SI MIMI, KRISTO | NYIMBO ZA KRISTO | By SHUALISA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 фев 2025
  • Mpendwa barikiwa sana kumbuka kusubscribe
    Song: SI MIMI, KRISTO
    Singer: Shua Jaakan
    Pianist: Michael Joshua @mjmusicclassics
    Producer: Mr.RJ | RJ STUDIO
    Lyrics
    Si mimi, Kristo astahili sifa;
    Si mimi, Kristo ajulikane;
    Si mimi, Kristo katika maneno,
    Si mimi, Kristo kwa kila tendo.
    Si mimi, Kristo, kuponya huzuni;
    Kristo pekee, kufuta machozi;
    Si mimi, Kristo, kubeba mzigo;
    Si mimi, Kristo, kupunga hofu.
    Kristo pekee, pasipo kujisifu;
    Kristo pekee, na nizungumze,
    Kristo pekee, na hakuna kiburi;
    Kristo pekee, sifa yangu ife.
    Kristo pekee, mahitaji atoe
    Si mimi, Kristo, kisima changu;
    Kristo pekee, kwa mwili na kwa moyo;
    Si mimi, Kristo, hata milele.

Комментарии •