Hakuna kama yesu jina lake limepita majina yote ...na Pendo lake ni halisi kwetu ,utukufu na sifa una yeye aishie milele,Niko ambaye Niko,mbarikiwe sana neema mungu iwe pamoja nanyi kutimiliza kusudi lake aliloliweka ndani yenu kwa kuzaa matunda kwa ajili ya ufalme wa mungu
Yaani Hadi nimefurahi kuusikia huu wimbo yesu ohooo yesu hakuna Kama wewe yesu hamna wakulinganishwa na mungu
Nimeutafuta wimbo kwa miaka 6 Sasa toka niliposikiliza audio yake ila Asante leo nimeupata. So blessed
Hakuna kama yesu jina lake limepita majina yote ...na Pendo lake ni halisi kwetu ,utukufu na sifa una yeye aishie milele,Niko ambaye Niko,mbarikiwe sana neema mungu iwe pamoja nanyi kutimiliza kusudi lake aliloliweka ndani yenu kwa kuzaa matunda kwa ajili ya ufalme wa mungu
Hakika hakuma mwamba kama huyu Yesu Kristo.
Barikiwa sana Mtumishi wa MUNGU
Mungu akubariki kaka Mwangosi huu wimbo nimekutafuta RUclips mpk moyo ukaumaaa. Aki this is my song 😇😇😇😇😇😇😇😇💞💞💞
There is no other Powerful Name than The Mighty Name of Yeshua Hamashiach. Kweli hakuna kama Yesu.
Mbarikiwe Mtumishi wa Mungu 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Amina.wimbo huu unabariki.barikiweni sana 🙏🙏
A worshipper of God Jehovah who reign in Heaven and on earth in Jesus name
Umetisha. Praise the Lord
Hakuna kama Yesu na hatotokea kama yeye...🙏
Ameen Ameen nabarikiwa sanaa na wimbo huu haleluyaaa 👏👏👏👏👏
Kwa YESU kuna raha kwelikweli ........hakika hakuna kama wewe YESU 🙏🏾
Huu mziki 🙌🙌🙌🙌🙌🙏 hyo 🎷🎷🎷🎷🙌🙌 Hakika hakuna Kma Yes
Nabalikiwa sana nahuu wimbo amina jina Yesu ninguzo
Unanibariki mno mwanangu kwa wimbo wako MUNGU akuinuee zaidi na zaidi
Thank you for this wonderful ministration. Blessings
Nawarikiwa saaana
Yesu ni jina linalopita majina yote. Yes ni shujaa
Yesu oooh Yesu hakuna kama Wewe....
Yesu ooh Yesu.. hakuna kama wewe 🙏💕
Hakikaaa hakunaaa kamaaa wewe yesu
Amen, Very powerful song I ever met, Be blessed servants of Almighty God
Wimbo wanibariki sana huu
My God and my King.There is non like you Jesus.
I ❤❤❤❤ this song. It really ignites my spirit 😊😊😊😊😊😊
💕💕💕 Yesu ooh Yesu hallelujah...hakikaa Hakuna Kama wewe ooh ....🙏🙏🙏🙏
AMEN AMEN 🙏 mbarikiwe sana utkufu apple yesu
Naipenda mno
Waaah!
On point👌!!
what a song! God bless you sir.
Yesu hakuna kama wewe
Kweli hakuna Alie kama Yes. Nakupenda yesu
Ushuhuda was yesu
Oh Yesu hakuna km wewe
This is soo powerful, dancing for the Lord💃💃🎻🎻💃💃💃
Hakuna kama wewe Yesu
Wow! What a courageous song.
...Yesu wangu eeeh hakuna kama wewe🙌
Wow nice Mr homeboy
I love the song. inspiring.
Yesu oh Yesu hakuna kama wewe hakika
YESU OOH YESU HAKUNA KAMA WEWE YESU
Wonderful song, ,,love it
barikiwa
Hakika hakuna kama Bwana Yesu
Bass list hizo scale unavyotembea nazo Barikiwa sana.
Hakuna kama Yesu
My favorite songs ❤️
I love u Jesu's❤
am blessed with this song
@majeshi the drummer 🤗🤗 bless you brother
Hivi mnao deslike mambo mazuri kama haya mna matatizo yepi ama no kutojua maana ya hizi alam? 🤔
Amen mtumishi
Song of all time 🕞
Powerful
God bless You and All team
Yesu nakupenda🙏🙏🙏🙏🙏
Imenibariki sana
🔥
God bless us
God bless you paul
Amen amen
Amina
❤❤❤❤2025
👏👏👏👏🙏
Hakika hakuna Kama YESU
👋❤
I love you jesus
🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🇸🇪🇸🇪🇸🇪🇸🇪🇸🇪
Hakuna kama wewe Yesu
Hakuna kama wewe yesu