Corolla Rumion GARI ya Mwaka mmoja UJAZO tofauti

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 май 2024
  • #snashtz #toyota #corollarumion
    Corolla Rumion GARI ya Mwaka mmoja UJAZO tofauti
  • ИгрыИгры

Комментарии • 16

  • @Zillionking627
    @Zillionking627 Месяц назад +2

    Wakati mwingine tunakuwa tuko bize kuomba like .. lakini uyu jamaa anafanya kazi kubwa saaana kutuletea habali kama izi❤❤

  • @bellam.vyampi5528
    @bellam.vyampi5528 Месяц назад

    Bro fanya review ya NISSAN LEAF tafadharii

  • @GucciJackson-sw6pg
    @GucciJackson-sw6pg Месяц назад +1

    Watu wanapenda unavofanya review za movies tu ukitaka kuamini ilo angalia views

  • @MuksiniMchinji
    @MuksiniMchinji Месяц назад

    Bro! fanya review kuhusu USB device killer , ile kitu inakuaje na inafanyaje kazi

  • @MussaMganga-jr1mq
    @MussaMganga-jr1mq Месяц назад

    Fanya review zama gari inakaa poa sana

  • @directorimmah_vfx3043
    @directorimmah_vfx3043 Месяц назад

    SNASH MOTORS🙏🙏 TUNAPENDA MAFANIKIO YAKO KAKA ENDELEA

  • @kilawemwalimu8028
    @kilawemwalimu8028 Месяц назад

    Fanya review ya tatizo la internet

  • @Dadiebear19
    @Dadiebear19 27 дней назад

    Kaka TUISAIDIE na crossroad zmekaaje 😢

  • @mtumwasaid
    @mtumwasaid Месяц назад

    Nmkubal

  • @user-od8tg1yt3g
    @user-od8tg1yt3g Месяц назад

    snash kwanini usiende canada kuna showroom za super car tena unalipa dollah 50 una reviw bugatti mclaren rolly ross koenisseg ferrari acha kuchukua video kwa watu tafuta wazamini wakupeleke

    • @kelvinlaurent4341
      @kelvinlaurent4341 Месяц назад

      Ukijifunza kuandika "dollah" na majina ya hayo magari vizuri ataenda...😅😄😄

    • @deograciouskariuki
      @deograciouskariuki Месяц назад

      Ungekua mmoja wa hao wadhamini ungetisha kinoma walau hata mzee wako angekuwa na huo uwezo basi 😂

  • @MussaMganga-jr1mq
    @MussaMganga-jr1mq Месяц назад

    Fanya review zama gari inakaa poa sana

  • @MussaMganga-jr1mq
    @MussaMganga-jr1mq Месяц назад

    Fanya review zama gari inakaa poa sana