Sio siri Harali Rais upende kiki wanavyo sema kama Nchi imezungukwa na miradi inaendelea Mungu akutangulie na akuongozee aendelee kukuongozaa na Akuongozee Hekima Mungu ibaraki Tanzania na watu wake 🇹🇿 Mungu mbariki Rais wetu JPM 🇹🇿
Acha ushamba meli hizi zilikuwapo muda mrefu bandari ya Dar miaka 5 mpaka sita iliyopita wakati wakiongeza kina cha bandari kwako wewe ni mara ya kwanza 😄😄😄
@@peterkichochi7510 Hinawezeka kiuwalisia veni zote za madeni zimetoka nchi kavu na kuelewa Baharin hata mafuta pia nimadin kunabahaz ya nchi wanamafuta Baharin ujakosea ndugu yangu wenzetu wametuzid maarifa kwakwel
Atleast anachosema Magu anakifanya tunaona hela zinapo enda hata kama hali ni ngumu .......hatusikii tena bilioni moja za mboga na vijisenti....wizi unausikia kwa mbali......tena mdogo mdogo
Mbona hawaendi kumwaga mitope yao mbali wanamwaga kwenye boya namba moja milango ya kuingilia meli na njia ndo hiyohiyo ya kuingilia meli. Bora hata wangetoka nje zaidi yaan
Ah jamani wakalimani Mbona mmesahau kusema ‘ Alisema pia wanafanya kazi masaa 24 na wakati mwingine wanashindia KASHATA na KAHAWA Lkn wao hawajali wanapiga kazi tu MWANZO MWENGA ili kukamilisha mradi Kwa haraka ili Watanzania tufaidike..!...Muwe mnamalizia sentence ‘ maana nimemsikia hapo mchina kasema...!
Mwenyezi mungu baada ya kutuumba akatuamuru tukasome je tukiumwa tusitumie dawa?soma vtabu ndugu acha kuuliza maswali ambayo vitabu vimeelekeza,jenga nyumba yako usichimbe msingi au kuongeza ktu fulani
Wabongo tujifunze kitu, hao maopareta wamesoma na wanapiga kaz kubwa lakini hawajui kingeleza. Hawana mawazo finyu wala hawashangai wala kumdhalau mwenzake ambaye anaongea au kuandika kingeleza kibovu.
Tumerithishwa utumwa kila kitu chetu hakina thamani ili tuone wanastahili kututawala kwa kuwa hatustahili sisi wenyewe,lugha yetu ya kijinga mfumo wa asili wa maisha yetu wa kijinga ili tujidharau wenyewe ili tuwanyenyekee
@@barakamarando5221 siijui lugha hiyo..kumbe ni kingereza sio kingeleza? Basi na wewe usione ufahari kushobokea ujinga, naijuwa lugha yangu inaitwa kiswahili.
nani kaona kwamba wanatumia windows xp ya kizamani kama mimi!! aisee waje wanilipe niwaekee windows 10 ya kisasa ili waongeze ufanisi kwenye software zao
Pamoja sana millardayo. Kwa wale wenye channel changa kama mimi naomba tupeane support kwa kusub channel. Gonga sub kisha niandikie "Done" nami nita sub channel yako
Ila uncle Magu tunaanzaje kukuchuki haya mambo ni maajabu mazito sana tena ndani ya muda mfupi
Yaani anatufumbua macho saana
Saaana kwakweli magu kazi zinaonekanaa
Mungu amzidishie tu,
fatema ligalawa bhhhhjhjhiiuiiooooppppphop
kichina duh naona kama naangalia movie ya kichina hapa ila magu 👏🏾👏🏾👏🏾🙏🏾
ukikijuwa KICHINA raha sana nimemuelewa sana mchina kuliko mswahili oh shishishingiii maanake tope
🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂😂😂
😅😅😅😅
😂😂😂
@@kassimrajabu7805 0
Sio siri Harali Rais upende kiki wanavyo sema kama Nchi imezungukwa na miradi inaendelea Mungu akutangulie na akuongozee aendelee kukuongozaa na Akuongozee Hekima
Mungu ibaraki Tanzania na watu wake 🇹🇿
Mungu mbariki Rais wetu JPM 🇹🇿
Wangapi wameiona meli hi kwa mara ya Kwanza Kama Mimi?
Hiyo huwa ina iba madini
@@peterkichochi7510 waweza kuwa sahihi Mkuu...
Wachina huwa sio watu wazuri kabisaa...
Sio kweli kuwa wanatoka watupu
Acha ushamba meli hizi zilikuwapo muda mrefu bandari ya Dar miaka 5 mpaka sita iliyopita wakati wakiongeza kina cha bandari kwako wewe ni mara ya kwanza 😄😄😄
@@peterkichochi7510 Hinawezeka kiuwalisia veni zote za madeni zimetoka nchi kavu na kuelewa Baharin hata mafuta pia nimadin kunabahaz ya nchi wanamafuta Baharin ujakosea ndugu yangu wenzetu wametuzid maarifa kwakwel
Mimi ninani nisimpongeze RAISI Magufuli kwayote haya
Tecknolojia tuwaachie wenzetu tu ... sisi Wabongo tunajua Fitna na Majungu tu.
Mbona unajishusha ivo
Hatari Sana. Kina kikiwa kirefu kitasaidia sana. Hongereni sana viongozi. Pigeni Kazi.
Safi sana tanga kuzuli sana raisi magufuli anataka tanga iwe kwenye mji mpya hongera raisi
Nimefanya kazi sana kwenye meli hii.
Hahaaaaaaaaaa huyo jamaa katuuza dhuuu mkalimani nikikukamata utakula kofi
Tueleweshe wew basi
Pamoja sana OK pitia hapa KUONA UBUNIFU WA MAPAMBO YA NDANI ili kuni sapoti SUBSCRIBE channel hii bofya kapicha kushoto
Nime sub. Naomba nawe unisapot kwa kusub channel yangu
@@ImpressiveFacts OK Tayali khasante
Tuwaombee watu wasio mwelewa Magufuri jamani wapate kumwelewa Kazi anazofanya
Namwelewa saana ila cpend ile ya kujifanya mungu mtu pia mtu akikukosea ktka maisha ndio unaonngeza juhud na co kuwachukia
Wakati wengine wanapiga kelele ili waandamane bila sababu ss tunachimba bandari
Edison Peter yaani we acha tu
apa kazi tu
hao jamaa n wajanja huenda wanachimba madini na si kuongeza kina , tukumbuke.mzungu ana technq nyingi za wizi
Nimemuelewa sana huyu mchina "My shoe shall soon shine" ukitaka kujua maana yake njoo inbobo
Yani wabongo sijuwi mupoje hata mkali mani hamumuamin dah
Umewaona eeh?
THE BIGGEST BOSS NASRI
Asante Ayo
Milard ungemleta yule.mkalima wa Mchina uso wa Mbuvu kivule aje atafsiro haoa😄😄😄😄
chali ya R inatafsiri ma luga ma nn ni mafursa arifu 😂😂😂😂
Atleast anachosema Magu anakifanya tunaona hela zinapo enda hata kama hali ni ngumu .......hatusikii tena bilioni moja za mboga na vijisenti....wizi unausikia kwa mbali......tena mdogo mdogo
Utawala w JPM tutasikia na kuona mengi
Yan kwel tunahaja yakuitusha uchaguz jaman wanini rais wetu aongoze hadi aseme bas
Eti kichina chetu sio kizuri. Hata neno moja unalijua kweli😁 Ila hii kazi mnge mpa juma sharobaro
Yi ho.. Shenjinye kushyi wo yenteshihu koshe kuye yinchenjen.... Mkalimali tafadhali...
Duh, nimeangalia lkn bado najiuliza cjui wanachimbaje
Du nimemkumbua sana mzee majuto lala salama baba maana ungekuwapo unge mfunika jamaa anae tafsiri
Mbona hawaendi kumwaga mitope yao mbali wanamwaga kwenye boya namba moja milango ya kuingilia meli na njia ndo hiyohiyo ya kuingilia meli.
Bora hata wangetoka nje zaidi yaan
Mh wemkalimani utupigi fixsi kwe maana iyo lugha simchezo
Magu wewe nomaaa haya Mimi sijawai kuyaona
Jmn kichina raha 😃😃😃
Wa kwanza kucomment na kulike hivi wanaofanya hayo walinyonya titi la mama,?
K😂😂😂😂
Kulikoni
Hivi vitu vimefanyika hata Huko nyuma sio vitu vigeni sema tulikuwa sio wa wa Media sana siku hizi Kila kitu ni Media lazima muone kama kitu Kipyaa..
Acha unafki we kaa mbali huko wewe kuku ukila ukimaliza unapangusa midomo chini
Iyo meli inaonyesha tofauti kubwa ya uwezo wakufikili wa mtu mweusi na mweupe cha muhimu uhai😂😂
Movie ya kichina hiyo iliyotafsiriwa kwa kiswahili..😁😁
Wapiga diri kipindi Cha Magu walinuna mpaka wkafanya miundo mbinu Yao,
Mchanga ubaki usisafirishwe
Ah jamani wakalimani Mbona mmesahau kusema ‘ Alisema pia wanafanya kazi masaa 24 na wakati mwingine wanashindia KASHATA na KAHAWA Lkn wao hawajali wanapiga kazi tu MWANZO MWENGA ili kukamilisha mradi Kwa haraka ili Watanzania tufaidike..!...Muwe mnamalizia sentence ‘ maana nimemsikia hapo mchina kasema...!
Km ushapanda MV MAGOGONI gonga like twende sawa na speed yake
Chimbine basi tule matunda bado mapema tuanze kulä hela ya mafuta ya inchi yetu ya tz
Daaaahhhh nooooooma kazi mzr mhshmw rais
Mchanga ubakie usisafirishwe mana mchina atoki patupu
Duuuu wachina hawa watu ni balaa kwakweli
Duuu ni JPM hiyo au
Hawo walaqay wanachukuwa nawe za denymo mawe zabaki kwenye meli na udhongo wana mwaga
Nasikia kunduchichiii cha kundichaaaa mkuundugu yangucheiiii
Nisawa
Ayo, umefanya vizuri kutuletea makara haya. Bandari wamezubaa
Mnakuwepo na nyinyi wanapomwaga hayo matope? Wasije wakawa wananyonya Madini humo 😄,wajanja wajanja hao
🤣🤣🤣
Munaharibu pesa bute tu, bandar zenye kina cha asili zipo
Hiyo video siyo ya leo pia bandari lazima maboresho
@@nyandajr najua
kusudi ya kuongeza kina iliiweje mungu alikosea
Mwenyezi mungu baada ya kutuumba akatuamuru tukasome je tukiumwa tusitumie dawa?soma vtabu ndugu acha kuuliza maswali ambayo vitabu vimeelekeza,jenga nyumba yako usichimbe msingi au kuongeza ktu fulani
Kama ww ni engineer uliyesoma nakumaliza hela za serikali za mkopo ila hiyo meli ndio leo umeiona usilie gonga like one day yes
Wabongo tujifunze kitu, hao maopareta wamesoma na wanapiga kaz kubwa lakini hawajui kingeleza. Hawana mawazo finyu wala hawashangai wala kumdhalau mwenzake ambaye anaongea au kuandika kingeleza kibovu.
Umeona
Tumerithishwa utumwa kila kitu chetu hakina thamani ili tuone wanastahili kututawala kwa kuwa hatustahili sisi wenyewe,lugha yetu ya kijinga mfumo wa asili wa maisha yetu wa kijinga ili tujidharau wenyewe ili tuwanyenyekee
Jifunze na wewe kuandika vizuri r ,na l ni kiingereza siyo kiingeleza alafu unajita mswahili
@@barakamarando5221 siijui lugha hiyo..kumbe ni kingereza sio kingeleza? Basi na wewe usione ufahari kushobokea ujinga, naijuwa lugha yangu inaitwa kiswahili.
nani kaona kwamba wanatumia windows xp ya kizamani kama mimi!! aisee waje wanilipe niwaekee windows 10 ya kisasa ili waongeze ufanisi kwenye software zao
Kwa masimulizi ya sauti tembelea RUclips channel yangu kama stori sauti Tanzania usisahau kusubscribe ahsante
Naomba tupeane support kwa kupeana sub mdau
Nimesikia neno Wali wana hotpot hapo
😁😁😁😁😁😁😁😁
INGIA HAPO JUU BOFYA JINA ''MAUNO FENI TV'' UPATE BURUNDANI YA MIUNO YA KISWAZI NA WEASWAZI NI HATARI SANA
USISAHAU KUSUBSCRIBE PLEASE ASANTE
*KONGOLE KWA JPM TUNASONGA MBELE ... KANUNI NI MOJA TU: NO RETREAT NO SURRENDER*
Mashariti ya ajabu ajabu wameyatoa
Wenzetu awapumziki ila wabongo utakuta mtu kazi yake ofisini tu utaona baada ya masaa matatu anasinzia
Magu apongezwe kwa bara cyo zanzibar na kama hahusiki zanzibar kwanini anakwenda kuomba kura?
Nyie si mna kiongozi?
Xi zhang jiu myula ninho ninho
Video fupi milard tuwekee ndefu tuone vitu vingi na nje huko kwa taratibuuu
.
Pamoja sana millardayo. Kwa wale wenye channel changa kama mimi naomba tupeane support kwa kusub channel. Gonga sub kisha niandikie "Done" nami nita sub channel yako
Tz pia mwachimba bahari nilijua ni kenya peke yake 🤣🤣🤣
Ni kitambo saana
@@rasterwangu9708 oook
@@mohamedslh5478 kunani tena
Hatari sanaaa ruclips.net/video/ZBJ4DQTfViA/видео.html
Watanzania wenzangu magufuli atawale milele yote
Magufuli asitawale milele bali fikra zake ndo zitawale milele
Sio dredging ni drealing
*NO, ABSOLUTELY NOT* SI *DREALING* BALI *DREDGING* KAMA ILIVYOTAMKWA ... MZUNGUMZAJI YUKO SAHIHI KABISA
Uyu anatafsir au anaongea anachokiona