Mkuu wa kikosi cha kvz aongoza mazishi ya Askari wake

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 дек 2024

Комментарии • 63

  • @ameirmanzi2684
    @ameirmanzi2684 Год назад +6

    Mwenyezi mungu amjalie nuru ampe kauli thabit dogo amefat kutafuta maisha gerej bandarin had kuwa asikar ila Allah umemuhita kurud kwake tuombe mwisho mwema

  • @Mukilaiza
    @Mukilaiza Год назад +2

    Daima tutakukumbuka kaka poleni wanafamilia poleni sana QRF poleni sana kvz pamoja na marafiki wake wakaribu pia tujitahidini na sisi kufanya ibada kumuwombea mwenzetu nakujiyombea na sisi mwisho mwema mungu atufanyie wepesi amin pole san kiyongoz mkuu wa kvz

  • @abdikanzu5261
    @abdikanzu5261 Год назад +8

    Allah ampe safar ya salama na sisi atupe mwisho mwema

  • @ابوذر-د8ك
    @ابوذر-د8ك Год назад +4

    Nyinyi sii mazombi endeleeni kuwapiga watu huo ndio mwisho wa majigambo
    Allah amsamehe makosa yake yote amee

  • @husseinkassim4405
    @husseinkassim4405 Год назад +4

    Allah akusameh makosa yako, akujaaliye pepo kwa rehema zake na sisi atupe husnil khatima...
    Ila kaka nakukumbuka tokea tukiwa primary, ulikuwa ni mtulivu na mwenye heshima ya hali yajuuu...
    Umetuacha na huzuni kubwa ila kazi yake Allah haina makosa

    • @ReilaHisham-my2eu
      @ReilaHisham-my2eu Год назад

      Tupoweeee kwa sote Huzun haiyondokii Wengne kununga hatuja wezaaa

  • @swabahzubeir1497
    @swabahzubeir1497 Год назад +3

    Innalillah wainnah ilayhi rajeun Allah akusameh kaka etu

  • @is-hakaame
    @is-hakaame Год назад +6

    Allah ampe kauli thabit yeye pamoja na sisi Inshaallah

  • @OmaryOmary-q9e
    @OmaryOmary-q9e Год назад

    Mwenyezi mungu ampe kauli thabit huko aendeko na firdaus iwe mafikio yake.kamanda ameumaliza mwendo .Amin by Omar Is,haka mtoni kidatu zanzibar

  • @Mukilaiza
    @Mukilaiza Год назад

    Mungu akufanyie wepesi kaka akusamehe makosa yako amin

  • @aloyceponela3249
    @aloyceponela3249 2 месяца назад

    Pole sana kamanda .upunzike kwa amani

  • @salimharrasy7047
    @salimharrasy7047 7 месяцев назад

    Allah tunakuombs msameh mtoto wetu. Smiin

  • @abdulrahimali5042
    @abdulrahimali5042 Год назад +5

    انا لله وانا اليه راجعون

  • @hajisimaikhatib9002
    @hajisimaikhatib9002 Год назад +2

    Bada ya kumuombea duwa ndugu yao kituko kweli

  • @bwengoabdallah2556
    @bwengoabdallah2556 Год назад +2

    Innallillah wainna ilayhi rajiun

  • @adnanidarous3117
    @adnanidarous3117 Год назад +1

    Allah bless him inshallah 😢❤

  • @KhadijaHussein-qn2ge
    @KhadijaHussein-qn2ge 2 месяца назад

    Mungu msamehe zambizake na ss tuponyuma yake

  • @stephanomoses7694
    @stephanomoses7694 Год назад +2

    😳 kumbe wao wanaruhusiwa kufuga rasta na ndevu. Hili jeshi lao halina weledi wala maadili kabisa . Kumbe Ndio maana zanzibar mashoga hadi jeshini 7:02

    • @ameknews2315
      @ameknews2315 Год назад

      Samahn hao ni special force ndio wanaoruhusiwa kufuga hayo

    • @ameknews2315
      @ameknews2315 Год назад

      Pia barete zao huwa ni nyeusi

    • @greenandbeach8134
      @greenandbeach8134 Год назад

      Weee mtanganyika ww kuma la mamako

    • @abdillahfaki8446
      @abdillahfaki8446 Год назад

      Nenda Katik makambi ya Jwtz hutawaon wanajesh wanafug ndevu Haon ndio hatar maan ni makomandoo Sana ndio wanafug ndevu usiropokwe tuuu hata Polisi wanafug baadhi Yao ni wa vitengo hao

    • @abdillahfaki8446
      @abdillahfaki8446 Год назад

      Ndio maan unawez ukamkut mtu ustadh kumbe ni usalama wacheni kuropokw hao ni kitengo maalum kama hujui

  • @LadyBrown-ms5fs
    @LadyBrown-ms5fs Год назад

    Innalillah wainnailayhi rajioun nitakukumbuk sana😭

  • @DaudFataki
    @DaudFataki Год назад

    Ndevu nayo kitambulisho cha manaume

  • @PolineliDamesi
    @PolineliDamesi Год назад

    pole xana

  • @saidrakwe8727
    @saidrakwe8727 10 месяцев назад

    Dua is only important for him not trumpet

  • @adamstour5736-kb6zq
    @adamstour5736-kb6zq Год назад +3

    Hawa ni miongoni mwa wale wanaoitwa MAZOMBI au

  • @husnasena6055
    @husnasena6055 3 месяца назад

    Pumzika kwa amani kipenz chetu

  • @AbdullatifAbdalah
    @AbdullatifAbdalah Год назад

  • @IbnuAlly-cg2gn
    @IbnuAlly-cg2gn Год назад

    Upuuzi mtupu sasa ndo mutamnufaisha huko anakoenda kwa mtindo huo?

  • @juma2979
    @juma2979 Год назад

    Hivi hii kwa muislam inakubalika

  • @babycheni8317
    @babycheni8317 Год назад

    😢😢😢😢😢 so sad

  • @KatteCatherine-m2n
    @KatteCatherine-m2n 3 месяца назад

    Moore Sharon Lewis Donna Brown Donna

  • @GhanimSaid
    @GhanimSaid Год назад

    😢😢😢😢

  • @christophermartin4572
    @christophermartin4572 Год назад

    Mbona hao Askari Wana mandevu kama Askari WA allqaida

    • @najimmaalim976
      @najimmaalim976 Год назад

      Hawa nikikosi maalum so wote apo wengine wapo kwenye kikos chakutuliza hasia

    • @rastafare878
      @rastafare878 Год назад +1

      Kama zinakukera kawanyowe , kuwa Na ndevu ndio ujanadume ,

    • @ReilaHisham-my2eu
      @ReilaHisham-my2eu Год назад

      Kaul thabitiiii shemgiiiiii yngu tunaumiaaaa ila kz ya mung

    • @anwarally7611
      @anwarally7611 Год назад

      😂

    • @abdillahfaki8446
      @abdillahfaki8446 Год назад

      Hao ni Askari wa vitengo bb Hata Jwtz kun makomandoo wale wanafuga ndevu sasa ww jichangany kama kila unayemuon ana ndevu unazania ni sheikhe

  • @fayadhilzulkhulaifat5994
    @fayadhilzulkhulaifat5994 Год назад

    😭😭😭😭😭

  • @ismailnassor-qx3sn
    @ismailnassor-qx3sn Год назад

    Fom two ndo elimu yk jmn kaajiriwa??

    • @ReilaHisham-my2eu
      @ReilaHisham-my2eu Год назад

      Ayo hayana maaan tena jamn tumuomben mwenzetu hutm hutm njema kaenda mbl jamn na sisi tunaenda na sisi hatujui kifo chetu jamni safr nzito ileeee jamn

  • @KhubeybJandaal-uz4oo
    @KhubeybJandaal-uz4oo Год назад

    Kafa kafir jahannam ndo kitanda chake na nguo za moto za kujifunika😂😂

    • @swabahzubeir1497
      @swabahzubeir1497 Год назад

      Wewe ndo hakimu au

    • @ReilaHisham-my2eu
      @ReilaHisham-my2eu Год назад

      Muwe na Imni jamn tunako enda ni mbl mtu kafa hutakiwa kua na manen machfu kma ayo hujui familia unaiyumiza kias gan

    • @Muznekidoty
      @Muznekidoty Год назад

      Allah Akusameh

    • @KhubeybJandaal-uz4oo
      @KhubeybJandaal-uz4oo Год назад

      Si maneno machafu qur an imeongea makafir moton,na nyiny pia mnaotetea makafir pia mtakua pamoj sabab hamna tawheed

    • @KhubeybJandaal-uz4oo
      @KhubeybJandaal-uz4oo Год назад

      Anglia ivo alivyozikwa tu ni ushahid tosha kua years kafir dua kwa mazumari laanatullah