DUDU BAYA AWASHA MOTO MATUKIO YA UTEKAJI TANZANIA(Haiwezekani kila wakati watu wanat..

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 ноя 2024

Комментарии • 184

  • @SylvesterMakenzie
    @SylvesterMakenzie 2 дня назад +31

    Wabongo ni washenzi sana mtu akatekwa mchana kweupe anao mba msaada mijitu inamtizama tu kweli ss wabongo ni nyumbu waoga sana

    • @richardnganya2311
      @richardnganya2311 2 дня назад +1

      Ni matokeo ya utamaduni wetu wa kutokuwa na ujasiri wa kuhoji mamlaka kama ilivyokuwa kwa Lema uwanja wa ndege..!!

    • @KareemDully
      @KareemDully 2 дня назад

      ​@@richardnganya2311wabongo kweli ni washenzi apo wangepigiwa kelele za mwiz wangejaa tele kwenda kumchoma mwenzao moto ila kusaidiana hawajui

    • @sponsor7882
      @sponsor7882 День назад

      mjifunze kwa wakenya

    • @AyoubPapiy
      @AyoubPapiy День назад +1

      Hamna banah" Shida inakuja watekaji huwa nasilaha baadhi yao, kwaiyo ukijitia kiherehere cha kutoa msaada inakula kwako

    • @SylvesterMakenzie
      @SylvesterMakenzie День назад

      @@AyoubPapiy Hao ni machoko tu ni waoga mno kuliko uwadhaniavyo hata ukirusha jiwe tu wanatimkia kwenye gar na kukimbia haraka mm nasema ipo siku wajichanganye kwenye anga zangu wakifanya utekaji wa kishamba kama ule haki ya Mungu mmoja angebaki maiti watanzania tuacheni uonga wa kisenge kama ulioonyeshwa na wapumbavu wale wakati machoko wale wakitekeleza utekaji wa kishamba ule

  • @anthonymilinga8696
    @anthonymilinga8696 День назад +11

    Watanzania siku mkija kujitambua na kudai haki zenu mtakuwa mmebaki wa 2 tuu. Nchi ya hovyo sana.

  • @jeremiamwakilimaji8284
    @jeremiamwakilimaji8284 2 дня назад +7

    Ahsante kwa elimu hii brother .

  • @AbdulIssa-o7e
    @AbdulIssa-o7e 2 дня назад +8

    Tz nchi wanafiki sanaaa arafu Akifa utasikia pole pole pole daah, kuzaliwa peke yako utakufa peke ako utazikwa peke ako pambana kivyako vyako mungu ndo msaada wako, wa pekeee

  • @Fatima-v9k6f
    @Fatima-v9k6f 2 дня назад +14

    From 🇧🇮 pole ni san majirani mana kila sku kuuwawa kutekwa

    • @JohnBenedict123
      @JohnBenedict123 2 дня назад

      Yaani ndugu yangu mtuombee sisi watanzania tuwe na ujasiri kama nyie wakenya. Yaani tumekuwa kama makondoo. Kweli mtu anatekwa na watu wanapita wanaogopa kabisa kumtetea? Yaani tumekuwa wa Hovyo kabisaa

    • @VenantMshema
      @VenantMshema 2 дня назад +1

      Nchi ya mama😂😂😂😂

    • @rogersiddy
      @rogersiddy День назад +2

      ​@@JohnBenedict123😂😂sio wakenya hiyo Bendera ya Burundi mdau😂😂

    • @abduljuma7807
      @abduljuma7807 День назад +1

      Sisi waoga kukamatwa naKuna watu wananiambia acha kukometi yatakukuta

    • @rogersiddy
      @rogersiddy День назад +1

      @@abduljuma7807 Na huu ujinga ndo unaotufanya tujazane uoga kwakweli Mungu atusaidie sana🙏

  • @eliezergama4785
    @eliezergama4785 День назад

    dudu uko vizuri.reasoning yako ni ya juu sana.

  • @TumsifuSilaa
    @TumsifuSilaa 2 дня назад +5

    Tanzania kama Somalia 😢😢😢 😢😢 inasikitisha sana.

  • @SudyMohamedy
    @SudyMohamedy День назад +3

    Dudu baya nakukubali sana

  • @AbdallahKifundo-t5e
    @AbdallahKifundo-t5e День назад +1

    Dudu baya ni mchambuzi mzuri sana, likitokea tukio lolote namsikiliza anaongeleaje

  • @RichardbituroMakole
    @RichardbituroMakole 2 дня назад +11

    😂😂😂 wewe siyo dudu baya ni dudu safi dah

  • @nazirjorgedasilva
    @nazirjorgedasilva 2 дня назад +13

    Dudu baya salute 🇲🇿 mozambique

  • @chalokalunde9429
    @chalokalunde9429 День назад

    Kila mtu ajiandae yeye kama yeye hakuna msaada wa watu nchi hii tumeona mfano live ila Hongera sana aliye RECORD tukio.Mungu ambariki sana.

  • @kulwastima3993
    @kulwastima3993 2 дня назад +4

    Dar hkn watu huko ni vigoda tu kz zao kuvaa nusu uchi na vigodoro kweli wapumbavu konki Kanda ya ziwa ndo Kanda za kuishi

  • @bsmonline8482
    @bsmonline8482 2 дня назад +9

    Mimi nilijua Nyumbu tuu ndio wanatabia kutazama tuu mwenzao akiliwa na Simba kumbe mpaka Binadamu. 😂😂😂😂

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 День назад

    Hahaha Konk master umetishaaa😂😂😂❤❤

  • @FadhiliMwangosi-h2x
    @FadhiliMwangosi-h2x День назад

    Nakuunga mkono dude baya watanzania waliokuwa enjoy hilo ni wapumbavu sana sana yaanii

  • @daudimaniseli759
    @daudimaniseli759 2 дня назад +3

    ALE KARIBU NA CONC MASTER.. MWAMBIENI ANAFANYA KAZ YA MUNGU....ASICHOKE

  • @AmisamauridNgagada
    @AmisamauridNgagada 2 дня назад +4

    Binadamu wanaishi maeneo hayo ni mabwabwa tu mtu anaomba msaada wanashindwa kurusha haymta mawe wanaume mpo kweli 😢😢

  • @mwangajamiitz
    @mwangajamiitz 2 дня назад +2

    Watu wa dar wa Dar es salaam ni washenzi sana. Na wapuuzi sana. Nimetokea kuwachukia watu wa Dar es salaam

  • @JacobMbosalee
    @JacobMbosalee 4 часа назад

    Bado WEWE NDUGU YANGU,unajiamini vipi DUDU BAYA??hawa WATU wanatisha DUDU BAYA,jiangalie bana Bado tunakupenda

  • @DeoBundala-ip6ei
    @DeoBundala-ip6ei 2 дня назад +3

    Konki acha uoga sema ukweli hao ni polisi bhana watekaji nipolis

  • @MengiMeng-fd7sq
    @MengiMeng-fd7sq День назад

    Kwani mauwa yameisha jamani.au mbaka Godfrey tumaini aondoke❤❤❤❤❤

  • @MengiMeng-fd7sq
    @MengiMeng-fd7sq День назад

    Ata south africa lina kufa jitu polisi wakija wanafanya kazi yao wala awamuhulizi kima yeyote baba❤❤❤❤❤

  • @ladislausmoris9638
    @ladislausmoris9638 2 дня назад +10

    Haya yote chanzo ni Viongozi wetu wakati wa hayati magu raia Walikuwa jasiri kea sasa kuko kimya sana vyombo vyenye dhamana amukeni Hali ni mbaya sana uzakendo umetoweka

    • @AlcherausMalinzi
      @AlcherausMalinzi 2 дня назад +3

      Wakati upi watu walikuwa na furaha?Mbona wakati ule ndo hofu ilikuwa juu hata kuongea ilikuwa tabu.

    • @Byme6434
      @Byme6434 2 дня назад

      Sisi ndo tulikuwa tunazielewa zama zile Siyo hizi RIP MAGUFULI💔😭🇹🇿​@@AlcherausMalinzi

    • @alexsimon5576
      @alexsimon5576 13 часов назад

      Mambo ya kutekana yameanza zama Gani?

  • @mariozulu5743
    @mariozulu5743 2 дня назад +3

    Watanzania kuweni kama wakenya JUWENI HAKI ZENU NA KATIBA SIO AMAPIANO

  • @masikitikomwakyonde1259
    @masikitikomwakyonde1259 2 дня назад

    Safi sana Dudu Baya tumekumbuka enzi zako

  • @MwangaBora
    @MwangaBora День назад

    Tumefikia,pabaya,sana,pole,sana,ndg,yangu,Tarimo

  • @adiaygo8546
    @adiaygo8546 2 дня назад +4

    Tanzania kama south Africa watu wanaangalia tu😅😅😅

    • @bilid4128
      @bilid4128 2 дня назад

      Kuna kipindi ilikuwa mtu anakabwa na vibaka hadharani mchana kweupe alafu watu wanaangalia tu 😂😂😂

    • @babazungu3180
      @babazungu3180 День назад

      Halafu kaz kuwasema mataifa mengine tu wakati kwao ni vile vile tu

  • @EstherJeremiah-o9n
    @EstherJeremiah-o9n 2 дня назад +1

    Kweli wabongo niwaoga sna mtu anakamatwa mnamuangaria tu baada ya kumsaidia

  • @francisletara4316
    @francisletara4316 6 часов назад

    What next. Utanzania huu? Hapana. Leo Tarimo, Jana? Hakuna jeshi LA polisi hapa

  • @ulimbagakipole3971
    @ulimbagakipole3971 День назад +2

    Hata hao waliokuwa wanashangaa, wakamatwe ni washirika wao.

  • @crisantisindani3830
    @crisantisindani3830 2 дня назад +1

    Leo ndiyo umeongea point😂😂😂🤜🤛

  • @frenkfredrick881
    @frenkfredrick881 День назад

    tutaona mengi Mungu ibariki Tanzania Mungu ibariki nnchi yangu

  • @lemamolelilemamoleli7740
    @lemamolelilemamoleli7740 19 часов назад

    kweli sisi wabongo niwaoga sana ivikwann tunakuwa waogaivi

  • @jerrymaeda4096
    @jerrymaeda4096 День назад +1

    Walachips tuuu waoga sana

  • @OmariBwagizo
    @OmariBwagizo День назад

    Nnch hii imekua mgumu sana maisha yamekua magumu kwenye mirad yote ya barabara imesimama serikal haina hela wananch tunateseka kaz hakuna serikal wala haijali kwasababu tu wao wanakula na kushiba serikal hii ni ngumu sana haijawahi tokea hiv tangu tumepata uhuru mirad kusimama yote mama anacheka na mwigulu atamtia njaa sana yule jamaa sio poa atamaliza kila kitu

  • @xaixaiobrigado4846
    @xaixaiobrigado4846 День назад

    Twende mbele,turudi nyuma!
    Kwamba wkt wa Jiwe watu walikuwa jasiri- lini,wapi?
    Tekaji yenyewe imechipukia wkt huo; hata neno 'wasiojulikana'limeanzia enzi hiyo,na wasiojulikana,actually wanajulikana.WANATISHA BALAA!
    C ni kama waliomchomoa mwendazake Kibao toka kwenye basi au.....!

  • @tomochieng280
    @tomochieng280 День назад

    Watu wa Tanzania ni wapumbafu kweli kweli ndio maana hawajui hata mandamano.hawawezi saidia mwenzai

  • @prochesytesha8040
    @prochesytesha8040 День назад

    Kweli siasa afrika ni ngumu sana

  • @EricRutta
    @EricRutta День назад

    Watanzania kwa ujumla mi wapubambuvu KULIKO maelezo! Mpira na matamasha na ngono ndo vimewakaa akilini! MTU anaomba msaada and no one comes to his rescue!

  • @ELOGERUHIMBASA
    @ELOGERUHIMBASA День назад

    Wa bongo mna lalala nyigi hao wange kuwa Burundi hawange mchukuwa mtu wange pigwa kama minyama

  • @musaambonisye6046
    @musaambonisye6046 2 дня назад

    Majirani waliokuwa wanatazama badala ya kusaidia wachomwe moto hawana faida😂😂😂

  • @GabrielbarakaThoua-fh8ow
    @GabrielbarakaThoua-fh8ow 2 дня назад +2

    Tanzania ninyi ni ndugu zetu kweli. Yaani tukitekwa nanyi mwatekwa? Tuweni pole sote. Dawa ni kura na raia kujitokeza Kwa kupinga upumbavu

  • @hisexcellencyhon.dandabeni84
    @hisexcellencyhon.dandabeni84 18 часов назад

    Mtu anaomba msaada anatekwa Watu wanamwanfalia tu. Hapa ilikuwa Watu Kuja na some, mapanga, mishake, gobore, pinde

  • @ZaidAKissinza
    @ZaidAKissinza 2 дня назад +1

    Watanzania tumerogwa na nani? Mbona sisi ni mazuzu? Mwanchi mwenzetu anatekwa watu wa eneo hilo wako kimya bila hata kuuliza kuna ni. Hovyooo Bangladesh

  • @mohdkhamis-b6v
    @mohdkhamis-b6v 17 часов назад

    Wabongo niwoga sana

  • @DeusdeditBwanduluko
    @DeusdeditBwanduluko День назад

    Wale ni.wahuni tuu wangekutana na mtaalamu wa ngumi atamimi nawa ngoaa na wangoa meno

  • @abbacushabba4110
    @abbacushabba4110 2 дня назад

    Bro,Dudu hawa Police wa Tz bado hawana Elimu yakuwa Police bali Nguvu nakupewa pesa STOP. 😢😢

  • @boniphacepaskal4024
    @boniphacepaskal4024 14 часов назад

    Kuna viongozi kweli siku hizi mbonahizi niaibu mchanamchana hivi kweli

  • @AyubuChacha-u6u
    @AyubuChacha-u6u 2 дня назад +1

    Kweli ni kwamba wananchi wa eneo lile walikosea sana walitakiwa kumsaidia na kuwauwa wale jamaa na kwamba haya yote CCM na Samia ndio wameleta haya maana kumekuwa na shida sana kubwa kwa mauaji mengi sana.

  • @selemanisalum7685
    @selemanisalum7685 2 дня назад +1

    Nchi ccm wameishindwa kabisa tuseme ukweli toka kipindi cha maghufuri alivyoiunda tacky Foss yake kuteka kuhuwa sasa wale watu wake wameshaifanyia kazi kivingine watu wakichukiana tu anakupoteza anawatumia watu km hawa

  • @dn.n4983
    @dn.n4983 2 дня назад +1

    Jamami hii siamini selikali hii imeona kweli Mama yetu kipenzi Rais naomba liangalia hili linauma sana sana ninaamini utaliangalia hili

  • @KalicKaguz
    @KalicKaguz День назад

    Hawataki kujidhalilisha kwa sababu wamefeli malengo yao kwa iyo yote mawili yanawezekana huwenda ikawa ndio au sio

  • @joshuaswai8203
    @joshuaswai8203 14 часов назад

    Nani mwanzilishi wa uharamia huu uliko Tanzania mda huu mbona kimya kingi

  • @gidongailo7174
    @gidongailo7174 День назад

    Hili limetokea ndani ya jamii ya wajinga sana. Sijui ni jiji gani la wajinga kiasi hiki😂😂😂 Natamani litokee huko kwetu tuwaoneshe nini kilitakiwa kufanyika

  • @sabokoMAILA
    @sabokoMAILA День назад

    Hao hawa kuwa nania nzuri ndo maana wakakimbia, ila ni askari

  • @richardnganya2311
    @richardnganya2311 2 дня назад

    Mjumbe wa nyumba 10 yaani balozi wa ccm? Mmh !!?

  • @RamadhanMbwana-o1j
    @RamadhanMbwana-o1j 2 дня назад +1

    Watanzania ni kama Swala mbugani mwenzao anauliwa wao wanatazama. Inatia uchungu sana

  • @MichaelMatiku-v7o
    @MichaelMatiku-v7o 6 часов назад

    Usiseme wabongo watu wa dareslam mnatutia aibu sana ata kibaka akikwapua sim anakimbia watu wanamuangalia TU ila Kuna wilaya uku awo jamaa wangeuwawa aisee nawambia kama nawatania wananchi wamechoka na hiyo gari tungeigeuza jivu..

  • @NoelaJohn-p5d
    @NoelaJohn-p5d День назад

    Pal wangepig kelel na yul tarim kaka yang na yey angepig sapot maan pal wangemuachia sasa pal angeuwaw wangeaz kusem tulion mwanz mwish mpk maut unamkut watanzania sis ni ndug unapoon mwezak anapat shid kam hiy msaidiin hat kwa kupig kelele mkisek majambaz jaman tusaidiin watu wangekuj chap lazim

  • @JamesKanyenda-y9y
    @JamesKanyenda-y9y День назад

    Wale wauwaji sio maafande police awez kimbia.wale wauji majambavu.

  • @OmariBwagizo
    @OmariBwagizo День назад

    Shida ya police hawatoi majibu baada ya haya matukio sijui kwann yaan kwel jesh linashindwa kuwapata hawa watu daah hii shida sasa ititokea vita hili jesh litafanya nn sasa mbn uzembe umekua mwing na rais wala hajal jmn

  • @MathewMwamgunda-e8n
    @MathewMwamgunda-e8n День назад

    Sema watanzania wote ndivo tulivoo ivoo, hatupendani tunaseman tunapondana,,hata ukisema uwaite wtanzania wakapambanie haki zao hawawezi kufanya ivoo

  • @atufigwegemwamkamba1443
    @atufigwegemwamkamba1443 День назад

    bro dudu ni cctv camera zimesaidia

  • @OCHUMASIHI
    @OCHUMASIHI 2 дня назад

    Eti nimewatetea hapa ndy nn ss inamaana hy matukio yt wee huyackii leo umebwera konki

  • @omarymtaita7652
    @omarymtaita7652 День назад

    Yaaani majirani wamekuwa kama kondoo walionyeshewa na mvua aisee dah

  • @nicholausjoseph3716
    @nicholausjoseph3716 14 часов назад

    Dar hakuna binadamu kabisa ni nyumbu tu wanakaa maana nyumbu ndio hushangaa mwenzao analiwa

  • @rynesawaya7043
    @rynesawaya7043 День назад

    Jamaa na mkubal sana

  • @malingazeboss9351
    @malingazeboss9351 5 часов назад

    Watanzania tungakuwa na akili hata kibao ,saanane,, gwanda,, leopold lwajabe wasingepolwa uhai wao sasa kwakuwa ni wapumbavu ndomana tunachukuliwa kama kuku

  • @SuolFat
    @SuolFat 2 дня назад +2

    Aya yote ni mwenda zake

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 День назад +1

      Ndio kaanzisha ushetani wa kuuwa wenziwe kwa style mbaya sana.

  • @MOSESIMCHUNGUZI
    @MOSESIMCHUNGUZI День назад

    Wale majirani WASENGE san

  • @mohdkhamis-b6v
    @mohdkhamis-b6v 17 часов назад

    Mtu anaibiwa mbeleza watu wasamaria wanakuja kukuuliza umeibiwa shingapi wahuni washaondoka hiyo ndio bongo wacha wake znz nastail kama hizo

  • @dorothyminja8523
    @dorothyminja8523 15 часов назад

    Wanaweza kuwa maafande, lakini wanakata kinyume na utaratibu. Na ndio tunaita kuteka.

  • @JaphetMulungu
    @JaphetMulungu 2 дня назад

    WaI ni asikari.pigu wamepata wapi? Sema 2 kuwa asijari sio kuwa yeye ndiyo mwenye guvu.ila jamani tunaubiliwa amani kweri kama tumefika huku hiyo amani hiko wapi?

  • @DesertTears
    @DesertTears День назад

    Umeletwa kuwatetea polisi sio???

  • @ThomasMmary-r7w
    @ThomasMmary-r7w 2 дня назад

    MUNGU mwema 👏siku zote 😢

  • @MwinyiJuma-n4i
    @MwinyiJuma-n4i 2 дня назад +1

    Wasenge wananchi wa hapo wameshindwa hata kumsaidia duh watanzania kama nyumbu

  • @Leodimk-n5c
    @Leodimk-n5c 2 дня назад +1

    Wanaweza kuwa walikimbia baada ya kuoma kuwa wanarekodiwa.

  • @Thomas-wj6dx
    @Thomas-wj6dx День назад

    Hivi hata watoto walijifunza vipi kuona vile

  • @AbdallahKifundo-t5e
    @AbdallahKifundo-t5e 2 дня назад +5

    Mawazo yangu" huenda hilo ni changa la macho ili musahau wagombea walioenguliwa na akili zenu zimehamishwa kiakili na kisaikolojia na hii ndo habari namba moja kwa sasa" mwisho wa kunukuu

    • @ordafabian5172
      @ordafabian5172 День назад

      We ndio taahira sana, kwahio usiposahau wagombea kuenguliwa utafanya nni, kwako wew ni mara ya kwanza wagombea kuenguliwa!!? Ulifanya nini miaka iliopita baada ya wagombea kuenguliwa

    • @AbdallahKifundo-t5e
      @AbdallahKifundo-t5e День назад

      ​@@ordafabian5172sawa mafwele

    • @nicholausjoseph3716
      @nicholausjoseph3716 14 часов назад

      Usiposahau utafanya nini sasa mbona we mpumbavu sana akili adi kichwa ni mavi tu,,,hutufai bora ufe kabisa

  • @AlexMlaba-y5j
    @AlexMlaba-y5j 2 часа назад

    Watanzania tuna ujinga kama nyumbu

  • @MantisSanga-x6n
    @MantisSanga-x6n День назад

    Shida sio wabongo kabisaa ila shida ipo

  • @anzurunindume
    @anzurunindume День назад

    Tanzania niwajinaga kiasi na mtakufa kama wajinga.
    Mtaa mzima wameshindwa kumshika hata mtu 1

  • @HawaOman
    @HawaOman 2 дня назад

    Niwale wasiojulikana wamejulikana sasa j😊😅😅

  • @richarddavidmk
    @richarddavidmk 2 дня назад

    😂😂😂😅 konki×3

  • @ZulfaMsangi-q3t
    @ZulfaMsangi-q3t День назад

    Yan watanzania tumetengenezewa mazngra ya kunyanyaswa na viongoz tume kua waoga lakn sasa tuspo kua wamoja mtaan tutakua manyumbu haiwezekan mtu anaomba msaada watu wanahofia kumsapot

  • @ambonisyekasanga6017
    @ambonisyekasanga6017 2 дня назад

    Dudu baya pingu sio anazo kila mtu hawa ni askari wanajua wanacho kifanya, Sio polisi wanasingiziwa, huo niupofu nao.

  • @DavidNicholas-c9i
    @DavidNicholas-c9i 2 дня назад

    Kuna mijitu haina akili kabisaaaa mwenzao analia

  • @nakalikyumile3234
    @nakalikyumile3234 2 дня назад +1

    Wewe si unaiteteaga ccm kaa kimya

  • @DafiMohamed-dz8xk
    @DafiMohamed-dz8xk 2 дня назад

    😂😂

  • @sponsor7882
    @sponsor7882 День назад

    wanaume wapo kenya tu

  • @SebastianNgimba
    @SebastianNgimba День назад

    jamaa ni kichwa sana,ila kama mda mwingine kichaa vile

  • @mokajoli4928
    @mokajoli4928 2 дня назад +1

    Kabisa yani watu awatokei sasa kama sioujinga nini

  • @comsmkemwa2671
    @comsmkemwa2671 2 дня назад

    Kwa hiyo konki unatetea kuwa sio polisi au....??

  • @MOSESIMCHUNGUZI
    @MOSESIMCHUNGUZI День назад

    HAO MAJIRANI NI TAKATAKA, YANI HAWANA AKILI KABISA

  • @kulwastima3993
    @kulwastima3993 2 дня назад

    Konki konki konki masteeeerrr

  • @wiliamkatala6688
    @wiliamkatala6688 2 дня назад

    Hao sio polisi,polisi gani anaweza akaacha pingu afu akimbie..

  • @cyprianpetetmbonde6374
    @cyprianpetetmbonde6374 2 дня назад

    Yaani wale watekaji kwa maeneo mengine walitakiwa. Wawe ugenini kwa usafiri wa kipigo na moto.

  • @alphoncewilliam4325
    @alphoncewilliam4325 День назад

    Konko 👍👍

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw 2 дня назад

    Yani watu wamekuwa kama manyumbu ile gari ingepigwa moto wangejulikana vizuri