"BINGWA WA ISTIGHFARI" KAMA WEWE UNAMADHAMBI //SHEIKH OTHMAN MAALIM

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 фев 2025
  • USISAHAU KU SUBSCRIBE

Комментарии • 72

  • @UmmiHamis-g9i
    @UmmiHamis-g9i Месяц назад

    Mashaallah Tabarak Allah الحمد لله على نعمة الإسلام ❤❤

  • @pikanaauntzuu1466
    @pikanaauntzuu1466 4 месяца назад +31

    Mashaallah km kuna kitu huwa nakupenda zaidi kwa sheikh othman na sheikh kishki ni vile wakisoma Qur'an wallah huwa nataman wasimalize kusoma Allah awajaalie umri mrefu na afya njema masheikh wetu pendws❤❤❤

    • @zaynababdullah3061
      @zaynababdullah3061 4 месяца назад +3

      Mashaallah mwenyezi mungu awahifadhi

    • @seifomar2607
      @seifomar2607 4 месяца назад +2

      Masha alla mungu akupe heri tupu dunian na akhera

    • @pikanaauntzuu1466
      @pikanaauntzuu1466 4 месяца назад

      @@zaynababdullah3061 amiin

    • @HawaAthumani-xv7xf
      @HawaAthumani-xv7xf 4 месяца назад +1

      Maaashaa Allah Allah awahifadhi mashehe wetu,allahumma aamin

    • @Hgd-jk6lh
      @Hgd-jk6lh 4 месяца назад +1

      Sauti zao wallah saan nzuri

  • @wahidamohamed9404
    @wahidamohamed9404 4 месяца назад +12

    May Allah grant us guidance and understanding.

  • @halimaabubakar6702
    @halimaabubakar6702 4 месяца назад +10

    Mashallah shekhe wangu Allah akupe kila la kheri duniani na ahera.ameen

  • @ShaSha-mf2wf
    @ShaSha-mf2wf 4 месяца назад +6

    Allah akulipe kheri duniani na akhera

  • @hamadKhamis-p6k
    @hamadKhamis-p6k 4 месяца назад +15

    Mie mchan mzima husikiliza visa mpk nikalal haviniishi hamu mm nakupenda sana kwenye kutoa visa kuliko mawaidha ya kawaida shekhe tusomeshe tusomeshe mpk mwisho wa maisha yako

    • @nikrahayubu-sz3pw
      @nikrahayubu-sz3pw 4 месяца назад

      Alhamdulillah maashallah tuko wengii ALLAH ampe umri mref wenye afya njema

    • @saidomar3291
      @saidomar3291 4 месяца назад

      Amiin

  • @حواءتنزانية
    @حواءتنزانية 4 месяца назад +4

    Mashaallah Allah akupe maisha malefu shekhe wetu

  • @HadijaOman
    @HadijaOman 4 месяца назад +2

    Mashaallah shekhe ww ni mtu nanusu Allah akuifadhi

  • @abdullfattahrashid-pz4ok
    @abdullfattahrashid-pz4ok 4 месяца назад +2

    Mashaallah Allah akupe ww na sisi mwisho mwema na atuingize bila ya hisaaab Aaaamiin

  • @MussageAiuba-k2b
    @MussageAiuba-k2b 4 месяца назад +3

    Mansharaa tabarakaa Allah shehe othman Tanzania mimi Ally 🌟 bilali mandwanga nikiwa msumbiji niombee Dua shehe othman malim

  • @arafasalum3169
    @arafasalum3169 4 месяца назад +2

    Jazaakallahu khayran!
    Allah atufanyie wepesi waja wake tuwe ni wenye kuleta instighfaar

  • @SalmaSalum-d8b
    @SalmaSalum-d8b 4 месяца назад +2

    Allah akuweke sheikh Othman natamani unioe❤

  • @zitoinze8953
    @zitoinze8953 4 месяца назад +5

    Barakallah ya shaikh

  • @SaidYussuf-r5w
    @SaidYussuf-r5w 4 месяца назад +2

    Mashallah Allah azidi kukuweka shekh wetu

  • @Dr.m-n7t
    @Dr.m-n7t 4 месяца назад +7

    Quran ikipata msomaji wallahi haiiishi utamu wake mashallah ,🫀Allah akuweke ,siku moja natamn ubusu paji langu la uso🩸

  • @aminasaid6555
    @aminasaid6555 4 месяца назад +2

    Sheikh Othman Maalim unasauti nzuri MashaAllah ❤

  • @hanifahnabakiibi6929
    @hanifahnabakiibi6929 4 месяца назад +2

    Allahumma bararik. May Allah protect that Qur'an for you. Allahumma amiin. JazaakAllahu khair.

  • @HamidJuma-h8w
    @HamidJuma-h8w 4 месяца назад +5

    Mashallah fundi

  • @NzabamwitaDjuma
    @NzabamwitaDjuma 4 месяца назад +1

    Maasha Allah Piya Allah Akubariki Rizq zake mwalim wa Wengi.

  • @MarshedOthman
    @MarshedOthman 4 месяца назад +2

    Baraka llahufiyk,waahuluh

  • @ZaharaIssa-mj3di
    @ZaharaIssa-mj3di 3 месяца назад

    Napenda unapoisoma gur an Allah kheri dunian na akhera

  • @meowzna
    @meowzna 4 месяца назад +4

    Masha'Allah🙏

  • @jamilamasoud8544
    @jamilamasoud8544 4 месяца назад +4

    Naomba Allah anijaalie nisome quraan kama wewe.Mashallah.

  • @safinajuma7310
    @safinajuma7310 3 месяца назад

    Masha Allah shekh Othman maalim Allah akuzidishie imani twakupenda kwa ajili ya Allah

  • @SalmaMohamed-z8e
    @SalmaMohamed-z8e 4 месяца назад +1

    Jazzakallah kheir shekh Othman maalimu

  • @omarallyki7579
    @omarallyki7579 4 месяца назад +5

    Mashaallah❤

  • @AishaAbdalla-z3h
    @AishaAbdalla-z3h 2 месяца назад

    Mashallah Allah akuifadhi

  • @MohamedJafariMwahaya
    @MohamedJafariMwahaya 4 месяца назад +4

    Maashaallah

  • @hamadKhamis-p6k
    @hamadKhamis-p6k 4 месяца назад +9

    Mie shekhe nataka Nije nisome nipate japo robo ya hio elimu Yako na kwenye visa ndio mie humalizika maana sipat ata majibu kikweli Allah amekujaalia kipaji huna mfano wako nakuombea kwa Allah akujaalie maisha marefu na akukinge na Kila la shari na siku zote akupe afya njema inshallah

  • @MamanDjamal-q4i
    @MamanDjamal-q4i 3 месяца назад

    Allah akuhifazi shehe hetu😊

  • @aishamumy8402
    @aishamumy8402 4 месяца назад +4

    Baraka llah sheikh

  • @hkk2450
    @hkk2450 4 месяца назад +1

    Mashallah sura gani

  • @MamanDjamal-q4i
    @MamanDjamal-q4i 3 месяца назад

    Allah akuhifazi shehe hetu

  • @ramla692
    @ramla692 4 месяца назад +1

    Ma Shaa Allah TabarakAllah

  • @MwajumaWakingombe
    @MwajumaWakingombe 4 месяца назад +3

    Masha'Allah

  • @jamilahali-jg8er
    @jamilahali-jg8er 4 месяца назад +1

    MA Sha Allah ❤

  • @Sonnycaraccessories
    @Sonnycaraccessories 4 месяца назад +2

    Mashaaallah

  • @Mwanashabani-rk4qq
    @Mwanashabani-rk4qq 4 месяца назад +3

    MashaAllah

  • @gonew-b5b
    @gonew-b5b 4 месяца назад +1

    Mansha’Allah Shukran Jazaakum Allah Kheir

  • @HamisiMnguruta-jk3tt
    @HamisiMnguruta-jk3tt 3 месяца назад

    Mashaallah m mungu akulipe kher shekh wetu

  • @meowzna
    @meowzna 4 месяца назад +4

    Ameen Yaraab🤲

  • @chiko-j4r
    @chiko-j4r 4 месяца назад +2

    mashallah❤

  • @shamilahashim9544
    @shamilahashim9544 3 месяца назад

    Mashallah

  • @hamadKhamis-p6k
    @hamadKhamis-p6k 4 месяца назад +6

    Hatutaki wazungu kwenye mawaidha hatutaki matangazo ya kizungu sie jaman na kwann musiyaache mawaidha tu mpk mutie matangazo tena Kila wakat sio mara Moja shekh akiongea kidogo tu tayar matangazo munatukera hivo

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 4 месяца назад +1

      Siyo wao, ni watu wa mitandao hao ndiyo wanaochomeka hayo matangazo, kama hauyataki gusa palipoandikwa skip

  • @NajmoonMuhsin
    @NajmoonMuhsin 3 месяца назад +1

    Mashaallah allah akupe afya ilio bora kwako ameen yarab

  • @selemaniissacka7230
    @selemaniissacka7230 4 месяца назад +5

    Masha'Allah❤❤❤

  • @Mwanashabani-rk4qq
    @Mwanashabani-rk4qq 4 месяца назад +2

    MashaAllah

  • @KasalamaAlly
    @KasalamaAlly 3 месяца назад

    Maashaallah

  • @RashidiMubiri-l3d
    @RashidiMubiri-l3d 4 месяца назад +1

    Mashaallah ♥️♥️♥️

  • @hilalskach6205
    @hilalskach6205 4 месяца назад +1

    Mashaallah ❤

  • @ZenabAli95
    @ZenabAli95 3 месяца назад

    Mashaallah ❤❤❤❤

  • @MwanahamisiJuma-u1q
    @MwanahamisiJuma-u1q 3 месяца назад

    Maashaallah

  • @HawaKadeyi
    @HawaKadeyi 3 месяца назад

    maanshaAllah

  • @Khkh-fx9ry
    @Khkh-fx9ry 3 месяца назад

    Maa sha Allah