ya wema unapoelekea kumaliza mwaka huu. Petro Lembalai,
NOVEMBER MWEZI WA KUMALIZA KILA ULICHOANZA | Rev. Petro Lembalai
Просмотров 5922 месяца назад
Somo hili litakusaidia kupata maarifa, neno la mwezi na maombi ya kukusaidia November ukijua kuwa ni mwezi wa kumaliza kila ulichoanza.
VITA KWENYE HATUA YA KUKARIBIA KUPATA | Rev. Petro Lembalai
Просмотров 5115 месяцев назад
Somo hili litakusaidia kupata maarifa ya kukuwezesha kushinda vita ambayo adui huwa anainua kwenye hatua ya kukaribia kupata.
VITA KWENYE HATUA YA KUKARIBIA KUPATA | Rev. Petro Lembalai
Просмотров 5025 месяцев назад
Somo hili litakusaidia kupata maarifa ya kukuwezesha kushinda vita ambayo adui huwa anainua kwenye hatua ya kukaribia kupata.
VITA KWENYE HATUA YA KUKARIBIA KUPATA | Rev. Petro Lembalai
Просмотров 5915 месяцев назад
Somo hili litakusaidia kupata maarifa ya kukuwezesha kushinda vita ambayo adui huwa anainua kwenye hatua ya kukaribia kupata.
USIPUNGUZIWE MWENDO | Mwl. Tumsifu Swai
Просмотров 4025 месяцев назад
Somo hili litakusaidia kupata maarifa ya kuendelea mbele na kufanikiwa. kumbuka usipunguziwe mwendo.
THAMANI YA SADAKA | Mwl. Emmanuel Shemdoe
Просмотров 3266 месяцев назад
Somo hili litakusaidia kupata maarifa ya kukuwezesha kujua thamani ya sadaka yako ili unapotoa sadaka uone matokeo ya utoaji wako.
VITA YA ULICHOBEBA | Mwl. Tumsifu Swai
Просмотров 6496 месяцев назад
Somo hili litakusaidia kupata maarifa ya kukuwezesha kushinda vita ya ulichobeba ndani yako.
AFYA YA UTI WA MGONGO | DKT. Fanuel Bellet, MD, MMED
Просмотров 2316 месяцев назад
Somo hili litakusaidia kupata maarifa kuhusu afya ya uti wa mgongo kwa lengo la kukuwezesha kuwa na afya njema sawa na 3 YOHANA 1:2.
AFYA YA UTI WA MGONGO | DKT. Fanuel Bellet, MD, MMED
Просмотров 4546 месяцев назад
Somo hili litakusaidia kupata maarifa kuhusu afya ya uti wa mgongo kwa lengo la kukuwezesha kuwa na afya njema sawa na 3 YOHANA 1:2.
NJIA IPI YA KUHUKUMIWA | Rev. John Rowse
Просмотров 2257 месяцев назад
Somo hili litakusaidia kujua njia mbili za kuhukumiwa.
MWAMBIE MUNGU / Petro Lembalai
Просмотров 3677 месяцев назад
Somo hili litakusaidia na kukupa msisitizo wa Kumwambia Mungu kila ambacho unahitaji.
MAISHA MAPYA NDANI YA KRISTO / Petro Lembalai
Просмотров 2738 месяцев назад
Somo hili litakusaidia kupata maarifa ya kukuwezesha kuishi kwenye msimu mpya wa maisha mapya ndani ya Kristo.
FANYA MAMBO HAYA UNAPOCHOKA KWENYE MAGUMU | Petro Lembalai
Просмотров 6149 месяцев назад
Somo hili litakusaidia kupata maarifa ya kukuwezesha kuendelea mbele unapohisi kuchoka kwasababu ya magumu unayopitia.
CHAKULA BORA, AFYA NJEMA | Rafikiel Mshana
Просмотров 48511 месяцев назад
CHAKULA BORA, AFYA NJEMA | Rafikiel Mshana
MAMBO YA KUFANYA UNAPOKUWA NA HASIRA | Petro Lembalai
Просмотров 1,1 тыс.11 месяцев назад
MAMBO YA KUFANYA UNAPOKUWA NA HASIRA | Petro Lembalai
2024 MWAKA WA KUONGEZEKA NA KUSTAWI SANA | Petro Lembalai
Просмотров 584Год назад
2024 MWAKA WA KUONGEZEKA NA KUSTAWI SANA | Petro Lembalai
MALIZA MWAKA KWA USHINDI | Petro Lembalai
Просмотров 750Год назад
MALIZA MWAKA KWA USHINDI | Petro Lembalai
NJIA YA MAFANIKIO ILIYOZIBWA | Petro Lembalai
Просмотров 795Год назад
NJIA YA MAFANIKIO ILIYOZIBWA | Petro Lembalai
NJIA YA MAFANIKIO ILIYOBEBESHWA ROHO YA KUTANGATANGA | Petro Lembalai
Просмотров 747Год назад
NJIA YA MAFANIKIO ILIYOBEBESHWA ROHO YA KUTANGATANGA | Petro Lembalai
MAMBO SITA YA KUZINGATIA KABLA HUJAFANYA MAAMUZI | Bupe Kibiki
Просмотров 650Год назад
MAMBO SITA YA KUZINGATIA KABLA HUJAFANYA MAAMUZI | Bupe Kibiki
MUNGU AKUINULIE WATU SAHIHI | Petro Lembalai
Просмотров 650Год назад
MUNGU AKUINULIE WATU SAHIHI | Petro Lembalai
KUOMBA KINYUME NA KALENDA YA MABAYA KWENYE MAJIRA YA MWISHO WA MWAKA | Mwl. Amos Christopher
Просмотров 222Год назад
KUOMBA KINYUME NA KALENDA YA MABAYA KWENYE MAJIRA YA MWISHO WA MWAKA | Mwl. Amos Christopher
KUOMBA KINYUME NA KALENDA YA MABAYA KWENYE MAJIRA YA MWISHO WA MWAKA | Mwl. Amos Christopher
Просмотров 306Год назад
KUOMBA KINYUME NA KALENDA YA MABAYA KWENYE MAJIRA YA MWISHO WA MWAKA | Mwl. Amos Christopher
MAMBO MANNE UNAYOPASWA KUFANYA UNAPOHISI KUKATA TAMAA | Bupe Kibiki
Просмотров 469Год назад
MAMBO MANNE UNAYOPASWA KUFANYA UNAPOHISI KUKATA TAMAA | Bupe Kibiki
KANUNI YA DHAHABU {GOLDEN RULE} | Mthg. Samwel Nyanda
Просмотров 252Год назад
KANUNI YA DHAHABU {GOLDEN RULE} | Mthg. Samwel Nyanda
Amen
Amen malango yng yatakuwa waz kwanjina la yesu
Ameni ameni
Ameni asante
Amen
Amen
Amen 🙏🙏🙏
Ameni
amen
Amen amen Mchungaji
Amen pastor
Amen Amen Amen Amen Mtumishi.
Ameeen
Amen barikiwa pastor
Ameen, Ameen Baba Mchungaji
Ameniiiiiiiii
Amen
Amen
Amina. Natendewa ishara ya wema
Mungu akubariki Mtumishi wa Mungu. More miracles , power come 2025.
Amen 🙏
Ameni ameni amen
Natendewa ishara ya wema. Mungu akubariki mtumishi wa Mungu
Amen be blessed 🙏
Amina. Amina. Katika jina la Yesu
Natendewa ishara ya wema.
Amen, nimepokea kwa Jina la Yesu
Amen 🙏
Natendewa ishara ya wema
Ameeen, Mungu azidi kukutumia utukufu Hadi utukufu
Amina mtumishi Lembalai Petro
Amina ubarikiwe. mtumishi kwa neno la uzima Mungu akutendee mtumishi. Ishara ya wema kila unapokanyaga nyayo zako
Ameen
Mungu amenitendea ishara ya wema
Natendewa Ishara ya wema
Ameen
Natendewa Ishara ya wema
Amina Mtumishi barikiwa sana kwa ujumbe huu mzuri
Ameeen mungu atufanyie ishara ya wema tuingiapo 2025
Amen amen mtumishi Mungu azidi kukutumia wewe
Amen, Mchungaji. Mungu na akufanyie Ishara ya wema wewe pia kwa Mwaka 2025.
Amen Amen
Nitatunza siri, hongera sana kwa somo zuri.
Mwisho wa 12 kuelekea ukingoni mwa mwaka. Napata wasaa wa kusikiliza ujumbe huu.
Amen
Amen Amen
Nitamaliza mwaka kwa ushindi katika jina la yesu na damu ya Yesu
Amin
Namaliza Mwaka kwa Ushindi Mkubwa. Thanks to our Lord Asante Mwalimu
Mungu ni mwaminifu Mimi na familia yangu pamoja na ndugu zangu tutakaliza mwaka Kwa kishindo Bila majanga ya aina yoyote.Hakika Mungu ni mwema na mtetezi wetu
Amen Amen Amen namaliza kwa ushindi!