KOCHA AONDOKE "GAMONDI ARUDI HARAKA YANGA "VIONGOZI WANAZINGUA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 ноя 2024

Комментарии • 422

  • @muhammadmpahi338
    @muhammadmpahi338 3 часа назад +73

    Hakuna cha kocha wala nini. Kufuru zetu zimetuponza. Sisi ni wakumuambia mungu atuletee malaika tucheze nao kweli! Tutafungwa sanaaa mpaka tumuombe mungu msamaha

    • @ShabaniMshahara
      @ShabaniMshahara 3 часа назад

      😂😂🎉

    • @Ibrahim-ne3in
      @Ibrahim-ne3in 3 часа назад +2

      😂😂😂😂😂kweli kabisa kaka...watachakaa had wamuombe mungu msamaha

    • @fatmaOmmy
      @fatmaOmmy 3 часа назад +4

      Yaani Bora wew unajitambua, mpaka hapo mungu amekusamehe kwenye hiyo dhambi😂

    • @MalaikaBright-rv6yb
      @MalaikaBright-rv6yb 3 часа назад

      ​@@fatmaOmmywalisema lini hivi 😢😢😢😢

    • @feada-pv4pe
      @feada-pv4pe 3 часа назад

      Kweli bhn tuache utani mashabiki wa yanga ombeni radhi kwa mola wetu bhn soka lipendeze​@@fatmaOmmy

  • @Happynesi-d4k
    @Happynesi-d4k 3 часа назад +7

    Huu ni mpira akifanya vizuri mnafurahi mambo yatabadilika tu acheni lawama ❤

  • @OS-pf6op
    @OS-pf6op 28 минут назад +1

    Lazima Gamond angefukuzwa, tatizo alililea yeye. Fitness level imedrop na kwa wiki 1 na nusu sio rahisi kwa kocha mpya kuirudisha! Baleke! Baleke!

  • @IbraTz-n7x
    @IbraTz-n7x 2 часа назад +6

    Kumeanz kuchangamka but Tuwe wavumilivu kilamtu atachanganyikiwa kwa wakati wake tuwe na subila🐸

  • @AminaKissawaga
    @AminaKissawaga 2 часа назад +4

    Kuna raha na shida tukubali ila naipenda yanga yangu kocha mzuri Nampa mda atangekuwepo uyo Gamondi ingekuwa ivyo tu kocha muache washabiki mandazi nyiye yanga oyooooo 💚💚💚💚

    • @JacksonMzoho-g4i
      @JacksonMzoho-g4i Час назад

      gamondi ni kocha mzuri lakini huyu mpya tumeliwa gamondi arudi

  • @philemornmutta1597
    @philemornmutta1597 2 часа назад +5

    Naomba tukaombe msamaha haiwezekani tumuombe Mungu atuletee malaika tucheze naao

  • @Stellastella-yi5vu
    @Stellastella-yi5vu 3 минуты назад

    Yanga nawapenda sana, mim Simba lkn dube hamna mchezaji pale Bora mim mnisajil

  • @MaulaMapunda
    @MaulaMapunda 22 минуты назад

    Yanga muombeni mungu msamaha kauli zinawatafuna,et mcheze na malaika si dhalau hzo,poleni Sana ndg zetu,acha na sisi tuone kesho.

  • @ibrahimsadick6137
    @ibrahimsadick6137 2 часа назад +5

    Dube Azizi Baleke Aucho Pacome Musonda Fukuza wote hao tuanze upýa

  • @AminiMsellem-gk3yy
    @AminiMsellem-gk3yy 2 часа назад +6

    Wakati makundi yanapangwa si wamesema kundi jepesi leo limekua gumu kah!😂😂😂😂😂😂
    Bado hamjasema mpaka mseme😂😂😂😂😂

  • @sahraabdallah7242
    @sahraabdallah7242 2 часа назад +4

    Dah! Tumepigwa kwenye mshono😢😢😢

  • @LastbornMhenga
    @LastbornMhenga 3 часа назад +18

    Gusa achia twende kwao😂😂😂😂

  • @IddyAbdu-w1o
    @IddyAbdu-w1o 41 минуту назад

    Hogeren kwa kupata kocha mwenye viwango vya juu,

  • @STELLAMARCELY
    @STELLAMARCELY 3 часа назад +12

    Hii inaitwa gusa achia.....😂😂😂

  • @Yohanaphiliponzela-e4u
    @Yohanaphiliponzela-e4u 3 часа назад +3

    Naleo watasema beki wao alikuwa hayumo hawaishiwi maneno hao❤❤❤

  • @TillaMwasaka
    @TillaMwasaka 2 часа назад +4

    😂😂😂😂😂😂 Kwa nyuma kanasikika Ka nyimbo Ka ambassadors kwann umeyaruhusuuu

  • @RaidesBraiton
    @RaidesBraiton 22 минуты назад

    Acheni zarau.kwani kocha anamatatizo gani?wachezaji wafungwe kocha alaumiwe?mtasubiri xanaaaaa😅😅😅😅😅😅

  • @FestoSambay
    @FestoSambay 2 часа назад +2

    Usilie mtani..,Kipigo hakina mwenyewe 😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @SalmaHussen-ur7jo
    @SalmaHussen-ur7jo 3 часа назад +6

    Kiukwel nimeumia lakin nitakufa natimu yangu 💚💛💚💛💛💛💛💛🙏

  • @DavidSemu-gu6wp
    @DavidSemu-gu6wp Час назад +1

    Aziz Ki stamina kwishne, chezea Hamisa kamkamua hakuna tena magoli mdomo tu unazidi kumshuka kama pindo la gunia.

  • @germanusmtono6352
    @germanusmtono6352 38 минут назад

    Mungu alisikiliza ombi lenu la kucheza na malaika, malaika ndo hao wanawafunga

  • @UpendoJackson-s3r
    @UpendoJackson-s3r 3 часа назад +4

    Wapi Ally Kamwe! Na kocha M-jerumani....

  • @hamzaibrahimu
    @hamzaibrahimu 2 часа назад +9

    Kasongo yeye umbali dagaa kasongo mama wewe uwuu yeye 😂😂😂

  • @mitinjemaziku
    @mitinjemaziku 3 часа назад +4

    Yanga hatucheza vzr hata kidogo hizi sifa za gusa achia twende kwao uongo kabisaa

  • @medimisi6930
    @medimisi6930 2 часа назад +2

    wakati Timu zina sajili nyinyi mlikua mnakunywa supu😂😂😂hahaaa

  • @mtumwakh.abdalla1813
    @mtumwakh.abdalla1813 2 часа назад +8

    Yanga mmejikosea kwa kumfanyia Mungu kiburi kwa kumwambia awaletee malaika mcheze nao, hakuna anaewaweza. Sasa isomeni namba😂😂😂😂

    • @nyetaapaul9389
      @nyetaapaul9389 Час назад

      Kufuru kubwa sana hiyo na wataendelea kupigwa sana wajifunze

  • @VeriuseMnyakiwele
    @VeriuseMnyakiwele 3 часа назад +5

    Jamaaa unafaa sana kucheza sin ya kulia Tena ulilie mapenzi 😂😂😂😂😂

  • @brysonmandari5694
    @brysonmandari5694 2 часа назад +3

    Kocha kaja na record zake

  • @andrewShola-p6m
    @andrewShola-p6m 56 минут назад

    Mulia bado mungu hajawaletea malaikaa..!!!!

  • @ShukurkollAngel
    @ShukurkollAngel Час назад +1

    Dube angebadilishwa kipindi cha pili na kuwekwa Mzize. Labda kama ni mgonjwa.

  • @ngotosilasi2099
    @ngotosilasi2099 5 минут назад

    Fara unalaumu kocha badara yakulaumu wakina azzk

  • @EmanuelNgwanigodolo
    @EmanuelNgwanigodolo 2 часа назад +3

    Jamaa kaongea kitu😊

  • @sosomacharles9920
    @sosomacharles9920 2 часа назад +2

    Ni kweli Dube kila siku mm nasema hamna kitu

  • @juniormembe688
    @juniormembe688 2 часа назад +1

    Coach kajakuendelea alipixia anaendeleza record zake

  • @NeemaMdachi
    @NeemaMdachi 47 минут назад

    adi raha yaan😀😀😀

  • @maase2023
    @maase2023 59 минут назад

    Hawa mtihani hawa wasifungwe kocha afukuzwe duh 😂😂😂😂😂😂

  • @elizaluchagula9787
    @elizaluchagula9787 35 минут назад

    Gamond wa watu anaenda singidaaaaaaaa iyooooo,shida ni wachezaji pamoja na kipa wao basi,watabadilisha kocha mpaka basi,mwisho wa siku ali kamwe atakuwa kocha

  • @jumakibe5032
    @jumakibe5032 Час назад

    Daaaaaah! Mechi tatu mfurulizo wazee

  • @kishoralimbu01gm
    @kishoralimbu01gm 2 часа назад +2

    Kwakwer mie sijuii nikipi viongozi wetu wanawaza

  • @derislove7691
    @derislove7691 50 минут назад

    😂😂😂😂😂huyo aliepiga huo wimboo mnafiki

  • @Ablahisaid
    @Ablahisaid Час назад

    Mm ushaur wngu mm turudi kw mola wetu tulikufuru tusio jengine mm mwenywe nimeumia bila ya kutaka msamaha kw mungu wetu basi tutafungwa hata na mtoto wa darasa la 2 😊

  • @maxmillianmarwa5943
    @maxmillianmarwa5943 Час назад

    Haaaaa, aaaaaaaaah. Aahhh mimi mwenyewe Yanga nimecheka sana

  • @NajmaAlly-gt6nw
    @NajmaAlly-gt6nw 3 часа назад +6

    paaaaa peeee piiiiii papapuuuuu😅😅😅😅😅😅😅

  • @djmasaicowboy1534
    @djmasaicowboy1534 2 часа назад +1

    Yanga yangu itaniuwa jamn nimeweka bondi piki piki yangu nimeweka mkeka alaf tumefungwa jamn😥😥😥

  • @hawaa341
    @hawaa341 2 часа назад +2

    Kuweni na subila mambo yatakaa sawa

  • @AmosJoseph-d7m
    @AmosJoseph-d7m 2 часа назад +1

    Pole mtani, unaongea points ila huwezi kueleweka

  • @yusufufikiri5005
    @yusufufikiri5005 2 часа назад +2

    😂😂😂😂😂😂😂 AlI KAMWEEEEEE WANAKUKATAA LEO HII. ETI HAWAKUJUWI😂😂😂😂😂😂

  • @saidhamza5318
    @saidhamza5318 2 часа назад +1

    Acha ujinga shabikia kiasi ..katafute hela familia iendelee kuishi wew 👀😳

  • @RaidesBraiton
    @RaidesBraiton 19 минут назад

    Yanga mclaumu xana hata hivo mmezeeka xana.mliyataka wenyewe mbona wakati anafukuzwa kocha mlikuwa mnafurai????na mtamkumbuka xaaaaaana😅😅😊😊😊😊😊

  • @yakubuothuman8939
    @yakubuothuman8939 3 часа назад +6

    Sijawai kusikia mjerumani anaitwa SAID

  • @TanzaniaHome
    @TanzaniaHome Час назад

    😅mtangazaji bana eti kauliya ubaya ebwela inafanyakazi

  • @HalimaHalima-r1w
    @HalimaHalima-r1w 59 минут назад

    Big yanga Leo kawa dogo yanga🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ubaya ubwelaaaaa

  • @Dzojr
    @Dzojr Час назад

    Mpira una raha yakeee😂😂

  • @VumiliaUwesu
    @VumiliaUwesu 2 часа назад +1

    Kufulu zinawaponz ona sasa munafungwa we unamtania mungu

  • @kotei-s3l
    @kotei-s3l 2 часа назад +1

    Afu kuna kanyumbo kalipenya mwanzoni inaendana na kilio cha mtani 😅😅😅😅😅😂😂 1:55

  • @zobakazizi7637
    @zobakazizi7637 2 часа назад +2

    Yanga walikosea kumfukuza Gamondi

  • @D-Man.B-Free
    @D-Man.B-Free 36 минут назад

    Jamaa hataki kukonda eti naanza kukonda 😂😂😂

  • @AbdallahShaabani
    @AbdallahShaabani 2 часа назад +1

    Utopolo kugongwa na kugongeshwa 😂😂😂

  • @dicksonbenard1741
    @dicksonbenard1741 2 часа назад +4

    Malaika haoooooooooo!!!! 😂😂😂

  • @GilbertMichael-bb2ub
    @GilbertMichael-bb2ub Час назад

    akuna kocha mle ata mbin ana

  • @IconSon-b7r
    @IconSon-b7r Час назад

    Pira Gusa-Achia twende Kwakooo

  • @Getrudemlowe-sm5ky
    @Getrudemlowe-sm5ky 3 часа назад +3

    Yan kwa jinsi naumia leo sjui kwakwel kam ntakuwa sawa leo mhuuu imeniuma san💛💚

    • @FahadAbubakari-y3f
      @FahadAbubakari-y3f 3 часа назад

      Ndio mpira anafungwa madrid, tatizo watu wameanza fatilia mpira juzi hakuna timu isiofungwa

    • @mwamakaassely2260
      @mwamakaassely2260 2 часа назад

      Kanda maji ya moto hapo panapouma

    • @yanga045
      @yanga045 2 часа назад

      ​@@FahadAbubakari-y3fusiseme hivyo bro,sio kihivi sisi kuna m
      mambo amabyo hayapo sawa kwenye club

    • @FahadAbubakari-y3f
      @FahadAbubakari-y3f 2 часа назад

      @@yanga045 ndugu mi skujui ila naamini we mtu wa mpira hivi vipindi hutokea angalia madrid wanausajali wa matrilioni ya pesa na hula mpaka chuma nne kwenye ligi na klabu bingwa tufike sehemu tuwe watu wa mpira Kuna tabia imekuja hapa hususan kwa Hawa wasemaji wetu kuleta propaganda kua hatutakuja fungwa na hatutakiwi kufungwa na wengi huamini hivyo tukifungwa badala ya kutulia na kutafakari na kujipanga tunathubutu Leo kusema atoke kocha mpira wa hivyo haupo jamani

  • @MsafiriThomasi
    @MsafiriThomasi 2 часа назад +1

    Wewe Badoo hujasema na mpaka useme bakola gamodi aludi ameenda wapi weweeee

  • @AsiamohamedMasauni
    @AsiamohamedMasauni 2 часа назад +1

    Yaani nyie mtafungwa sana maana mliletwa kufuru na pia hayo masindano yenu mliyokua mnatumua 😂😂😂😂😂😂

  • @Ujiman-v3h
    @Ujiman-v3h 2 часа назад +1

    Kaka wewe Rudi to kimara tumekusubili😂😂😂

  • @richardmkombe123
    @richardmkombe123 2 часа назад +1

    German machine kaanza kazi😮

  • @gtvonlinemdee7001
    @gtvonlinemdee7001 Час назад +1

    Huyu bonge bashaaaa sana jinga zima unalia

  • @josiacharles2778
    @josiacharles2778 Час назад

    Goli lapili kaa la tabora vilee😂😂❤

  • @FrankKamala-f9c
    @FrankKamala-f9c 2 часа назад

    Yanga wamemsajili jiddena alieimba hule wimbo bambi

  • @hawaelymaricca7602
    @hawaelymaricca7602 Час назад

    Na bado mtalia sana sana muache kufuru kusema hamtafungwa labda MALAIKA. TUBUNI

  • @AdamuSelemani-y3t
    @AdamuSelemani-y3t Час назад

    Ubaya ubwera Ina maana nyingi hiyo ndio yanga tunayoifahamu

  • @FrankKamala-f9c
    @FrankKamala-f9c 2 часа назад

    ETi Huyu kocha wa yanga ana undugu na jiddena alieimba bambi

  • @MATEOJOSEPH-nc8gf
    @MATEOJOSEPH-nc8gf Час назад

    😂kama ww umefurahishwa Utopolo wamechanganyikiwa weka like hapa

  • @Omarimakuka
    @Omarimakuka 3 часа назад +4

    Mmeshenyetwa😅😅😅😅😅

  • @victorcephas3618
    @victorcephas3618 Час назад

    Kadri unavyokuwa na kiburi zaidi ndivyo anguko lako linakuwa kubwa mno.
    Kiburi SI maungwana
    #NaBado

  • @Said-w3f
    @Said-w3f Час назад

    Balake jamani ana Nini nauliza viongozi

  • @ambakisyemwanjemba5787
    @ambakisyemwanjemba5787 Час назад

    Gusa achia twende kwaooooooooooooo!!!!

  • @MasonyoZedon
    @MasonyoZedon 2 часа назад +1

    😢😢😢😢😢😢😢😢😢 imeishahiyoooo

  • @lodrickhubert9093
    @lodrickhubert9093 32 минуты назад

    Huyu kesha kula miyogo anajifanya anaumwa na matokeo kuliko viongozi

  • @ambakisyemwanjemba5787
    @ambakisyemwanjemba5787 Час назад

    Tulisema wazee haooooo! mkabisha

  • @PeterMagoye
    @PeterMagoye Час назад

    Kasongo yeye umbali Sudan,, kasongo ngarenaro chalii ya Araaaa hiii imeenda

  • @amiriathumani6758
    @amiriathumani6758 Час назад

    Inauma kugogwa mara 3 azm tambar na mwarabu mweusi

  • @OmanOman-ru4eu
    @OmanOman-ru4eu Час назад

    Mm naona raha utopolo wanavyoteseka 😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @charlesmakere9959
    @charlesmakere9959 3 часа назад +3

    Hili limenifurahisha sanaaaa🤣🤣

  • @antonyndinga8890
    @antonyndinga8890 17 минут назад

    Muhame Tena uwanja

  • @MarisaVitares
    @MarisaVitares Час назад

    Haondio malaika mliowataka mmemuombamungu malaikandiohao mbonaviliotena🤔🤔🤔

  • @ErnestMalima
    @ErnestMalima 3 часа назад +1

    Ubaya ubwela ndounafanaya kazi sasa😂😂😂😂😂😂😂

  • @frolamaugo3924
    @frolamaugo3924 59 минут назад

    Mtalaumu sana kocha 😂😂😂

  • @SevenEvi-n2s
    @SevenEvi-n2s Час назад

    Dude dude akaombee msamaha Azam 😅😅

  • @JazaEnergy-k6d
    @JazaEnergy-k6d 2 часа назад

    Tulitaka wenyewee mlisemaaa mnatakaa malaikaa ndo haoo

  • @DismasSylvanus
    @DismasSylvanus Час назад

    Ubaya ubwera ✈️✈️✈️✈️✈️✈️✈️✈️✈️

  • @abdallahbaruani8596
    @abdallahbaruani8596 Час назад

    Raha Ina mda,tuvute subra mpira ndo ulivyo,asiweza kuvumilia atafute michezo mwingine

  • @HappyHappysiameSiame
    @HappyHappysiameSiame 2 часа назад +1

    😂😂😂😂😂 bado sanaaaa

  • @josiacharles2778
    @josiacharles2778 Час назад

    Nawaona wale malaika wakishuka Al😂😂😂 vipi bado mnaitaji malaika?

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz 2 часа назад

    Mimi nahisi kuna mkono wa magoma na kundi lake.Yanga wakae na wazee wote akiwemo Magoma warekebishe tofauti zao.yanga wasimpuuze MAGOMA hata kidogo.

  • @blecomusic9997
    @blecomusic9997 2 часа назад

    Yanga ni time kubwa sana Africa

  • @Gab217
    @Gab217 Час назад

    Ila waandushi ni machoko😂😂😂

  • @hassanially1773
    @hassanially1773 2 часа назад +1

    Mmesahau kuwa mlikufuru sana mungu anawaonesha

    • @AminiMsellem-gk3yy
      @AminiMsellem-gk3yy 2 часа назад

      Na bado mpaka washuke daraja manina zao 😂😂😂😂😂

  • @yunusimchala6569
    @yunusimchala6569 3 часа назад +9

    Sinunui jezi na silipi ada ya uanachama tena wachezaji wanakula bata na magari ya fahari sisi tunateseka washabiki

  • @KidukuSounds
    @KidukuSounds 2 часа назад +1

    Huyu mnamwelewa kwer analiwa nin 😅😅😂