Kesi ya Mwanamke 'aliyebakwa na wanaume 72 baada ya mumewe kumtilia dawa za kulevya yawa gumzo!

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 ноя 2024

Комментарии • 23

  • @mohamedaley5632
    @mohamedaley5632 Месяц назад +10

    Ingelikuwa dunia inafuata sheria moja tu alizoleta Allah bas kusingekuwa na matukio kama haya.. namshukuru Allah kwa neema ya uislam

  • @mussahsalihd9602
    @mussahsalihd9602 Месяц назад +7

    Mzee mshenzi sanaa...yaani ukatili aina hii yatakiwa afungwe maisha yake yotee afai kuwa huru ni tishio Kwa jamiii

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly Месяц назад +1

    Wanawake ifike mahali mtambue mume sio ndugu yako,kaa kwa tafadhali muda wote,sababu huwezi jua anafanya au kukuwazia nini chini ya maji.
    Its 2024,wanawake stay woke and be vigilant.

  • @Rahma-r1y
    @Rahma-r1y Месяц назад

    Subhannaallah Subhannaallah Subhannaallah 🤔🤔🤔

  • @ladyr.hamsini2311
    @ladyr.hamsini2311 Месяц назад +3

    Subhannah Allah 😭😭

  • @yussufkhasim9021
    @yussufkhasim9021 Месяц назад +3

    Watu sikuizi wanataka head lines tu

  • @ZenabazigaZenabaziga
    @ZenabazigaZenabaziga Месяц назад

    Duuh niatar kweli

  • @mohammedshada7901
    @mohammedshada7901 Месяц назад +2

    Kuna watu wanatabia ya kinyama kweli

  • @AmaniMathod
    @AmaniMathod Месяц назад +1

    Watu 70 na bado yupo hai

  • @Fgldesigns
    @Fgldesigns Месяц назад +1

    Hapa inaonyesha kuna kuzurumiana pesa ndo kaona amgeuzie kesi...
    Mtu hawezi kutoa pesa alafu apewe masharti mengi hivyo na amubali wakati wanaojiuza wapo na wanatoa ushirikiano kwenye tendo. Ama alikuwa na uzuri kiasi gani mapaka watu wakubali mwa masharti mengi hivyo.
    Wanawake wakizungu wameshaona ukitaka kumpoteza mwanaume basi mpe kesi inayohusu kubaka au kunynyasa kijinsia hapa mzee kasetiwa

    • @nightwishisthegreatestband6355
      @nightwishisthegreatestband6355 Месяц назад

      Wewe unafikiri jesi itafika mahakamani bila ushahidi wa kutosha. Acha ujinga tumia akiki. Na zaidi ya hspo huyo mwanaume alikuwa na picha za utupu za binti yake wa damu.

    • @kekiplus1andonly
      @kekiplus1andonly Месяц назад

      Huna akili

  • @IsackIsacksamson
    @IsackIsacksamson Месяц назад +1

    Kiin macho watu watrend tu au hata hii TV online inatafta kitu ambacho watu watasascrbe apate followers hela

  • @lisawilliam2491
    @lisawilliam2491 Месяц назад +1

    Aiseee ! Hii dunia 🙆🏻‍♀️

  • @francisjackson6524
    @francisjackson6524 Месяц назад +1

    Nijambo la kufikilisha sana

  • @sharonvugutsa969
    @sharonvugutsa969 Месяц назад

    😢😢😢😢

  • @yussufkhasim9021
    @yussufkhasim9021 Месяц назад +1

    Kasi zingine bwana we huyu bibi anaweza kuchukua watu 70 kweli. Na we kila siku hajitabui ndani ya miaka kumi. Haujielewi tu

    • @humbleshoal
      @humbleshoal Месяц назад +3

      Umeambiwa alikua anamuwekea madawa, hujaelewa nn hapo?

    • @yussufkhasim9021
      @yussufkhasim9021 Месяц назад

      @@humbleshoal kwa miaka kumi na hushituki? Ukiniwekea madawa siku mbili tu nita jua.

    • @humbleshoal
      @humbleshoal Месяц назад +1

      @@yussufkhasim9021
      Huenda sijui kwa kua hayajanikuta.