K2ga - Nifundishe (Official Audio)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 ноя 2022
  • Stream/Download Click here:linktr.ee/K2ga
    Digital Distribution by Ziiki Media (PTY)
    Listen to K2ga on Digital Streaming:
    Audiomack: audiomack.com/K2ga
    Apple Music: / k2ga
    Boomplay:www.boomplay.com/share/artist...
    RUclips: / k2gatz
    Spotify:open.spotify.com/artist/1Tg2I...
    Follow K2ga on Social Media:
    Instagram: / k2ga_tz
    Facebook: / k2gatz
    Audiomack:audiomack.com/k2ga
    Twitter: / k2ga_
    +For More Information Booking K2ga:
    Manager:Rehemanxl@gmail.com
    Contact Digital:Kapastareal@gmail.com
    ©2022 Kings Music Records.All rights reserved.
    #K2ga #RangiRangi
  • ВидеоклипыВидеоклипы

Комментарии • 782

  • @suleyhumoud2046
    @suleyhumoud2046 Год назад +81

    Kama wewe unamkubali k2ga gonga like, hajawahi kuyumba na wala hakosei.

  • @kandoromwamba505
    @kandoromwamba505 Год назад +30

    Kama umeisikiliza hii ngoma Zaid ya mara mbili dondosha like Yako hapa tujuane Kama tuna msapot k2ga

  • @crispinramadhanic.r9899
    @crispinramadhanic.r9899 Год назад +228

    Kama ww mshabiki wa K2g nipe like zangu

  • @jumaahmedy1328
    @jumaahmedy1328 Год назад +3

    Kwa goma kali kama hili unaachaje kuisikza na kudondosha like zakoo

  • @swaibahamidu1891
    @swaibahamidu1891 Год назад +18

    like za k2ga hapa jamani katisha kinyama🔥🔥🔥🔥🤭😍

  • @hassanndaro748
    @hassanndaro748 Год назад +4

    Mchizi wa UK... Uku mombasa tunakupenda

  • @msafiblog
    @msafiblog Год назад +4

    Tungekuwa tunafanya Kiki King's hatari sana mziki mzuri mno

  • @elishamgaya6305
    @elishamgaya6305 Год назад +4

    Mchizi wa uk umekarisha kinoma sana umu ausee dah Mungu kaumba vingi sana ila alipo umba mziki akatupa #Kingsmusicrecords aisee #NIFUNDISHE 🎼💜😊 n bonge moja la ngoma kaka.....on repeat

  • @therock7257
    @therock7257 Год назад +4

    Unifundishe mapenzi😘good song am from united states #therock

  • @officialpangaboymtotowamam8014
    @officialpangaboymtotowamam8014 Год назад +15

    DAAAH ngoma kali sana PRODUCER solute kwako

  • @uwimananuriat712
    @uwimananuriat712 Год назад +27

    Wa kwanza kusikiliza 🔥🔥 likes zenu team kiba from 🇧🇮 bonge moja la Ngoma

  • @jugatz9163
    @jugatz9163 Год назад +31

    Kama unaamini k2ga ni fire 🔥 🔥 🔥 🔥 gonga like zimfikie

  • @Chida
    @Chida Год назад +1

    Mashabik wote wa Kings Music Records ebu #Like apa Nisomesheni

  • @Maro_tv05
    @Maro_tv05 Год назад +3

    2ga we mkali ngoja nisikilize kwe bufa najua hukoseagi we mwamba

  • @officialrayzaTV7583
    @officialrayzaTV7583 Год назад +35

    Wimbo nzuri Sana Kenya tumekubali🇰🇪🇰🇪

  • @fredrickmukabani6385
    @fredrickmukabani6385 Год назад +15

    Damn this his a hit ,mkenya wa kwanza apa,likes vipi

  • @youngdartz5218
    @youngdartz5218 Год назад +5

    Nisiringe kwanin kati 2ga yupo kwaajili yetu mashabiki salute mchizi wa uk🙏🙏

  • @abdallahsalum9839
    @abdallahsalum9839 Год назад +2

    team ya kaka king tunajua bhn yan Rebo zima wanajua naomb like zenu ndgu

  • @aishaomer6934
    @aishaomer6934 Год назад +3

    Nakubali kizazi changu more love naenjoi mziki mzur from king music

  • @hemedynyuki4389
    @hemedynyuki4389 Год назад +23

    Kumekucha jamani k2ga mambo 🔥🔥🔥 sio kwa Ngoma hii twende nalo

  • @STAVOO_WEEZZY
    @STAVOO_WEEZZY Год назад +30

    Kwa niaba ya familia yangu, mtaa wetu, kata yetu, wilaya yetu, mkoa wetu na taifa zim kwa ujumla nakirii wimbo huu ni mzuriii

  • @madriki4056
    @madriki4056 Год назад +2

    Yan kiba kaondoka naona mnazitoa una furahi sna

  • @ado672
    @ado672 Год назад +2

    We nifundi mchizi wa uk 🇨🇩❤️🌎

  • @danielkibona8951
    @danielkibona8951 Год назад +3

    Wap like Kwa k2g

  • @magaritanzania6540
    @magaritanzania6540 Год назад +9

    Mashabiki wa k2ga tujuane kwa like apa ili song la kimataifa jaman💥💥💥💥💥

  • @josesylivester7701
    @josesylivester7701 Год назад +2

    Dogo unaua Sana Sema na kingine kwenye game mtadumu sanaaa kulingna na mnavyojiweka

  • @supertallone1902
    @supertallone1902 Год назад +16

    Eishiii!❤Mwaka hauishi lazima nimdondokee mtoto wa mtu😍😍maana sio kwa vibe ili❤👑🎶🔥🙌Gonga like twende sambamba!
    #Nifundishe
    #K2ga

  • @tarnaboy
    @tarnaboy Год назад +3

    King of melody,sio cristian bella ni m
    K2ga au mnasemaje wadau?

  • @baysadam235
    @baysadam235 Год назад +11

    🇲🇿🇲🇿Ringa mwana mfalme is the best song🇲🇿

  • @vitukotvcom999k5
    @vitukotvcom999k5 Год назад +2

    Mambo matam hayataki haraka ume tupa kwawakati sahihi #k2ga

  • @hamisibabu9046
    @hamisibabu9046 Год назад +6

    Sisi watu wa mapenzi tumekuelewa

  • @clintonkelly4466
    @clintonkelly4466 Год назад +2

    wapi wale mashabiki wa king's toka 🇰🇪

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 Год назад +8

    Wa kwanza kucomment naomba like zenu🔥🔥🔥

  • @livingstonking9818
    @livingstonking9818 Год назад +8

    Kings music atuimbagi matusi 🔥🔥🔥mziki mzuri uko kings music rekodi👏👏🎶🥁🎹🎺🎻✍🏻🇹🇿

  • @rajabu9061
    @rajabu9061 Год назад +2

    Mvumilivu hula mbivu huyu jamaa kaiva sana salute sana 2ga unajuwa sana

  • @zedkaz001
    @zedkaz001 Год назад +1

    Leo nipo hapa, nasikiliza mziki mzuri wa kings music, nakukubali sana k2ga, nipeni likes zangu

  • @silversindjalabakeni2533
    @silversindjalabakeni2533 Год назад +10

    Wow nice one good job kwapamoja sana k2ga tunajivuniya mziki mzuri king's music to the world 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @elisajanuario1403
    @elisajanuario1403 Год назад +6

    Iyo noma sana from 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @madrassatqadriyapalma
    @madrassatqadriyapalma Год назад +1

    K2ga Rangi Rangi Ni Nyimbo Bora Kwa Mozambique ya muezi

  • @yuzomatthias395
    @yuzomatthias395 Год назад +16

    Vizuri sana mchizi wa UK

  • @josefosimao8180
    @josefosimao8180 Год назад +13

    Ngoma Kali sana 🔥🔥🔥🔥 kutoka 🇲🇿

  • @hemedikhatibu7069
    @hemedikhatibu7069 Год назад +2

    Kwani nalusiwa kuludia ngoma mana ni moto 🔥

  • @yusuphmpinge4066
    @yusuphmpinge4066 Год назад +6

    Niko hapa shabiki namba Moja wa mchizi wa UK hii nayo ya 🔥 🔥 🔥 hauna KAZi mbovu

  • @aliraeeq
    @aliraeeq Год назад +8

    Am for kings music 🎵🎵🎵🎶🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪K2ga

  • @Maro_tv05
    @Maro_tv05 Год назад +3

    Ww mkali

  • @almosul1621
    @almosul1621 Год назад +5

    Love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
    Wakenya fanyeni hivyo basi👍

  • @halimaamani4095
    @halimaamani4095 Год назад +2

    Tuga kama tuga, kngs chuo cha mafunzo aei

  • @nablynataly7108
    @nablynataly7108 Год назад +1

    Hiii ni hit song kama unakubaliana na mimi gonga likes zenu hapa nione

  • @THEINSIDERSSHOW
    @THEINSIDERSSHOW Год назад +84

    On behalf of my family ,my village people,my ancestors and also my wicked landlord,we approve this hit...we love it ama niaje WAKENYA 🇰🇪🇰🇪'''''watch the insiders show

  • @Foundertzfanspage
    @Foundertzfanspage Год назад +8

    🔥 kasha jiachia kwangu uyuuuuuuu

  • @bonfacebonafide9025
    @bonfacebonafide9025 Год назад +11

    Mwana wa Mfalme unafanya mambo kifalme siku hizi ♥
    Unafurahisha baba na wanao mpenda baba @#KingKiba

  • @jameskamau6566
    @jameskamau6566 Год назад +23

    K2GA wewe ni mnoma much love from kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @shiru_choppa7654
      @shiru_choppa7654 Год назад

      Alaf mtu anasema play 75 Kenyan music🤔🤔aliskia wapi??Kings music ni hatar

  • @Chida
    @Chida Год назад +9

    Mwanamfalme huhawai niangusha kamwe.....K2ga Burning 🔥 this city

  • @shaukatashiq137
    @shaukatashiq137 Год назад +5

    Kwa kwanza kulike na kucomment 💯💯💯💯💯🔥🔥🔥🔥❤️❤️❤️❤️

  • @Maro_tv05
    @Maro_tv05 Год назад +3

    Ngoja nisikilize kwenye bufa maana we mwamba hukosei

  • @teesnare
    @teesnare Год назад +1

    Kama unaniunga mkono
    Kwny hil dude✋✋ bax like hii comment

  • @rozeypwizzy6472
    @rozeypwizzy6472 Год назад +15

    King music k2ga

  • @Fortuneflavour
    @Fortuneflavour Год назад +8

    Mocco huwa haangushi. Pia msanii umeendekeza ubora kwa michano yako ndugu. Tia fora. Mob love from Kenya 😍😍

  • @rashidamohamed9927
    @rashidamohamed9927 Год назад +6

    Mwanamuziki wangu bora kirakitu💯umeuwa mwanawa king yebaba yooooooooo sijuwii itakuwaje kazi wanaoyo wajipange 💯🙏🙏🙏🙏🙏

  • @mwinyiadno9495
    @mwinyiadno9495 Год назад +2

    Ukonga mabegani 🔥🔥💪🏾 Good music 👏🏾👏🏾👏🏾

  • @khamisjuma7305
    @khamisjuma7305 Год назад +1

    K2ga fundii ila alikiba hana sapoti kwa vijana wake hasa upande wa pro

  • @ISRAADVISUALS
    @ISRAADVISUALS Год назад +59

    Legend never disappoints

  • @Bacaryhmez
    @Bacaryhmez Год назад +11

    Wimbo mzuri...hizi ndo beats tunataka apa KINGS MUSIC

  • @saidhilali1517
    @saidhilali1517 Год назад +21

    Good job

  • @sunderlandmediatz.8263
    @sunderlandmediatz.8263 Год назад +7

    Yeeebhabha....Kings music for life!.🔥😜🤪🤣😂😂😂🤸🤸🤸

  • @fakikhatoro3876
    @fakikhatoro3876 Год назад +8

    Wimbo mkali sanaaa🔥🔥🔥

  • @mis2ra766
    @mis2ra766 Год назад +3

    Poa Sana Mwanafalume💪🔥💞🔥🔥🔥🔥(From Moza)...

  • @bkmshiko1816
    @bkmshiko1816 Год назад +1

    💪💪mchizi wa uk hapa umeuwa aseeh ngoma kwa mara ya kwanza kuisikia sikuielewa kabisa lakini nilicho fanya ni kuipakuwa na kuisikiliza nikiwa nimetulia aseeh ngoma💥💥 sana kilicho haki ni kutiwa video kali sana aseeh umefanya unyama mwingine sana

  • @arleneilunga9202
    @arleneilunga9202 Год назад +7

    That's bongo Flava of Tanzania 🇹🇿 that we have known ✌ love you from congo Kinshasa 🇨🇩 guy✌

  • @fzlcomrajabu9514
    @fzlcomrajabu9514 Год назад +3

    Mchizi wa UK 💥💥🤴

  • @jumalemah5011
    @jumalemah5011 Год назад +3

    Wakwanza jaman

  • @shaukatashiq137
    @shaukatashiq137 Год назад +36

    King's music for life ye babaa 🔥🔥🔥🔥💯💯💯

  • @Chida
    @Chida Год назад +7

    Mwanamfalme huhawai niangusha kamwe..... K2ga Burning 🔥 this city.

  • @karimjuma8671
    @karimjuma8671 Год назад +1

    ukitaka burudani ya ukweli basi bila shaka ipo KINGS MUSIC

  • @rashidamohamed9927
    @rashidamohamed9927 Год назад +2

    Unajuwa sana mwanangu wafaida 🔥🔥🔥❤️❤️❤️😜😜😜😜😜

  • @peras26Life
    @peras26Life Год назад +33

    Ukonga to the world 🌎 ❤️ 🇰🇪 🇰🇪 🔥 🔥

  • @livingstonking9818
    @livingstonking9818 Год назад +7

    Kings music tumekuja kuweka dunia kiganjani🔥🔥🔥🔥🎵🎵🎧🎧🎶

  • @mosesmweni2693
    @mosesmweni2693 Год назад +2

    You kill it Mchizi wa UK

  • @salimsaid2531
    @salimsaid2531 Год назад +2

    namkubal sna sana jamaa

  • @princebenjamin9964
    @princebenjamin9964 Год назад +1

    Kanda ya ziwa uyu jamaa anakubalika mnooo aseeh

  • @hajimairu2754
    @hajimairu2754 Год назад +6

    K2ga,kingmusic🔥

  • @Foundertzfanspage
    @Foundertzfanspage Год назад +4

    Mchizi wa UK umeuwa

  • @bintitaibo6638
    @bintitaibo6638 Год назад +1

    twendeni tuwatekenhe kidongo king,s watujuwe

  • @ameirzapy1318
    @ameirzapy1318 Год назад +1

    Tz imepoa sana, mwamba arud USA tour aachie dude tufungie mwaka

  • @rickrockstar6642
    @rickrockstar6642 Год назад +2

    Kali sana mchizi wa UK

  • @ibrahimngokoe2102
    @ibrahimngokoe2102 Год назад +17

    Good Vocal good sound

  • @peterclaver390
    @peterclaver390 Год назад +1

    Nimeirudia mara nyingi hii ngoma dah! Pini la kufungia mwaka

  • @pitalukasmwanioti1458
    @pitalukasmwanioti1458 Год назад +2

    Nyimbo nzuri merody kalii

  • @Thecoastfilms
    @Thecoastfilms Год назад +9

    Moja hatari kaka love from 254🇰🇪

  • @ibrahimmacheda4934
    @ibrahimmacheda4934 Год назад +24

    Hit Song 💥💥

  • @suleamberforreal7401
    @suleamberforreal7401 Год назад +40

    Sounds so much good this what we need KingsMusic

  • @ramadhanaliomar61
    @ramadhanaliomar61 Год назад +1

    Watu wanaimba kiutu na utulivu daah kings mko juu....

  • @kay_b4life74
    @kay_b4life74 Год назад +1

    Brother unanikosha
    Yeyote ambaye ni mshabiki k2ga nip like Zangu kama zote hapo

  • @Nyotaafrikamusic
    @Nyotaafrikamusic Год назад +1

    Iskose Video hii nyimbo Moja Kati ya Nyimbo Ambazo Umenyoosha pia Ya Kali nzur kwanzia beat N ulivo pangilia Melodyz Afu Umeweza Kuelezea Unacho zungumzia tena kwa mashahir na Vituo,,, You so Talented Alafu Unasubira Mziki n Maisha Kutoka na Kufanikiwa N mamb ya Khaibu maana N ktk mfumo Wa Rizki Na Mtoaji n Mungu ether wise Ue Mtu Wa Shirki 😢 ,,, Ila Nakusihi Ukomae Maana Utaenda Unawafikia Watu Taratbu Na Mwishoe Utaona Malipo yake Inshaallah ❤️💪 @k2ga #ANANIFUNDISHA

  • @frontdee1
    @frontdee1 Год назад +1

    Aloo uyu jamaa nouma ngoma kali promotion iwe kubwa bro

  • @thisisazir66
    @thisisazir66 Год назад +3

    Mchizi Wa Uk

  • @ringohightech2420
    @ringohightech2420 Год назад +5

    Eagle🇨🇩

  • @emmanuelmayunga1518
    @emmanuelmayunga1518 Год назад +2

    Mdogo Wang wew ni noumaaa sanaaaaa 🔥

  • @totoamosi8127
    @totoamosi8127 Год назад +7

    Much love❤from johaneabourg🇿🇦🇿🇦🇿🇦

  • @karimshabani771
    @karimshabani771 Год назад +2

    bongo flavour iko kings