Hizi kampuni MBILI hawana busara hata kidogo. Ni aina fulani ya watu wenye uwezo wa fedha na ukosefu wa busara. Hata wafanyakazi wao ni ovyo ovyo. Ndiyo maana hawajali maisha ya watu na mali zao.Waondoke kabisa kampuni ni nyingi zinafanya vizuri sana.
Mabasi yana mashinikizo kutoka pande nyingi, wamiliki, maanjenti, baadhi ya abiria wanataka yakimbie, dereva ukiamua kuendesha bus unatakiwa busara uziache nyumbani, natamani kuendesha bus, naogopa kuvunja heshima yangu, konda anachungulia upande wa kushoto akukuambia kwako , we hautakiwi kuchungulia ni kutoa tu, vinginevyo kazi imekushinda, unaambiwa dereva wa roli
Mm n dereva wa bas siipend hiyo tabia ya konda kuniambia toa au lete yaan hua naishia kutizama kwa jicho Flan hv kiukweli dereva ndie anaona na kutambua na kutekeleza konda nn bana mahaman haji anapenda Kila bang zake msala kwa dereva
ao New Force wawape likizo kabisa mana wao wamezidi ajali kila siku yani mtu ukipanda new Force andikaga na wosia kabisa mana uhakika ni 50/50😢😢😢 na Saul nao wanakimbia kama wanapaa safari ya masaa 12 wao wanatumia 10 au 11 wakichelewa sana saa 12 😢😢😢
Mm naona poa kuna changamoto kwenye kuanza safar hisusan saa 12 aqsubuhi gar zinatoka nyingi kwa wakati mmoja na njia moja yaan kama mbea na iringa njia ni moja kwahio kila mtu anataka ampite mwenzake.😊😊
Naomba kushauri vikosi vyote vya usalama barabarani Mimi ni dereva ila kwaninavyo ona.madereva wa mabasi uku barabarani wanavyo ondesha magari akutakuwa na suluisho la ajali Sasa ongezeni umri wakuendesha basi kutoka miaka 30 adi miaka 45 hao vijana wanao patiwa magari wanakuwa na miemko wanapenda kukimbia kimbia tu
Safari za usiku si salama kwa sababu wengine tayari wameshapata kivanti na mirungi si madereva wa mabasi wala malori wanatakiwa wapimwe kila kituo je hawajanywa viroba au mirungi
Vigezo vya Umri wa madereva kuendesha mabasi ingekuwa miaka ata 40 sio 30 maana Hawa wenye umri wa miaka 30+ wengine ni wahuni tu hawana ata familia hawajali kabisa usalama wa abiria
hii nchi sheria hazina nafasi kabisa makosa ya wazi tena ya kizembe uhalibifu wa barabara na mazingira kuhatalisha misha ya abiria na kuzuiya shughuli za kijamii kufanya kwa kufungwa barabara .ni aibu sana bora hata msinge ila waandishi wa habari ifike mahari muwe na aibu na matendo yenu
Ni kampuni inayofanya safari mikoa ya Nyanda za juu kusini yaani Iringa, Mbeya, Njombe, Ruvuma, Singer na Rules kwa kupitia njia ya Dar -Moro-Iringa, New force Ndiyo kampuni ya Kwanza kabisa Tanzania kutumia Nagari ya Kichina hasa Yutong na Baadae Zongtong Ina zaidi ya miaka zaidi ya 15 , kwenye Hiyo njia
Wanatembea hovyo sana usiku mkuu ni Mungu tu anasimamia ila Kiukweli tafadhari walio wengi hawana wanaona full light ndio kinga yao Ingieni barabarani usiku hata msiende mbali nenden mpk Chalinze tu muone vioja .
Hiko kikao hakionyeshi serious ness mwenyekiti km anawabembeleza. Hangalieni nchi za wezetu zilizoendelea ukivunja sheria adhabu kubwa ipo mbele yako hakuna kubembelezana, sisi tatizo wanaotunga sheria ndio wenye mabasi na viongozi.
Saul na newforce wanakimbia mnoo barabaran kwakwel sijui wana ttzo gani wakae vizr na madereva wote wanawah wapi?na umebeba roho za watu aya sasa mbio ya juzii imewafikisha Dar???faten sheria barabaran
Magari yanayofaa Kwa safari za uck ,ni , Abood, Marangu, Kilimanjaro ,Mapenzi ya Mungu ,hizo kampuni ziko vizuri , na kampuni ambayo ina historia ya ajali za mchana usiku si itashukia kuzimu ?
Kwani mtu akivunja sheria nini kinafata ? Nadhani ilitakiwa kwanza sharia ifanye kazi kama ni makosa washtakiwa baada ya hukumu pia wapewe onyo kwa mitindo hiyo daah kweli Tanzania.
Kitu kingine cha muhimu dereva anapokuwa anaendesha gari azime simu yake mpaka sehemu husika kupumzika dakika 15 ndo awashe akianza safari azime maana dereva anaendesha gari huku anachati na sim😂
ivi serikali mnatuchukuliaje wafanya biashara kama huyu jamaa ivi ana bilioni ngapi benki mpaka mmiliki wa bus umwambie akuandikiee baruaa ,iyo nikazi yako kama afisa kumuandikia tajiri barua
Steven acha kusema hivyo hayajakukuta ndugu zetu wengi wamekufa kwa ajali ya Mbeya na huyo Sauli anatoa sadakka sana ya makafara utajiri wake ndiyo huo
Tanzani yote madereva wa daladala wamezowea kufanya uzembe barabarani, jiulize kwanini magari ya utalii si aghlabu kupata ajali"!? Ndiyo utaelewa point yangu ni nini"
Basi ikifanya ajali usiku kampuni nzima ipigwe burn kwa muda,washenzi sana wanatembea ovyo walitukosa kutugonga nikiwa kwenye hiace,walikiwa wamejaa barabara wanafukuzana,
Hizi kampuni MBILI hawana busara hata kidogo. Ni aina fulani ya watu wenye uwezo wa fedha na ukosefu wa busara. Hata wafanyakazi wao ni ovyo ovyo. Ndiyo maana hawajali maisha ya watu na mali zao.Waondoke kabisa kampuni ni nyingi zinafanya vizuri sana.
Unajua abiria nso wanatakiwa wasipande hayo magari kama wana jeuri wakikosa abiria akili itawakaa tuu
Sheria bado zinauliwa na Rushwa
Police wanachangia uzembe wanawabeba mno hawa wamabasi ikitokea Lori au gari ndogo unakamatwa ila mabasi yanavunja sheria kwa makusudi
Mabasi yana mashinikizo kutoka pande nyingi, wamiliki, maanjenti, baadhi ya abiria wanataka yakimbie, dereva ukiamua kuendesha bus unatakiwa busara uziache nyumbani, natamani kuendesha bus, naogopa kuvunja heshima yangu, konda anachungulia upande wa kushoto akukuambia kwako , we hautakiwi kuchungulia ni kutoa tu, vinginevyo kazi imekushinda, unaambiwa dereva wa roli
Mm n dereva wa bas siipend hiyo tabia ya konda kuniambia toa au lete yaan hua naishia kutizama kwa jicho Flan hv kiukweli dereva ndie anaona na kutambua na kutekeleza konda nn bana mahaman haji anapenda Kila bang zake msala kwa dereva
Abood pia njia ya bagamoyo rold anatembea kasi bila kujali wengine anaova take daraja la kizuiani ni vurugu sana
Ajali zitazamwe kimwili na kiroho maana shetani yupo kazin
ao New Force wawape likizo kabisa mana wao wamezidi ajali kila siku yani mtu ukipanda new Force andikaga na wosia kabisa mana uhakika ni 50/50😢😢😢 na Saul nao wanakimbia kama wanapaa safari ya masaa 12 wao wanatumia 10 au 11 wakichelewa sana saa 12 😢😢😢
Mm naona poa kuna changamoto kwenye kuanza safar hisusan saa 12 aqsubuhi gar zinatoka nyingi kwa wakati mmoja na njia moja yaan kama mbea na iringa njia ni moja kwahio kila mtu anataka ampite mwenzake.😊😊
Safi bwana Kaimu Mkurugenzi
Leo nilipita pale nimeona hayo magari...
Kesho nawakumbusha tufwate mega EBK
😂😂
Mimi naomba somo lipelekwe kwa abiliya wanapenda basi likimbie kunasiku alitukanwa dereva na abiliya kwanini basi halikimbii mimi nilinyanyuka kdg nimpinge makofi abiliya rafiki yangu ndo alikuwa anaendesha wa kiume nahiyo ajari dereva kama aliovateki isingetokea ajari ungesikia abiliya huyu ndo dereva
Abilia? NA Ajari? Ni vitu gani hivyo ndugu? Abiria na Ajali 😅😅😅😅
Ila sheria ya kukamata bus zilizokatiza root dereva ndio anahusika sio mwenye bus. Angalieni vizuri sheria zenu
Hapo Sheria ipo sahihi kwani dereva ndo amekatisha root na si mmiliki wa bus
Naomba kushauri vikosi vyote vya usalama barabarani Mimi ni dereva ila kwaninavyo ona.madereva wa mabasi uku barabarani wanavyo ondesha magari akutakuwa na suluisho la ajali Sasa ongezeni umri wakuendesha basi kutoka miaka 30 adi miaka 45 hao vijana wanao patiwa magari wanakuwa na miemko wanapenda kukimbia kimbia tu
Mpaka itokee hajari ndiyo mjue dereva ayupo kwenye mfumo
Hao new force hawana madereva nikikampu chaovyo wafungen mbona makapuni nimengi hawamalizi miezi 6 ,lazima wapate ajari shida Yao nikufuzana
Wewe ongea rakini ukipewa pesa unakaa kimya maana polisi ndiochanzo cha ajali zilizo nyingi za mabasi mkifuatiliwa nanyinyi mmmmh
Safari za usiku si salama kwa sababu wengine tayari wameshapata kivanti na mirungi si madereva wa mabasi wala malori wanatakiwa wapimwe kila kituo je hawajanywa viroba au mirungi
Amkeni jamani acheni kabisa kupanda new force jamani hayo ni majeneza.
acha upuuzi
Mabasi ma2 😂😂😂😂 kashafilisika
Futeni safari za usiku wanakwenda mbio sana madereva wanakunywa pombe mirungi bangi kwa vile usiku hakuna Traffic
Co barabara ztu zimekuwa za kizamani.
Sawa wangu wamekusikia
Vigezo vya Umri wa madereva kuendesha mabasi ingekuwa miaka ata 40 sio 30 maana Hawa wenye umri wa miaka 30+ wengine ni wahuni tu hawana ata familia hawajali kabisa usalama wa abiria
hii nchi sheria hazina nafasi kabisa makosa ya wazi tena ya kizembe uhalibifu wa barabara na mazingira kuhatalisha misha ya abiria na kuzuiya shughuli za kijamii kufanya kwa kufungwa barabara .ni aibu sana bora hata msinge ila waandishi wa habari ifike mahari muwe na aibu na matendo yenu
Ndio uzembe wa madeleva na barabara. na sio nzuri ndogo zinamabode kutokea ajli ni laisi
Haya mabas ya NEW FORCE yanaenda wap watu waache kupanda ili wawe na adabu na maisha yawatu
Ni kampuni inayofanya safari mikoa ya Nyanda za juu kusini yaani Iringa, Mbeya, Njombe, Ruvuma, Singer na Rules kwa kupitia njia ya Dar -Moro-Iringa, New force Ndiyo kampuni ya Kwanza kabisa Tanzania kutumia Nagari ya Kichina hasa Yutong na Baadae Zongtong Ina zaidi ya miaka zaidi ya 15 , kwenye Hiyo njia
@@robertalphan5533 nashukur kwa kunifahamisha
Wanatembea hovyo sana usiku mkuu ni Mungu tu anasimamia ila Kiukweli tafadhari walio wengi hawana wanaona full light ndio kinga yao
Ingieni barabarani usiku hata msiende mbali nenden mpk Chalinze tu muone vioja .
Sahihi yaan. Ucku. Magar. Yanakimbia. Hatr. Mala. Nyingine bora Aya. Usfri mchana. Lain. Ucku mzee ni. Hatar
Abilia sisi ni wanafik san deleva akitembea kidog tuna boeka akikimbia tunafrahia afu akileta mahafa tuna mchukia abilia acheni unafiki
Rushwa imetawala sana barabarani
Bos wa sauli ndoo yupi
HAWA NEWFORCE HAWANA MADEREVA GARI ZAO ZIMEKUWA NI MAJENEZA YA WATANZANIA!!
Hawa new force wameua vijana wawili ilula hawakuomba hata Maji jaman bas tu
@@petermanala6138ni hatari sana
Wasi lipwe insurance hao, sababu wame fanya kusudi! Kampuni ya insurance isi lipe chochote kwa hao walio fanya makusudi.
Dawa ni abiria kuyasusia hayo magari watabadilika
Sio kwel abilia ndoo wakwanza kupend mwendo kuliko deleva kwanz Gali nying zisizo tembea hazina abilia hujiuliz
Hiko kikao hakionyeshi serious ness mwenyekiti km anawabembeleza. Hangalieni nchi za wezetu zilizoendelea ukivunja sheria adhabu kubwa ipo mbele yako hakuna kubembelezana, sisi tatizo wanaotunga sheria ndio wenye mabasi na viongozi.
Kweli kabisa yaani anaongea kirahisi mno wakati wamesababisha vifo vya watu😭
Usiku siosalama kwa mabass ya abiria
Aisee chukuwa hao jamaa sukuma ndani haraka
Yaani watu wameharibu halafu serikali inawabembeleza eti walete kwa maandishi,,sasa mkuu ni nani kama sio mmiliki wa mabasi
Ila tuache utani kampuni ya sauli wanapenda kwenda rafu sana barabarani
Sauli wanakwenda Na muda Na sio rafu
Saul na newforce wanakimbia mnoo barabaran kwakwel sijui wana ttzo gani wakae vizr na madereva wote wanawah wapi?na umebeba roho za watu aya sasa mbio ya juzii imewafikisha Dar???faten sheria barabaran
Wanachofanya LATRA na Polisi ni zero.Barabara ina pande mbili hiyo traffic hawafuatilii uendeshaji mbovu.
Magari yanayofaa Kwa safari za uck ,ni , Abood, Marangu, Kilimanjaro ,Mapenzi ya Mungu ,hizo kampuni ziko vizuri , na kampuni ambayo ina historia ya ajali za mchana usiku si itashukia kuzimu ?
Umesahau na mabasi ya kigoma yapo vizuri mno kuna Adventure na Saratoga
Eee wapewe mabasi yenye utulivu
Kwani mtu akivunja sheria nini kinafata ? Nadhani ilitakiwa kwanza sharia ifanye kazi kama ni makosa washtakiwa baada ya hukumu pia wapewe onyo kwa mitindo hiyo daah kweli Tanzania.
Sasa mkurugenzi wafutie leseni wajifunze
Police nao wanachangia wanaovatek ovyo Akiovatek dereva walori wanamshikilia kweli kwanini ihivyo
Kitu kingine cha muhimu dereva anapokuwa anaendesha gari azime simu yake mpaka sehemu husika kupumzika dakika 15 ndo awashe akianza safari azime maana dereva anaendesha gari huku anachati na sim😂
ivi serikali mnatuchukuliaje wafanya biashara kama huyu jamaa ivi ana bilioni ngapi benki mpaka mmiliki wa bus umwambie akuandikiee baruaa ,iyo nikazi yako kama afisa kumuandikia tajiri barua
Hujuwi taratibu maana ya barua anaetakiwa kujieleza ninani ndio maana kataka barua mshamba wawapi
@@SelijusiMalambo-q2u😅😅😅😅😅😅😅
Sa siku 7 wawaambie Nini kwani ao walikua kwenye hiyo ajali mnatakiwa mfanye uchunguzi wenyewe msiwape wakati mgumu
Kweli eee wakae na madereva wao wawaonye waache ujinga wa kubeti wajali abiria
Hao ni wa kuwafungia tu msicheke nao
Barua zikirudi zinarudi na bahasha ya hela kesi imeisha
@@hamidkololeki5009 😄
Habari wakubwa naomba plz achaneni sauli kabisa
Kivipi MKUU mi sijakusoma ua unamaanisha sauli anaonewa
Mbona wanawachekea
Mlungula ushapita hapo😢😢😢😢
Ajali ni ajali
Steven acha kusema hivyo hayajakukuta ndugu zetu wengi wamekufa kwa ajali ya Mbeya na huyo Sauli anatoa sadakka sana ya makafara utajiri wake ndiyo huo
Sio kweli,kuna kampuni zimezidi uzembe kwa sababu wao ni kila wakati
@@margarethpolepole7438yakimkuta anafunga mdomo na kukumbuka alichoandika Leo ndugu wameisha na wengine vilema v
ivi kwann trafik wasipumzike wapewe latraa hiyo kazi
Hawa wanatowa kafara zao
😢😢😢
Pia dereva wausiku anakuwa mmoja kwanini ?
Tanzani yote madereva wa daladala wamezowea kufanya uzembe barabarani, jiulize kwanini magari ya utalii si aghlabu kupata ajali"!? Ndiyo utaelewa point yangu ni nini"
gari ya utalii inaenda wapi sasa 😂😅
@@feezdidthis2220 Hujui magari ya utalii yanapokwenda Tanzani? Ingia kwenye google utaelewa kwa upana.
Huyu jamaa wa Latra anaongea kama vile ana hisa kwenye mabasi ya new force. Fucking corruption
Basi ikifanya ajali usiku kampuni nzima ipigwe burn kwa muda,washenzi sana wanatembea ovyo walitukosa kutugonga nikiwa kwenye hiace,walikiwa wamejaa barabara wanafukuzana,
sukuma ndani wote
Hamna kitu apo
Kwan ukitumia izo ndo zinazuia ajali tanueni bara bara bwana ajalizinatokea barabara ndogo sana bongo
Eti wamewaita, halafu wanaongea nao kwa upoooole na kuwabembeleeeeza, mnawaogopa au?
Dawa ni abria kuyasusia tuu
Kikubwa mmewaita ili mpate kula Yan hapo bila shaka wamebeba bahasha kabisa
Wew binafsi unatakiwa ujiuzulu pumbavu wewe