Mwenyezi MUNGU wa Mbinguni tunakuahukuru kwa wema wako nakila mapenzi yako yakatimie bariki wagonjwa wote wapate kupona na kulejea katika Afya zao asante hee Mungu wetu🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Pole sanaaa mwanangu Mwenyezi Mungu akubariki upone haraka.POLENI SANA WOTE MLIOJERUHIWA NA MMELAZWA HOSPITALINI. POLENI SANA WATANZANIA WENYE NDUGU ZAO WALIOFARIKI KARIAKOO. NA MWISHO POLE RAISI WETU DR SAMIA KWA JANGA HILI LA KITAIFA
Alllah yuko na nyie Alllah mkubwa sanaaaa mushukuru sanaaaaa bado munahiyajikabktk jamiii mumepatta uhai mpya muwe wrma na afya na kuchapa imani kubwa na kusali sana na kuipenda TZ yenu na vuingozi wenu.Alllah mkubwa
Pole sana kijana, Mwenyezi Mungu anakusudi na maisha yako. Usimwache Mungu wako.
Sahihi kabisa
Mwenyezi MUNGU wa Mbinguni tunakuahukuru kwa wema wako nakila mapenzi yako yakatimie bariki wagonjwa wote wapate kupona na kulejea katika Afya zao asante hee Mungu wetu🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Poleh sana brooo,, Mungu ni mwema yatupasa tujifunze kuishi kwa kumjua Mungu
Pole Sasa mdogo wangu, Mungu anakupenda, usiache kumtumikia.
Pole sanaaa mwanangu Mwenyezi Mungu akubariki upone haraka.POLENI SANA WOTE MLIOJERUHIWA NA MMELAZWA HOSPITALINI. POLENI SANA WATANZANIA WENYE NDUGU ZAO WALIOFARIKI KARIAKOO. NA MWISHO POLE RAISI WETU DR SAMIA KWA JANGA HILI LA KITAIFA
Pole sana mungu akujalie afyah ya haraka insha Allah 😢
Sina cha kusema zaidi ya kusema mungu baba wasaidie
Pole sana, mwenyez mungu azidi kukupa maisha marefu
Pole sana bro INSHALLAH M/MUNGU ATAKUPONYA HARAKA NA ATAKUSAHAULISHA INSHALLAH.
Hakika Mungu mkubwa,pia shukrani zimfikie yeye mwenye
Pole xana kaka angu utakuwa saw kw uwezo wa mungu
Pole sana,Mungu ni mwema mkatoe sadaka ya shkran kwa kuwa hai
😢siwezi kusema machozi tu machoziii jamni asante Mungu kwa rehema zako
Poleni cna allha awape shufaa na waliofariki allha awape makaz mema inshallha
Poleni sana Mungu awape uzima na uponyaji wa haraka
Pole sana Mungu akupe afya njema ni jambo la kumshukuru sana M/Mungu
Sote tunaofaham tukiohili, tumushukulu Mungu kwa kuiruhusu wengi wao wapone, Mungu asante kwa hili.
Pole toa sadaka ya shukuran kwa Mungu
Wallah nimecheka si kwa vibaya ukono wake alijua si wake wallah wamepitia mapito hawa viumbe Allah awapambanie ktk maisha yao
Sio ya kucheka hata kidogo, hasbiaAllah wanimal wakeel
Pole sana. Mwanangu. Allah. Atakuponya. Insha allah
Poleni majeruhi na marehem wote wapumzike Kwan aman
Pole Sana mdogo WANGU ubarikiwe
Pole sana brother..
Mwenyezi Mungu atasimama nawe
Pole sana ndugu Mungu ni mwema umetoka salama
Yan mkinga mmoja mwenye tamaa ya kodi kagharimu maisha ya wakinga 100 poleni sana jmn
Inasikitisha sana😢
Jaman hinauzunisha sana poleni San
Pole sana brother, Mungu akuponye
Pole sana mdogo wangu,nakutakia kheri upone haraka.
Pole sana kaka endelea. Kumuomba mungu usimuache
Ee Mungu tunakushukuru sana , tumeuona mkono wako.
Mungu ni mwema kila wakati sifa na mamlaka ni kwake
Pole sana...usimwache Mungu
Pole sana,MUNGU wetu ni mwema
Pole Wote mlio nusulika
MUNGU Ni mwema.
Kila wakati.
Pole sana kijana mungu yu nawe
Mungu ni mwema. Pole sana mdogo wangu
pole sana jamangu mngu akupe afya jema
Pole mungu akuponye uwe mzima
Dw Kiswahili Nawapongeza Kuendelea Kutoa Taarifa Za Kweli Kutoka Sehemu Mbali Mbali Vya Ulimwengu
Pole sana kaka angu mshukuru Mungu amekupa nafasi nyingine tena
Pole atakuponya kwa haraka tuuu lnshalaa
Alllah yuko na nyie Alllah mkubwa sanaaaa mushukuru sanaaaaa bado munahiyajikabktk jamiii mumepatta uhai mpya muwe wrma na afya na kuchapa imani kubwa na kusali sana na kuipenda TZ yenu na vuingozi wenu.Alllah mkubwa
Pole san alhmdulillah pamoja nayote umeokolewa
Pole sana kaka mungu anakupanda sana
Pole sana kijana Mungu ni Mwema utapona
Mungu atakusaidia Inshaallah
Mwenyezi Mungu ni mkubwa. Utapona kabisa insha Allah
Poleni sana Mungu ni mwema 🙏🙏
Pole sana bro 🙏
Pole sana
Mwenyez MUNGU yuko p1 nawe
Pole sana mungu yupo pamoja na nyie
Mungu ashukuliwe wacha mungu aitwe mungu
Pole sana bro
Pole san kakangu utapona mungu yupo pamoja na ww 🙏🙏🙏
Alhamdulilah allah akufanyie wepesi
Mungu awape uponyaji
Tunamshukuru Mungu kwa kukuokoa.
Yani jamani kwanin8 waandishii wanapenda kuhoji watu kama hawa
Poleni sana watanzania inauma sana
Dah inaumiza sana😢
pole sana mwenyezimungu akupe afueni ya haraka
poleni sana ndugu zetu jamani
Allah akunusur hili na nyengen pia usiach kumuabud mung wak
Mungu wa Mbinguni Atukuzwe sana.
Pole Sanaa Mungu ni Mwemaa
Maskini pole sana mungu atakupa uzima. Na vipi brother wake alipona?!
MUNGU ni mkubwa sana, mshukuru sanaa
kwakweli ni kumshukuru Mungu
Pole sana Mungu n mwema kwa waja waje 😢😢😢😢
Pole sanaaaa
Mungu awasaidie mpate nafuu
Mungu mwema kaka Utakua sawa
Mungu ni mwema
Pole sana Mungu ni mwema
pole sana .Allah atakuafu
Mungu aimidiwe sana
Ahsante Mungu!
Mungu asifie kuwaume toka ukiwa hayi
Pole sana Allah akuponye
Me sijaelew kwahio kaka Ake alipon nayy au😢😢
🙏 twashkur sana
Pole sana kaka
Polen sanaa ndugu zetu
Mungu awe nawe zaid utakua salama ndugu
Pole sana Mungu akuguse upone haraka
Amen
Poleni sana
Pole ndg yangu
Mungu ni mwema saana
First comment.Pole Tanzania
Tunashukuru
Allah ndiye muezaa wa yote polee
Mwenyezi mungu ni mkubwa 😢
Mungu mkubwa pole sana kaka
Pole sana kaka yangu
Pole sana 🙏
Pole sana mwng
DaaaH polen sana
Pole sana dogo
Utapona kaka pole sana
Pole sana jaman
Alhamdulillah
Pole sana kaka😭