There is nothing more inspiring than the Name "Allah" said out loud. May Allah Bless all Africa & guide its people to him, that they may truly prosper.
Wallah HII SIO DINI YETU YA UISLAM.. MNAJUA NYIE MLIPOTOA HII MIZIKI, MAGITA NA MANGOMA.. HAPA MNATAFAUTI GANI NA BONGO FLAVOUR? MCHENI MOLA WENU NYIE WATU,,,, HAKIKA MNAPOTOSHA UMMA NA SUTI ZENU HIZOO..
There is nothing more inspiring than the Name "Allah" said out loud. May Allah Bless all Africa & guide its people to him, that they may truly prosper.
.
يا سلام يا سلام سلمنا يا سلام
ماشاء لله ماشاء لله kazi kubwah mungu awabaarik kwa nashiid yenye kuomba dua
Maashallah
Innalillah wainna ilayh raajiun
Hapa penyewe mashallahaaar
Na magita ndani subhaa allah
Mashallah
Mashallah burdan mzuri sana
Ah! Unanikumbusha vitu vya قرطبة 😗
Koba unaniliza na bayati allah akulipe
Ahsantum
😊
Mpaka waarabu wamisr wameelewa
Sasa hizi ninyimbo kama nyimbo zingine Jambo la Àllah wanaingiza Mambo haya
"MAN JAHILA SHAIANI A'ADAU" Nikawaida Mtu Kukikanusha Kwasababu Akijui.
Koba hii qaswida kwanini usiitolee visual yake , mana doh 😢 twaybu twaybu
Wallah HII SIO DINI YETU YA UISLAM.. MNAJUA NYIE MLIPOTOA HII MIZIKI, MAGITA NA MANGOMA.. HAPA MNATAFAUTI GANI NA BONGO FLAVOUR? MCHENI MOLA WENU NYIE WATU,,,, HAKIKA MNAPOTOSHA UMMA NA SUTI ZENU HIZOO..
Acha ubwege nawewe kutumia sim umetoa wapi
inashangaza sana ni muzik uwo jamani yani sijui tunaenda wapi.
Ni miziki tu. Allah atuongoze
Halafu eti mtu anasimama anahalalisha maulidi na mkazi wake mkubwa kazi kutafuta kiki tu, hayo ni yenu nyinyi so mafundisho ya MTUME SAW
Watu wa bidaa sasaivi huku ndio wanako ipeleka dini ya ALLAH
Muwache Kutumia Spika Kwakuswalia Kwasababu Wengine Wanapigia Ngoma.