Mwisho wa CHADEMA ni Mbowe kung'ang'ania madarakani na we ni timu Mbowe sisi ni timu LISSU ak.a LION 🦁 mkimyima LISU uwenyekiti mtakuwa wapinzani Milele!
Ameshasema huo ndio mtazamo na imani ya TL yeye inawezekana anashaka na hilo...amesema TL amesingizia kila mtu na kumchafua kila mtu including M/kiti so kuna mengi tunaweza kuanza kuyajua baada ya kiti kufanyiwa application
Hayo yanahusikaje na yeye kugombea Uenyekiti?! Kwamba kwa kuwa alimpeleka Nairobi basi hiyo inamfanya akose sifa za kugombea?! Wenje anajua anachokifanya. Kwa kauli zake ni wazi amepewa kazi ya kukimaliza chama! Ni bahati mbaya wanachadema hawajaweza kuliona hilo! Hii interview peke yake, ina kauli nyingi tata. Ni ama hajui madhara ya kauli zake au anatimiza malengo ya waliomtuma!
Acheni kutufanya Watanzania kama wajinga vile, kama mlijua Lisu mlimpa Kanda akashindwa, je mlimuamini vipi kumpa nafasi ya Urais? Ambao angewafuta mpaka na chama chenu... 😂😂😂😂 Ila viongozi wa chadema wa juu wengi wao Chenga sana
Kwani hiki chama ni chawachaga peke yao mbona wamekuwa wakali kuhusu lissu kugombea katiba ya chama si inaruhusu mbowe amekaa miaka 20 kwani yeye sultani katika chama apishe tuone na lissu atafanya nini
Sasa wenje unataka kusema nyie chadema ndio hamjielewi kama kweli Lissu haku-deliver chochote kwa NGAZI ya Kanda kwanini mkampa cheo kikubwa zaidi Cha makamo taifa.....chadema kuna shida hapo
Shabikieni Lisu kwa mipaka nyie kama mwanadamu ,mkisikia sio mwnachadema ndipo mtakubuka kinachofanywa na intelijensia ya ndani ya chama Lisu kashaa chemka hata mapambano hayajui
Mwisho wa CHADEMA ni Mbowe kung'ang'ania madarakani na we ni timu Mbowe sisi ni timu LISSU ak.a LION 🦁 mkimyima LISU uwenyekiti mtakuwa wapinzani Milele!
Mtaishia kusema tu KUNJA NGUMI
Mbowe akichaguliwa huo ndio mwisho wa CHADEMA.
SOMENI ALAMA ZA NYAKATI
Watu wa usalama anzeni na wenje kuhusu utekaji wa viomgozi wa chadema anajua njama nyingi sana
Anaitukana chadema sio lisu ila hajui tu lisu yupo salama mikononi mwa watanzania
Wenje ukimaliza kuongea pitia uwanja wa comments😂😂😂
Uenyekiti kanda alishindwa mkamteuwa agombeee urais chadema mshavurugwa
Sasa kwani siasa ni Vita 😅😅😅
Wewe wenje unaamini nn kipigwa risasi kwa lissu???
Ameshasema huo ndio mtazamo na imani ya TL yeye inawezekana anashaka na hilo...amesema TL amesingizia kila mtu na kumchafua kila mtu including M/kiti so kuna mengi tunaweza kuanza kuyajua baada ya kiti kufanyiwa application
Taira mmoja hili
Kuna tofauti kati ya Lisu na mbowe linu Ananyota ya kupendwaaa
Hayo yanahusikaje na yeye kugombea Uenyekiti?! Kwamba kwa kuwa alimpeleka Nairobi basi hiyo inamfanya akose sifa za kugombea?!
Wenje anajua anachokifanya. Kwa kauli zake ni wazi amepewa kazi ya kukimaliza chama! Ni bahati mbaya wanachadema hawajaweza kuliona hilo!
Hii interview peke yake, ina kauli nyingi tata. Ni ama hajui madhara ya kauli zake au anatimiza malengo ya waliomtuma!
Acheni kutufanya Watanzania kama wajinga vile, kama mlijua Lisu mlimpa Kanda akashindwa, je mlimuamini vipi kumpa nafasi ya Urais? Ambao angewafuta mpaka na chama chenu... 😂😂😂😂 Ila viongozi wa chadema wa juu wengi wao Chenga sana
Wenje ni bonge la chawa,mbona huku ongea hayo mlipomteua kugombea Urais ?
Kumbe hiki chama cha mtu mmoja hakina mikakati ya kujiendeleza hatu ombi Mungu ame mchukua mbowe chama kinakufa
Kwani hiki chama ni chawachaga peke yao mbona wamekuwa wakali kuhusu lissu kugombea katiba ya chama si inaruhusu mbowe amekaa miaka 20 kwani yeye sultani katika chama apishe tuone na lissu atafanya nini
Hivi ndo kampeni zimeanza ama mko ktk mazoezi ya kawaida kuvuana nguo ili mwingie ktk kampeni wawazi?
Akiri ni nywele mm ninakipara lakini akiri zimo humu hamna kitu kabsa Kubebwa akiwa anaumwa ndo iwe sababu asigombee😅
Huyo chawa
Hili lidalali linakera lilitaka afe, Wajumbe msiwachague machawa na madalali
Chawa
Sasa wenje unataka kusema nyie chadema ndio hamjielewi kama kweli Lissu haku-deliver chochote kwa NGAZI ya Kanda kwanini mkampa cheo kikubwa zaidi Cha makamo taifa.....chadema kuna shida hapo
Huyu pia ni mmoja wao...
Acha wivu na kipaji cha lissu
Wenje ukitoka hapo pitia pale uwanja wa taifa wa comments ukaone ulichokivuna
Mtangazaji bwana
SASA CHAMA KILIWEZAJE KUTAKA AWE RAIS WAKATI HANA UWEZO?????
Mbowe na wenje wote matahira
Wenje ni muongo sana aisee sikuwahi kujua kabla
Wenje ni kenge kweli,mliruhusuje akagombea urais
Huo ushekhe Yahaya Wenje kaanza lini?naona anatabiri2
Wenje pumbavu sana sikutegemea kama limdomo lako lina maneno machafu
Tunaenda na mwambaaaaa yeye mwamba ushindi ni lazima piga ua garagaza mwamba ashinde
Ww ni mjinga sana una akili ww nenda ccm tumeshaa kuelewa Kwamba unataka kukimbilia ccm
kushindwa kwenye kanda na kupokea za mama Abdul ni wp na wp
You are sellout, si angemuacha aone kama wasingetokea wengine wamsaidie, shame on you
Wote na hao wasafi wako nyinyi ni takataka nyoko zenu
Unateseka ukiwa wapi
kwhy ulitaka amuache au, huko kushindwa hoja wenje
KWELI HUYU NIMBUZI AISEE
Wewe ni mpumbavu,uungwana na utendaji ni vitu viwili tuu
Acha kupayuka jibu hoja. U
Shabikieni Lisu kwa mipaka nyie kama mwanadamu ,mkisikia sio mwnachadema ndipo mtakubuka kinachofanywa na intelijensia ya ndani ya chama Lisu kashaa chemka hata mapambano hayajui
Wenje wanachama wapi watakao mfukuza lisu wa ccm au
Kumbe Mbowe anaweza kuzuia kifo
Ww na mbowe ni ccm