Hizi zote ni siasa ya kuchafulia mombasa jina tu. hatungi mkono uchafu lakini uchafu ulioko nje ya msa nimkubwa zaidi kuliko ulioko msa mbona haumelezei uchafu wa nairobi na sehemu zengine za bara. Wenye akili watakuwa wamenielewa ninacho manisha wala sina chuki na mtu.
Innalillahi waina illeyhi rajiun , shida ukweli ukisemwa uytapigwa vita kama ni mawaidha miskitini utasikia huyo ustadh asipewe mimbar tena ilhali society yetu ya angamiia Subhanallah.
Msiba huo 😢 innalilah wainnal ilah raajioun...zinaa hiyo ...kuzin sio lazima udatiwe hata Kwa kuangalia umezini na ndio maana gharka za Allah zimekua nyingi na neema kupotea na maisha kuwa magumu Kwa sababu ya zinaa
Kweli mtume wetu Muhammad swalallah alaih wasalam alisema ukweeli ya kuwa jinsia nyingi itakayo ingia moton ni jinsia ya kike Kwa sababu ya kukaa uchi au kutembea uchi😢😢😢😢😢
Jamaaani mpakaa linii tutatetaaanaaa tueleewanenii na kushikamanaa na kupendanaa duniyaaa ya lekeyaaa kubayaaaaaa,,,chungenii ndimi zenuu muwawalekeeezee wvizaziii vyetuu tusijeee tukafinikwa na mwenyezimngu na tupoo haiii
Kweli mtoto wa mwenzako ni wako pia usemi huu ni mzuri ila ukiona mzazi mwenyewe anausika kwa jambo hili basi hauna budi kulifumbia mdomo na nguvu zote uzielekeze kwa mtoto wako.watu wamejawa na utamaa wa kidunia nakuacha maadili ya dini ,tamaa mbaya lazima uishinde nafsi yako kuikanya na tamaa wala sie ibilisi bali nafsi yako mwenyewe
Kg chipande Tafadhali Mimi naona hii swala niya walimu, wazazi napamoja na bwana Governor wamombasa wajiitane wakae pamoja Kwa meza yamazungmuzo wamalize hii shida. / itakua vilee, vilee kama yamong'oka iliisimamizua isiije Coast ndio ifanyiwe rasmi.
The first person to be blamed is parent why did you buy a phone for your child at the first place... tatizo KG iko kwa WAfirika kila kitu kikija tu akikumbatia bila kuzingatia.
Allah atufanye wepesi katika vizazi vyetu inshaaallah
Ameen
Ameen Ya Rabb Ameen
Ameen yaa Rabbi
Hizi zote ni siasa ya kuchafulia mombasa jina tu. hatungi mkono uchafu lakini uchafu ulioko nje ya msa nimkubwa zaidi kuliko ulioko msa mbona haumelezei uchafu wa nairobi na sehemu zengine za bara. Wenye akili watakuwa wamenielewa ninacho manisha wala sina chuki na mtu.
Na mungu atuepushie na awaepushie watoto wetu insha Allah
Na hao hao viongozi ndio wahusika wanao fanya hayo mambo 😢😢😢😢
😢😢
Allah ,atuongoze pamoja na vizazi vyetu na atulinde na atulindie watoto wetu insha Allah yaarabi
Allah atuongoze inshallah maana dah mtuhan kweli
Tumwombe Mungu atupe mwelekezo mzuri
Ameen
Ata mmenikumbusha,nani ndio C's of Education coz weee sijui😂
Ndunia inaisha yesu ako karibu kurundi
Ni kweli kabisa,watoo wote wa Seco na pry wapokonywe simu wote
Innalillahi waina illeyhi rajiun , shida ukweli ukisemwa uytapigwa vita kama ni mawaidha miskitini utasikia huyo ustadh asipewe mimbar tena ilhali society yetu ya angamiia Subhanallah.
Mungu wangu uko wapi 😢😢😢
Tumlilieni sote kwa pamoja
Msiba huo 😢 innalilah wainnal ilah raajioun...zinaa hiyo ...kuzin sio lazima udatiwe hata Kwa kuangalia umezini na ndio maana gharka za Allah zimekua nyingi na neema kupotea na maisha kuwa magumu Kwa sababu ya zinaa
Kweli mtume wetu Muhammad swalallah alaih wasalam alisema ukweeli ya kuwa jinsia nyingi itakayo ingia moton ni jinsia ya kike Kwa sababu ya kukaa uchi au kutembea uchi😢😢😢😢😢
Jamaaani mpakaa linii tutatetaaanaaa tueleewanenii na kushikamanaa na kupendanaa duniyaaa ya lekeyaaa kubayaaaaaa,,,chungenii ndimi zenuu muwawalekeeezee wvizaziii vyetuu tusijeee tukafinikwa na mwenyezimngu na tupoo haiii
Kg waongea ukwel na asiye funzwa na mamae hufuzwa na ulimwengu mung akuzidishie sisi tuko gulf na I pone hatuna
Allah atawapea Iphone za pesa ya halali jasho lenu
Jamaniii wacheeeeeni na udharauuu na kusemanaaaa aangalieeeniii anayooo waeeleeezaaaa wanaaoo tajwaa ni watoto wa kiislaamuh..:
Kweli mtoto wa mwenzako ni wako pia usemi huu ni mzuri ila ukiona mzazi mwenyewe anausika kwa jambo hili basi hauna budi kulifumbia mdomo na nguvu zote uzielekeze kwa mtoto wako.watu wamejawa na utamaa wa kidunia nakuacha maadili ya dini ,tamaa mbaya lazima uishinde nafsi yako kuikanya na tamaa wala sie ibilisi bali nafsi yako mwenyewe
Maneno mazuri haya
Kg chipande Tafadhali Mimi naona hii swala niya walimu, wazazi napamoja na bwana Governor wamombasa wajiitane wakae pamoja Kwa meza yamazungmuzo wamalize hii shida. / itakua vilee, vilee kama yamong'oka iliisimamizua isiije Coast ndio ifanyiwe rasmi.
100% point nakubaliana na ww
ukweli wenyewe husema ukifa masini ni kupenda kwako utajiri ukonao mwenyewe innalillahi wainnalillahi rajioun
😢😢bila kujua kesho yake binadam
Waaa ninyakati za mwisho kweli shetani ameshaa funguliwa mungu tuokoe na hiki kizazi chetu kisimezwe na shetani😢 😭
Tuokolewe tu maana taari kimeingiliwa
Ameongea ukweli amar👏👏
Kabisaaa
Yaani huyu ameongea ukweli hata nalia nikitoka kenya niliacha watoto wa kakangu wako shule na sasa wako na watoto na simu kubwa😭😭😭😭😭
Mnyonge msongeni haki yake mpeni kweli anacho kisema ni ukweli
Nikweli kabisa
Veh huogopi
Mama aogope nini yani wewe unatishwa na haya. Mama ana uchungu jamani...
😮
😢
Ni mkware huyoo dada yy nikama nani hapa mombasa
True brother
🫡
Kichuzi ww toka hpa unatupigia kelele
The first person to be blamed is parent why did you buy a phone for your child at the first place... tatizo KG iko kwa WAfirika kila kitu kikija tu akikumbatia bila kuzingatia.
Mimi mtoto anikujie na phone au pesa yenye sijampa hakukaliki my friend.
kwani we ni kuchonga kama serikali ina uwizi wafikiria nn mtu afaliwa na chake tu
Kilakitu ni maelewano awache wivuu
Nilikuwa natafta hio comment kumbuka Kwa maelewano ya mwanao kuingia Kwa uchafu km hii yaumul kiyyama utaubeba mzigo wake
The love of money the root of all evil...unnecessary competition on social media mmmh yazidisha maovu n mysterious premature deaths
Anaongea ukweli kabisa huyo mama
Mm nami naongea na viongozi wangalie Amali sonko kwa kuibia watu maskini pesa zao ili liangaliwe uyu jambazi alipe pesa za@watu jinga uyu
🥹😳😳ebu tuelezee kaiba kipi kwa nani tuko gizani
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 kg ulimwengu una wenyewe 😅😅😅😅😅😅😅😅
Wacha uwoñgo wewe