Jamani niwaombe wanayanga yule aliye kufuru Mungu akaombe radhi akamuomb Mungu wak msamaha kama mnakumbuka aliv kufuru tu wanataka kucheza na malaika wakafungwa na azama haja kaaxaw kafungwa na tabora Lew kafungwa na bado paka akaombe radh
Walimkufuru MUNGU hao! Hivi kweli unamuombaje MUNGU akuletee Malaika ucheze naye kwa Mambo ya kidunia? Utoporo si wamcha MUNGU, ndiomaa wanaamini sana kuloga na kuchomwa sindano za kuongeza Nguvu.🤪🤪🤪😹😹😹 Tena Pakome tusimchukue SIMBA.
Gb 64. Ww ni mtu wa ukweli endelea kuwapasha hao ngogwe aka Wachawi fc kuwa enzi zao za kupigana bakora ss zimerudi upyaaa ila wajue ss huu ndo UBAYA UBWELA walale tu na vilatu ila wasubiri na waone kesho Ubaya ubwela ukoje
Ewe mwenyezi Mungu tunaomba kesho tupate ushindi nyumbani
Ninakukubali tangu unapambania marekebisho Simba,mpaka wakakuweka ndani kwa kuusema ukweli HEKO
Me shabiki wa yanga lakini namkubali sana gb 64 anasema ukwelii kama wwe ni shabiki wa yanga na unamkubali uyu mwamba gonga like apaa🎉
GB 64. I give you Big up Brother.
Mwambaa Gb 64 nakukubali sanaaa mwamba
Big up Brow Wafundishe Uchambuzi GB Hasa Aly Kamwe,Alietaka yanga icheze na Malaika ndio hilo Game .Ibenge Juuuuuuui
Yani nyinyi Utopolo Munamkufuru Mungu kwa Mambo Yakidunia dah? Sio pw
Mmmmh kumbe yanga Leo kacheza na malaika
Msiwape siri sasa aah watajua😂
Ally kamwe anaiharibu timu yeye na wanamziki wake.
Jb usimwamshe aliyelala
Teema mafaili babaaaa ! Kuna kitu hapa chakujifunza sie wanayanga ooh hayaaa ! Ila tujipange TU mech zijazooo
Kweli kaka
Gb anaujua mpira sana
Ubaya vibayaaaamno
Hongera GB
Duh kaka utawamaliza
Ulisema kweli gb uliota watafungwa mechi tatu mfululizo
Wasipo omba msamaha kwa wenye nchi wanashuka daraja
Walimfukuza kocha na leo wamfukuze goli kipa😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Umesema kweli hao yanga ni mikuadi Sanaa sasa yamewageukia wao ndio maana tunaambiwa utaifa kwanza tumejifunza tabia za ujinga
GB, achana nao hao ngogwe usiwaamshe watatusumbua hao
Toa povu mwanangu huo ndio ukweli watakwelewa tu😂😢🎉
Yule CHOKO MCHOME Leo AMEONGEA NINI?😂😂😂
Mzee gb achana nao hao watumbukie shimon waache ivyo ivyo usiwape pin code
Safi sanaa Uncle
Leo sindano hazijachomwa ndio maana wamepotea uwanjan
Ivi kwani hakuna uwezekano wa kupat mechi ya kirafi na hawa nyuma mwiko maan watamm asaiv
Tuhame uwanja wanatuujum au hutukuchoma sindano😂😂😂
Master mind gb 64
Ongea niwakat wako bro
Baelezeye NGOGWE
Jamani niwaombe wanayanga yule aliye kufuru Mungu akaombe radhi akamuomb Mungu wak msamaha kama mnakumbuka aliv kufuru tu wanataka kucheza na malaika wakafungwa na azama haja kaaxaw kafungwa na tabora Lew kafungwa na bado paka akaombe radh
Katika watoto wasemaji ninaowachukia ni ALLI KAMWE
daa tunajivunie sana kuwa mwanasimba unajuwa mpila
we unajisumbua tu hapo GB hawaelewi hao
Akili kubwa
Walimkufuru MUNGU hao! Hivi kweli unamuombaje MUNGU akuletee Malaika ucheze naye kwa Mambo ya kidunia? Utoporo si wamcha MUNGU, ndiomaa wanaamini sana kuloga na kuchomwa sindano za kuongeza Nguvu.🤪🤪🤪😹😹😹 Tena Pakome tusimchukue SIMBA.
hamna kazi yanga washapoooteana.
Kama nakuelewa ivi 😂
❤
Nimeamini ile wasafi niwapaka mafuta hawasemi ukweri wanaipamba yanga wakati yanga kashapotea wasafi pumbavu zenu mnatupaka mafuta tupotee
GB64 kweli wewe ni mtu wa faball mengi unayoongea huwa ni sahihi kabisa
Wabemende hao Gb,😂
yanga iyo inafungwaje
Mwamba anajamba mabomu.
UMDURMAN AMDUWAZA NYANGA🎉
Usiwaelekeze aooo
Usiwaambie waache
Ww n jembe kaka na ukwel wa football unaujua waambie ukwel na huo ndo Utan wa jad wasaidie kuwaelewesha panapo vuja
Bamelokota kunyavu😁😁😁
Gb 64. Ww ni mtu wa ukweli endelea kuwapasha hao ngogwe aka Wachawi fc kuwa enzi zao za kupigana bakora ss zimerudi upyaaa ila wajue ss huu ndo UBAYA UBWELA walale tu na vilatu ila wasubiri na waone kesho Ubaya ubwela ukoje
😂😂eti anatanua miguu emwee😂
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂