IFAHAMU MIKASA INAYOWAKUMBA WANAZUONI ZANZIBAR. Episode 03. {(SHEIKH DEDES) (SEMA NASI)}

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 29 окт 2024

Комментарии • 26

  • @mohamedomari6129
    @mohamedomari6129 2 месяца назад +2

    Aliekufa Mungu amrehemu. Kwa kuswali basi kumbe ni wanaharamu zaidi ya wanazayuni. Wauza madawa wakubwa. Maifiritwi minal jinn. Harambimba.

  • @fatimasaid9469
    @fatimasaid9469 2 месяца назад +3

    He's. the green gold ✨️ will love u

  • @musayosia4081
    @musayosia4081 Месяц назад

    Maashaallaah ♥️

  • @seifsaid8867
    @seifsaid8867 2 месяца назад +1

    Moja kkt nchi ngumu kuishi ni znz. Hasa ukiwa kwenye mambo ya serikali wa naona kama wapo peponi kumsabishia matatizo au hata kuua mtu yeyote kwao siyo shida. Utasema hawana dini. Mwenyezi mungu a tusaidie ubaguzi huu sijui nani alieuleta nchi inapoteza wataalam muhimu chungu nzima kwa mambo ya kipuuzi ukiskiliza stori ya vsa vya znz lazima machozi yakutoke

  • @abdullkhamis5406
    @abdullkhamis5406 2 месяца назад +2

    This is exclusive, This is a true telling. I can’t wait for fourth session. Serikali ya Zanzibar Mtihani Mkubwa then and now.

    • @am2323Diaspora
      @am2323Diaspora Месяц назад

      @@abdullkhamis5406 ruclips.net/video/oeaXzJY47bc/видео.htmlsi=r1x5F0PPNb8TRAAX

  • @Assan-iy4fq
    @Assan-iy4fq 2 месяца назад +1

    Lahaula walakuwata illah billah lialiyu liadhim in shaa Allah kwa uwezo wa Azawajal tutapata Uhuru Wetu Si muda mrefu biidhinillah

  • @SimaiPashua
    @SimaiPashua 2 месяца назад +1

    NIMEIPENDA SANA

  • @abdurahmanmohamed6835
    @abdurahmanmohamed6835 2 месяца назад +2

    Jazaaku llahu khairan

  • @salehali976
    @salehali976 2 месяца назад

    Ahsante sheikh Dedes kwa kuyazungumza haya.
    Bado yanaendelea haya, wahafidhina wanaendelea na unyama wao.

  • @sheikhanasser4714
    @sheikhanasser4714 2 месяца назад

    ALLAHU AKBAR ALHAMDELILAH
    MIUJIZA YA ALLAH NI MKUBWA 🤲🤲

  • @muhammedwakif6216
    @muhammedwakif6216 2 месяца назад +1

    Marehem Isshak muhindi kwa dula nyangombe na Abu bahalewa ndio ulipokamatwa 😊😊😢

  • @baghabaghaingwengwe1750
    @baghabaghaingwengwe1750 2 месяца назад

    Al fatah wekeni ili tufuatilie mtiririko vizuri mwajua kuhoji lkn kuweka mpangilio hamjui

  • @mohamedomari6129
    @mohamedomari6129 2 месяца назад

    Kumbe Zanzibar waislam ni wachache sana nilitaka kushangaa. Wanafki ndio wengi... Dah! Inabidi makanisa yajengwe mengi sana labda itasaidia.

  • @rajababdallah9239
    @rajababdallah9239 2 месяца назад

    Ama kwa hakika,hii inakaribia kunitoa machozi.Na kwa kweli kuna vitu vya jujifunza ndani yake.

  • @abdallasheha4173
    @abdallasheha4173 2 месяца назад +1

    Madhalimu ni walewale ukiwona utassema binaadamu lakini watawala hawa ubora ukutane na simba kuliko madhalimu hawa

  • @makamejumaomar7885
    @makamejumaomar7885 2 месяца назад

    Kipindi kizuri, tunasubiru sehemu ya 4

  • @MaryamMany-fv4kb
    @MaryamMany-fv4kb 2 месяца назад +1

    Na mpaka leo bado yanaendelea mambo hayo sheikh wetu tukisema tunaambuwa kitu chuki hasa Zanzibar hakuna ....sijui tunaelekea wapi Wallah

  • @nailamohd-wn6sb
    @nailamohd-wn6sb 2 месяца назад +6

    Hio ndio zanzibar njema atakae aje inaskitisha na huamini km yanafanyika visiwani na mpk leo bado haijabadilika basi hapo ukaribie uchaguzi hee tutazidi kuona mengi machafu

    • @MilesReileigh
      @MilesReileigh 2 месяца назад

      Chanzo ni nini?Ningependa kuhamia huko.Ipo nyumba kule Kinuni nataka kununua ndio maana nakuuliza.🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @nailamohd-wn6sb
      @nailamohd-wn6sb 2 месяца назад +1

      @@MilesReileigh tafuta mahojiano part 1 na 2 utajua chanzo ninini hio ulotizama ww ya 3

    • @MrKhatibu
      @MrKhatibu 2 месяца назад

      ​@@MilesReileighkwa Mgeni sio tatizo, matatizo yetu ni very complex. Ila sababu kubwa ni kuwa tumeingiliana sana kijamii kutokana na udogo wa population yetu, kwahio mambo ya ugomvi wa ki family, mambo ya uzawa wa eneo na pia mambo ya wivu wa ki maendeleo

  • @theteacherchance6750
    @theteacherchance6750 2 месяца назад

    1. Raisi (Idris Abdul Wakil)
    2. Waziri Kiongozi (Dkt. O. A. Juma)
    Namba 1 - hana shida
    Namba 2 - hana shida lakini bado kuna mahali hawawezi kufika

  • @ZainabIssa-v5u
    @ZainabIssa-v5u Месяц назад

    Mabayaa kila sehem yapo chuki haitaacha kwishaa mpka kiama kisimame yote ni kwasabb ni matumbo tu

  • @am2323Diaspora
    @am2323Diaspora 2 месяца назад

    Assalam alaykum sheikh. Uwezo wa kuchapisha kitabu unakuwa mgumu ila kama ungeweza kuandika ingependeza. Na matukio kama haya ni mengi kwa smz