NYIMBO ZA KRISTO SDA
NYIMBO ZA KRISTO SDA
  • Видео 105
  • Просмотров 3 279 387
NIIMBE PENDO LAKE | Nyimbo Za Kristo | Live video By Jesca Mshani
Mpendwa barikiwa sana kumbuka kusubscribe
Song: Niimbe Pendo Lake
Singer: Jesca Mshani
Pianist: Michael Joshua @mjmusicclassics
Producer: Mr.RJ | RJ STUDIO
Niimbe (niimbe) pendo lake,
Pendo la (pendo la) Yesu Bwana;
Sababu (sababu) alitoka
Kwa Baba akafa.
CHORUS
Niimbe (niimbe) pendo lake;
Sifa kuu (sifa kuu) nitatoa;
Akafa (akafa) niwe hai, --
Niimbe pendo lake.
Machozi (machozi) alitoa
Ijapo (ijapo) sijalia;
Maombi (maombi) yangu bado,
Aniombeapo.
Upendo (upendo) kubwa huo!
Dunia (dunia) haijui
Samaha (samaha) kwa makosa
Kubwa kama yangu.
Hapana (hapana) tendo jema
Ambalo (ambalo) nilitenda,
Nataka (nataka) toka leo
Nimwonyeshe pendo.
Просмотров: 1 724

Видео

Yesu Kwa Imani | Nyimbo Za Kristo | Live Video
Просмотров 55714 дней назад
Mpendwa barikiwa sana kumbuka kusubscribe Song: Yesu Kwa Imani Singer: Shua Jaakan Pianist: Michael Joshua @mjmusicclassics Producer: Mr.RJ | RJ STUDIO Yesu kwa imani, nakutumaini, peke yako; Nisikie sasa, na kunitakasa, ni wako kabisa Tangu leo. Nipe nguvu pia za kusaidia moyo wangu; Ulikufa wewe, wokovu nipewe, nakupenda wewe, Bwana wangu. Hapa nazunguka katika mashaka, na matata; Palipo na g...
ALILIPA BEI | NYIMBO ZA KRISTO (I hear the savior say ) Hymn by SHUALISA
Просмотров 1 тыс.2 месяца назад
Mpendwa barikiwa sana kumbuka kusubscribe Song: Alilipa Bei Singer: Shua Jaakan Pianist: Michael Joshua @mjmusicclassics Producer: Mr.RJ | RJ STUDIO Yesu anasema, "Wewe huna nguvu Kesha ukaombe, Na uje, Mwanangu" CHORUS Alilipa bei, Nawiwa naye; Dhambi ilitia waa, Aliiondoa. Bwana nimeona, Uwezo wako tu Waweza 'takasa Mioyo michafu. Sina kitu chema Kudai neema, Hivi nitafua Mavazi kwa damu. Nin...
Ni Salama Rohoni Mwangu | Nyimbo Za Kristo | Lyrics | By Irene Michael
Просмотров 1,7 тыс.4 месяца назад
Mpendwa barikiwa sana Singer: Irene Michael Producer: Mr.RJ
USIKATAE KAZI | NYIMBO ZA KRISTO | By SHUALISA
Просмотров 1,7 тыс.4 месяца назад
Mpendwa barikiwa sana kumbuka kusubscribe Song: Usikatae Kazi Singer: Shua Jaakan Pianist: Michael Joshua @mjmusicclassics Producer: Mr.RJ | RJ STUDIO
BABA SINA MSAADA (Naamini)| Father, I Stretch My Hands |#hymns #hymn #piano
Просмотров 7694 месяца назад
Be blessed..like and subscribe for more blessings
MNYUNYIZI WANGU - By Dr. SARAH. K Cover by Irene Michael
Просмотров 1,2 тыс.5 месяцев назад
Be blessed much from this cover The original song is owned by @DrSarahKmusic
SI MIMI, KRISTO | NYIMBO ZA KRISTO | By SHUALISA
Просмотров 1 тыс.5 месяцев назад
Mpendwa barikiwa sana kumbuka kusubscribe Song: SI MIMI, KRISTO Singer: Shua Jaakan Pianist: Michael Joshua @mjmusicclassics Producer: Mr.RJ | RJ STUDIO Lyrics Si mimi, Kristo astahili sifa; Si mimi, Kristo ajulikane; Si mimi, Kristo katika maneno, Si mimi, Kristo kwa kila tendo. Si mimi, Kristo, kuponya huzuni; Kristo pekee, kufuta machozi; Si mimi, Kristo, kubeba mzigo; Si mimi, Kristo, kupun...
MWAMBA WENYE IMARA | NYIMBO ZA KRISTO | By Irene Michael | #hymn
Просмотров 2 тыс.5 месяцев назад
Mpendwa barikiwa na wimbo huu Singer: Irene Michael Song: Mwamba Wenye Imara Producer: Mr. RJ | RJ STUDIO Contacts j4tonnym@gmail.com 255 679 672 995 Mwamba wenye imara Kwako nitajificha! Maji haya na damu Yaliyotoka humu, Hunisafi na dhambi, Hunifanya mshindi. Kwa kazi zote pia Sitimizi sheria. Nijapofanya bidii, Nikilia na kudhii, Hayaishi makosa; Ndiwe wa kuokoa. Sina cha mkononi, Naja msala...
NATAMANI KUTEMBEA NAWE Cover by IRENE MICHAEL Original song by Rebeka Dawn
Просмотров 2,1 тыс.5 месяцев назад
The original song belong to Rebeka Dawn and it is available via this link @rebekahdawnmusic Cover by: Irene Michael Producer: Mr RJ | RJ STUDIO Contacts: 255 769 672 995
HUNIONGOZA MWOKOZI | NYIMBO ZA KRISTO | By Irene Michael #hymn #heleadethme
Просмотров 3,1 тыс.5 месяцев назад
HUNIONGOZA MWOKOZI | NYIMBO ZA KRISTO | By Irene Michael #hymn #heleadethme
Nitamwambia Yesu | Nyimbo Za Kristo | Official live video | By Shualisa
Просмотров 3,4 тыс.6 месяцев назад
Mpendwa barikiwa sana kumbuka kusubscribe Song: Nitamwambia Yesu Singer: Shua Jaakan Pianist: Michael Joshua @mjmusicclassics Producer: Mr.RJ | RJ STUDIO
Mungu Atukuzwe | Nyimbo Za Kristo | Official video | By Shualisa
Просмотров 1,7 тыс.6 месяцев назад
Mungu Atukuzwe | Nyimbo Za Kristo | Official video | By Shualisa
Malaika Wanaimba | Nyimbo Za Kristo | By Shualisa
Просмотров 2 тыс.6 месяцев назад
Malaika Wanaimba | Nyimbo Za Kristo | By Shualisa
What A Beautiful Name | Hillsong || Cover by Irene Michael | With Swahili Subtitles
Просмотров 94910 месяцев назад
What A Beautiful Name | Hillsong || Cover by Irene Michael | With Swahili Subtitles
Pana Mahali Pazuri mno | Nyimbo za Kristo | #hymn Hymn
Просмотров 2,2 тыс.10 месяцев назад
Pana Mahali Pazuri mno | Nyimbo za Kristo | #hymn Hymn
PANA MAHALI PAZURI MNO | NYIMBO ZA KRISTO | Irene Michael Ft Anze Chikwanda
Просмотров 4,5 тыс.10 месяцев назад
PANA MAHALI PAZURI MNO | NYIMBO ZA KRISTO | Irene Michael Ft Anze Chikwanda
AMAZING GRACE || HYMN | With Lyrics
Просмотров 79011 месяцев назад
AMAZING GRACE || HYMN | With Lyrics
KUMTEGEMEA MWOKOZI | NYIMBO ZA KRISTO #lyrics
Просмотров 23 тыс.11 месяцев назад
KUMTEGEMEA MWOKOZI | NYIMBO ZA KRISTO #lyrics
Msifu Bwana | Nyimbo Za Kristo | By Irene Michael #Livehymns #hymn
Просмотров 2 тыс.11 месяцев назад
Msifu Bwana | Nyimbo Za Kristo | By Irene Michael #Livehymns #hymn
IKUMBUKE SABATO || NYIMBO ZA KRISTO || #hymn By Irene Michael
Просмотров 3,1 тыс.11 месяцев назад
IKUMBUKE SABATO || NYIMBO ZA KRISTO || #hymn By Irene Michael
Wewe U mwaminifu | Great thy faithfulness || Nyimbo Za Kristo || #hymn Hymns By Irene Michael
Просмотров 2,2 тыс.11 месяцев назад
Wewe U mwaminifu | Great thy faithfulness || Nyimbo Za Kristo || #hymn Hymns By Irene Michael
AMAZING GRACE || HYMN || Nyimbo Za Kristo By Irene Michael #LIVEHYMNS #hymn #amazinggrace
Просмотров 808Год назад
AMAZING GRACE || HYMN || Nyimbo Za Kristo By Irene Michael #LIVEHYMNS #hymn #amazinggrace
Nena Rohoni Yesu (Nena Mungu) | Nyimbo Za Kristo | #LIVEHYMNS by Irene Michael
Просмотров 6 тыс.Год назад
Nena Rohoni Yesu (Nena Mungu) | Nyimbo Za Kristo | #LIVEHYMNS by Irene Michael
Nena Rohoni Yesu | Nyimbo Za Kristo | Speak with my soul #hymn
Просмотров 1,4 тыс.Год назад
Nena Rohoni Yesu | Nyimbo Za Kristo | Speak with my soul #hymn
SIKU HII YA SABATO | NYIMBO ZA KRISTO | #LIVEHYMN By Irene Michael
Просмотров 2,2 тыс.Год назад
SIKU HII YA SABATO | NYIMBO ZA KRISTO | #LIVEHYMN By Irene Michael
MSALABA WA YESU | Nyimbo Za Kristo | Live Music | By Irene Michael #LIVEHYMNS
Просмотров 3,4 тыс.Год назад
MSALABA WA YESU | Nyimbo Za Kristo | Live Music | By Irene Michael #LIVEHYMNS
Msalaba Wa Yesu | Nyimbo Za Kristo | Lyrics
Просмотров 7 тыс.Год назад
Msalaba Wa Yesu | Nyimbo Za Kristo | Lyrics
Kaa Nami | Nyimbo Za Kristo | Live Video | Irene Michael | #LIVEHYMNS
Просмотров 4,1 тыс.Год назад
Kaa Nami | Nyimbo Za Kristo | Live Video | Irene Michael | #LIVEHYMNS
God Will Take Care | Mungu Anakujali |Nyimbo Za Kristo ||By Irene Michael #LIVEHYMNS
Просмотров 2,1 тыс.Год назад
God Will Take Care | Mungu Anakujali |Nyimbo Za Kristo ||By Irene Michael #LIVEHYMNS

Комментарии