Huuuuuuuuuuu hongera kubwa sanaaaaaa yaani hongera sana tena mumepiga kama sisi wa Congo kabisa mungu awapandishe juuu tena zaidi kabisa nawapenda sana ningi tamani siku moja nifike kuwa tembeleya kabsaa
Kuna maneno ningewaza kusema lakini naona hayaenei ukubwa na excellence na uzito wa ibada iliyofanyika. Kwakweli Mungu anafurshi sana naamini huko aliko. Watumishi Mungu awabariki sana na msiache kupatikana madhabahuni hayo mambo mengine ya kila mmoja binafsi yata settle tu mahala pake sisi tifanye ibada tuuuu kila leo tusiache. Mungu awatunze sana ninyi ni potential muhimu sana madhabahuni kwa Bwana wetu .
This song has been a blessing to me. Blessings be to the whole team and specifically to the drummer, Beni sollo, basist, second pianist and to the song leader❤❤❤❤
Always impressed by This Bass Man in a number of Projects...now this❤❤❤ Now The Drummer is an All time Favorite🎉🎉🎉 The Leads Guitarist is a humble One...With Heavenly String Man🎸🎸🎸🤝🤝 I love the faces...they are Moving Gospel Makosa((Sebene)) Music to Heights.....Bless Your Hearts Men 👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
Mziki Mtamu ,Ujumbe mzuri ,Mungu awabariki kwa kuitangaza habari njema ya Wokovu, Wanamziki Mungu awabariki sana mpiga Bass na Mpinga Ngoma Mmemtumikia Mungu vyema. ❤
Safi sana ukweli nikimuona mpiga drams napata hamasa ya kutazama video mimi sio mpenzi wa video za song lakini kwa mpigaji huyu toka namuona Calvary tempo live amenifanya nianze kumfuatilia
Hatari sana, on repeat for two days now, Mbarikiwe sana, hili sebene najikuta ndani ya wimbo na mimi 😀😀
Kazire babaa 🙏🙏🙏🔥🔥🔥🔥
Huuuuuuuuuuu hongera kubwa sanaaaaaa yaani hongera sana tena mumepiga kama sisi wa Congo kabisa mungu awapandishe juuu tena zaidi kabisa nawapenda sana ningi tamani siku moja nifike kuwa tembeleya kabsaa
SIFA na UTUKUFU kwa BWANA YESU.Karibu sana sana na tutabarikiwa siku tutakayokuwa pamoja
Kuna maneno ningewaza kusema lakini naona hayaenei ukubwa na excellence na uzito wa ibada iliyofanyika. Kwakweli Mungu anafurshi sana naamini huko aliko. Watumishi Mungu awabariki sana na msiache kupatikana madhabahuni hayo mambo mengine ya kila mmoja binafsi yata settle tu mahala pake sisi tifanye ibada tuuuu kila leo tusiache. Mungu awatunze sana ninyi ni potential muhimu sana madhabahuni kwa Bwana wetu .
This song has been a blessing to me. Blessings be to the whole team and specifically to the drummer, Beni sollo, basist, second pianist and to the song leader❤❤❤❤
From South Africa 🌍 🥁🥁🎧🎶🎵🙏😇🇿🇦🎸🎸🥁
Rhumba ingine bana imeenda shule.. Group of schools💯💯a good song💯God Bless you people
Mmenibariki sana nimekumbuka mbali kule Mungu alikotutoa.Mungu awabariki sana tunatamani kuendelea kuona vitu hivi
Am wondering how this song is not yet at a million views ❤❤❤❤
Wimbo mzuri san mbarikiweee
Lingala ya yesu....tamu Sanaa
Very powerful❤,
Mzidi kuinuliwa Shekhina with Bishop ❤
Rhumba just the way I like it. Glory to God. God bless you.
Akuna Kama yesu nampena Sana yesu mungu awabaliki😁😁😁😁😆
Huyu Yesu hutuweka huruu
Basi awapelekee mbaliiiiii❤️
RUMBA YA YESU EXCELLENT
Ni mahatariiiiiiiiiiiiiiiii mjue haya mambo yanatisha hatariiiii uwiiiii mbarikiwe sana shekhina
Hiyo BASS mzee🙌🙌 wheew blessings
🔥🔥🔥🔥🔥 wapigaji wakali chakula chochote Pale Serena Alaf wanitumie Bili please especially Drumer🔥🔥🔥🥁🥁✊🏼🙌🏽🙌🏽
I'm speechless hakika Mungu anatukuzwa kwa kila namna.... I feel the anointing in this praise ...wow
Wonderful , nice move brethrens
Kazi nzuri sana.mbarikiwe zaidi
Fantastic Cool Rhumba
Wooooow..wooooow❤
Drummer Hans nimemkubali kwa sebene ya...huyu jamaa abarikiwe sana 😊 🥁
Much love from this side🎉❤
Rumba ft seben,,,,lit!
♥️♥️♥️ congratulations
🎉so beautiful
Kazi nzuri sana Glory to Jesus..musicians soloist drums bassist keys.. singers safiii
Hata kama hujui unaweza ukajikuta umecheza. Glory be to God for singing for the Lord
Hongereni sana .wimbo mzuri sana❤❤❤
I have always respected the Drummer and soloist in this crew😁🥳🥳top-notch🔥
hongeren sana sana waimbaj
Always impressed by This Bass Man in a number of Projects...now this❤❤❤
Now The Drummer is an All time Favorite🎉🎉🎉
The Leads Guitarist is a humble One...With Heavenly String Man🎸🎸🎸🤝🤝
I love the faces...they are Moving Gospel Makosa((Sebene)) Music to Heights.....Bless Your Hearts Men 👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
Wish to know their Names please if it's well we could share contacts .....am challenged always but rather moved❤❤❤
@@mouricenortorn9583 Basist names is Glory and Drummer name is Hans
Yes its very true what you saw on the leading guiterist "Benjamin",He is very humble
Mziki Mtamu ,Ujumbe mzuri ,Mungu awabariki kwa kuitangaza habari njema ya Wokovu, Wanamziki Mungu awabariki sana mpiga Bass na Mpinga Ngoma Mmemtumikia Mungu vyema. ❤
Huyu MUNGU ni muaminifu sana,MUNGU anazidi kuwainua watu hawa wazuri
Asante Yesu 🎉🎉🎉🎉 1:19
Mercy🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Moto 🔥 The message is home!
It's the bassiste for me🔥🔥
Hongereni sanaaa powerful song...
Hongera wimbo n mxuri lkn tunsubir na wakuabud jomn ulikuw mxur san ,
Kweli kbsaaa aniiiiiii kumbe tulikuwa wote
Unakuja siku si nyingi
Mpiga drum shikamooooooo
Woooow woooow,,,,,so wonderful 😊
Very niceee song❤❤
The bassist is on another level of glory, Kudos
Name of the bassist please
@@edwinokothh6288 He is Called "GLORY"
Gloire bass
Wow this powerful music
Fireeeeeee rumba muyesuuuu
Powerful
The bassist 😂😂😂🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Mpiga base, heshima yakoo
God bless you man of God
May Him answer your prayers
Name of the bassist please?
Hua ananibariki kwa kila nyimbo amecheza😚😚
His name is "Glory"
Safi sana ukweli nikimuona mpiga drams napata hamasa ya kutazama video mimi sio mpenzi wa video za song lakini kwa mpigaji huyu toka namuona Calvary tempo live amenifanya nianze kumfuatilia
Wow Amazing Grace
Ongereni kwa wimbo mzuri
What a powerful ministration.. God bless you all
GOD is so gracious and soon we will be releasing the other songs which I do believe the GOD JEHOVAH YAHWEH will be praised
I love that energy ❤❤
Rhumba na sebene 😂👋🙌
🔥🔥🔥
This is wonderfull
This is so wow ❤❤❤❤
Keep it up TZ
Bassist 🔥🔥🔥💥💯🎸
Excellence in worship
💯💯💯❤️❤️❤️❤️❤️
Utukufu kwa Bwana
Nani kama Yesu jemadari
Waohhhh❤❤❤❤❤
Beautiful
Wow glory to God
Amen
🔥🔥🔥💫
Asee basist na drummer wapewe maua yao
Hakika
Powerful
❤❤❤❤🔥🙌🏼
Hayayayayaya hebu ni subscribe ili niwe napata vzr kama hiviiii❤
Maneno swaaaafi haya
🔥🔥🔥
Waooow!!
🔥🔥🔥🔥
Wooww❤❤
Okay soon u will get thr translation
wooh
❤❤❤❤❤🎉🎉
mmmmmh 🔥🔥🔥🔥
❤❤❤❤❤❤❤❤
🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽
Wimbo wa harusi yako😃🤣
❤❤❤❤
❤❤🔥🔥🔥
😍🤩😍
❤
❤❤❤
🔥🔥🔥
Amen
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
🔥🔥🔥
🔥🔥🔥
Powerful ❤