Ujue uke wenza Sehemu Ya 2 - Ukht Fatma Mdidi

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 ноя 2024

Комментарии • 67

  • @aishaomar9621
    @aishaomar9621 2 года назад +1

    Mashaa Allah tabaraka Allah shukran jazila

  • @ramadhansalimu8164
    @ramadhansalimu8164 Год назад

    Masha Allah dada uko vzuri Leo umepiga nikab safii sana Allah akulipe

  • @aishaalrijaibi1911
    @aishaalrijaibi1911 2 года назад +1

    Mashallah hawati kwa mafunzo allah ata walipa kheri

  • @aramm474
    @aramm474 2 года назад +1

    Ukht wallah umegusia uhalisia wa maisha tunayopitia hasaa....inasikitisha sana sjui tutajibu nn kwa Allah

  • @mariammadolukingama3759
    @mariammadolukingama3759 2 года назад

    Barakallahufiyk ila kwa kuwa kosoa wanaume inge hitaji muhamasishe kongamano la wanaume peke yake wasomewe makosa na kasoro zao katika kuwajibika kwenye ibada hii.

  • @a.856
    @a.856 2 года назад +1

    Jazakallah khayran

  • @muhamadikhamis
    @muhamadikhamis 9 месяцев назад

    Uhty wallah nmefarijika sana Allah akulipe ila nltamani npate kuongea unipe chakula charoho zaidi kma inawezekana nsaidie

  • @sindayigayaathuman4453
    @sindayigayaathuman4453 2 года назад +1

    Allah akulipe hapa duniani na kesho akhela

  • @muhamadikhamis
    @muhamadikhamis 9 месяцев назад

    Naombeni munisaidie namba yasimu nnashida saana najua kwauwezo wallah

  • @OmarAli-zi2jg
    @OmarAli-zi2jg 2 года назад +5

    Mimi nawaambia wanawake wooote wanaohisi hawatosheki na waume zao waombe talaka...mie sioni sababu za kuchukia amri ya Mungu kwa tabia za wachache...bado hujatoa sababu za kumcriticize Allah SWT kwa makosa ya wachache. Nisawa na asiokua mwislam kuuchukia uislamu kwa sababu ya waovu wachache wasiotekeleza uislamu. Je, tuuchukie uislamu kwasababu ya wale wachache wasioju wajibu wao...mama hapo umetelezaa...

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 2 года назад

      Mama ako pengine umemtelekeza halafu unataka mathna na wkt mmoja humuezi unalalamika maisha magumu na mzee wako umemtelekeza.

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 2 года назад

      Na wakiomba mtawapa????? Mnasema tu lkn ikibidi hamuwapi. Mana nyie w'me mliowengi sana 95% mnaoa sikm hamtosheki basi tu nyoyo zimeshapigwa mihuri ya uzinifu kwa kutizama machafu na maovu ya mitandaoni na majiani. Unafikiri m'me anaetizama uchafu mitandaoni anatosheka na m'ke? Leo kaona ya huyu kesho kaona ya yule....nafs yake haitulii akaridhika na mke mmoja.

  • @nadhifamohammed7749
    @nadhifamohammed7749 Год назад

    Ukhty wangu mimi alikua haniambii km haji najiweka vizur na napika chakula vizur hata sim hanipigii simuoni na hio kesho au kesho kutwa wala hanipi sababu kwann hakuja lkn Alhamdulillah allah kanisimamia nimefaulu huu mtihani

  • @khamisabduuqataadah8488
    @khamisabduuqataadah8488 2 года назад +1

    Masha ALLAH mtoa maada Yuko kwa sitara ya sharia

  • @alhamdulillah5796
    @alhamdulillah5796 2 года назад

    Umewenza siku hzi vituko kweli. Na Allah anajua ndio maana hawapi utulivu kwenye ndoa zao.

  • @taybahnasoro6049
    @taybahnasoro6049 Год назад +7

    Ewe allah nisimamie ktk ndoa ninayotarajia kuingia ktk ndoa ya mke wapi allah anisimamie sina ubaya na niliyemkuta rengo tu nistirike nna iman ya kumpenda mno mke mwezangu na tuwe km ndugu na tushirikiane mambo mbalimbali ya kielimu mpaka mengineyo allah tusimamie tuwe kitu kimoja yarrabi

  • @abbaasizziwa5754
    @abbaasizziwa5754 Год назад

    ManshaAllah

  • @kissamwamunyange1018
    @kissamwamunyange1018 Год назад +1

    Assalam Alekhum warahamatulilah wabarakatu
    Mimi nimeslim juzi tuu na nimeolewa mke WA pili. Ninaomba namba ya Ostazati huyu jamani nataka anifundishe mengi kuhusu uke wenza

  • @khadijahamisi1274
    @khadijahamisi1274 2 года назад +1

    Mashaallah

  • @ghalibmajid2882
    @ghalibmajid2882 2 года назад

    ماشاء الله

  • @alhamdulillah5796
    @alhamdulillah5796 2 года назад

    W'me wengi siku hzi wanapenda kuangalia ngono na w'ke wanaojieka na mavazi mabaya mitandaoni, hujitamanisha huko halafu hujitia Allah amesema....kumbe uzinifu unawashughulisha. Pesa hana, sadaka hatoi, zakka hatoi, wazee wake hawajali...ilimradi uzinzi umemkamata barabara kila m'ke anamtaka. Allah anawaona kwa machafu wanayoyatanguliza ambayo yanawafanya wasipate amani kwenye ndoa zao. Na ndio mana wakioa hawapati amani kwa sbbu hio mathna ni kificho tu lkn ishapita zinaa au ubadhirifu tofauti mpaka akaoa hio mathna.

    • @shaahans9398
      @shaahans9398 Год назад

      Ni kweli kabisa dada umeongea point kubwa,wanaume ni tamaa tu hamna lolote wansjificha kwenye kivuli cha dini uwongo mtupu

  • @aramm474
    @aramm474 2 года назад

    Au ukht fatma

  • @ndundekhatibu2147
    @ndundekhatibu2147 2 года назад +1

    Huyu mtoa madam inaonesha na yy uke wenza anauchukia

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 2 года назад

      Anazungumza ukweli uhalisia wa maisha wa w'ne wa ssa.

  • @gessanabuu99
    @gessanabuu99 Год назад

    Matatzo mengine ni yakukosa elimu Kwa mtu binafs na si ya kila mwanaume.lakin nyinyi mmezid ktk kupinga uke wenza.

  • @RwegasiraHelmanBENJAMIN-lj7lm
    @RwegasiraHelmanBENJAMIN-lj7lm 7 месяцев назад

    Na kwa hari hata ukty wew unaonekana wazi kuuchukia uke wenza hapo anayeuweza uke wenza ni ukty Fatuma Mdid

  • @abuhafs4774
    @abuhafs4774 2 года назад +3

    Jambo lapili ukhty naona kama darsa yako hii yapingana na darsa alio itoa ustadha fatma mdidi kuhusu uadilifu yeye alisema utamjuaje mumeo kua sie muadilifu ukiwa peke yako ww mruhusu aowe huyo wapili kisha ndo umuone ameweza uadilifu ama hawezi na pia ukhtiy fatma akaeleza tofauti ya usawa na uadilifu

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 2 года назад

      Mume muadilifu na alokua si muadilifu mpe pesa au kazi tu siku hzi utamjua. W'me wamekua matapeli na wezi kupita kiasi. Pesa wanavyoipenda wakienda kazini kazi kuiba tuuu na hawajui kutoa sadaka, zakka wala kwenda hijja. Hujawajua tu bado km si waadilifu? Mpaka akajitwike mizigo asioieza ambayo si lazima na huenda ikamueka pabaya kesho akhera?

  • @noositerabithia6635
    @noositerabithia6635 2 года назад

    swali langu ni kwan lazima kila mume awe na wake wawili na kuendelea?? manake haina madhara wala hakuna ushahidi wwote kwamba huyo mume atakua hayupo sawa (no scientific proof) nikizungumzia kwamba hata Quran ...japokua imeongelea mathna wathulatha warubaa3 lakini point ni kwamba kuna sababu nyingii sana na sana za huyo ayah ...subhaanallah ...I admire wake wenza wanaokaa uzuri ila ...hiyo ni kama jihadi ukiweza basi umeshinda ...na mke nadhani hamchukii mke mwenza huwa ana wivu tu mkubwa sana .....

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 2 года назад

      Km wanafata Qur-an si wangehudumikia na mama zao? Mama zao wanawatelekeza hv uisilam kwa m'me km huyo upo wapi? Ikiwa hata na kizazi chake pia hakijali.

  • @Saidaramadhaniramadhani
    @Saidaramadhaniramadhani 8 месяцев назад

    Naomba namba ya simu

  • @aairraahseif5648
    @aairraahseif5648 2 года назад +1

    Ukhty khadija, yawepo mapungufu na yasiwepo sababu ya mume kuoa ni moja tu'kufurahika zaidi na tendo la ndoa na heshima na uhusiano wa vitu vingi kati ya mume na mke'Sio kimoja tuu'usiongelee kama kwamba mume ameshiba au asiongeze mke kwa mapungufu ya mkewe, mume anahaki kuongeza mke hata kama mkewe hana mapungufu, hio ni hulka ya wanaume kuwa na wake zaidi, asipo ongeza kwa kuoa halali'basi ata kuwa na mipango ya kando hukooo!kwa maono yangu kuwepo mapungufu nakutokuwepo hiyo Sio sababu ya mume kuongeza mke!hizo ni kheri zake alizopewa na Allah na hatuwezi zizuia,wanawake mkubali tu uke wenza Allah ameruhusu nyie nikinanina mziletee mada na ushauri vipi uke wenza anao utaka ajue anakheri zake kwa Allah, na asio ukubali hasa hao biwakubwa wajue ni dhulma kubwa na dhiimaa watajibu huko kwa Allah, muhimu mke ajue kukubaliana na matokeo'na ajue hilo la uke wenza lipo tu'Kama alinza kuolewa au alikuja baada ya'uke wenza usichukuliwe ni dhambi au ni haramu, au ni adhabu,kama huwezi acha ngazi, na kama bado huja olewa jikubali, lkn uke wenza Sio kitu utajipangia wewe ulie anza kuolewa eti huyu mume ni wangu wa pekeangu ng'ooo unajidanganya,hutaki basi usiolewe, na kwanini mnapingana na Allah ktk huu uke wenza??mmekuwa kibri kwa Allah, muhimu ni kutoa darsa kwa wanaume wafuate na wafanye uadilifu na haki basi hilo ndo muhimu, semeni na wanaume wao ndo mtihani kuliko wanawake

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 2 года назад

      Km kufurahika kwa maisha ya ssa sifikirii km ndoa zingekuepo. Kwa sbbu hata w'ke waliowengi sana hawafurahikii ndoa zao. Ss tukisema kila mmoja aridhike na sio kuridhiana kwa mapungufu je nawao w'me watakubali kutoa talaka ili na w'ke nawao wakaridhike? Na km watakubali kutoa talaka je hao w'ke watapata wakuwaridhisha? kwa sbbu hakuna aliekamilika na hwatompata mume aliekamilika. Na hao w'me walioacha wake zao hawatowapata w'ke walokamilika.

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 2 года назад +1

      @@alhamdulillah5796 ndoa si mambo ya juu juu na machache kama wanaume na wanawake wanavyo dhani'kuna mtihani ktk hizi ndoa,ndo maana nikasema kuwepo na darsa kuwaelimisha wanaume na wanawake ambao wamo ktk Ndoa au hawamo, maana.Kujua huyu ananiridhisha"ni mpaka uingie ndani ya ndoa, huwezi mjua mke au mume ati huyu ataniridhisha! maana leo ndoa haziendeshwi ipasavyo, mke ana amri kushinda mume, na mume haoni sababu kwanini apangiwe zamu ya tendo la ndoa pasi na sababu zinazo mfanya mke ampangie, za udhuru hasaa,zinazo kubalika kisheria ya dini, unakuta mke mpaka apende yeye, sasa mume anapangiwa zamu ilihali hana mke wapili,kwanini adiongeze mke?huku kuridhiana na kuridhiana ni muhimu sana ktk Ndoa labda wewe huja yapata sema alhamdulillah kama. Lilivyo jina lako,ndoa sasa zikoapi?na kama utaona ni vibaya mke kuachwa kwa mapungufu yake basi akubaliane na uke wenza! Utakuta mke anamapungufu na hataki uke wenza, pia utakuta mume ana mapungufu na hataki kumuacha mke,sasa kuwepo na masomo makhsusi, na kujipanga saycolog na kukubali kuwa haya mambo nitayakuta ktk Ndoa ni muhimu kujua,unakuta mke anaolewa na hataki mume aongeze mke, yani hajui hata haki za mume,na mume hajui akiongeza mke anatakiwa amfuate haki na usawa,tujue vitu hivi kabla ya kuingia ktk Ndoa! kuachwa kupo tu'na huwezi basi usiowe wala kuolewa!watu wanaingia ktk Ndoa hawajui nini ndoa, ni tamaa choyo, ubinafsi, na chuki tu utazikuta huko, wake hawajui maadili, na haki zao wala za mume, na mume hajui maadili na haki za mke au wake zao,na tukubaliane ktk mapungufu na kurekebishana na kuheshimu ana na kuridhiana na kuridjishana tuache uvivu na kujua majukumu yako kama mke na majukumu yako kama mume,huwezi acha na ukubali kuachwa na kuachika, sio laana,kama mlioana kwa wema na muachane kwa wema,hata dini inasema hivyo,hii tabia ati"ukiachwa ni nani atakuowa'au utamu owa nani ni utumwa wa mwili na akili, vipi uwe tayari kuumia akili? swali gani hilo tujiweke tayari kiakili kuwa kuna kuolewa!na kuolewa uke wenza!kuna kuachwa au kuachika!na mume pia ajue hayo kabla kuna kuoa au kuongeza mke!na kuna kuachwa!mume nae huwa ana achwa ikitokea,sasa kwanini ujipe presha mume akioa? hutaki achika! na mume uwe tayari kumuacha mke, maana hamuwezi kukubaliana itakuwa vitimbwi dhiki juu ya dhiki nini hii yarrabi tuwe huru kuambizana hapa siwezi hapa naweza!

  • @Saidaramadhaniramadhani
    @Saidaramadhaniramadhani 8 месяцев назад

    Mimi mume wangu kaoa kisa shamba ndio sababu kubwa

  • @husenirashid6191
    @husenirashid6191 2 года назад

    Jitahidi

  • @gessanabuu99
    @gessanabuu99 Год назад

    Na ukiona mumeo anarud saa 6 ww una majanga yko, mlio wengi ni vibur lakin wanawak sifa yenu ni kusema Uongo na kutafuta ushind mbele za watu.mtakwama sana siku ya hesabu.usiwe unalalama tu uliza na sabb za mume kuwa hivyo.99% utakuta chanzo ni nyinyi wenyewe.

  • @abuhafs4774
    @abuhafs4774 2 года назад

    Jambo la 3
    Kwann hua mwaangalia tu upande wa mabaya mwapigia mifano tu ya upande muovu kwani hakuna ndoa za uke wenza zilizopo vizuri mkazipigia mifano

  • @alhamdulillah5796
    @alhamdulillah5796 2 года назад

    Wenye uwezo wakuoa mathna ok, lkn si unafata mkumbo au unajifanya tapeli. Mana ukusanye wape uwapelekeshe mbio halafu ww upite ukila...hivyo sivyo. Mana maisha ya siku hzi si baadhi ya w'ke tu ndoa walofanya mtaji na ulaji hata baadhi ya w'me wamegeuza hivyo hivyo. Wavivu kufanya kazi wakamkidhia mmoja hawawezi, wazee wao wanawatelekeza halafu wanajifanya wajanja wanakusanya w'ke tena wenye kazi au vibiashara wasilale na njaa. Anajua leo akienda huku anajaza tumbo kesho analala huku anajaza tumbo. Allah awaongoze wote.

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 2 года назад

      Hilo ni kweli kabisaa usemayo yapo,tuna hitaji madrasa mengi,imekuwa ni kawaida sasa na hakuna wakukemea

  • @FatmaJambwali
    @FatmaJambwali Год назад

    Asalaam alaykum naomba namba yako wajina❤

  • @mayyahadam6304
    @mayyahadam6304 Год назад

    Assalam aleykum warahmatullah wabarakat naweza kupata namba ya ukthy Fatma?

  • @yahyasuleiman8806
    @yahyasuleiman8806 2 года назад

    Nimepend mafunzo yenu mumeilimisha vizur

  • @mamubeka467
    @mamubeka467 2 года назад

    Mm naomba namba ukthi fatma mdidi...naombeni mnisaidie

  • @abuhafs4774
    @abuhafs4774 2 года назад

    Dada ustadhat naeza kujibu hivi
    Wanawake Hamkosi sababu za kuukwepa uke wenza hata hivyo ulivo vitaja tukiviepuka bado pia mtauchukia hata bila sababu

    • @Namanda425
      @Namanda425 2 года назад

      Nia yake ni kuelimisha watu kuhusu uhalisia wa maisha.

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 2 года назад

      Anazungumza sw kabisa.

  • @aramm474
    @aramm474 2 года назад

    Halaf nna suali naomba namba ya ukht khadija

  • @sindayigayaathuman4453
    @sindayigayaathuman4453 2 года назад +1

    Ukht Fatima naomba namba yako ya whatsp

  • @gessanabuu99
    @gessanabuu99 Год назад

    Na ni wapi umesoma hiyo elimu kuwa mume pekee ndo wakumlidhisha mke na mke yy hana jukumu hilo? Sio kweli. Una haribu wanawak wenzio tu hpo waendelee kuchukia uke wenza.

  • @gessanabuu99
    @gessanabuu99 Год назад

    Ww nae umeathiriwa na uyahudi, kwan mwanamke ana haki ya kuuliza sababu ya mumewe kuoa mke mwingine? Kwann uliize swali hilo kwa mumeo? Inaonekana bdo hujui vizur hii haki ya uke wenza vizur rudi darasani tena. Uadilifu utapimwa vip wakat ukiwa peke yko?

  • @zuwenaamour1727
    @zuwenaamour1727 2 года назад

    sikweli unaongea uongo sio wanaime wte walio na wake kuazia wawil

    • @noositerabithia6635
      @noositerabithia6635 2 года назад

      very very true tumeshaona wengi sana one wife anakua very enough ......

  • @aairraahseif5648
    @aairraahseif5648 8 месяцев назад

    Wewe umeolewa ndo maana mtazamo wako niwa utofauti! M/mke alie olewa ndo huwaza ujinga huo! Hawa w/wake wengi kwa hesabu waende wapi? Wewe Una pingana na Allah, Allah ndie mjuzi wa kila kitu, na ndie kawaumba w/ume anawajua vizuri wewe nani? Ktk hili? Acha kupotosha wenzio kuwa tia ujinga na roho mbaya na chuki tumepewa ilim itumie vizuri kuwa toa wenzio ktk utumwa wa kiakili mentality za chuki, haki wanaume wameruhusiwa na Allah msiwadhulumu! Mnajifanya mnajua sana hili jambo kuliko Allah alie waimba viumbe wake, mtakuja ulizwa nyie

  • @alhamdulillah5796
    @alhamdulillah5796 2 года назад

    Sikm hawatoshelezwi, wajanja. Utakuta mume kijana anakaa na mke mmoja wtto wakishakua wakubwa miaka 20 naa anaanza kuhashuka anaenda kutafuta wtto wadogo anaoa hali ya kua kishazeeka asubiri wajukuu. Sabbu mke hamtoshi....Sasa kwann alikutosha wkt upo kijana????

    • @noositerabithia6635
      @noositerabithia6635 2 года назад

      hii pia nilifkiria ....ujana wakr hakuoa 😂😂wkt hata hizo hormones zishampungua ati ndo anaoa ......jamani maukhty kama nyie mpo wake wenza hongeren but msiseme kila mtu ana mke mwenzake ...kuna wanaume wanajielewa sunna zipo nyingi sana ....mke akiwa anakupa furaha anakuridhisha ana dini iman ya hali ya juu kiufupi kila kitu kipo sawa upewe nn tena 😂😂

  • @Saidaramadhaniramadhani
    @Saidaramadhaniramadhani 8 месяцев назад

    Naomba namba ya simu

  • @samirakassim6751
    @samirakassim6751 2 года назад

    Mashaallah

  • @husenirashid6191
    @husenirashid6191 2 года назад

    Jitahidi

  • @halimaalimwamajeni6291
    @halimaalimwamajeni6291 2 года назад

    Mashaallah

    • @radhiemohammed3647
      @radhiemohammed3647 2 года назад +2

      Waume wengine sio waelewa hataukamfahamisha haki anakuona wewe si mwanamke tu unanini mbele yake anaamua atakacho kwasababu yeye ni mwaname